AI-assisted research summary: The Director of Urban Planning and the Geita Town Director must prepare and keep the general and detailed plans for the area listed in the Schedule.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Geita. 1 Tangazo la Serikali Na.320 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Kompaund _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo- “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A kwenye barabara ya kuelekea GGM yenye majira-nukta 412839MS, 9681712KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 840 kwa umbali wa kilometa 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira – nukta 412656MS, 9682283KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 870 kwa umbali wa kilometa 0.26 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 412411MS, 9682189KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 720 kwa umbali wa kilometa 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 412398MS, 9682393KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa 1540 kwa umbali wa kilometa 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira-nukta 412180MS, 9682781KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa 730 kwa umbali wa kilometa 0.97 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira- nukta 411508MS, 9682079KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa 980 kwa umbali wa kilometa 0.43 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ‘G’ yenye majira - nukta 411049MS, 969681.651KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 1570 kwa umbali wa kilometa 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 411051MS, 9682079KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 1370 kwa umbali wa kilomita 1.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira- nukta 412568MS, 9681656KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeowa 930 kwaumbali wa kilometa 0.4 hadi ulipoanzia” ANGELINE S. MABULA, Dodoma, 17 Machi, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2