SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE ZA MWAKA 2020
This section gives the short title and defines key terms used in the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE ZA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title and defines key terms used in the by-law. Halmashauri lazima itoe na itoeza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zilizoainishwa, na ada/ushuru ulipwe kwa Halmashauri kwa mujibu wa kifungu hiki. Anyone who is liable to pay a fee or tax under this subsidiary legislation must pay it at the rates set out in the legislation. Ada na ushuru hukusanywa kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni, isipokuwa Halmashauri au Wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo kwa kibali cha Mkurugenzi. Biashara au shughuli zinazofanywa bila leseni au kibali cha Halmashauri zinaweza kufungwa au kusimamishwa, na Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu aliyeshindwa kulipa ushuru.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE ZA MWAKA 2020
Showing 23 of 23
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section gives the short title and defines key terms used in the by-law.
2. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya Rungwe za Mwaka 2020. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo: “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni ni eneo au soko liliotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe na itoeza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zilizoainishwa, na ada/ushuru ulipwe kwa Halmashauri kwa mujibu wa kifungu hiki.
3.- (1) Utozaji wa ada na ushuru Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kadri Halmashauri itakavyoelekeza. kwa - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Anyone who is liable to pay a fee or tax under this subsidiary legislation must pay it at the rates set out in the legislation.
4. Wajibu wa kulipa ada na ushuru Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni, isipokuwa Halmashauri au Wakala anaweza kukusanya baada ya muda huo kwa kibali cha Mkurugenzi.
5.- (1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. Muda wa kukusanya ada na ushuru (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali cha Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada na ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Biashara au shughuli zinazofanywa bila leseni au kibali cha Halmashauri zinaweza kufungwa au kusimamishwa, na Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu aliyeshindwa kulipa ushuru.
6.- (1) Usimamizi wa Sheria Ndogo inaweza kufunga biashara au kusimamisha Halmashauri uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo hii. Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini (5) ya maandishi ya Mkurugenzi. Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo umesababishwa na Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri ina mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri.
7.- (1) (2) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: 2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ (a) (b) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kufanya jambo linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali chini ya Sheria Ndogo hii.
8. Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Makosa na adhabu - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Anyone who fails to pay the required fees or tax, encourages others not to pay, gives false information, or obstructs certain officials commits an offence.
9.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii na endapo atatiwa hatiani atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi mitatu isipokuwa tu kama atathibitisha kuwa kushindwa kulipa ada au ushuru kumetokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (2) (a ) (b ) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri au shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru, na endapo atatiwa hatiani atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi mitatu au vyote kwa pamoja. (3) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo atamzuia kutekeleza Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii na endapo atatiwa hatiani atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. Kufifilisha kosa - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging 30,000 shillings for offences under section 9(1) and (3), and 100,000 shillings for the offence under section 9(3), if the offender admits the offence, is willing to complete the prescribed form, and performs the required duty under the bylaw.
10. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu thelathini kwa makosa yaliyoainishwa katika kifungu cha 9(1) na (3) na shilingi laki moja kwa kosa lililoainishwa katika kifungu cha 9 (3) endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Kufutwa - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: This section says the Rungwe District Council fees and taxes by-laws of 2011 are repealed.
11. Tangazo la Sheria Ndogo za ada na ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe za Mwaka 2011 zimefutwa. 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ Serikali Na. 56 la Mwaka 2012 JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 3(1)) SEHEMU YA KWANZA ADA YA NYUMBA NA VIBANDA VYA HALMASHAURI A: ADA ZA NYUMBA ZA MAKAZI NA.
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section appears to list categories: first grade, second grade, third grade, and Area B for business stalls.
3. Daraja la Kwanza Daraja la Pili Daraja la Tatu ENEO B: VIBANDA VYA BIASHARA ENEO Na. - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists locations: Stendi Mpya Tandale Katumba Tukuyu Mjini, Soko la Mpuguso, and Soko la Kiwira.
7. Stendi Mpya Tandale Katumba Tukuyu Mjini Soko la Mpuguso. Soko la Kiwira - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha viwango vya ada/ushuru wa Halmashauri kwa huduma na maeneo mbalimbali, ikionyesha pia kiasi cha malipo kwa mwezi au kwa siku.
10. Ukumbi wa Halmashauri Huduma ya vyoo Majengo mengine ya Halmashauri KIWANGO CHA ADA Shilingi 80,000/= kwa mwezi Shilingi 50,000/= kwa mwezi Shilingi 25,000/= kwa mwezi KIWANGO CHA ADA Shilingi 50,000;- hadi 70,000/= kwa mwezi Shilingi elfu 50,000/= hadi 70,000/= kwa mwezi Shilingi 30,000/= kwa mwezi Shilingi 10,000 hadi 20.000/= kwa mwezi Shilingi 20,000/=kwa mwezi Shilingi 30,000/= hadi .50,000/= kwa mwezi Shilingi 30,000/= hadi 50,000/= kwa mwezi Shilingi 200,000/= kwa siku Shilingi 200/= kwa mtu mmoja Shilingi 20,000/= hadi 70,000/= kwa mwezi SEHEMU YA PILI USHURU WA MASOKO NA MAENEO MENGINEYO NDANI YA HALMASHAURI Na.
