SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI ZA MWAKA 2020
This section states the short title of the by-laws.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI ZA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the by-laws. These by-laws apply throughout the entire area of authority of Missenyi District Council. Sehemu hii inaweka maana ya istilahi mbalimbali zinazotumika katika Sheria Ndogo hizi. Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizo katika Jedwali la Kwanza. Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI ZA MWAKA 2020
Showing 65 of 65
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada
AI-assisted research summary: This section states the short title of the by-laws.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi za Mwaka 2020. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la mamlaka
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the entire area of authority of Missenyi District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka maana ya istilahi mbalimbali zinazotumika katika Sheria Ndogo hizi.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapoelezwa vinginevyo:- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “boti” maana yake ni chombo cha majini kinachoendeshwa kwa kutumia injini iliyopachikwa au kujengewa ndani ya chombo hicho; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) “maegesho” maana yake ni sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha vyombo vya usafiri kwa muda; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri pamoja na Afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mtumbwi” maana yake ni chombo cha majini kinachoendeshwa kwa kutumia joshi, mashine au kasia; “tenga” maana yake ni kifaa chochote ikijumuisha ndoo, debe au kifaa chochote cha kiasili kinachotumika kupima au kubebea samaki au mazao ya majini; “ushuru” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri au wakala wake kwa ajili ya huduma zitolewazo na Halmashauri; “wakala” maana yake ni mtu, taasisi, kampuni au asasi yoyote iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya mapato kwa niaba ya Halmashauri; SEHEMU YA PILI UTARATIBU WA KUKUSANYA ADA NA USHURU Utozaji wa ada na ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru kwa ajili ya vibali,
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizo katika Jedwali la Kwanza.
4. (1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma zitolewazo na Halmashauri kama inavyoonyeshwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Ada itozwayo chini ya Sheria Ndogo hizi italipwa kabla ya huduma kutolewa. (3) Ushuru utozwao chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa saa au siku au kabla ya kupata huduma au wakati wa kupata huduma. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru unaotozwa
AI-assisted research summary: Mtu anayepaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakua kuanzia saa
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kati ya saa 12:00 asubuhi na saa 12:00 jioni, isipokuwa Halmashauri au Wakala wawe na kibali maalum cha Mkurugenzi kukusanya nje ya muda huo.
6. (1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakua kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. 2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi anaweza kukusanya ushuru baada ya muda uliotajwakatika kifungu kidogo cha (1). (3) Malipo ya ada na ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kuteua kampuni, asasi au taasisi
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni, asasi, au taasisi yoyote kukusanya ushuru kwa niaba yake.
7. Halmashauri inaweza kuteua kampuni, asasi au taasisi yoyote kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri. - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kusimamisha shughuli zinazoendeshwa bila leseni au kibali chake, na wakala anaweza kushughulikia mali au bidhaa za mlipakodi aliyeshindwa kulipa ushuru, kwa masharti fulani.
8. (1) Halmashauri inaweza au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yeyote ambayo itafanyika bila kuwa na leseni au kibali kinachotelewa na Halmashauri. biashara kufunga Uteuzi wa wakala Usimamizi wa Sheria Ndogo (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu cha kidogo cha (1) wakala anaweza kukamata au kutumia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo hizi. (3) Endapo mmiliki wa mali za bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa hizo na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu au hasara yoyote itakayotokea kutokana na utekelezaji wa Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama uharibifu utasababishwa na Halmashauri au Wakala. 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) Ukaguzi - 9 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika majengo kwa muda unaoruhusiwa ili kukusanya ushuru, na kukagua maeneo au vyombo vinavyoshukiwa kuhifadhi au kusafirisha bidhaa au kutumika kukwepa ushuru.
9. Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa: (a) kuingia katika muda ulioruhusiwa na Sheria Ndogo hizi kwenye jengo lolote kwa lengo la kukusanya ushuru; na (b) kukagua eneo au chombo chochote atakachokitilia mashaka kuwa kinahifadhi au kusafirisha bidhaa au kinatumika kukwepa kulipa ushuru. SEHEMU YA TATU MAKOSA NA ADHABU Makosa
Part
SEHEMU YA TATU
- 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who fails to pay the required fees or levy, encourages others not to pay, gives false information, or obstructs officials commits an offence.
