SHERIA NDOGO YA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO YA MAGARI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE YA MWAKA 2020
This section gives the bylaw’s short title: Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe za mwaka 2020.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO YA MAGARI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE YA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the bylaw’s short title: Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe za mwaka 2020. This section defines key terms used in the by-law. Mmiliki wa chombo cha usafiri kinachobeba abiria au mizigo ndani ya eneo la Halmashauri lazima akisajili chombo, alipie ada ya mwaka, na abandike kibali kilichotolewa. Mmiliki wa chombo cha usafiri lazima aweke taarifa za mmiliki, apake rangi au alama maalumu, na awasilishe taarifa za dereva na watumishi wengine kama Halmashauri itakavyoelekeza. Halmashauri may set aside special parking areas outside road reserves, and the parking fee for those areas is set by the Third Schedule.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO YA MAGARI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE YA MWAKA 2020
Showing 17 of 17
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section gives the bylaw’s short title: Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe za mwaka 2020.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe za mwaka 2020. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law.
2. Katika itakapoelezwa vinginevyo; Sheria Ndogo hii isipokuwa “ada” maana yake ni ada inayolipwa na mmiliki au dereva wa chombo cha usafiri kwa ajili ya usajili; “chombo cha usafiri” maana yake ni gari au chombo kingine chochote kinachofanya biashara ya usafirishaji wa abiria au mizigo ndani ya eneo la Halmashauri; “daladala” maana yake ni mabasi madogo yanayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndani ya Halmashauri; “gari” maana yake ni chombo cha usafiri chenye magurudumu manne cha binafsi au cha umma; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe; “stendi” maana yake ni stendi ya mabasi au eneo maalumu lilolotengwa kwa ajili ya mabasi ya abiria au chombo cha usafiri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria na mizigo; 1 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) Usajili wa chombo cha usafiri Jina na anuani ya mmiliki “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Afisa yeyote aliyeidhininishwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mpiga debe”maana yake mtu yeyote anayefanya kazi ya kutafuta abiria katika stendi ambaye si mwajiriwa wa chombo cha usafiri. - 3 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri
AI-assisted research summary: Mmiliki wa chombo cha usafiri kinachobeba abiria au mizigo ndani ya eneo la Halmashauri lazima akisajili chombo, alipie ada ya mwaka, na abandike kibali kilichotolewa.
3.-(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri kinachofanya shughuli ya kusafirisha abiria au mizigo ndani ya eneo la Halmashauri atatakiwa kusajili chombo hicho kwa kuwasilisha maombi ya usajili kupitia fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kila mwombaji wa usajili wa chombo cha usafiri atatakiwa kulipa ada ya usajili ya mwaka kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (3) Kibali kitakachotolewa kwa mujibu wa kifungu hiki kitatakiwa kubandikwa kwenye kioo cha mbele upande wa kushoto mwa chombo cha usafiri. (4) Mtu yeyote atakayekutwa akiendesha chombo cha usafiri ambacho kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kinapaswa kusajiliwa na Halmashauri bila ya kuwa na usajili atakuwa ametenda kosa na endapo atatiwa hatiani atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi mitatu isipokuwa tu kama atathibitisha kuwa kushindwa kusajili chombo chake kumetokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.. - 4 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri
AI-assisted research summary: Mmiliki wa chombo cha usafiri lazima aweke taarifa za mmiliki, apake rangi au alama maalumu, na awasilishe taarifa za dereva na watumishi wengine kama Halmashauri itakavyoelekeza.
4.-(1) Kila mmiliki wa chombo cha usafiri atatakiwa: (a) kuweka maamdishi katika chombo cha usafiri yanayoonyesha jina na anwani ya mmiliki kwa kadri itakavyoelekezwa na Halmashauri; (b) kupaka rangi maalumu au alama maalumu katika chombo cha usafiri itakavyoelekezwa na kwa kadri 2 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) Halmashauri; (c) kuwasilisha taarifa muhimu za dereva na watumishi wengine wa chombo cha usafiri kwa kadri itakavyoelekezwa na Halmashauri. (2) Mmiliki wa chombo cha usafiri atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa na endapo atatiwa hatiani atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi mitatu au vyote kwa pamoja. Maeneo ya maegesho - 5 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri may set aside special parking areas outside road reserves, and the parking fee for those areas is set by the Third Schedule.
5.-(1) Halmashauri inaweza kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya maegesho ya vyombo vya usafiri ambayo yatakuwa nje ya hifadhi za barabara.. (2) Ada ya maegesho katika maeneo maalum yaliyotengwa itakuwa kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. Stendi mabasi daladala ya na Ushuru wa stendi - 6 Verify source ↗
(1) Kila basi la abiria linalosafirissha abiria
AI-assisted research summary: Basi la abiria linalosafirisha abiria ndani na nje ya Halmashauri lazima lipitie au lianze safari katika stendi kuu ya mabasi ya Tukuyu mjini; daladala linalofanya kazi ndani ya Halmashauri lazima lianze na kumalizia safari katika stendi iliyoainishwa. Dereva anayekiuka masharti haya anatenda kosa.
