SHERIA NDOGO YA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
This section states the bylaw’s title, where it applies, and defines key terms like the Board, Council, health services, card, contribution, Fund, Director, and member.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the bylaw’s title, where it applies, and defines key terms like the Board, Council, health services, card, contribution, Fund, Director, and member. This provision establishes a voluntary Community Health Fund (Tiba kwa Kadi) to help finance health services for members. Mfuko una madhumuni ya kuimarisha huduma za afya katika jamii, kupanga utoaji bora wa huduma, na kutafuta rasilimali fedha kwa ajili hiyo. Bodi ya Huduma ya Afya ya Halmashauri ina wajibu wa kusimamia utoaji wa huduma za afya katika Halmashauri. The council must keep the Fund’s money in a Fund Account, and the account must have the specified signatories.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
Showing 19 of 19
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section states the bylaw’s title, where it applies, and defines key terms like the Board, Council, health services, card, contribution, Fund, Director, and member.
3. SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same ya Mwaka 2020. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Same. isipokuwa kama Katika Sheria Ndogo hizi, itaelezwa vinginevyo- “Bodi” maana yake ni chombo kinachosimamia huduma za afya katika Halmashauri; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Same; “huduma za afya” maana yake ni huduma zote za afya zinazotolewa na hospitali, vituo vya afya, kliniki maalum na zinazomilikiwa na Serikali, Mashirika ya dini, mashirika yasiyo ya Serikali au watu binafsi; zahanati 1 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) “kadi” maana yake ni kadi itakayotolewa kwa mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “mchango” maana yake ni mchango wa fedha wa hiari unaotolewa na mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “Mfuko” maana yake ni Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya y a Same au afisa yeyote kutekeleza atakayeteuliwa majukumu ya Mkurugenzi” “mwanachama” maana yake ni mtu au kaya yeyote inayochangia Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi). SEHEMU YA PILI MAJUKUMU YA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) NA KAMATI YA AFYA YA KATA
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision establishes a voluntary Community Health Fund (Tiba kwa Kadi) to help finance health services for members.
4. Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Kutakuwa na Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) ambao utakuwa ni wa hiari wenye lengo la kugharamia kutoa huduma afya kwa wanachama, za Madhumuni - 5 Verify source ↗
Mfuko utakuwa na madhumuni yafuatayo
AI-assisted research summary: Mfuko una madhumuni ya kuimarisha huduma za afya katika jamii, kupanga utoaji bora wa huduma, na kutafuta rasilimali fedha kwa ajili hiyo.
5. Mfuko utakuwa na madhumuni yafuatayo: (a) (b) (c) jamii kuhakikisha kuimarisha huduma za afya katika jamii kwa inachangia upatikanaji wa huduma za afya na kuwa na nguvu ya kufanya maamuzi kuhusu masuala yanayohusu afya; kuweka mipango endelevu ya utoaji wa huduma bora za afya; na kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa huduma bora za afya. Majukumu ya Bodi ya - 6 Verify source ↗
Bodi ya Huduma ya Afya ya Halmashauri
AI-assisted research summary: Bodi ya Huduma ya Afya ya Halmashauri ina wajibu wa kusimamia utoaji wa huduma za afya katika Halmashauri.
6.- Bodi ya Huduma ya Afya ya Halmashauri 2 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) Huduma za Afya Sura 409 iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Afya ya Jamii itakuwa na wajibu wa kusimamia utoaji wa huduma za afya katika Halmashauri. Akaunti ya Mfuko - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The council must keep the Fund’s money in a Fund Account, and the account must have the specified signatories.
7.- (1) Kutakuwapo ya Mfuko na Akaunti itakayotumiwa na Halmashauri ambamo fedha zote zitakazokusanywa kwa ajili ya Mfuko zitahifadhiwa. (2) Wawekaji wa saini wa Akaunti ya Mfuko watakuwa ni Mwenyekiti wa Bodi au mjumbe wa Bodi mmoja atakayeteuliwa na Bodi kwa upande mmoja na Katibu wa Bodi au mweka hazina wa Halmashauri kwa upande mwingine. Vyanzo vya mapato ya Mfuko - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists the Fund’s income sources.