10. (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa ada au ushuru; (c) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala leseni ya kuhusu huduma zinazohitaji kibali au Halmashauri au shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru; (d) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hizi. (2)Endapo mtu yeyote atapatikana na hatia chini ya kifungu kidogo cha (1) atatozwa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi sita au vyote kwa pamoja. Kufifilisha kosa Kufutwa Tangazo la Serikali Na. 257 la mwaka 2018 - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote kiasi cha shilingi
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote shilingi 30,000 ikiwa mtu huyo anakiri kosa kwa hiari, anajaza fomu ya Jedwali la Pili, na anakubali kutekeleza wajibu wake chini ya Sheria Ndogo hizi.
11. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote kiasi cha shilingi elfu thelathini iwapo mtu huyo atakiri kosa kwa hiari na kujaza fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kukubali kutekeleza wajibu wake chini ya Sheria Ndogo hizi. - 12 Verify source ↗
(1) Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya
AI-assisted research summary: The 2018 Missenyi District Council fee and tax by-laws are repealed, but fees and taxes already due to the Council continue to be payable under those by-laws.
12. (1) Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi za Mwaka 2018 zinafutwa. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada na ushuru unaodaiwa na Halmashauri utaendelea kudaiwa chini ya Sheria Ndogo hizo. 4 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya kifungu 4(1) A: USHURU WA MAEGESHO I. Ushuru wa maegesho ya mitumbwi
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 5 Verify source ↗
Boti iliyobeba sanduku za kubeba
AI-assisted research summary: Section title: “Boti iliyobeba sanduku za kubeba samaki.”
5. Boti iliyobeba sanduku za kubeba samaki……………. - 7 Verify source ↗
Mitumbwi ya kusafirisha abiria………
AI-assisted research summary: The section lists parking and trip fees, including amounts charged per day or per trip.
7. Mitumbwi ya kusafirisha abiria……… 200 /= kila unapoegeshwa kwa siku 500 /= kila inapoegeshwa kwa siku 500/= kila inapoegeshwa kwa siku 2,000/= kila inapoegeshwa kwa siku 1,500/= kila inapoegeshwa kwa siku 5,000/= kila inapoegeshwa kwa siku 500 /= kila safari II. Ushuru wa maegesho ya magari ya biashara kwenye magulio, mialo na masoko - 5 Verify source ↗
Magari binafsi yasiyo ya biashara.. 500/= kwa siku
AI-assisted research summary: Section 5 lists daily charges for private non-commercial vehicles and says food and business crops within the Council area over one ton are charged tax at 3% of the sale price.
5. Magari binafsi yasiyo ya biashara.. 500/= kwa siku 2,000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku B. USHURU WA MAZAO YA KILIMO NA MAZAO YA MAJINI I. Bidhaa za kilimo Mazao yote ya chakula na biashara ndani ya Halmashauri yanayozidi uzito wa tani moja yatalipiwa ushuru wa asilimia (3%) ya bei ya mauzo. II. Bidhaa za Majini - 1 Verify source ↗
Kilo moja ya samaki wabichi mwaloni…………………………… 100/= kwa kilo
AI-assisted research summary: The text states a price of 100 per kilo for one kilo of fresh fish.
1. Kilo moja ya samaki wabichi mwaloni…………………………… 100/= kwa kilo - 2 Verify source ↗
Samaki wakavu
AI-assisted research summary: A fee of 2,000/= applies to a standard dried-fish basket with fewer than 60 fish, and 5,000/= applies to a large dried-fish basket with more than 60 fish.
2. Samaki wakavu: (i) tenga la kawaida la samaki wakavu (chini ya samaki 60) ……. 2,000/= (ii) tenga kubwa la samaki wakavu (zaidi ya samaki 60)…………. 5,000/= - 3 Verify source ↗
Dagaa
AI-assisted research summary: Dagaa are priced at 2,000/= for a small sack under 54 kilos and 3,000/= for a large sack over 54 kilos.