Part
SEHEMU YA PILI
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The schedule sets a daily tax of Shilingi 200 for the listed kinds of goods.
9. AINA YA BIDHAA Nyanya, Vitunguu, karoti na viungo vyote vya mboga Mbogamboga na Matunda Robota la mitumba Kuku/Bata Bidhaa za viwandani Samaki Jamii ya mikunde Nafaka zote Aina zote za viazi 4 KIWANGO CHA USHURU Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ Ndizi aina zote - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: The text lists daily shilling amounts for selling and roasting meat at the market.
12. Kuuza na kuchoma nyama mnadani Shilingi 200 kwa siku Shilingi 200 kwa siku Shilingi 1,500 kwa siku Na. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The schedule sets fixed local fees for market trading, building materials, hides, and market stalls, including Shilingi 500 per day for magulio and several per-ton or per-hide rates.
1. SEHEMU YA TATU ADA ZA HUDUMA ZA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA MNYAMA KIWANGO CHA USHURU Ng’ombe Mbuzi Nguruwe Kondooo Kwa bei ya kilo moja ya nyama Kwa bei ya kilo moja ya nyama Kwa bei ya kilo moja ya nyama Kwa bei ya kilo moja ya nyama SEHEMU YA NNE USHURU WA MADINI YA UJENZI AINA YA MADINI KIWANGO CHA USHURU Ushuru wa mchanga Ushuru wa mawe Ushuru wa Tofali za kuchoma Ushuru wa Makaa ya mawe Ushuru wa marumaru Ushuru wa Chokaa Ushuru wa kokoto Shilingi 1,000/= kwa Tani moja Shilingi 1,000/= kwa Tani moja Shilingi 1,000/= kwa Tani moja Shilingi 5,000/= kwa Tani moja Shilingi 2,000/= kwa Tani moja Shilingi 2,000/= kwa Tani moja Shilingi 1,000/= kwa Tani moja SEHEMU YA TANO USHURU WA NGOZI AINA YA MIFUGO Ng’ombe MbuzI Kondoo Wanyama wengine KIWANGO CHA USHURU Shilingi 200/= kwa kila ngozi moja Shilingi 200/= kwa kila ngozi moja Shilingi 200/= kwa kila ngozi moja Shilingi 200/= kwa kila ngozi moja SEHEMU YA SITA USHURU WA MAGULIO KIWANGO CHA USHURU Shilingi 500/= kwa siku AINA YA WAFANYABIASHARA Wauza Bia na Soda, wauza vyombo vya nyumbani, wauza vipuli vya baiskeli au vipuli vya magari, vipuli vya pikipiki, wauza madawa ya mifugo na binadamu Wauza nguo mpya za dukani, wauza mitumba, viatu, wauza pombe za kienyeji, wauza vyakula na wenye vyerehani Watengeneza baskeli na wauza madawa ya asili Wauza samaki, nyama, chumvi, miwa, Matunda, karoti na viungo vyote vya mboga Bidhaa nyingine ambazo hazijatajwa 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ Na.
Part
SEHEMU YA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii inaweka ushuru wa kusafirisha ng'ombe: Shilingi 1,000 kwa ng'ombe ndani ya Wilaya na Shilingi 1,500 kwa ng'ombe nje ya Wilaya.
1. SEHEMU YA SABA USHURU WA KUSAFIRISHA MIFUGO NA SAMAKI AINA YA MFUGO KIWANGO CHA USHURU Ng’ombe: (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya Shilingi 1000/= kwa ng’ombe Shilingi 1500/= kwa ng’ombe
Part
SEHEMU YA SABA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Goats are charged Shilingi 1,000 per goat inside the district and Shilingi 1,500 per goat outside the district.
2. Mbuzi: (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya Shilingi 1000/= kwa mbuzi Shilingi 1500/= kwa mbuzi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section hii inaonyesha ada kwa kondoo: Shilingi 1000 ndani ya Wilaya na Shilingi 1500 nje ya Wilaya.
3. Kondoo: (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya Shilingi 1000/= kwa kondoo Shilingi 1500/= kwa kondoo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Nguruwe hulipiwa Shilingi 1,000 kwa kila nguruwe ndani ya Wilaya na Shilingi 1,500 kwa kila nguruwe nje ya Wilaya.
4. Nguruwe: (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya Shilingi 1000/= kwa nguruwe Shilingi 1500/= kwa nguruwe - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Section 5 distinguishes kuku/bata within the district and outside the district.
5. Kuku/bata (a) Ndani ya Wilaya (b) Nje ya Wilaya - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists some fees and a 3% levy on fish and other aquatic products.
