AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililoainishwa lazima ihifadhiwe na Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
3. Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. itaandaliwa 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Mwakitolyo Tangazo la Serikali na. 238 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji na namba A yenye majira - nukta 472299.667MS, 9626195.013KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ01º01’58.05’’MS kwa umbali wa kilomita 1.59 ukikatiza barabara ya Kahama - Shinyanga kupitia Senta ya Burige hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 472270.833MS, 9624595.529KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS86º32’36.17’’MS kwa umbali wa kilometa 1.01 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 471259.918MS, 9624656.591KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS04º25’07.03’’MG kwa umbali wa kilometa 0.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 471288.753MS, 9625029.748KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS78º34’56.77’’MS kwa umbali wa kilometa 0.531 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 470768.030MS, 9625134.910KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ38º01’54.28’’MS kwa umbali wa kilometa 0.217 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 470634.033MS, 9624963.597KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS89º51’38.14’’MS kwa umbali wa kilomita 0.697 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 469936.909MS, 9624965.293KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS14º21’31.29’’MS kwa umbali wa kilometa 1.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 469646.865MS, 9626098.332KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS87º54’46.00’’MG kwa umbali wa kilometa 2.654 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2