3. Dagaa (i) Gunia dogo la dagaa (chini ya kilo 54) ………………………. 2,000/= (ii) Gunia la kubwa dagaa (zaidi ya kilo 54)…………………….. 3,000/= - 4 Verify source ↗
Gunia la magamba ya konokono
AI-assisted research summary: This section appears to set prices for sacks of snail shells by weight range.
4. Gunia la magamba ya konokono: kg 1-20 ……………………………………………………….. kg 21-50………………………………………………………. 500/= 1,000/= - 5 Verify source ↗
Mabondo …………………………………………………………… 2,000/= kwa kilo
AI-assisted research summary: Mabondo is priced at 2,000/= per kilo.
5. Mabondo …………………………………………………………… 2,000/= kwa kilo - 6 Verify source ↗
Chakula cha Mifugo
AI-assisted research summary: This section lists fees for livestock feed by weight range.
6. Chakula cha Mifugo: kg 1-20……………………………….……………………… 500 /= 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) kg 21-50 …………………………………………………..… kg 51-100………………………………………………….…. 1,000 /= 800/= - 7 Verify source ↗
Mabini ya samaki…………………………………………............. 1,000/= kila tani
AI-assisted research summary: Mabini ya samaki ni 1,000/= kwa tani kwa safari C.
7. Mabini ya samaki…………………………………………............. 1,000/= kila tani kwa safari C. USHURU NDANI YA MASOKO, MAGULIO NA MIALO KWA SIKU - 11 Verify source ↗
Mazao ya kilimo kwa gunia/tenga ……… 2,000/=
AI-assisted research summary: Agricultural produce sold by the bag or basket is listed at 2,000/=.
11. Mazao ya kilimo kwa gunia/tenga ……… 2,000/= - 12 Verify source ↗
Biashara ambazo hazijatajwa……………. 2,000/=
AI-assisted research summary: The provision lists charges/amounts for unnamed businesses and forest products, including charcoal sacks.
12. Biashara ambazo hazijatajwa……………. 2,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 5,000/= 2,500/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= D. USHURU WA MAZAO YA MISITU Gunia la Mkaa ………………………………. - 2 Verify source ↗
Mbao…- 500/=kila ubao uziozidi futi 12 za 1x8, 1x10, 2x3, 2x6
AI-assisted research summary: A charge of 500/= applies per board that exceeds 12 feet for the listed board sizes.
2. Mbao…- 500/=kila ubao uziozidi futi 12 za 1x8, 1x10, 2x3, 2x6 - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for different wood, timber, and related items.
6. - 300/= kila ubao wenye vipimo vya 2x2,1x4 kwa urefu usiozidi futi 12……..300/= - kila futi itakayoongezeka Tsh.50/= Kuni… - Tani 1-5 Tsh. 30,000/= Tani 5-10 Tsh.50,000/= zaidi ya Tani 10 Tsh. …. 1,000/= kwa kila tani itakayoongezeka. - - Nguzo……………………………. 300/=kila moja Gogo…………………………….. Fito… - Tani 0-5 ……………. 20,000/= 3,000/= Kila mita za ujazo - Tani 6-10…………… 30,000/= na Tsh.500/= kwa kila Tani itakayoongezeka Asali……….. …………………….. Nta………………………………… Kibali cha kukata mti au kuvuna mti.. 1,000/=Kila mti - 10 Verify source ↗
Mabanzi……………………………
AI-assisted research summary: The text lists fees for Mabanzi and other items, including 200/= each, 500/= per five liters, and 500/= per kilogram.
10. Mabanzi…………………………… 200/= kila moja 500/= kila lita tano za ujazo 500/=kwa kila kilo E. ADA ZA SHUGHULI ZA BURUDANI NA TIBA MBADALA - 1 Verify source ↗
Disco za siku za kawaida, sikukuu na mwisho wa juma
AI-assisted research summary: A fee of 20,000/= per day applies to discos on ordinary days, holidays, and weekends.
