AI-assisted research summary: Mpangokina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Mafinga.
3. Mipangokina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Mafinga. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kinanambo Tangazo la Serikali Na. 248 (Linaendelea.) ________ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Mipango ya eneo itafanyika ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 01 yenye majira – nukta 752217MS, 9082632KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.09 hadi unapokutana na barabara kuu ya TANZAM kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 02 yenye majira – nukta 754360MS, 9084780KZ; baada ya hapo mpaka unafuata barabara kuu ya TANZAM kwa upande wa Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 03 yenye majira – nukta 754485MS, 9085216KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kufuata barabara kuu ya TANZAM hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 04 yenye majira – nukta 754526MS, 9085343KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.39 hadi unapokutana na barabara ya zamani ya Dar es Salaam kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 05 yenye majira - nukta 754210MS, 9085571KZ; baada ya hapo mpaka unafuata barabara ya zamani ya Dar es Salaam kwa umbali wa kilomita 0.49 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 06 yenye majira – nukta 754165MS, 9085084KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 07 yenye majira - nukta 754198MS, 9085063KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.23 hadi unapokutana na barabara ya zamani ya Dar es Salaam kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 08 yenye majira – nukta 754184MS, 9084835KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 09 yenye majira – nukta 754207MS, 9084817KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KNM 01 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2