SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA ZA MWAKA 2020
This section gives the short title of the by-law: Sengerema District Council Fees and Charges By-laws, 2020.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA ZA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law: Sengerema District Council Fees and Charges By-laws, 2020. Sehemu hii inaeleza maana ya maneno muhimu yanayotumika katika Sheria Ndogo, ikiwemo ada, Afisa Mwidhiniwa, Halmashauri, kibali, madini ya ujenzi, Mkurugenzi, ushuru na Wakala. Halmashauri must charge fees and taxes for permits, services, and other services listed in the First Schedule. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Ada na ushuru hukusanywa ndani ya muda uliotajwa, lakini Halmashauri au Wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA ZA MWAKA 2020
Showing 30 of 30
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law: Sengerema District Council Fees and Charges By-laws, 2020.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya Sengerema za Mwaka 2020. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza maana ya maneno muhimu yanayotumika katika Sheria Ndogo, ikiwemo ada, Afisa Mwidhiniwa, Halmashauri, kibali, madini ya ujenzi, Mkurugenzi, ushuru na Wakala.
2. Katika Sheria Ndogo itakapoelezwa vinginevyo: hizi, isipokuwa pale Sura ya 287 “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni kifusi, udongo, mchanga, tarazo, moramu, mawe, kokoto, mawe, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema au afisa 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) yeyote Mkurugenzi; aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya “ushuru” maana yake ni inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa tozo kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees and taxes for permits, services, and other services listed in the First Schedule.
3.- Utozaji wa ada na ushuru leseni (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, huduma mbalimbali na kama zinazotolewa Halmashauri ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. na (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri Halmashauri itakavyoelekeza. kadri kwa (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza.
4. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Jedwari la Kwanza la Sheria Ndogo hii. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa ndani ya muda uliotajwa, lakini Halmashauri au Wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
5.- Muda wa kukusanya ada na ushuru (1) Muda wa kukusanya ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum 2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. namna kwa au - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Ushuru hulipwa kwa Halmashauri au wakala wake, na Halmashauri inaweza kuchukua hatua dhidi ya biashara au mali inayohusiana na leseni, vibali, au ushuru usiolipwa.
6.- Usimamiz i wa Sheria Ndogo (4) Malipo ya ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru. au Wakala wake (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo utakuwa 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) umesababishwa na Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na apokee ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa.
7.- (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; kielektroniki (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. na - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo, au chombo cha usafiri kwa ajili ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia ada, ushuru, leseni, au kibali, kwa kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo hii.
8. Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Makosa na adhabu - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: A person commits an offence if they fail to pay the tax, induce others to avoid or refuse paying a fee or tax, block an officer from doing duties, or give false information to the Council or Agent about licensable or taxable services.
9.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) (b) (c) (d) atashindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; Afisa atamzuia Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli Mkurugenzi, 4 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha kwanza atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. Kufifilisha kosa - 10 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu aliyekosea shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
10.- Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. - 11 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zinafuta Sheria Ndogo za
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafuta Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema (Ada na Ushuru) za mwaka 2013.
11.- Sheria Ndogo hizi zinafuta Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema (Ada na Ushuru) za mwaka 2013. Kufutwa kwa Tangazo la Serikali na. 440/2013 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Chini ya Kifungu cha 4)
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
USHURU WA MADINI NA UJENZI
AI-assisted research summary: This section appears to list mineral and construction charges, with columns for mineral type and the applicable fee/tax rate.
1.USHURU WA MADINI NA UJENZI Na. Aina ya Madini Kiwango cha Ada na Ushuru - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for building materials, permits, and renting municipal halls, furniture, and other council property.
