SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU (MAREKEBISHO) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA YA MWAKA 2020
This provision names the bylaw amendment and says it must be read together with the 2018 Muleba fees and charges bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU (MAREKEBISHO) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA YA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision names the bylaw amendment and says it must be read together with the 2018 Muleba fees and charges bylaw. Jedwali hili linaweka viwango vya ushuru na ada zinazohusu mifugo, usafirishaji wa mifugo na mazao yake, pamoja na machinjio na ukaguzi wa nyama. The text lists annual and daily fees for a traditional healer permit, an entertainment permit, and parking/transport charges for several vehicle types. This section is titled “Section VIII: Tax in markets and fairs.” The section lists daily levy amounts for different business types, including clothing and second-hand goods, shoes, alcohol, and grilled meat sales.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU (MAREKEBISHO) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA YA MWAKA 2020
Showing 20 of 20
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision names the bylaw amendment and says it must be read together with the 2018 Muleba fees and charges bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) (Marekebisho) ya Halmashauri Wilaya ya Muleba ya Mwaka 2020 na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya (Ada na Ushuru) ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba ya Mwaka 2018 ambayo katika Sheria Ndogo hii itajulikana kama “Sheria Ndogo kuu” Sheria Ndogo kuu inafanyiwa marekebisho kwa kufuta Jedwali la kwanza na kuliandika upya kama ifuatavyo- - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Jedwali hili linaweka viwango vya ushuru na ada zinazohusu mifugo, usafirishaji wa mifugo na mazao yake, pamoja na machinjio na ukaguzi wa nyama.
2. Kufutwa na kuwekwa upya kwa Jedwali la Kwanza 1 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba ___________________ JEDWALI LA KWANZA _____________________ (limetengenezwa chini ya kifungu cha 4(1) (a) cha sheria ndogo kuu) Aina ya Mfugo ng’ombe mbuzi au kondoo nguruwe kuku au kanga au bata SEHEMU YA I USHURU WA MIFUGO (MNADANI) Kiwango. shilingi 4000/= kwa kila mmoja aliyenunuliwa shilingi 1000/= kwa kila mmoja aliyenunuliwa shilingi 1000/= kwa kila mmoja aliyenunuliwa shilingi 2000/= kuanzia Kuku au kanga 5-50 na kuanzia bata 51 na kuendelea Tsh. 5,000/= SEHEMU YA II USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NJE YA WILAYA Aina ya Mfugo ng’ombe mbuzi au kondoo nguruwe kuku au kanga au bata Kiwango shilingi 4000/= kwa kila ng’ombe mmoja shilingi 1000/= kwa kila mbuzi au kondoo mmoja shilingi 1000/= kwa kila nguruwe mmoja shilingi2000/= kuanzia kundi la kuku au kanga au bata 5-50 na kuanzia 51 na kuendelea 5000/ (i) (ii) (iii) (iv) (i) (ii) (iii) (iv) SEHEMU YA III USHURU WA KUSAFIRISHA MAZAO YA MIFUGO NJE YA WILAYA (i) Aina ya Mfugo au zao ngozi ya ng’ombe (ii) ngozi au mbuzi au kondoo (iii) (iv) mayai samli (v) pembe au mifupa (vi) (vii) maziwa nyama Kiwango. kuanzia kipande 1-100 Shilingi 10,000/= na vipande 101 na kuendelea ni Shilingi 20,000/= kuanzia kipande 1-100 Shilingi 5,000/= kuanzia vipande 101 na kuendelea ni Shilingi 10,000/= shilingi 500/= kwa kila Trei kuanzia lita 1-20 shilingi 2000 kuanzia lita 21 na kuendelea tsh 5000/ kuanzia kg 1-100 shilingi 5000/= na kuanzia kg 101 na kuendelea shilingi10,000/- shilingi 1000/= kwa lita 20 shilingi 200/- kwa kilogramu 2 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba SEHEMU YA IV USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA Aina ya mfugo Ushuru wa machinjio (Tsh) Ada ya ukaguzi wa nyama ng’ombe au punda mbuzi au kondoo nguruwe 5,000/= kila punda au ng’ombe 2,500/= kila Mbuzi au Kondoo 3,000/= kila nguruwe aliyechinjwa (Tshs.) 2,500/= kila punda au ng’ombe aliyekaguliwa 1,500/= kila Mbuzi au Kondoo aliyekaguliwa 2,000/= kila nguruwe aliyekaguliwa Na. 1 2 3 SEHEMU YA V ADA KWA WATOAJI HUDUMA YA TIBA ASILIA NA WAUZAJI WA DAWA ZA JADI Na.