8. Vyanzo vya mapato ya Mfuko vitakuwa ni- (a) (b) fedha zote zinazotokana na michango ya wanachama; ruzuku kutoka Halmashauri na Serikali Kuu; (c) wahisani mbalimbali toka ndani na nje ya Halmashauri; (d) michango ya watu binafsi wanaoishi ndani na nje ya Halmashauri; (e) ushuru unaotozwa na Halmashauri kutoka vyanzo mbalimbali na kutengwa kwa ajili ya Mfuko; (f) Mchango kutoka Mfuko wa Taifa wa (g) Bima ya Afya; na fedha zozote halali ambazo Mfuko unaweza kupata toka mahali pengine popote. Matumizi ya fedha za Mfuko - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Fedha zinazokusanywa na Mfuko lazima zitumike kwa shughuli za afya zilizoainishwa, na mapato ya tele kwa tele yagawanywe 80% kubaki kwenye akaunti ya Mfuko na 20% kurejea kwenye vituo vya afya.
9. (1) Fedha zitakazokusanywa na Mfuko zitatumika katika- (a) masuala yanayohusu afya yaliyotajwa katika mpango kabambe wa afya wa 3 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) (b) Halmashauri; na suala au shughuli yoyote muhimu ya afya itakayoidhinishwa na Bodi. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), asilimia themanini ya mapato ya tele kwa tele itabaki kwenye akaunti ya Mfuko na asilimia ishirini itarudi kwenye vituo vya afya kwa ajili ya matumizi ya vituo hivyo. Usimamizi wa Mfuko - 10 Verify source ↗
Usimamizi na uendeshaji wa Mfuko utakuwa
AI-assisted research summary: Mfuko utasimamiwa na kuendeshwa kwa ngazi tofauti chini ya Bodi, Kamati ya Maendeleo ya Kata, na Kamati ya Mtaa.
10. Usimamizi na uendeshaji wa Mfuko utakuwa kama ifuatavyo: (a) katika ngazi ya Halmashauri, utakuwa chini ya Bodi; (b) katika ngazi ya Kata, utakuwa chini ya Kamati ya Maendeleo ya Kata kupitia kamati za afya za vituo husika; (c) katika ngazi ya Mtaa, utakuwa chini ya Kamati ya Mtaa kupitia Kamati ya Huduma za Jamii. - 11 Verify source ↗
(1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuwasilisha
AI-assisted research summary: Bodi lazima iwasilishe taarifa za fedha za Mfuko kwa Halmashauri kila robo mwaka, na taarifa ya mwaka ndani ya mwezi mmoja baada ya mwaka wa fedha kumalizika.
11.- (1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuwasilisha taarifa za fedha za Mfuko kwa Halmashauri kila robo mwaka na taarifa ya mwaka itakayowasilishwa mwezi mmoja baada ya kumalizika kwa mwaka wa fedha. (2) Hesabu za fedha za Mfuko zitakaguliwa kila mwaka kwa kuzingatia taratibu za ukaguzi wa fedha za umma. - 12 Verify source ↗
Mipango ya makadirio ya mapato na matumizi ya
AI-assisted research summary: The Fund’s income and expenditure estimates must be approved by the Board before they are submitted to the Council.
12.- Mipango ya makadirio ya mapato na matumizi ya na Mfuko kuidhinishwa na Bodi kabla ya kuwasilishwa katika Halmashauri kwa kuzingatia ratiba ya vikao vya bajeti vya Halmashauri. kuchambuliwa itaandaliwa, Taarifa ya fedha na ukaguzi Mipango Mratibu wa Mfuko - 13 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Mratibu wa Mfuko wa Afya ya
AI-assisted research summary: Mkurugenzi lazima ateue Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii wa Halmashauri baada ya kushauriana na timu ya uendeshaji na Halmashauri; Mratibu ana majukumu ya kusimamia, kuratibu, kutoa taarifa na kuhudhuria vikao vya Bodi.
13.- (1) Kutakuwa na Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) wa Halmashauri atakayeteuliwa na Mkurugenzi baada ya timu ya uendeshaji ya kushauriwa na 4 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) Halmashauri. (2) Mratibu wa Mfuko atakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kufuatilia, kusimamia na kuratibu uendeshaji wa Mfuko kwenye vituo vya kutolea huduma za afya; (b) kuwa kiungo kati ya Halmashauri, jamii na wadau mbalimbali; (c) kuandaa taarifa za Mfuko za robo na za mwaka pamoja na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkurugenzi; na (d) kuhudhuria vikao vyote vya Bodi na kutoa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Mfuko. Majukumu ya Kamati ya Afya ya Kata Sura 409 - 14 Verify source ↗
Kamati ya Afya ya Kata iliyoundwa kwa mujibu
AI-assisted research summary: Kamati ya Afya ya Kata lazima itekeleze majukumu yake ya kuhamasisha jamii, kusimamia michango, kuratibu viwango vya uchangiaji, na kuratibu mikutano ya wanachama wa Mfuko.