4. Aina zote za madini ya ujenzi 12,000/= kwa tripu 150,000/= kwa muda wa miezi sita 300,000/= kwa muda wa mwaka mmoja Kibali cha kuchimba madini ya ujenzi 20,000/= kwa mwaka Dust 5000/= per cubic m3 Kibali cha kufyatua tofali za udongo au kuchoma tanuru 100,000/= kwa tanuru kwa mwaka. II. ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI NA VIFAA VYA HALMASHAURI Na. Aina ya kifaa Kiwango cha ada na ushuru 1 (i) Kumbi za Halmashauri. (a)Ukumbi mkubwa (b)Ukumbi mdogo (a)200,000/= kwa siku moja (b) 50,000/= kwa siku moja 2 (ii) Viti vidogo ths. 300/=@ kimoja kwa siku (iii) Viti vya chuma ths 500/= @ kimoja kwa siku Meza ndogo Meza kubwa Ths 500/= @ kimoja kwa siku moja Ths 1000/= @ kimoja kwa siku moja Vibanda vya Halmashauri kuzungusha stendi kuu Kwa mujibu wa mkataba Vibanda vya biashara sokoni Kwa mujibu wa mkataba Majengo mengine ya Halmashauri Kwa mujibu wa mkataba 3 4 5 - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This excerpt shows a livestock inspection fee section with a table for animal type and fee/tax rate.
6. 7, 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) III. USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA Na. Aina ya mfugo Kiwango cha ada na ushuru - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision shows a market-use fee schedule, including amounts listed for pigs.
3. Nguruwe 4000/= 1000/= 2000/= IV.ADA YA UTUMIAJI MASOKO. Aina ya bidhaa Kiwango cha ada na ushuru - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision lists daily local fees and market charges for livestock and certain goods sold in the district.
1. Ushuru wa meza Tsh. 500/=kwa siku V. USHURU WA MIFUGO, MINADA, BIDHAA NA MAGULIO MENGINE Na. Aina ya Bidhaa Kiwango cha ada na ushuru 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Ng’ombe Kondoo Mbuzi 4,000/=@ng’ombe 1000/=@kondoo 1000/=@mbuzi bidhaa zinazotengenezwa viwandani/ karakana 1000/= Wauza mitumba Wauza bia na vinywaji baridi Wauza nafaka Ndege(kuku,bata) Pombe za asili Wauza madawa ya asili 1000/= 1,000/= 1000/=@ gunia 1000/= 1000/= 1000/= Wauza vipuri vya baiskeli,pikipiki,magari 1000/= Wauza dagaa Wauza samaki 1000/= 1000/= Wauza chumvi,nyama na mboga za majani 1000/= 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 Wauza vyungu Wauza vyombo vya nyumbani Wauza viatu Wauza nguo mpya Mafundi baiskeli Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa Mifugo mingine ambayo haijatajwa Mafundi baiskeli Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa Mifugo mingine ambayo haijatajwa 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= 1000/= VI. ADA YA UKODISHAJI MITAMBO Na. Aina ya kifaa Kiwango cha Ada na Ushuru kwa siku - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This provision lists fees and charges for construction-related equipment and services, including specific amounts for different machines and GPS equipment subject to contract.
8. 10 11 12 13 14 Concrete mixer Concrete poker vibator Air compressor Steel wheel roller Plate compactor Water bowser Bitumen boller with sprayer Hand pump bitumen sprayer Chipping spreader Wheel loader 150,000/= 120,000/= 80,000/= 50,000/= 200,000/= 250,000/= 70,000/= 150,000/= 150,000/= 60,000/= 200,000/= 600,000/= 15 Motor grader 1,000,000/= kwa masaa 8. 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) 16 Vifaa vya GPS Kwa mujibu wa mkataba VII. VIBALI VYA UJENZI Aina ya ujenzi Kiwango cha Ada na Ushuru - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Makazi yanaonekana kutozwa 50,000/=, na ujenzi wa nyumba zaidi ya moja unaonyesha malipo ya 20,000/= kwa nyumba inayoongezeka.
1. Viwanja vyote vya makazi 50,000/= ujenzi wa nyumba zaidi ya moja @nyumba inayoongezeka italipiwa 20,000/= Makazi na Biashara - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha aina mbalimbali za taasisi, maeneo, na shughuli kama shule, vyuo, nyumba za ibada, ofisi, kumbi, viwanda, vituo vya mafuta, ukarabati, na uzio/fensi.
2. Taasisi mbalimbali (shule,vyuo, nyumba za ibada,ofisi mbalimbali, kumbi) ambazo sio ghorofa Viwanda vikubwa Viwanda vya uzalishaji Viwanda vidogo Vituo vya mafuta Ukarabati Uzio/fensi(a)Taasisi (b)Binafsi - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The provision lists several monetary amounts, including fixed fees and per-meter charges, for categories such as small reserves, sports grounds, and non-story tourist hotels.
