AI-assisted research summary: This section provides sample forms for inspecting and certifying forest products for export, and lists the official entry and exit points into Tanzania.
3. Eneo ambalo Ghala lipo ………………………………………… Tarehe………………………Saini ya Mwombaji …………………………………. 17 Kanuni Za Usafirishaji wa Mazao ya Misitu Kuingia Ndani ya Nchi Na Kutoka Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 266 (Linaendelea.) (Imetengenezwa chini ya kanuni ya 11(4)) CHETI CHA UKAGUZI NA KUPANGIWA DARAJA FOMU NA. 9 kupanga Mimi ………………………………………………………………. Nathibitisha kuwa nimekagua na na yaliyopo ………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………… na kubaini kuwa yamekidhi masharti ya Kanuni za Misitu Tangazo la Serikali Na. 153 la Mwaka 2004 na Sheria ya Misitu ya Mwaka 2002. yanayomilikiwa mazao misitu daraja ya la Cheti hiki kimetolewa bila marekebisho au mabadiliko yoyote. Leo tarehe………………………………..Mwezi…………………….. 20 ……………… ................................ Saini ya Afisa Mkaguzi 18 Kanuni Za Usafirishaji wa Mazao ya Misitu Kuingia Ndani ya Nchi Na Kutoka Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 266 (Linaendelea.) (Imetengenezwa chini ya kanui ya 12(2)) FOMU NA. 10 MAOMBI YA CHETI CHA KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU NJE YA NCHI Mimi/Sisi mwenye saini yangu hap achini na omba Cheti cha kusafirisha mazao yafuatayo nje ya nchi NA. AINA YA MAZAO YA MISITU DARAJA ALAMA DARAJA NA YA ALAMA YA UTAMBUZI WA MAZAO YA MISITU UJAZO/TANI/CBM / VIPANDE ……………………………………………. Cheo Mimi Kampuni …………………………………………………… / ……………………………………… wa (Anwani)…………………………..apewe / Asipewe kibali cha kusafirisha nje ya nchi mazao ya Misitu yaliyoorodheshwa hapo juu kwa sababu zifuatazo: ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… Napendekeza Ndugu Saini ………………………………..Tarehe…………………………………. ……………………………………… Wilaya 19 Kanuni Za Usafirishaji wa Mazao ya Misitu Kuingia Ndani ya Nchi Na Kutoka Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 266 (Linaendelea.) FOMU NA. 11 (Imetengenezwa chini ya kanuni ya 12(4)(a)) CHETI CHA KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU NJE YA NCHI Cheti hiki kimetolewa kwa ………………………………………………………………. Wilaya ya ………..………………………….. kusafirishamazaoyamisituainaya cha ………………………………….kutoka bandari ya ……………………… ………. Mazao ya misitu yaliyoainishwa ujazo wa ………………………… yat asafirishwa kwenda………………………………. Mazao hayo yamepewa daraja na kuwekwa alama kama ilivyoonyeshwa. (1) Aina za MazaoyaMisitu (2) UasiliwaGhala (3) Alama zilizowekwa kwa ajili ya kusafirisha (4) Idadi ya vipande (5) Uhalali (6) Saini ya Kamishna wa Uhifadhi (7) Sehemu kilipotolewa (8) Tarehe (9) Maoni UTHIBITISHO Mimi…………………………………………………… .Kamishna wa Uhifadhi, nathibitisha kuwa mazao yaliyoidhinishwa kusafirishwa nje ya nchi, yamevunwa katika msitu unaosimamiwa Tanzania. Jina…………………………………… Saini………………………………… …………………….... Tarehe Kamishna wa Uhifadhi 20 Kanuni Za Usafirishaji wa Mazao ya Misitu Kuingia Ndani ya Nchi Na Kutoka Nje ya Nchi Tangazo la Serikali Na. 266 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 6) VITUO VYA KUINGIA NA KUTOKA NCHINI Vituo vya kuingia/ kutoka Nchini (a) Barabara: • Holili (Rombo) • Namanga (Arusha) • Sirari (Tarime) • Mutukula (Kagera) • Tunduma (Momba) • Namkale (Rukwa) • Kasumulu (Kyela) • Kyaka (Kagera) • Horohoro (Mkinga) • • • Mtambaswala (Nanyumbu) • Newala (Chihanga) • Tunduru (Makande) • Kabanga (Ngara) • Rusumo (Ngara) Tarekea (Rombo) Rusahunga (Biharamulo) (b) Reli: • Moshi • Arusha • Tunduma • Kahe junction (c) Bandari Lindi (Bahariya Hindi) • Dar es Salaam (Bahariya Hindi) • • Mtwara (Bahariya Hindi) • Mafia (Bahariya Hindi) • Kilwamasoko (Bahariya Hindi) • Bagamoyo (Bahariya Hindi) • Pangani (Bahariya Hindi) • Tanga (Bahariya Hindi) • Mbwera (Bahariya Hindi) • Kasanga (Ziwa Tanganyika) • Kibirizi (Ziwa Tanganyika) • Kigoma (Ziwa Tanganyika) Dodoma, 23 Machi, 2023 MOHAMED OMARY MCHENGERWA, Waziri wa Maliasili na Utalii 21