14. Kamati ya Afya ya Kata iliyoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Afya ya Jamii itakuwa na majukumu yafuatayo (a) kuhamasisha na kuandaa jamii kujiunga na Mfuko; (b) kuandaa orodha ya wanachama wa ya kufuatilia idadi Mfuko na wanachama; (c) kusimamia ukusanyaji wa michango ya Mfuko; (d) kuratibu viwango vya uchangiaji wa Mfuko; (e) kupitia utendaji wa Mfuko na kutoa mapendekezo ya kuimarisha utendaji kwa Halmashauri kupitia Bodi; (f) kubuni na kuratibu mipango ya afya ya jamii; na (g) kuratibu mikutano ya wanachama wa Mfuko katika eneo la Kata. Wajumbe wa Kamati ya Afya ya Kata - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Kamati ya Afya ya Kata lazima iwe na wajumbe waliotajwa, ikiwemo diwani, afisa mtendaji, mwalimu mkuu, wawakilishi wawili wa jamii (mmoja akiwa mwanamke), tabibu mfawidhi au msaidizi wake, na wajumbe wawili wa Kamati ya Maendeleo ya Kata.
15. (1) Kamati ya Afya ya Kata itakuwa na wajumbe wafuatao- (a) diwani anayewakilisha kata husika; (b) afisa mtendaji wa kata; 5 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) (c) mwalimu mkuu mmoja kutoka kwenye Shule ya Msingi ambayo ipo kwenye Kata husika; (d) wajumbe wawili watakaowakilisha jamii husika ambapo mmoja wao ni lazima awe mwanamke; (e) Tabibu mfawidhi au tabibu mfawidhi msaidizi; wa kituo cha afya au zahanati, ambaye atakuwa katibu wa Kamati; (f) mjumbe mmoja atakayeteuliwa na Kamati ya Maendeleo ya Kata kutokana na watu waliopendekezwa na Kamati za Kata husika; na (g) mjumbe mmoja atakayeteuliwa na Kamati ya Maendeleo ya Kata kutoka kwenye vyama vya kijamii kutoka kwenye Kata husika. (2) Mwenyekiti wa Kamati ya Afya ya Kata kutoka miongoni mwa atachaguliwa wajumbe lakini asiwe diwani,Mtendaji wa Kata au mtendaji wa Mtaa. SEHEMU YA TATU UANACHAMA WA MFUKO Uanachama wa Mfuko
Part
SEHEMU YA TATU
- 15 Verify source ↗
(1) Mtu au kaya yoyote
AI-assisted research summary: Whoever wants to become a member of the Community Health Fund must pay an annual membership contribution of TZS 30,000. The council must pay the membership fee for eligible poor households recommended by the Ward Health Committee and approved by the Board. Paid members must be given membership cards, and the council may change the contribution amount after notifying the member.
15.- (1) Mtu au kaya yoyote itakayotaka kuwa mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) itatakiwa kulipa kila mwaka mchango wa uanachama wa shilingi elfu thelathini. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri itakuwa na wajibu wa kulipa ada ya uanachama wa Mfuko wa kaya masikini husika kupendekezwa na Kamati ya Afya ya Kata na kuidhinishwa na Bodi. baada kaya ya (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1) na (2), kila mtu au kaya iliyolipia mchango wa uanachama itapewa kadi za 6 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) uanachama. (4) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri kubadilisha kiwango cha mchango wa uanachama wa Mfuko, baada ya kutoa taarifa kwa mwanachama. inaweza - 16 Verify source ↗
Mtu au kaya itakoma kuwa mwanachama wa
AI-assisted research summary: Mtu au kaya hupoteza uanachama wa Mfuko ikiwa haitalipa mchango wa uanachama ndani ya siku 60 baada ya kumalizika kwa kipindi cha mwaka mmoja kilicholipiwa.