Part
SEHEMU YA V
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists annual and daily fees for a traditional healer permit, an entertainment permit, and parking/transport charges for several vehicle types.
1. Kibali kwa Mtoa Huduma Waganga wa Jadi Ada kwa Mwaka (Tsh.) 50,000/= SEHEMU VI ADA YA KIBALI CHA BURUDANI Burudani Muziki au Sanaa za Maonyesho, ngumi, mazingaombwe n.k Ada kwa Siku (Tsh.) 25,000/= SEHEMU YA VII USHURU MAEGESHO NA HUDUMA ZA USAFIRISHAJI Aina ya biashara gari au basi kubwa magari madogo (Hiace) Taxi Pikipiki Magari binafsi yasiyo ya biashara Gari dogo la mizigo (lori au pick-up chini ya tani 7) Gari kubwa la mizigo zaidi ya tani 7 Maegesho ya magari makubwa ya mizigo na mafuta Ushuru kwa siku (Tsh.) 5,000/=kwa siku 1000/= kila linapotoka stendi 1,000/= kwa siku 200/= kwa siku 500/= kila linapotoka stendi 2,000/= kila linapotoka stendi 2,500/= kila linapotoka stendi 4,000/= kila gari. Na.
Part
SEHEMU YA VII
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section is titled “Section VIII: Tax in markets and fairs.”
8. SEHEMU YA VIII USHURU KATIKA MASOKO NA MAGULIO Na.
Part
SEHEMU YA VIII
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The section lists daily levy amounts for different business types, including clothing and second-hand goods, shoes, alcohol, and grilled meat sales.
5. Aina ya Biashara Biashara ya nguo na mitumba Biashara ya nguo za madukani Biashara ya viatu vya mitumba Biashara ya vileo Biashara ya kuuza nyama choma 3 Ushuru kwa siku (Tsh.) 1,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 2,000/= Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha ushuru wa kila siku unaotumika kwa aina mbalimbali za magari na bidhaa zinazoingia au kushughulikiwa sokoni.
7. Michezo mbalimbali katika soko Biashara za bidhaa za urembo Biashara ya vyombo vya ndani Biahara ya samani mbalimbali Biashara nyingine Meza za nafaka na samaki wabichi Wauza kuku vibandani 2,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= SEHEMU YA IX USHURU WA KUPAKIA NA KUPAKUA MIZIGO Ushuru kwa siku (Tsh.) Aina ya Gari 10,000/= kwa siku loli lenye ndizi na mazao ya nafaka 15,000/= kwa siku Gari lenye bidhaa za viwandani tani 1-4 Gari lenye bidhaa za viwandani tani 5-9 20,000/= kwa siku Gari la mafuta ya taa dizeli au petrol chini ya tani 10 25,000/= kwa siku Gari la mafuta ya taa dizeli au petrol chini ya tani 10 30,000/= kwa siku 30,000/= kwa siku Gari la gesi na bidhaa nyingine za mlipuko 1,000/= kwa siku Robota la mitumba SEHEMU YA X USHURU MAZAO Na.
Part
SEHEMU YA X
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: A table entry states a 3% amount based on the purchase price for food crops and agricultural crops.
2. aina ya zao Mazao ya chakula Mazao ya kilimo kiwango (Tsh.) 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia SEHEMU YA XI USHURU WA MADINI YA UJENZI Na.
Part
SEHEMU YA XI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kuhusu maombi ya kibali cha kumiliki eneo la kuchimba madini ya ujenzi.
1. Bidhaa Maombi ya kibali cha kumiliki eneo la kuchimba madini ya ujenzi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees and taxes for minerals, taxi and goods-vehicle registration, and health inspections, with amounts set in Tanzanian shillings.