6.-(1) Kila basi la abiria linalosafirissha abiria ndani na nje ya Halmashauri litatakiwa kuanzia safari zake au kupitia katika stendi kuu ya mabasi ya Tukuyu mjini. (2) Kila daladala linalofanya shughuli zake ndani ya Halmashauri litatakiwa kuanzia na kumalizia safari katika stendi ya daladala iliyoainishwa na Halmashauri. (3) Dereva wa basi au daladala atakayekiuka masharti ya kifungu hiki atakuwa ametenda kosa. - 7 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki au dereva wa basi, daladala au
AI-assisted research summary: Wamiliki au madereva wa basi, daladala, au chombo kingine kinachotumia stendi kuu ya mabasi lazima walipe ushuru wa stendi kama ulivyo kwenye Jedwali la Nne.
7.-(1) Kila mmiliki au dereva wa basi, daladala au chombo chochote cha usafiri kinachotumia huduma za stendi kuu ya mabasi atatakiwa kulipa ushuru wa stendi ya mabasi kama ilivyoonyeshwa katika Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii. (2) Mmiliki au dereva wa chombo chochote cha usafiri atakayeshindwa kulipa ushuru bila sababu za msingi atakuwa ametenda kosa na endapo atatiwa hatiani atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi mitatu. Kukamata chombo cha - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kukamata
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukamata chombo cha usafiri kinapokiukwa masharti ya Sheria Ndogo hii, kisha kulitunza kwenye maegesho ya Halmashauri. Chombo kilichokamatwa hulipiwa ada ya utunzaji ya Shilingi 10,000 kwa siku hadi ada ilipwe au upungufu uondolewe.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kukamata chombo chochote cha usafiri endapo mmiliki au dereva wa 3 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) usafiri chombo hicho ataenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii. upungufu atakapoondoa (2) Endapo Halimashauri itakamata chombo cha usafiri kwa mujibu wa kifungu 8(1) itakitunza katika maegesho ya Halmashauri mpaka hapo mmiliki au dereva uliosababisha kukamatwa kwa chombo hicho. (3) Chombo cha usafirishaji kitakachokamatwa na kutunzwa au kuegeshwa katika maegesho ya Halmashauri kitalipiwa ada ya utunzaji ya shilingi Elfu Kumi kwa siku mpaka siku mmiliki au dereva atakapokamilisha kulipa ada au kuondoa upungufu uliosababishwa kukamatwa kwa chombo hicho. Adhabu ya jumla Uwezo wa kufifilisha kosa - 9 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayetenda kosa ambalo adhabu
AI-assisted research summary: A person convicted of an offence not otherwise penalized in this subsidiary legislation faces a minimum fine of 200,000 shillings, imprisonment of 12 to 24 months, or both.
9. . Mtu yeyote atakayetenda kosa ambalo adhabu yake haijaainishwa katika Sheria Ndogo hii endapo atatiwa hatiani atahukumiwa faini isiyopungua shilingi laki mbili na kifungo shilingi milioni moja kisichopungua miezi kumi na miwili jela na kisichozidi miezi ishirini na minne jela au adhabu zote mbili kwa pamoja. isiyozidi au - 10 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging set amounts if the offender admits the offence and completes the prescribed form.
10. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote atakayekuwa ametenda kosa ambalo adhabu yake imeainishwa katika Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu thelathini na kiasi cha shilingi laki moja kwa kosa ambalo adhabu yake imeainishwa katika kifungu cha 15 endapo mkosaji atakiri kutenda kosa kwa kujaza fomu maalumu kama ilivyoonyeshwa katika Jedwali la Tano la Sheria Ndogo hii. JEDWALI LA KWANZA (imetengenezwa chini ya kifungu cha 3(1)) FOMU YA USAJILI
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The form asks for the applicant’s full name.
1. Jina kamili la Mwombaji:.............................................................. - 2 Verify source ↗
Kazi ya Mwombaji
AI-assisted research summary: Heading: Applicant's work.
2. Kazi ya Mwombaji:......................................................................... - 3 Verify source ↗
Maelezo zaidi ya gari
AI-assisted research summary: This section asks for additional vehicle details.
3. Maelezo zaidi ya gari:...................................................................... (a) Aina ya bodi ya gari:................................................................. 4 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) (b) Rangi ya gari:............................................................................. (c) Kiwanda kilichotengeneza gari:................................................. (d) Muundo wa gari:........................................................................ (e) Nambari ya Injini:...................................................................... (f) Mwaka wa kutengenezwa kwa Injini:........................................ (g) Aina ya gari:............................................................................... (h) Uwezo wa gari au idadi ya viti:................................................. (i) Nambari ya leseni ...................................................................... - 5 Verify source ↗
Nambari ya usajiri ya gari
AI-assisted research summary: Section heading: vehicle registration number.
