SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
This section gives the by-law’s title and then begins the definitions section.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-law’s title and then begins the definitions section. This section defines key terms used in the bylaw, including fee, council, permit, construction minerals, and the Director. Mtu, taasisi au kampuni inayotaka kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi ndani ya Halmashauri lazima iombe kibali kwa fomu maalum na iambatishe nyaraka fulani. Mwenye kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi lazima alipe ada ya kibali kila mwaka, azingatie masharti ya sheria ndogo na kibali chake, na alipe ushuru au tozo zinazotozwa na Halmashauri. Uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri hufanyika kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni kila siku, isipokuwa Mkurugenzi akitoa kibali maalum. Pia, mwenye gari linalosafirisha madini hayo lazima ahakikishe gari limefumikwa wakati wote wa usafirishaji.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section gives the by-law’s title and then begins the definitions section.
1. Sheria Ndogo hii itaitwa Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same ya Mwaka 2020. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa itakapoelezwa
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fee, council, permit, construction minerals, and the Director.
2. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa itakapoelezwa vinginevyo; “ada” maana yake ni malipo yatakayolipwa na mtu yeyote kwa Halmashauri kwa ajili ya kupata kibali kinachotolewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Same; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa, gypum,bauxite, jasi na magnesite; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same na ni pamoja na 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) Maombi ya kibali - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Mtu, taasisi au kampuni inayotaka kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi ndani ya Halmashauri lazima iombe kibali kwa fomu maalum na iambatishe nyaraka fulani.
3.- Afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu kwa niaba ya Mkurugenzi; tozo inayotozwa na “ushuru” maana yake ni Halmashauri kwa shughuli zinazohusu ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni au asasi iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya ushuru wa madini ya ujenzi kwa niaba yake. (1) Mtu, taasisi au kampuni inayokusudia kuanzisha machimbo ya madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri itatakiwa kuwasilisha maombi ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi kwa kupitia itakayotolewa na Halmashauri. fomu maalum (2) Maombi ya kibali yatatakiwa kuambatishwa na taarifa zifuatazo: (a) leseni ya uchimbaji wa madini iliyotolewa na mamlaka husika (b) aina ya madini yanayokusudiwa kuchimbwa; (c) umiliki pamoja na ukubwa wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi; (d) mpango wa utunzaji wa mazingira katika eneo la machimbo; na (e) muhtasari wa kijiji ambacho uchimbaji wa madini ya ujenzi utafanyika ukionyesha kukubaliana na uchimbaji huo. (2) Halmashauri, ndani ya muda wa siku saba tangu kupokea maombi, itatakiwa kukagua eneo ambalo uchimbaji wa madini ya ujenzi unakusudiwa kufanyika ili kujiridhisha iwapo eneo hilo linafaa kwa shughuli za uchimbaji wa madini ya ujenzi. (3) Halmashauri, ndani ya muda wa siku saba tangu kukamilika kwa ukaguzi wa eneo linaloombewa 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) kibali itatakiwa kukubali au kukataa maombi hayo na endapo itakataa itatoa sababu za kukataa maombi hayo. Wajibu wa mpewa kibali - 4 Verify source ↗
Mtu,
AI-assisted research summary: Mwenye kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi lazima alipe ada ya kibali kila mwaka, azingatie masharti ya sheria ndogo na kibali chake, na alipe ushuru au tozo zinazotozwa na Halmashauri.
4. Mtu, taasisi au kampuni iliyopewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi itatakiwa: (a) kulipa ada ya kibali iliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii ambayo italipwa kila mwaka ambao shughuli ya uchimbaji wa madini ya ujenzi itakuwa ikifanyika; (b) kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo hii na masharti ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi; na (c) kulipa ushuru na tozo mbalimbali zitakazotozwa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii au Sheria Ndogo na Halmashauri. iliyotungwa nyingine
Part
Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri hufanyika kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni kila siku, isipokuwa Mkurugenzi akitoa kibali maalum. Pia, mwenye gari linalosafirisha madini hayo lazima ahakikishe gari limefumikwa wakati wote wa usafirishaji.
5.- Muda wa uchimbaji na masharti ya usafirishaji (1) Shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi katika eneo la Halmashauri zitafanyika kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni ya kila siku. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Mkurugenzi anaweza kutoa kibali maalum kuruhusu shughuli za uchimbaji, uuzaji na ununuzi wa madini ya ujenzi kufanyika nje ya muda ulioainishwa katika kifungu kidogo cha (1). (3) Kila mmiliki wa gari linalosafirisha madini ya ujenzi atatakiwa kuhakikisha kuwa gari hilo limefumikwa wakati wote wa usafirishaji wa madini ya ujenzi. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) Ushuru wa madini ya ujenzi - 6 Verify source ↗
Kutakuwa na ushuru wa madini ya ujenzi ambao
AI-assisted research summary: Mnunuzi au msafirishaji wa madini ya ujenzi analipa ushuru wa madini ya ujenzi kwa viwango vilivyo katika Jedwali la Pili.
6.- Kutakuwa na ushuru wa madini ya ujenzi ambao utalipwa na mnunuzi au msafirishaji wa madini ya ujenzi kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. Vituo vya ukaguzi - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Madereva wa magari au vyombo vinavyobeba madini ya ujenzi lazima wasimame kwenye kituo cha ukaguzi na kuonyesha stakabadhi ya ushuru uliolipwa.