2. Ushuru kwa madini yafuatavyo:- (a) Tarazo (b) Mawe (c) Moramu (d) Kokoto (e) Udongo au kifusi (f) Mchanga (g) Madini mengine Kiwango (Tsh.) 50,000/= kwa kila kibali kwa eneo lenye 40,000sq m 300,000/= kwa kila kibali kwa eneo linalozidi 40,000sq m 1,500/= kwa tani 1,500/= kwa tani 1,500/= kwa tani 2000/= kwa tani 1000/= kwa tani 1000/= kwa tani 1000/= kwa tani 4 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba SEHEMU YA XII ADA YA USAJILI WA TAKSI NA MAGARI YA MIZIGO aina ya gari Taksi Magari ya mizigo kiwango (Tsh.) 50,000/= kwa mwaka 30,000/= chini ya tani moja na 1 kwa mwaka 40,000/= zaidi ya tani moja na 1 kwa mwaka SEHEMU YA XIII ADA YA UKAGUZI WA KIAFYA aina Nyumba za starehe (baa, vitabu vya pombe za kienyeji na nyumba ya kulala wageni Maduka ya bidhaa Nyumba za kutengeneza na kuuziwa vyakula na nyama choma Ukaguzi kwa maombi ya kufungua biashara Ukaguzi kwa maombi ya kufungwa biashara baada ya ukaguzi ili kufunguliwa upya Ukaguzi wa viwanda vikubwa Ukaguzi wa viwanda vya kati Ukaguzi wa viwanda vidogo Ukaguzi wa wahudumu wa vyakula kiwango (Tsh.) 5,000/= kila baada ya miezi sita 5,000/= kila baada ya miezi sita 5,000/= kila baada ya miezi sita 10,000/= 25,000/= 150,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka 5000/= kila baada ya miezi sita Na.
Part
SEHEMU YA XIII
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This text appears to be a section heading for commercial passenger boat parking tax.
8. 9 SEHEMU YA XIV USHURU WA MAEGESHO YA BOTI ZA BIASHARA YA ABIRIA Na.
Part
SEHEMU YA XIV
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists daily fees for boats or canoes based on how many people they can carry.
3. Kiwango (Tsh.) Aina Shilingi 3000/= kwa siku Boti au mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 1-10 Boti au mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 11-20 Shilingi 5,000/= kwa siku Shilingi 10,000/= kwa siku Boti au mtumbwi wenye uwezo wa kubeba watu 21 na kuendelea - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists local fees and charges for boat trips, fishing-related applications and licenses, storage, fish products, public toilets, and a brick-making permit.
9. Boti au mtumbwi kutoka kisiwa cha Mazinga (Mulumo au Kimoyomoyo) kwenda Katunguru Shilingi 4,000/= kwa siku Boti au mtumbwi kutoka kisiwa Mazinga (Mulumo au Kimoyomoyo) kwenda Muganza Shilingi 4,000/= kwa siku Boti au mtumbwi kutoka kisiwa Mazinga kwenda Magarini Boti au mtumbwi kutoka kisiwa Magarini kwenda Kasenyi Mitumbwi midogo kutoka Mazinga, Katunguru, Rushonga (Bumbire) na Magarini Shilingi 4,000/= kwa siku Shilingi 4,000/= kwa siku Shilingi 2,000/= kwa siku 5 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba SEHEMU YA XV ADA YA MAOMBI YA USAJILI WA MTUMBWI, LESENI YA UVUVI NA LESENI YA VYOMBO Aina Kiwango (Tsh.) Fomu ya maombi ya kusajili mtumbwi wa uvuvi Fomu ya maombi ya leseni ya mtumbwi wa uvuvi Fomu ya maombi ya leseni ya kuvua samaki Shilingi 5000/=kwa mwaka. Shilingi 5,000/= kwa mwaka Shilingi 5,000/= kwa mwaka Kuandika namba na jina kwenye mtumbwi Shilingi 5,000/= kwa mtumbwi SEHEMU YA XVI ADA YA HUDUMA YA MAGHALA YA HALMASHAURI Kutunza dagaa kwenye ghala la Halmashauri Aina Kutunza samaki wakavu Kiwango (Tsh.) Shilingi 500/= kwa kila gunia kwa siku Shilingi 15/= kwa kilo SEHEMU YA XVII ADA YA MAZAO YA UVUVI Aina& Ushuru Kununua dagaa Samaki sato (wakavu) Mabondo ya sangara Samaki wanaopimwa (wabichi au zilizokaangwa) Sangara wakavu Kiwango (Tsh.) Shilingi 100/= kwa kilo Shilingi 60/= kwa kilo Shilingi 3,000/= kwa kilo Shilingi 300/- kwa kilo Shilingi 100/- kwa kilo. Sangara waliokaushwa kwa chumvi Shilingi 250/= kwa kilo. SEHEMU YA XVIII ADA AU USHURU MWINGINE Aina Choo cha umma cha kulipia Kiwango (Tsh.) 200/= Kibali cha kufyatua matofali 30,000/= kwa miezi sita Na.