16. Mtu au kaya itakoma kuwa mwanachama wa Mfuko endapo itashindwa kulipa mchango wa uanachama ndani ya muda wa siku sitini tangu kumalizika kwa kipindi cha mwaka mmoja kilicholipiwa mchango. Ukomo wa uanachama Haki za mwanachama - 17 Verify source ↗
Kila mwanachama atakuwa na haki ya
AI-assisted research summary: Kila mwanachama ana haki ya kupata huduma ya afya aliyoilipia, kutoa mapendekezo kuhusu huduma za afya, na kushirikishwa kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mpango wa upatikanaji wa huduma za afya katika eneo la Halmashauri.
17. Kila mwanachama atakuwa na haki ya- (a) kupata huduma ya afya aliyolipia kabla la lolote ya Halmashauri au eneo kadri itakavyokubaliwa; ya lingine kuugua ndani eneo (b) kutoa mapendekezo kuhusu huduma za afya kupitia Kamati ya Afya ya Kata ambayo yatafanyiwa kazi na Bodi; na (c) kushirikishwa kikamilifu katika uandaaji na utekelezaji wa mpango wa upatikanaji wa huduma za afya katika eneo la Halmashauri. Malipo ya papo kwa papo - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: Watu wasiokuwa wanachama wa Mfuko au wa mfuko mwingine lazima walipe ada ya papo kwa papo wanapopata matibabu katika kituo cha afya.
18. SEHEMU YA NNE MASUALA MENGINEYO (1) Mtu yeyote ambaye hatakuwa mwanachama wa Mfuko au mwanachama wa mfuko mwingine atalipa malipo ya papo kwa papo kila atakapoenda kupata matibabu katika kituo cha kutolea huduma za afya kwa viwango vifuatavyo: (a) shilingi elfu mbili kwa huduma za afya zinazotolea katika zahanati katika eneo 7 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) lolote la Halmashauri; (b) shilingi elfu tatu kwa huduma za afya afya cha zinazotolewa na kituo kilichopo ndani ya Halmashauri; (c) kiasi kitakachopangwa kwa mujibu wa na miongozo Sera itakayotolewa kwa huduma za afya zinazotolewa na hospitali. ya Afya Utaratibu wa msamaha
Part
SEHEMU YA NNE
- 19 Verify source ↗
Msamaha kwa wasioweza kulipia gharama za
AI-assisted research summary: Halmashauri must pay medical fee exemptions for people who cannot afford treatment, after the local committee, ward committee, and board complete the listed review and forwarding steps.
19. Msamaha kwa wasioweza kulipia gharama za matibabu utatolewa na kulipiwa na Halmashauri baada ya- (a) Kamati ya Mtaa au Halmashauri ya Kijiji kuwatambua, kuwajadili na kuwasilisha mapendekezo ya orodha ya majina ya watu wanaostahili kupewa msamaha ya Maendeleo ya Kata; kwenye Kamati (b) Kamati ya Maendeleo ya Kata kuwajadili wale wasioweza kulipia gharama na kuthibitisha orodha yao na kuiwasilisha kwenye Bodi; na (c) Bodi kujadili mapendekezo husika na kuyawasilisha pamoja na gharama zake kwa Halmashauri kwa ajili ya kulipiwa. Kamati za Afya za Zahanati - 20 Verify source ↗
Kamati ya Afya ya Zahanati na Kamati zote
AI-assisted research summary: Kamati ya Afya ya Zahanati na kamati zote zinapaswa kufanya kazi na Mfuko huu kwa kuzingatia Sheria Ndogo hii.
20. Kamati ya Afya ya Zahanati na Kamati zote ziliundwa chini ya Hati Rasmi ya Uanzishaji wa Bodi, zitafanya kazi na Mfuko huu kwa kuzingatia Sheria Ndogo hii. 8 Sheria Ndogo ya Uanzishaji Wa Mfuko Wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 381 (Linaendelea.) Mhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Same umebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa Azimio lililopitishwa na mkutano wa baraza la Madiwani ulioitishwa tarehe 15/3/2018. ANNA CLAIRE SHIJA Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya, Same CHRISTOPHER M. IRIRA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya, Same NAKUBALI, L.S Dodoma, 16 Aprili, 2020 SELEMANI S. JAFO (MB.), WN OR-TAMISEMI Dodoma 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in