7.- (1) Kutakuwa na vituo vya ukaguzi wa malipo ya ushuru wa madini ya ujenzi katika njia zinazoingia au kutoka katika maeneo ya machimbo ya madini ya ujenzi. (2) Kila dereva wa gari au chombo chochote cha usafiri kilichobeba madini ya ujenzi atatakiwa kusimama katika kituo cha ukaguzi wa malipo ya ushuru wa madini ya ujenzi na kuonyesha kuthibitisha stakabadhi kulipwa kwa ushuru wa madini ya ujenzi yaliyo katika usafiri anachoendesha. kielektroniki chombo gari cha ya au Matumizi ya stakabadhi ya kielektroniki - 8 Verify source ↗
Halmashauri au Wakala atatakiwa kutoza ushuru kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri au Wakala atatakiwa kutoza ushuru kwa kutumia mashine za kadri kielektroniki.
8. Halmashauri au Wakala atatakiwa kutoza ushuru kwa itakavyokuwa kwa kutumia mashine za kadri kielektroniki. Kufutwa au kusimamishwa kwa kibali - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The Director may cancel or suspend a building materials mining permit if there is a breach of the by-laws or permit conditions.
9.- (1) Mkurugenzi anaweza kufuta au kusimamisha kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi endapo atajiridhisha kuwa kuna ukiukwaji wa masharti ya Sheria Ndogo hii au masharti ya kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), Mkurugenzi au kabla kusimamisha kibali atatakiwa kutoa notisi ya taasisi au kampuni siku saba kwa mtu, iliyopewa la kufuta au kusimamisha kibali. ilani ya kusudio kufuta ya (3) Notisi itakayotolewa kwa mujibu wa kifungu 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) kidogo cha (2) itaainisha sababu za kusudio la kufuta au kusimamisha kibali husika. (4) Endapo kibali kitafutwa au kusimamishwa, mtu, taasisi au kampuni iliyopewa kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi itakoma kuchimba madini hayo. Wakala - 10 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kuteua mtu, kikundi cha watu,
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua watu au mashirika kukusanya ushuru kwa niaba yake.
10. Halmashauri inaweza kuteua mtu, kikundi cha watu, taasisi au kampuni kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri. Makosa na adhabu - 11 Verify source ↗
Mtu yeyote ambaye
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayefanya vitendo vilivyoorodheshwa kuhusu madini ya ujenzi anatenda kosa na anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote viwili.
11. Mtu yeyote ambaye: (a) ataanzisha machimbo ya madini ya ujenzi bila kuwa na kibali kilichotolewa chini ya Sheria Ndogo hii; (b) atasafirisha madini ya ujenzi bila kulipa ushuru; (c) atachimba madini ya ujenzi kabla au baada ya muda ulioruhusiwa kuchimba; (d) atasafirisha madini ya ujenzi katika gari ambalo halijafunikwa; au (e) atamshawishi mtu au kundi la watu kutolipa ushuru, atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua shilingi laki Mbili na isiyozidi au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo shilingi milioni moja Kufifilisha kosa - 12 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumaliza kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 hadi 500,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari, anajaza fomu maalum ya Jedwali la Tatu, na yuko tayari kutimiza wajibu wake.
12. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yoyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichopungua shilingi laki mbili (200,000/=) na kisichozidi shilingi laki laki tano (500,000/=) iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii na kuwa 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) tayari kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 13 Verify source ↗
Sheria Ndogo za Ushuru wa Madini ya Ujenzi za
AI-assisted research summary: This provision repeals two Same District Council bylaws on construction-minerals tax/fees from 2011 and 2020.
13. Sheria Ndogo za Ushuru wa Madini ya Ujenzi za Halmashauri ya Wilaya ya Same, 2011 na Sheria Ndogo za Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same, 2020 zimefutwa. Kufutwa kwa Tangalo la Serikali Na. 97 la tarehe 11/03/2011 na Tangazo la Serikali Na. 382 la tarehe 15/5/2020 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya Kifungu cha 4(a)) ADA YA KIBALI CHA UCHIMBAJI WA MADINI YA UJENZI NA AINA YA MADINI KIWANGO (TSH.)
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Construction minerals are charged 50,000/= per permit.
1. Madini yote ya ujenzi 50,000/= kwa kila kibali JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya Kifungu cha 6) USHURU WA MADINI YA UJENZI NA AINA YA MADINI
Part
JEDWALI LA PILI
- 11 Verify source ↗
Magnesite
AI-assisted research summary: Section 11 sets per-ton charges for listed construction minerals, mostly at TSh 1,000 per ton, with bauxite at TSh 1,500 per ton.
11. Magnesite Tarazo Mawe Moramu Kokoto Udongo Kifusi Mchanga Jasi Gypsum Bauxite KIWANGO (TSH.) 1,000/= kwa tani 1,000/= Kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/= kwa tani 1,000/=kwa tani 1,500/= kwa tani 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) JEDWALI LA TATU (Limetengenezwa chini ya Kifungu cha 12) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi………………………………………………………………….nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya…………………………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya SAME kwamba Tarehe……ya Mwezi……………..Mwaka ………….nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha ………………………cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same ya Mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri nipo tayari kulipa kiasi cha shilingi …………………………………………………………………….na kutimiza wajibu wangu kwa mujibu wa Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo Tarehe…………………ya Mwezi…………………Mwaka……………………….. Jina………………………………….. Saini…………………………………. Mbele ya: Jina……………………………………….. Cheo……………………………………… Saini……………………………………… 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru wa Madini ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same Tangazo la Serikali Na. 460 (Linaendelea) Muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Same umebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa Azimio lililopitishwa na mkutano wa baraza la Madiwani ulioitishwa tarehe 15/5/2018. ANNA CLAIRE SHIJA, Mkurugenzi, Halmashauri ya Wilaya, Same CHRISTOPHER M. IRIRA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Same L.S NAKUBALI, Dodoma, 16 Aprili, 2020 SELEMANI S. JAFO (MB), Waziri Wa Nchi –OR-Tamisemi. 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU WA MADINI YA UJENZI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in