Part
SEHEMU YA XVIII
- 0 Verify source ↗
3% ya mapato ya kampuni, mtu
AI-assisted research summary: Inataja kiwango cha 0.3% cha mapato kwa kampuni, mtu binafsi (sole trader), au taasisi ya kibiashara kwa mwaka baada ya VAT.
0.3% ya mapato ya kampuni, mtu binafsi (sole trader) au taasisi ya kibiashara kwa mwaka baada ya kutoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) 6 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba Na. - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya ada na ushuru mbalimbali, ikiwemo ushuru wa guest house, ada za zabuni, na ada za mwaka kwa baadhi ya mali/vitengo vya Halmashauri.
9. Aina Ushuru wa nyumba za kulala wageni (guest house levy) Kiwango (Tsh.) 10% ya bei ya kitanda kwa usiku mmoja Ada ya Zabuni za huduma 100,000/= kwa kila moja Ada ya zabuni za ujenzi 150,000/= kwa kila mmoja Ada ya kukodi mali za Halmashauri ukumbi, nyumba, vibanda, meza za sokoni, magari na mitambo Watega senene Ada ya pango itatajwa kwenye mkataba baina ya mpangaji/mkodishaji na Halmashauri Ada Tsh. 20,000/= kwa mwaka Viwanja vya kuanikia dagaa Ada Tsh. 20,000/= kwa mwaka - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists local fees and charges for building permits, alterations, road-cutting permission, and parking/tax charges for certain fishing vessels.
10. Ada ya mabaki ya mbao zilizochanwa (Papara) 10,000/= kwa tripu moja SEHEMU YA XIX ADA YA UJENZI (BUILDING PERMITS) Aina Kiwango (Tsh.) (a) Ada ya idhini ya ujenzi ghorofa (2 storey and above) ghorofa moja 150,000/= 120,000/= Na. (i) (ii) (iii) nyumba ya biashara (guest houses, hotels, shopping malls) 50,000/= (iv) Kituo cha mafuta (v) nyumba ya makazi na biashara (vi) nyumba za makazi 250,000/= 60,000/= 30,000/= (vii) ofisi binafsi, shule binafsi na hospital/zahanati binafsi 100,000/= (viii) maghala na bohari 200,000/= (ix) majengo mengine ambayo hayajatajwa hapo juu 20,000/= (x) kibali cha kukata barabara 50,000/= 7 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba Na. (i) (ii) (iii) (iv) (v) (vi) Aina Kiwango (Tsh.) (b) Ada ya mabadiliko (alteration) ya nyumba au Jengo lililopo nyumba ya makazi nyumba ya biashara ghorofa kiwanda, bohari, ghala n.k 10,000/= 15,000/= 100,000/= 100,000/= kituo cha mafuta, bohari na kiwanda 100,000/= maombi ya kugawanya ardhi 100,000/= SEHEMU YA XX USHURU WA MAEGESHO YA VYOMBO VYA UVUVI VITOKAVYO NJE YA WILAYA. NA SAFU YA SAFU YA PILI SAFU YA TATU KWANZA Aina ya chombo Aina ya zana za Aina uvuvi na uchukuzi samaki bidhaa Kiwango cha ushuru tshs ya na 1 Mitumbwi ya uvuvi nyavu za makila Sangara, 50,000/= kwa mtumbwi wa mashine au kasia Sato mashine kwa mwaka 30,000/= kwa mtumbwi wa kasia kwa mwaka 2 Mitumbwi ya uvuvi ndoano, mashine sangara, 50,000/=kwa mtumbwi wa au kasia sato mashine kwa mwaka 30,000/= kwa mtumbwi wa kasia kwa mwaka 8 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba NA SAFU YA SAFU YA PILI SAFU YA TATU KWANZA 3 Mitumbwi ya uvuvi dagaa (nyavu za Dagaa 50,000/= kwa mtumbwi wa dagaa) mashine kwa Mwaka 4 Mitumbwi ya usafirishaji wa abiria 5 Mitumbwi usafirishaji ya wa 30,000/= mtumbwi wa kasia kwa mwaka 50,000/= kwa mtumbwi kwa mwaka sangara, 50,000/= kwa mtumbwi sato au kwa mwaka. samaki na bidhaa dagaa zake SEHEMU YA XXI USHURU WA MAZAO YA MALIASILI Aina Kiwango cha ushuru.
Part
SEHEMU YA XXI
- 3 Verify source ↗
Mirunda (nguzo) Tsh. 300/= kwa kila mrunda (nguzo)
AI-assisted research summary: The provision sets a charge of Tsh. 300 for each pole.