5. Nambari ya usajiri ya gari ............................................................... - 6 Verify source ↗
Kiwango cha ada ya usajili Tshs
AI-assisted research summary: This section concerns the amount of the registration fee in Tanzanian shillings.
6. Kiwango cha ada ya usajili Tshs. .................................................... - 7 Verify source ↗
Nambari ya Pembeni
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha sehemu: “Nambari ya Pembeni”.
7. Nambari ya Pembeni ....................................................................... - 8 Verify source ↗
Maegesho katika Kituo cha Mabasi
AI-assisted research summary: Mmiliki wa gari au chombo cha usafiri lazima amjulishe Halmashauri haraka iwezekanavyo akiuza gari au akiacha biashara chini ya leseni ya Halmashauri.
8. Maegesho katika Kituo cha Mabasi ................................................ Ikiwa Mmiliki wa gari au chombo cha usafiri ataamua kuuza gari yake yake au akiamua kuacha kufanya biashara kwa mujibu wa leseni aliyopewa na Halmashauri ni sharti na lazima atoe taarifa Halmashauri haraka iwezekanavyo. Uthibitisho. Mimi .................................................... nikiwa mmiliki/dereva wa gari aina ya ...................... nathibitisha kwa maelezo niliyotoa ni kweli na sahihi kwa ufahamu wangu wote na kuwa ni kweli tupu kwa ufahamu wangu wote. ....................................... Saini ya mwombaji Tarehe ................... mwezi .................. 20........... MATUMIZI YA OFISI TU. Maombi ya mwombaji yamekubaliwa/yamekataliwa sababu .................................................................................................................... .................................................................................................................... .................................................................................................................... .................................................................................................................... Imetolewa leo hii tarehe ..................... Mwezi .................... 20................ ..................... Saini na Muhuri wa Mkurugenzi. JEDWALI LA PILI 5 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 3(2)) AINA YA CHOMBO CHA USAFIRISHAJI ADA YA USAJILI Tax Cab 1 Daladala au mzunguko 2 3 Gari binafsi ya kukodishwa 4 Gari aina yoyote Pikipiki na bajaji 5 6 Mkokoteni 7 Baskeli za kukodisha KIASI CHA ADA 70,000/= 50,000/= 60,000/= 50,000/= 40,000/= 20,000/= 10,000/= MUDA Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka JEDWALI LA TATU (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 5(2)) USHURU WA MAEGESHO 1 2 Maegesho ya magari ndani ya Stendi zote, maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya maegesho nje ya hifadhi za barabara na masoko yote Vituo vya kuoshea magari 1,000/= kwa siku 6,000/= Kwa mwezi JEDWALI LA NNE Ushuru wa kituo cha mabasi (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 7(1)) Na 1 2 3 4 5 6 7 Aina ya chombo cha usafirishaji Basi dogo chini ya abiria 20 Mabasi ya kati chini ya abiria 40 Mabasi makubwa ya abiria zaidi ya 40 Lori chini ya tani 10 Lori zaidi ya tani 10 Pick up kuanzia tani moja Salon, tax na aina nyingine ya ma gari madogo Kiasi cha ada Tshs. 1,000/= Tshs. 2,000/= Tshs. 4,000/= Tshs. 2,000/= Tshs. 3,000/= Tshs. 1,000/= Tshs. 1,000/= Muda Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku Kwa siku JEDWALI LA TANO 6 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) ( Limetengenzwa chini ya kifungu cha 10) FOMU YA KUFIFILISHA KOSA Mimi........................................................................................................ wa S.L.P .................. Nakiri kuwa tarehe .............................. nilikiuka kifungu cha ...................... cha Sheria Ndogo ya Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ya Mwaka 2020. Kwa hiari yangu mwenyewe na bila kushawishiwa na mtu yeyote, nakubali kulipa kiasi cha Shilingi……………………na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. Leo tarehe………………………………. ya Mwezi…………………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………… Saini………………………………………Tarehe……………………… 7 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Stendi Na Maegesho ya Magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Tangazo La Serikali Na.676 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hii kufuatia Azimio la Mkutano Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe uliofanyika tarehe ………... mwezi…………… 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbele ya Wafuatao:- MHE. EZEKIEL M. MWAKOTA Mwenyekiti(W) Halmashauri Wilaya Rungwe BI. LOEMA I. PETER Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe S.L NAKUBALI DODOMA MHE. SELEMAN SAID JAFO 5 Agosti, 2020 Waziri wa Nchi, Ofisi yRais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa (TAMISEMI) 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO YA MAGARI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE YA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in