1. Disco za siku za kawaida, sikukuu na mwisho wa juma ………………………………………………………….. 20,000/= kwa siku - 2 Verify source ↗
Waganga wa jadi………………………………………… 50,000/= kwa mwaka
AI-assisted research summary: This section lists traditional healers and an amount of 50,000/= per year.
2. Waganga wa jadi………………………………………… 50,000/= kwa mwaka - 3 Verify source ↗
Taasisi yoyote…………………………………………… 100,000/= kwa mwaka
AI-assisted research summary: Taasisi yoyote inaonekana kuhusishwa na kiasi cha 100,000/= kwa mwaka.
3. Taasisi yoyote…………………………………………… 100,000/= kwa mwaka - 4 Verify source ↗
Michezo ya sanaa za maonyesho ngoma, maigizo,sarakasi, michezo
AI-assisted research summary: The provision lists daily fees in Tanzanian shillings for performances such as dance, drama, acrobatics, strength acts, and songs, with different amounts for institutions and halls.
4. Michezo ya sanaa za maonyesho ngoma, maigizo,sarakasi, michezo ya nguvu, nyimbo 5,000./= kwa siku katika taasisi na Tsh………..10,000/= kwa siku katika kumbi - 5 Verify source ↗
Shughuli za sanaa za ufundi (uchoraji) picha, upakaji rangi, vinyago…..10,000/= kwa
AI-assisted research summary: The provision lists arts and crafts activities and a charge of 10,000/= per show.
5. Shughuli za sanaa za ufundi (uchoraji) picha, upakaji rangi, vinyago…..10,000/= kwa onyesho - 6 Verify source ↗
Kunasa kanda za sauti kwa vikundi wakati wa mashindano ama shughuli iliyoandaliwa
AI-assisted research summary: This provision mentions seizing sound tapes from groups during competitions or activities organized by the Council.
6. Kunasa kanda za sauti kwa vikundi wakati wa mashindano ama shughuli iliyoandaliwa na Halmashauri ……………………………………….. - 7 Verify source ↗
Vikundi vya sanaa za ufundi ………………………
AI-assisted research summary: Section 7 is titled “Vikundi vya sanaa za ufundi.”
7. Vikundi vya sanaa za ufundi ……………………… - 8 Verify source ↗
kuendesha promotion/matangazo katika bar/hotel/maeneo ya wazi 20,000/= kwa siku
AI-assisted research summary: This section lists charges for conducting promotion/advertising in bars, hotels, and open areas.
8. kuendesha promotion/matangazo katika bar/hotel/maeneo ya wazi 20,000/= kwa siku 10,000./= kwa siku 10,000/= kwa mwaka. 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) - 9 Verify source ↗
wasambazaji wa cable za runinga (TV) ……………
AI-assisted research summary: TV cable distributors are associated with a charge of 30,000/= per month.
9. wasambazaji wa cable za runinga (TV) ……………. 30,000./= kwa mwezi - 10 Verify source ↗
Kucheza meza za pool………………………………
AI-assisted research summary: Kucheza meza za pool kuna gharimu 10,000/= kwa mwezi.
10. Kucheza meza za pool……………………………… 10,000/= kwa mwezi - 11 Verify source ↗
Utundikaji wa matangazo ya vitambaa kwenye barabara…… 2 ,000/= kwa mwezi
AI-assisted research summary: A fee of 2,000/= per month is stated for hanging cloth advertisements on roads.
11. Utundikaji wa matangazo ya vitambaa kwenye barabara…… 2 ,000/= kwa mwezi - 12 Verify source ↗
Utundikaji wa matangazo ya karatasi………………………. 10,000 kwa mwezi
AI-assisted research summary: The provision lists paper advertisements at 10,000 per month.
12. Utundikaji wa matangazo ya karatasi………………………. 10,000 kwa mwezi - 13 Verify source ↗
Sehemu za makumbusho au za kihistoria kwa mtu mmoja
AI-assisted research summary: This provision sets museum or historical-site fees for different visitor categories, including citizens, non-citizens, and students.
