AI-assisted research summary: Anyone who goes against section 11 of these bylaws commits an offence and, if convicted, may face a fine, imprisonment, or both.
12. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya kifungu cha 11 cha Sheria Ndogo hizi, atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia faini isiyopungua shilling laki mbili (200,000/=) na shillingi millioni moja (1,000,000/=) au kifungo kisichopungua miezi kumi mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja. atatozwa isiyozidi 4 Sheria Ndogo Za ( Ada Za Vibali vya Burudani) Za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo la Serikali Na. 529 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Limetungwa chini ya kifungu cha 4 (1)) Ada ya kusajili kikundi cha sanaa na muziki Tsh 30,000/= kwa mwaka SEHEMU “A” SEHEMU “B” KIBALI CHA DISKO KWA SIKU MOJA kikundi cha ndani ya Halmashauri ya Wilaya Tsh 30,000/= kikundi cha nje ya Halmashauri ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Tsh 50,000/= kikundi cha nje ya Mkoa Tsh 80,000/= SEHEMU ‘C” KIBALI CHA KUPIGA DANSI SIKU MOJA kikundi cha ndani ya Halmashauri ya Wilaya Tsh 30,000/= kikundi cha nje ya Halmashauri ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Tsh 50,000/= kikundi cha nje ya Mkoa Tsh 80,000/= i. ii. iii. i. ii. iii. SEHEMU “D” KIBALI CHA KUONESHA SANAA ZA MAONYESHO (semina, video, maigizo,sarakasi, ngumi, ngoma , kunyanyua vyuma, n.k) i. ada ya video au sinema kwa mwaka (a) ukumbi usiozidi watu 350 ada ni Tshs 300,000/= (b) ukumbi unaochukua watu 351-550 ada ni Tshs 500,000/= (c) ukumbi unaochukua watu 551-750 ada ni Tshs 700,000/= (d) ukumbi unaochukua watu 751 na kuendelea ada ni Tshs 1,000,000/= kikundi cha ndani ya wilaya Tshs 50,000/= kwa siku kikundi toka nje ya Halmashauri ya Halmashauri ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Tsh 60,000/= kwa siku. ii. iii. SEHEMU “E” kibali cha kuuza dawa za asili Tsh 50,000/= kwa mwaka SEHEMU “F” KIBALI CHA KUENDESHA TIBA ZA ASILI NDANI YA ENEO LA HALMASHAURI YA WILAYA i. ii. iii. Toka nje ya Halmashauri ya wilaya Tsh 50,000/= kwa mwaka Waganga maarufu ndani ya Halmashauri ya Wilaya Tsh 100,000/= kwa mwaka Waganga wadogo ndani ya Halmashauri ya Wilaya Tsh 50,000/= 5 Sheria Ndogo Za ( Ada Za Vibali vya Burudani) Za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo la Serikali Na. 529 (Linaendelea.) SEHEMU “G” ADA KWA AJILI YA KUZURU SEHEMU ZA KIHISTORIA KWA MTU MMOJA Muhusika Mtu mzima Wanafunzi wa shule za msingi Raia TSh Asiye raia USD 2,000/= Bure USD 5 USD 2 Taasisi 25,000/= USD 10 SEHEMU “H” Ada kwaajili ya kumbi za starehe katika maeneo ya mjini kwaajili ya shughuli za maonyesho,starehe,(social clubs and halls), viwanja vya michezo,(stadium)ambavyo hutumika kwa kutoza viingilio kila mwaka itazingatia SEHEMU “D” kipengere cha (i) KIBALI CHA KUNASA NYIMBO ZA ASILI, UPIGAJI PICHA VITU NA VIKUNDI VINAVYO JISHUGHULISHA NA FANI ZA KITAMADUNI KWA MARA MOJA SEHEMU “I” Raia TSh 300,000/= Asiye raia USD USD 200 SEHEMU “J” Kibali cha kuendesha mashine za michezo ya kubahatisha kwa mwaka Tsh 120,000/= kwa mashine moja iliyosajiliwa na Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu ya Taifa na kupewa kibali. SEHEMU “K” Kibali cha kuchezesha michezo ya mipira ya miguu kwa kutoza viingilio kwenye viwanja vya michezo (stadium) kokote kule ndani ya eneo la Halmashauri ya Wilaya itakuwa Tsh 50,000/= kwa timu za ndani ya Halmashauri ya Wilaya na Tsh 100,000/= kwa timu zitakazo toka nje ya Halmashauri ya Wilaya na Mkoa. SEHEMU “L” Kibali cha kuendesha shughuli zozote za mikutano ya kidini nje ya maeneo ya makanisa au misikiti bure (lakini lazima kibali kitolewe) SEHEMU “M” 6 Sheria Ndogo Za ( Ada Za Vibali vya Burudani) Za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo la Serikali Na. 529 (Linaendelea.) Kibali cha kuendesha shughuli zozote za kiutamaduni ambazo hazikutajwa hapo juu ni Tsh 25,000/= SEHEMU “N” Kibali cha kuendesha michezo ya mashindano ya magari, pikipiki ndani ya Halmashauri ya Wilaya itakuwa ,kila gari litalipiwa shilingi 20,000/= na kila pikipiki italipiwa shilingi 15,000/= kwa siku. 7 Sheria Ndogo Za ( Ada Za Vibali vya Burudani) Za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo la Serikali Na. 529 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI HATI YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA (Chini ya kifungu cha 10) Mimi ………………………………………………………………..……..nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, kwamba mnamo tarehe ………………ya Mwezi …………….Mwaka……………………………………nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………………cha Sheria Ndogo ya (Ada za Burudani) za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi za Mwaka 2020. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha ada/ ushuru ninachodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………..ya Mwezi………………..Mwaka ………………… Jina……………………………………………………….. Saini……………………………………….…………. Mbele ya : Jina: …………………………………………… Cheo: ………………………………………… Saini: …………………………………………… 8 Sheria Ndogo Za ( Ada Za Vibali vya Burudani) Za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Tangazo la Serikali Na. 529 (Linaendelea.) Mhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi umebandikwa katika Sheria Ndogo hizi kwa Azimio la kikao cha Halmashauri kilichoitishwa na kufanyika tarehe 29/2/2019, na ilifanyika mbele ya:- KASTORI G. MSIGALA, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Moshi MHE. MICHAEL S. KILAWILA, Mwenyika, Halmashauri ya Wilaya, Moshi NAKUBALI, L.S Dodoma, MHE. SELEMANI S JAFO (MB.), 27 Desemba, 2019 Waziri-OR-Tamisemi 9