3. Mirunda (nguzo) Tsh. 300/= kwa kila mrunda (nguzo). - 5 Verify source ↗
Kuni
AI-assisted research summary: Kuni inatajwa kuwa Tsh. 4,000 kwa kila mita moja ya ujazo.
5. Kuni Tsh. 4,000/= kwa mita moja ya ujazo. - 6 Verify source ↗
Kuangusha mti Tsh. 1,000/= kwa kila mti unaoangushwa
AI-assisted research summary: Kila mti unaoangushwa carries a charge of Tsh. 1,000/= per tree.
6. Kuangusha mti Tsh. 1,000/= kwa kila mti unaoangushwa - 7 Verify source ↗
Banzi
AI-assisted research summary: Banzi inagharimu Tsh. 50 kwa kila kipande.
7. Banzi Tsh. 50/= kwa kila kipande (banzi) - 8 Verify source ↗
Milango,Meza,kabati
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ada na ushuru wa kiasi tofauti kwa bidhaa na mizigo mbalimbali inayosafirishwa au kuvushwa.
8. Milango,Meza,kabati Tsh. 500/= kwa kila mlango au meza au kabati au au Viti kiti (kipya) kinachosafirishwa. 9 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba SEHEMU YA XXII ADA NA USHURU MBALIMBALI Na 1 2 3 4 Aina Pumba za mahindi au mpunga Ushuru Tsh. 1000 kwa gunia Vyakula vya mifugo Tsh. 1000 kwa gunia Eneo la madini ya ujenzi(watu binafsi) Gunia la magimbi au parachichi Tsh. 50,000/= kwa mwaka Tsh. 2,000/= kwa gunia SEHEMU YA XXIII USHURU WA KUVUKA AU KUVUSHA BIDHAA NA MIZIGO KWENYE GATI ZA HALMASHAURI Mtembea kwa miguu (Mvukaji) kuvusha gunia 21kg hadi 100kg Kuvusha Mbao au papi 21 na kuendelea Kuvusha mbuzi au kondoo Kuvusha Ng’ombe Kuvusha baiskeli Kuvusha pikipiki au bajaji Robota la mitumba au viatu Kreti ya bia Kreti za soda au katon ya maji Kreti tupu za soda au bia Mfuko wa sukari,unga , chumvi kilo 25 -50 Kuvusha godoro Tsh. 400/=kwa mtu Tsh. 300/=kwa gunia Tsh. 100/= kwa ubao au papi Tsh. 200/= kwa mnyama Tsh. 500/=kwang’ombe. Tsh. 500/= kwa baiskeli Tsh 1000/= kwa pikipiki au bajaji Tsh. 500/= kwa robota Tsh. 150/= kwa kreti Tsh. 100/= kwa kreti/katon Tsh. 50 /= kwa kreti Tsh. 200/= kwa mfuko Tsh. 500/= kwa godoro Kuvusha mkungu wa ndizi Tsh. 200/= kwa mkungu Mzigo wa vipande vitano vya kuni Gunia la mkaa Tsh. 50/=kwa mzigo. Tsh. 500/= kwa gunia Gunia la pumba ya mahindi au mpunga Tsh. 300/=kwa gunia. Nondo na mabati Misumari kuanzia kilo 25 hadi 50 Tsh. 100/=kwa nondo/bati Tsh. 100/=kwa kilo Boxi la samaki au tenga kunzia 21kg - 100kg Mfuko wa saruji au chokaa au gypusum Tsh. 100/=kwa kilo Tsh. 150/= kwa mfuko Kuku kuanzia kuku 05 na zaidi Miwa kuanzia miwa 05 na kuendelea Vighala (bidhaa nyinginezo za misitu) Dumu la lita 20 la petrol au dizeli Tsh. 100/= kwa kuku Tsh. 50/= kwa muwa Tsh 100/= kwa kighala Tsh. 100/= kwa dumu 10 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 Sheria Ndogo Ya Ada Na Ushuru (Marekebisho) Ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Muleba 26 27 28 Tenga la nyanya au vitunguu Gunia la parachichi au Maembe au viazi au mihogo Bidhaa nyinginezo kuanzia jozi 1 hadi dazani 1 Tsh. 100/=kwa tenga Tsh. 200/=kwa gunia Tsh. 200/= kwa dazani Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Muleba imewekwa katika sharia Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika mnamo tarehe………………. Ya mwezi ……………., 2019. Nakubali, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB) 01ST July, 2020. WN - OR – TAMISEMI Dodoma 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU (MAREKEBISHO) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA YA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in