AI-assisted research summary: This section says the general and detailed plans for the designated area are to be prepared and kept by the named officials.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika itaandaliwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Maganzu – Muungano Tangazo la Serikali Nas. 245 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira – nukta 378782MS, 9617695KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 700 kwa umbali wa kilomita 0.3hadi alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira – nukta 379092MS, 9617518KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katik auelekeo wa 980 kwa umbali wa kilomita 0.55 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira – nukta 379423MS, 9617963KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 1380 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira – nukta 379537MS, 9617993KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira – nukta 379790MS, 9617929KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 1710 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 379947MS, 9617935KZ; baada ya Hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 980 kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira – nukta 380420MS, 9618028KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1780 kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 380379MS, 9618800KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa 1570 kwa umbali wa kilpmita 0.5 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 380379MS, 9618800KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa 540 kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 380137MS, 9619141KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 560 kwa umbali wa kilomita 0.2 ukikatiza barabara ya Runzewe – Ushirombo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 379927MS, 9619100KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa 710 kwa umbali wa kilometa 1.0 kupitia barabara kuu ya Runzewe – Ushirombo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba L yenye majira - nukta 379293MS, 9618241KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa 1040 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 379008MS 9618387KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 770 kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba N yenye majira - nukta 379120MS, 9618909KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa 1020 kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba O yenye majira - nukta 378678MS, 9618945KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 930 kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P yenyemajira - nukta 378646MS, 9619538KZ