13. Sehemu za makumbusho au za kihistoria kwa mtu mmoja: Mtu mzima raia ……1,000 /= Mtu mzima asiye raia ……Us $ 10 Mwanafunzi wan je ya nchi …….Us $ 5 Mwanafunzi wa ndani ya nchi…Bure i. ii. iii. iv. - 14 Verify source ↗
Kuendesha utafiti wa mambo ya kale na tafiti nyingine zinazofanana na hizo kwa miezi
AI-assisted research summary: The text lists fees for conducting research on antiquities and similar studies for three months: 50,000/= for citizens and US$70 for non-citizens.
14. Kuendesha utafiti wa mambo ya kale na tafiti nyingine zinazofanana na hizo kwa miezi mitatu: i. ii. Raia 50,000/= Asiye raia Us $ 70 F. ADA NA USHURU WA MIFUGO - 1 Verify source ↗
Ada ya machinjio
AI-assisted research summary: This section lists slaughterhouse fees for cattle, pigs, goats, sheep, and special slaughter areas.
1. Ada ya machinjio Ng’ombe Nguruwe Mbuzi Kondoo Machinjioni 3,500/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= Maeneo maalum (slaughter slub) kwa kila mfugo 2,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= - 2 Verify source ↗
Ada ya jengo la kutunza ngozi kwa mwezi………………………………
AI-assisted research summary: Hii kifungu kinaonyesha ada ya mwezi ya jengo ni 30,000/=.
2. Ada ya jengo la kutunza ngozi kwa mwezi………………………………. 30,000/= - 3 Verify source ↗
Ushuru wa Mifugo (mnadani)
AI-assisted research summary: This section lists auction livestock fees: goats/sheep are 1,000 each and pigs are 4,000 each.
3. Ushuru wa Mifugo (mnadani) Aina ya mifugo Ngombe…………………………………………. . Mbuzi/kondoo…………………………………… 1,000/=kila mmoja 1,000/=kila mmoja Nguruwe …………………………………………. 4,000/= kila mmoja G. ADA YA VIBALI VYA UJENZI - 1 Verify source ↗
Kibali cha ujenzi kwa ajili ya nyumba ya makazi …………………. 400/= kwa M2
AI-assisted research summary: The provision states a fee of 400/= per square metre for a building permit for a residential house.
1. Kibali cha ujenzi kwa ajili ya nyumba ya makazi …………………. 400/= kwa M2 - 2 Verify source ↗
Kibali cha ujenzi kwa ajili ya nyumba ya makazi na biashara……… 500/= kwa M2
AI-assisted research summary: A construction permit for a residential and commercial house is charged at 500/= per square meter.
2. Kibali cha ujenzi kwa ajili ya nyumba ya makazi na biashara……… 500/= kwa M2 - 3 Verify source ↗
Kibali cha ujenzi kwa ajili ya jengo la biashara/kituo cha mafuta …. 600/= kwa M2
AI-assisted research summary: A building permit for a business building or fuel station is priced at 600/= per square meter.
3. Kibali cha ujenzi kwa ajili ya jengo la biashara/kituo cha mafuta …. 600/= kwa M2 H. ADA YA UKAGUZI WA AFYA - 1 Verify source ↗
Nyumba za starehe (baa, vilabu vya pome za kienyeji na nyumba za kulala wageni)
AI-assisted research summary: Baa, vilabu vya pome za kienyeji na nyumba za kulala wageni zinaonekana kutozwa 5,000/= kila baada ya miezi sita.
1. Nyumba za starehe (baa, vilabu vya pome za kienyeji na nyumba za kulala wageni) …..5,000/= kila baada ya miezi sita - 2 Verify source ↗
Ukaguzi wa wahudumu wa vyakula…………………………. 5,000/= kila baada ya
AI-assisted research summary: This line states a fee of 5,000/= for inspection of food handlers, recurring every six months.
