AMRI YA KURASIMISHA MAKAZI YASIYOPANGWA ENEO LA LYOBAHIKA YA MWAKA 2023
Kifungu hiki kinataja jina la Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahitika ya Mwaka 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- AMRI YA KURASIMISHA MAKAZI YASIYOPANGWA ENEO LA LYOBAHIKA YA MWAKA 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Kifungu hiki kinataja jina la Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahitika ya Mwaka 2023. Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipango Miji. The listed planning officials must prepare and keep general and detailed plans for the area named in the Table. Inaeleza sehemu ya mpaka kuanzia alama ya upimaji ya L kisha inaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 1180. This provision describes the boundary of the Lyobahika unplanned settlement area by listing survey points, directions, distances, and coordinates.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of AMRI YA KURASIMISHA MAKAZI YASIYOPANGWA ENEO LA LYOBAHIKA YA MWAKA 2023
Showing 5 of 5
- 1 Verify source ↗
Amri hii itaitwa Amri ya Kurasimisha Makazi
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinataja jina la Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahitika ya Mwaka 2023.
1. Amri hii itaitwa Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahitika ya Mwaka 2023. Utangazaji wa eneo la upangaji Sura ya 355 - 2 Verify source ↗
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii
AI-assisted research summary: Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipango Miji.
2. Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji (mpango wa urasimishaji) kwa madhumuni ya Sheria ya Mipango Miji. Mpango katika eneo la kwenye Jedwali
Part
Jedwali
- 3 Verify source ↗
Mipango ya jumla na kina katika eneo
AI-assisted research summary: The listed planning officials must prepare and keep general and detailed plans for the area named in the Table.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahika Tangazo la Serikali Na. 246 (Linaendelea.) ________ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira – nukta 338027MS, 9629379KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1210 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira – nukta 338029,9629719; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1470 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira – nukta 338169MS, 9629949KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1390 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira – nukta 338274MS, 9630199KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1250 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira – nukta 338230MS, 9630331KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1620 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 337967MS, 9630424KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1660 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira – nukta 337668MS, 9630448KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 1360 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 337551MS, 9630430KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 1720 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 337427,9630267; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa 850 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 337279MS, 9630002KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa 1260 kwa umbali wa kilomita 0.2 ukikatiza barabara ya Runzewe - Ushirombo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 337064,9630675; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1680 kwa umbali wa kilometa
Part
JEDWALI
- 0 Verify source ↗
2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba L yenye majira - nukta 337045MS, 9630400KZ baada
AI-assisted research summary: Inaeleza sehemu ya mpaka kuanzia alama ya upimaji ya L kisha inaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 1180.
0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba L yenye majira - nukta 337045MS, 9630400KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1180 kwa umbali wa kilomita - 0 Verify source ↗
2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 327771MS, 9623785KZ; baada
AI-assisted research summary: This provision describes the boundary of the Lyobahika unplanned settlement area by listing survey points, directions, distances, and coordinates.
0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 327771MS, 9623785KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1480 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba N yenye majira - nukta 336743MS, 9630710KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1340 kwa umbali wa kilomita 0.2 2 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahika Tangazo la Serikali Na. 246 (Linaendelea.) hadi alama ya mpaka ya upimaji namba O yenye majira - nukta 336596MS, 9630877KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1430 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P yenye majira - nukta 336601MS, 9631095KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1390 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba Q yenye majira - nukta 336554MS, 9631160KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 1710 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba R yenye majira - nukta 336289MS, 9631198KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba S yenye majira - nukta 336204MS, 9631306KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1220 kwa umbali wa kilomita 0.1 ukikatiza barabara ya Runzewe - Bwanga hadi alama ya mpaka ya upimaji namba T yenye majira - nukta 336313MS, 96314103KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 1160 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba U yenye majira - nukta 336313MS, 9631412KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1220 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba V yenye majira - nukta 336434MS, 9631344KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1160 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji W yenye majira - nukta 336534MS, 9631398KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1490 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba X yenye majira - nukta 336606MS, 9631330KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1620 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba Y yenye majira - nukta 336784KZ, 9631397KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1610 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji Z yenye majira - nukta 336835MS, 9631461KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Mashariki katika uelekeo wa 1590 kwa umbali wakilomita 0.06 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba A1 yenye majira - nukta 336894MS, 9631501KZ; baada ya hapo mpaka ulielekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba B1 yenye majira - nukta 336963MS, 9631547KZ; baada ya mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1610 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji C1 yenye majira - nukta 337030MS, 9631785KZ; baada ya hapo mpaka ulielekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1590 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D1 yenye majira - nukta 337037,9631838; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini –Magharibi katika uelekeo wa 1290 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba E1 yenye majira - nukta 337037MS, 9631838KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 920 kwa umbali wa kilomita 0.08 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba F1 yenye majira - nukta 336962MS, 9631895KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 3 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Lyobahika Tangazo la Serikali Na. 246 (Linaendelea.) 910 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba G1 yenye majira - nukta (336893MS, 9631895KZ); baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 870 kwa umbali wa kilomita 1.2 ukikatiza barabara ya Runzewe - Bwanga hadi alama ya mpaka ya upimaji namba H1 yenye majira - nukta 335877MS, 9631115KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 940 kwa umbali wa kilomita 2.7 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 4
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
AMRI YA KURASIMISHA MAKAZI YASIYOPANGWA ENEO LA LYOBAHIKA YA MWAKA 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in