8. 9 100,000/= 300,000/= 300,000/= 150,000/= 100,000/= 300,000/= 35,000/= 1000 kwa mita moja ya mzunguko. 1000/=kwa mita moja ya mzunguko. Hifadhi ndogo,uwanja wa michezo,hoteli za utalii ambazo sio ghorofa 200,000/= - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This line lists amounts for buildings from the sixth floor onward and an additional amount for each extra floor.
12. -ghorofa 6 na kuendelea 175,000/= 200,000/= 200,000/= na 75,000/= kwa kila ghorofa inayoongezeka - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Renewing a building permit for a house costs 200,000/=.
13. Kuhuisha (renew) kibali cha ujenzi wa ghorofa 200,000/= 9 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: The provision mentions communication towers and the amount 1,000,000/=.
14. Kusimika minara ya mawasiliano 1,000,000/= - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Renewing a non-storey building permit costs the same as the original permit.
15. Kuhuisha (renew) kibali cha ujenzi usio ghorofa Ada ni kama ilivyo kwa kibali cha awali - 16 Verify source ↗
Minara iliyosimikwa Maeneo ya Watu binafsi
AI-assisted research summary: This provision refers to installed towers in private areas and states 10% of the contract money.
16. Minara iliyosimikwa Maeneo ya Watu binafsi 10% ya pesa ya mkataba. - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: This provision lists local council fees and charges for activities and services such as parking, market goods, stands, sanitation services, and entertainment-related services.
17. Ghala na Bohari 250,000/= 18 Mabadiliko ya Matumizi ya Ardhi 200,000/= 19 Sehemu za kuoshea Magari(Car Wash) 100,000/= 20 Maeneo ya Mapumziko (recreational Centres) 100,000/= VIII.ADA NA USHURU WA MAEGESHO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI. Na Aina ya gari Kiwango cha ada na ushuru 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Gari chini ya tani 10 Lori zaidi ya tani 10 Gari dogo 2500/= kwa siku 3000/= kwa siku 1000/= kwa siku Pikipiki ya magurudumu mawili 500/= kwa siku Pikipiki ya magurudumu matatu 500/= kwa siku Pick up/station wagon 1500/= kwa siku Ada ya kutunza gari lililokamatwa au kuzuiliwa 20,000 kwa siku Ada ya kutunza pikipiki iliyokamatwa au kuzuiliwa 10,000 kwa siku Guta 500/= Na. Aina ya gari Kiwango cha ada na ushuru IX. USHURU WA STENDI 1 2 3 Mabasi makubwa Mabasi ya kati Hiace 3000/= kwa siku 2500/= kwa siku 2000/= kwa siku 10 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) 4 6 7 8 Magari madogo Magari ya mizigo -tani 1-3 -tani 4-10 1000/= kwa siku 1000/= kwa siku 2500/= kwa siku Pikipiki ya magurudumu matatu 500/= kwa siku Pikipiki ya magurudumu mawili 300/= kwa siku X. USHURU WA HUDUMA ZA USAFI Na Taasisi Kiwango cha ada na ushuru kwa mwaka Kiwango cha Ushuru kwa mwezi 1 Taasisi zote na mashirika 360,000/= 30,000/= Hoteli za kitalii 300,000/= 25,000/= 3 4 5 6 7 2 Wauza matunda 60,000/= Viwanda vikubwa 600,000/= Viwanda vya kuoka mikate(bakery) 360,000/= Migahawa Useremala 60,000/= 50,000/= 8 Wauza mbao 60,000/= 9 Mashine ndogo za kusaga na kukoboa 50,000/= 10 Duka la jumla 60,000/= 11 Duka la rejareja 25,200/= 12 Ghala (“godown”). 200,000/= 13 Viwanda vidogo vya 50,000/= kukamua mafuta 5000/= 50,000/= 30,000/= 5000/= 4,200/= 5,000/= 2,500/= 5,000/= 2,100/= 15,000/= 5,000/= 14 Bucha za samaki au 30,000/= 2,500/= nyama 11 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) 15 Machinjio. 300,000/= 15,000/= 16 Baa na mgahawa. 60,000/= 17 Mini super market. 50,000/= 18 Vilabu vya pombe za 30,000/= kienyeji. 