2. Ukaguzi wa wahudumu wa vyakula…………………………. 5,000/= kila baada ya miezi sita - 3 Verify source ↗
Maduka ya bidhaa……………………………
AI-assisted research summary: Maduka ya bidhaa yanaonekana kutozwa 5,000/= kila baada ya miezi sita.
3. Maduka ya bidhaa…………………………… 5,000/= kila baada ya miezi sita 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) - 4 Verify source ↗
Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma… 5,000/=kila baada ya
AI-assisted research summary: Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma zinaonekana kutozwa 5,000/= kila baada ya miezi sita.
4. Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma… 5,000/=kila baada ya miezi sita - 5 Verify source ↗
Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara…………
AI-assisted research summary: The provision states a fee of 10,000/= per application for business-opening application inspection.
5. Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara…………. 10,000/= kila ombi - 6 Verify source ↗
Ukaguzi wa maombi ya kufungwa biashara baada ya ukaguzi ili kufunguliwa upya
AI-assisted research summary: Kila ombi la kufunguliwa upya baada ya ukaguzi lina gharama ya 25,000/=.
6. Ukaguzi wa maombi ya kufungwa biashara baada ya ukaguzi ili kufunguliwa upya 25,000/=.kila ombi - 12 Verify source ↗
Saluni…………………………………………
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya ada/ushuru, ikiwemo Tsh. 1,000 kwa kila m² kwa kila tangazo la biashara.
12. Saluni…………………………………………. 150,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka 5,000/= kwa mwaka 5,000/= kwa mwaka 2,000/= kwa mwaka I. USHURU WA VIBAO VYA MATANGAZO YA BIASHARA Kila tangazo la biashara litalipia Tsh. 1,000/= kwa kila M2 J. ADA NA USHURU WA ARDHI 20,000/= 20,000/= 20,000/= 25,000/= 25,000/= Tsh. 10,000/= kwa kila ardhi yenye thamani chini ya Tsh. - 1 Verify source ↗
Mabadiliko ya Makazi kuwa biashara………………
AI-assisted research summary: Section heading: “Mabadiliko ya Makazi kuwa biashara.”
1. Mabadiliko ya Makazi kuwa biashara……………… - 2 Verify source ↗
Mabadiliko ya biashara kuwa viwanda……………
AI-assisted research summary: Section heading about changing a business into factories.
2 . Mabadiliko ya biashara kuwa viwanda…………… - 3 Verify source ↗
Mabadiliko ya makazi kuwa biashara ………………
AI-assisted research summary: Section 3 is titled “Mabadiliko ya makazi kuwa biashara” (change of residence into business).
3. Mabadiliko ya makazi kuwa biashara ……………… - 4 Verify source ↗
kugawanya kiwanja au shamba……………………
AI-assisted research summary: This section is about dividing a plot or farm.
4. kugawanya kiwanja au shamba…………………….. - 6 Verify source ↗
kibali cha mauziano ya ardhi na viwanja…………
AI-assisted research summary: Section 6 appears to refer to a permit for land and plot transactions, with amounts mentioned for transactions and land value.
6. kibali cha mauziano ya ardhi na viwanja………….. mauziano ya Milioni mia moja na mauziano ya ardhi yenye thamani ya mia moja. - 7 Verify source ↗
ushuru wa mauziano ya ardhi………………………. Mauziano baina ya mtu na
AI-assisted research summary: Ushuru wa mauzo ya ardhi hulipwa kwa Halmashauri ya wilaya kwa mauzo kati ya watu binafsi au kati ya Serikali ya Kijiji na mtu binafsi, kwa kiwango cha 10% ya mauzo; pia kuna mgawanyo wa mapato kwa kijiji na kata.
7. ushuru wa mauziano ya ardhi………………………. Mauziano baina ya mtu na mtu au baina ya Serikali ya Kijiji na mtu binafsi yatalipiwa 10% ya mauzo kwa Halmashauri ya wilaya Tsh. 40,000/= kwa zaidi ya milioni Mgawanyo wake utakuwa kama ifuatavyo: i. Halmashauri ya wilaya itapata 10% ya thamani ya mauzo ya ardhi; ii. kijiji kitapata 10% ya kiasi ilichopata Halmashauri; iii. kata husika itapata 10% ya kiasi ilichopata Halmashauri K. USHURU MWINGINE - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for several activities and services, including auction tax, public toilets, brick-making permits, and transport of fertilizers, coffee husks, and wood waste.