6. Samaki Shilingi 300/= kwa kuku/bata Shilingi 400/= kwa kuku/bata Shilingi elfi 2000 @ ndoo ya lita 20 SEHEMU YA NANE ADA YA VIKUNDI AINA YA ADA KIWANGO CHA ADA Ada ya Kikundi Ada ya usajili wa kiundi Shilingi 10,000/= kwa mwaka Shilingi 30,000/= SEHEMU YA TISA USHURU WA MAZAO YA BAHARI, MITO, MAZIWA NA MABWAWA AINA YA ZAO KIWANGO CHA USHURU Samaki Mazao mengine Asilimia 3 ya bei ya zao Asilimia 3 ya bei ya zao Na.
Part
SEHEMU YA TISA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section sets fixed Tshs. fees for listed forest products and product transport, and includes a template allowing a person to pay an amount to settle a breach instead of being taken to court.
2. SEHEMU YA KUMI USHURU WA MAZAO YA MISITU Aina ya zao kiwango cha ushuru (a) Kuni………………………………………………Tsh. 5,000/= kwa tani moja (b) Mkaa (i) Gunia moja la kg 35 …….………………... Tsh. 2,000/= kwa gunia moja (ii) Uuzaji mkaa rejareja ……………………………...…Tsh. 300/= kwa siku (c) mbao- bila kujali unene ……………...…...…...…. Tsh.200/= kwa ubao mmoja 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ (d) nguzo-bila kujali unene na aina ya mtiTsh................................ 300/= kwa Nguzo (e) fito- bila kujali unene na aina ya mti….......................Tsh.300/= kwa ufito mmoja (f)Ushuru wa banzi moja...........................................................Tshs 100/= kwa banzi (g) magogo bila kujali unene na aina ya miti …............…….Tsh. 1,000/= kwa gogo (h) Nguzo za umeme ....................................................Tshs. 1,500/= kwa kila Nguzo (i) Asali (i) Nyuki wakubwa……………………….……………......500 kwa lita moja (ii) Nyuki wadogo…………………………...………………800 kwa lita moja (j) Magogo “meter” yanayotumika viwandani kwa ajili ya nishati ya moto………………………………………….………….... Tsh. 35,000/= kwa tani (k) Ushuru wa Nyungo…………………….………………. Tshs 50/= kwa ungo SEHEMU YA KUMI NA MOJA USHURU WA USAFIRISHAJI WA MAZAO Kiwango cha ushuru (a) Ndizi ………………………………...….... Tsh 300/= kwa mkungu, Gari ya Tani 1-3……….………...……......Tshs. 33,500/= Gari ya Tani 4 -6 ……….….…………….... Tshs. 60,000/= Gari ya Tani 7-9 …………….………….…. Tshs. 120,000/= Gari ya Tani 10-12 …………….…….………Tshs. 180,000/= Gari ya Tani 13 na kuendelea …….…...…...…Tshs. 335,000/= Magari yanayosafirisha ndizi nje ya nchi ……... Tshs. 30,000/= kwa tani. i. ii. iii. iv. v. vi. (b) Viazi………………. Tsh 2,000/= kwa gunia moja lenye uzito wa Kilogram 100 na gunia chini ya Kilogram 100 litalipiwa 1000/= (c) Nanasi……………………………...………… Tsh 10,000/= kwa tani moja (d) Embe…………………………………………. Tsh 2,000/= kwa gunia moja (e) Parachichi………………………….………… Tsh 2,000/= kwa gunia moja (f) Parachichi yanayosafirishwa nje ya nchi……. Tshs. 20,000/= kwa tani moja (g) Mahindi makavu……………………………… Tsh 2,000/= kwa gunia moja (h) Mahindi mabichi …………………………... Tshs. 10,000/= kwa tani moja (i) Maharage na aina yote ya kunde…………... Tsh 2,000/= kwa gunia moja (j) Vitunguu…………………………………........ Tsh 2,000/= kwa gunia moja (k) Magimbi……………………………………...Tsh 2,000/= kwa gunia moja (l) Machungwa……………………………….… Tsh 2,000/= kwa gunia moja (m) Mihogo………………………………………...Tsh 2,000/= kwa gunia moja (n) Mafyulisi………………………………………… Tsh 2,000/= kwa gunia (o) Aina nyingine zote za matunda ambazo hazijaainishwa………. Tsh 2,000/= kwa gunia moja (p) Mazao mengine ambayo hayajaainishwa……... Tsh 2,000/= kwa gunia moja mfano Tangawizi, hiriki n.k (q) Ushuru wa miwa …………………………………. Tshs. 15,000/= kwa tani 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 10) KUFIFILISHA KOSA Mimi…………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kuwa tarehe ………mwezi………. Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, nipo tayari kulipa shilingi ……………………………. na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe……………. ya Mwezi………………….…. Mwaka…………………… Jina…………………………………………Saini…………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………... 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia Azimio la Mkutano Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe uliofanyika tarehe ………... mwezi…………… 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Mbele ya Wafuatao:- ………………………… Mhe. Ezekiel M. Mwakota Mwenyekiti (W)Halmashauri Wilaya Rungwe Bi. Loema I. Peter ………………………………….. Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe S.L NAKUBALI Dodoma , MHE. SELEMANI SAID JAFO Tarehe…. /…….2020 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa (TAMISEMI) 9 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Wilaya Ya Rungwe ___________________________________________________________________ 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE ZA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in