19 Nyumba za kuishi. 12,000/= 20 Saluni za wanaume na wanawake 24,000/= 21 Grocery (mini bar) 30,000/= 22 Nyumba za kulala 60,000/= wageni 23 Gereji 40,000/= 24 Vituo vya mafuta 50,000/= 25 Maduka ya vifaa vya 60,000/= ujenzi na 5,000/= 5,000/= 2,500/= 1,000/= 2,500/= 2,500/= 5,000/= 4000/= 4,200/= 5,000/= 26 Maduka ya nguo na 25,000/= 2,500/= viatu 27 Maduka ya dawa (pharmacy) 28 Maduka ya dawa muhimu 50,000/= 4,200/= 25,000/= 2,000/= 29 Maduka ya mikate na 25,000/= 2,000/= vitafunwa 30 Maduka ya vyombo 25,000/= 31 Maduka ya kuuza 25,000/= magodoro na samani 2,000/= 2,000/= 32 Maduka ya kuuza spea za magari, pikipiki na baiskeli 50,000/= 4,200/= 33 Maduka ya kuuza 50,000/= 4,200/= shajala na kurudufisha (photocopy) 34 Maduka ya kuuza 25,000/= 2,000/= vipodozi 12 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) 35 Maduka ya kuuza simu au saa. 24,000/= 2,000/= 36 Mama na baba lishe 24,000/= 37 Mgahawa 60,000/= 2,000/= 5,000/= XI. USHURU WA SOKO KWA MAZAO AU BIDHAA ZITOKANAZO NA MAZAO SOKONI Na. Aina ya Bidhaa kiwango cha Ada na Ushuru 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Mahindi Maharage Muhogo Mtama Mpunga Dagaa 1000/=@gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 1500/=@gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 500/=@ gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 1500/=@ gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 1000/=@ gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja. 3% ya bei ya dagaa ya siku husika Ushuru wa Samaki na Mazao ya Samaki 3% ya bei ya samaki ya siku husika. Vitunguu Alizeti 1500/=@gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 1000/=@ gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 10 Kabeji, machungwa, miwa, nanasi,ndizi,parachichi 7000/= kwa tani moja 11 Viazi 12 Hoho 13 Karanga 14 Njegere maganda 1500/=@gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 500/= kwa tenga kwa mzigo zaidi ya tani moja 2500/= @gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 1000/=@gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 13 15 16 17 18 Nyanya 19 Mchele 20 Unga Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) Pumba za mahindi Pumba za Mpunga 500/=@gunia 500/=@gunia Mashudu ya Alizeti 1000/=@gunia 500/=@tenga kwa mzigo zaidi ya tani ya moja 2000/= @ gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 500/=@ gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja 21 Bidhaaa nyingine ambazo hazijatajwa katika sehemu hili 3,000/=@gunia kwa mzigo zaidi ya tani moja XII. ADA AU USHURU WA SHUGHULI ZA BURUDANI, UTAMADUNI, SANAA NA MATANGAZO NA AINA YA HUDUMA KIWANGO CHA ADA AU USHURU 1 2 3 Washereheshaji 50,000/= kwa tukio Wapambaji wa kumbi za burudani ( harusi, sherehe za jikoni, sherehe za kuaga binti na nyinginezo) Wamiliki wa kumbi mbalimbali 30,000/= kwa tukio -ukumbi unaochukua watu 100-200 shilingi 50,000/=kwa siku -ukumbi unaochukua watu 300-500 shilingi 100,000/= kwa siku 4 Matangazo ya barabarani ya sherehe 40,000/= kwa tukio moja kwa siku Wapishi wa vyakula 30,000/= kwa tukio moja kwa siku Picha jongevu na mnato 30,000/= kwa tukio moja kwa siku. kuuza bidhaa ya Matangazo zinazopungua bei (promotion) Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi Matamasha 40,000/= kwa tangazo 30,000/= kwa siku 100,000/= kwa tamasha 5 6 7
Part
Sehemu za kuoshea Magari(Car Wash)
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This text only shows the section heading for local fees and levies regulations for Sengerema District Council, plus a continuation note.