11. 20/= kwa kila lita Ushuru wa mnada wa jumla wa kitu kinachonadiwa… 5% ya bei ya mnada Choo cha umma……………………………………… 300/= kila anapoingia Kibali cha kufyatua matofali ……………………….. 20,000/= kwa miezi sita Gari la kusomba mbolea Tani 1-8…………………... 3,000/= kwa safari Gari la kusomba mbolea Tani 9-18………………….. 5,000/= kwa safari Gari la kusomba mbolea Tani 19 nakuendelea………. 7,000/= kwa safari Gari lenye maganda ya kahawa Tani 1-8……………... 3,000/= kwa safari Gari lenye maganda ya kahawa Tani 9-18……………. 5,000/= kwa safari Gari lenye maganda ya kahawa Tani 19 nakuendelea … 7,000/= kwa safari Gari la mabaki ya mbao zilizochunwa (papara)…………10,000 kwa safari 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaorodhesha ada za safari kwa aina mbalimbali za magari na mizigo.
17. Gari kubwa lenye nyasi za kuezeka Tani 9 nakuendelea..50,000/= kwa safari Kupakia au kupakua bidhaa za viwandani tani 1-4……...10,000/= kwa safari Kupakia au kupakua bidhaa za viwandani tani 5 nakuendelea…15,000/= kwa safari Gari la mafuta ya taa, dizeli au petrol chini ya tani 10…...20,000/= kwa safari Gari la mafuta ya taa, diseli au petrol zaidi ya lita 10……25,000/= kwa safari Gari la gesi na bidhaa nyingine za mlipuko ……………..30,000/= kwa safari L. ADA MBALIMBALI - 1 Verify source ↗
Ada ya Kibali cha kufyatua matofali……………………… 20,000/= kwa miezi sita
AI-assisted research summary: The permit fee for brick-making is 20,000 for six months.
1. Ada ya Kibali cha kufyatua matofali……………………… 20,000/= kwa miezi sita - 2 Verify source ↗
Ada ya usajili wa vikundi…………………………………. 15,000/= kwa usajili
AI-assisted research summary: Group registration costs 15,000/= per registration.
2. Ada ya usajili wa vikundi…………………………………. 15,000/= kwa usajili - 3 Verify source ↗
Ada ya kikundi kilichosajiliwa…………………………….. 10,000/= kwa mwaka
AI-assisted research summary: Kikundi kilichosajiliwa kina ada ya 10,000/= kwa mwaka.
3. Ada ya kikundi kilichosajiliwa…………………………….. 10,000/= kwa mwaka JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 11) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi…………………………nakiri mbele ya ……………………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri tarehe…..ya ya Wilaya ya Missenyi, la kukiuka masharti ya Kifungu cha mwezi……………mwaka ………nilitenda kosa …………………cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi za mwaka 2020. kwamba Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi, kwa hiari yangu niko tayari kulipa kiasi cha shilingi elfu thelathini na kulipa ada/ushuru unaodaiwa. NATHIBITISHA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU NA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe………..ya mwezi………….mwaka………….. Jina:……………………………….. Saini:………………………………. Mbele ya: Jina:……………………………………. Cheo:………………………………… Saini:………………………………… 9 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Tangazo la Serikali Na. 671 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio lililopitishwa katika Kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi kilichofanyika tarehe 08/11/2019 na tarehe 09/11/2019 na nembo hiyo ilibandikwa mbele ya- PROJESTUS K. TEGAMAISHO Mwenyekiti Halmashauri Ya Wilaya Ya Misenyi INNOCENT M. MUKANDALA Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Missenyi S.L Dodoma NAKUBALI SELEMANI S. JAFO (MB), 5 Agosti, 2020 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISSENYI ZA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in