AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the area in the schedule must be prepared and kept by the Director of Town Planning and the Director of Geita Town.
3. Mipango ya Jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Geita. 1 Tangazo la Serikali Na.322 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Mwatulole _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo- “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 419248MS, 9679551KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa 1010kwa umbali wa kilometa 0.69 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 419703MS, 9680199KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1420 kwa umbali wa kilometa 0.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 419665MS, 9680930KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa 1100 kwa umbali wa kilometa 1.83 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira- nukta 417615MS, 9681590KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira- nukta 417904MS, 9681458KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1090 kwaumbali wa kilometa 0.94 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G katika barabara kuu ya Mwanza – Geitakwenye majira- nukta 417710MS, 9682524KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 960 kwa umbali wa kilometa 0.6 hadi kwenyealama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 417120MS, 9682647KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa960 kwa umbali wa kilometa 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E kwenye barabara ya Mwatulole- miti ni dawa yenye majira – nukta 416944MS, 9682101KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 1520 kwa kufuata bonde la kijito kwa umbali wa kilomita 0.57 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba .D yenye majira- nukta 416328MS, 96811323 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira- nukta 417135MS, 9680188KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 1060 hadi Ibolelo kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 417899MS, 9680172KZ;hadi ulipoanzia” ANGELINE S. MABULA, Dodoma, 17 Machi, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2