8. 9 14 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) 10 - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section lists daily fees for several activities, including fares for fete and lottery events, auctions, music performances in large or small halls, and business advertising using loudspeakers, leaflets, cloth banners, or other listed art forms.
16. Fete na bahati nasibu 20,000/= kwa siku Mnada (a) mali isiyohamishika (b)mali nyinginezo Kupiga muziki ukumbi mkubwa 1% ya kuuzia. 40,000/= 50,000/= kwa siku Kupiga muziki ukumbi mdogo 30,000/= kwa siku Matangazo ya Biashara kwa kutumia vipaza sauti; au vipeperushi; au vitambaa na; au fani za sanaa ambazo hazijatajwa hapo juu. 30,000/= kwa siku. - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: This section lists local fees and charges for halls, slot machines, parking, road cutting, and taxi bajaji registration.
17. Kumbi za video na mipira -Ukumbi Mkubwa 200,000/= -Ukumbi wa Kati 150,000/= -Ukumbi Mdogo Mjini 100,000/= -Ukumbi Mdogo Vijijini 50,000/= 18 Betting Machines (Slot Machines) 300,000/= kwa Mwaka Ada zote katika sehemu ya XII (1) -(7) zitalipwa kwa pamoja na mwenye sherehe XIII. ADA YA KULAZA MAGARI MAENEO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI 1 2 3 4 Mabasi makubwa 3000/= kwa siku Mabasi madogo/hiace 2000/= kwa siku Gari ndogo 1000/= kwa siku Pick up au station wagon 1500/= kwa siku na aina ya barabara Barabara ya lami XIV. ADA ZA UKATAJI BARABARA ukubwa mita moja 1 2 3 Barabara ya changarawe mita moja Barabara ya vumbi mita moja 15 gharama 200,000/= 80,000/= 30,000/= Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) XV. ADA ZA USAJILI WA TAXI BAJAJI na aina ya gari 1 2 Taxi Bajaji Ada 100,000/= 100,000/= Muda Mwaka mmoja Mwaka mmoja XVI. USHURU WA MAZAO YA KILIMO Na. Aina ya Mazao Kiwango 1 Mazao ya biashara. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists local fees and levies for food crops, forest products, toilets, baths, social group registration applications, and guest houses, and includes a confession form for admitting an offence and agreeing to pay the amount owed plus a fine.
2. Mazao ya chakula Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia Asilimia mbili (3%) ya bei ya kununulia. XVII. USHURU WA MAZAO YA MISITU Na. Aina ya Mazao Kiwango cha Ushuru 1 Aina zote za mazao ya Misitu Asilimia tano (5%) ya bei ya kununulia XVIII.USHURU WA HUDUMA YA CHOO NA BAFU Na. Aina ya huduma Kiwango cha Ushuru 1 2 Choo Bafu 300/= 500/= XIX.ADA YA USAJILI WA VIKUNDI VYA KIJAMII Ada ya maombi ya usajili wa kikundi 20,000/= XX.USHURU WA NYUMBA ZA KULALA WAGENI Ushuru wa Nyumba za Kulala Wageni Asilimia 10 ya bei ya chumba kilicholaliwa na mteja 16 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) JEDWALI LA TATU (Limetungwa chini ya kifungu cha 10) KUFIFILISHA KOSA Mimi…………………………………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, kwamba mnamo tarehe ………mwezi………. Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema za mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halamashauri ya Wilaya ya Sengerema, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninayodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………………………. ya Mwezi…………………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………… 17 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Tangazo la Serikali Na. 670 (Linaendelea.) Nembo na Mhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizo kwa Azimio lililopitishwa na mkutano wa baraza la Madiwani uliopitishwa tarehe 3/12/2019 na ubandikaji huo kushuhudiwa na:- MAGESA MAFURU BONIFACE, Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Sengerema YANGA EVARIST MAKAGA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya Sengerema S.L Dodoma NAKUBALI SELEMANI S. JAFO (MB), 5 Agosti, 2020 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 18
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA ZA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in