AI-assisted research summary: The mapped boundaries of the area in the Schedule are to be prepared and kept by the Town Planner and the Executive Director of Iringa District Council.
3. Mipangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Tungamalenga Tangazo la Serikali Na.318 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo- “Mpaka unaanzia kwenye alamaya mpaka ya upimaji nambaP1yenye majira - nukta732662MS, 9134512KZ kwa umbali wa kilomita 1.0 kutoka barabara ya Iringa-Ruaha National Park baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilometa 1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira – nukta731835MS, 9133331KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata korongo kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta731835MS,9132752KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.65 hadikwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta731898MS, 9132101KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta731605MS, 9131910KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira – nukta731224MS, 9131847KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 1.7 kwa kufuata korongo hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta730406MS, 9133117KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta730025MS,9132974KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazinikwa kufuata korongo la mto Tungamalenga hadi kwenye barabaraya Iringa-Ruaha National park kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya upimaji ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira – nukta729835MS, 9133781KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata mtoTungamalenga kwa umbali wa kilomita 1.1hadi kwenye alama ya ya mpaka ya upimaji namba P10 yenye majira - nukta731332MS, 9136178KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Masharikikwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenya alama ya mpaka ya upimaji namba P11yenye majira - nukta731702MS, 9136252KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P12 yenye majira - nukta 731971MS, 9135147KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi ulipoanzia” ANGELINE S. MABULA, Dodoma, 17 Machi, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2