SHERIA NDOGO ZA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
This section says the by-law applies throughout Mpanda Municipal Council area and gives key definitions for terms used in the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-law applies throughout Mpanda Municipal Council area and gives key definitions for terms used in the by-law. A Community Health Fund (Tiba kwa Kadi) will be established as voluntary to help finance health services for members. The Fund is to promote health services in the community, support sustainable planning for quality health services, and seek money to improve delivery of quality health services. The District Council Health Board must supervise the provision of health services in the Council. Halmashauri lazima iwe na akaunti ya Mfuko ya kuhifadhi fedha zote za Mfuko, na akaunti hiyo itasainiwa na wawakilishi waliotajwa na Bodi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
Showing 17 of 17
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section says the by-law applies throughout Mpanda Municipal Council area and gives key definitions for terms used in the by-law.
3. SEHEMU YA KWANZA MASHARTI YA UTANGULIZI Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) ya Halmashauri za Manispaa ya Mpanda za Mwaka 2020. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda. isipokuwa kama Katika Sheria Ndogo hizi itaelezwa vinginevyo: “Bodi” maana yake ni chombo kinachosimamia Huduma za Afya katika Halmashauri; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda; “huduma za afya” maana yake ni huduma zote za afya zinazotolewa na hospitali, vituo cha afya, zahanati na kliniki maalum zinazomilikiwa na Serikali, mashirika ya dini, mashirika yasiyo ya kiserikali au watu binafsi; “kadi” maana yake ni kadi itakayotolewa kwa 1 Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) Mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “mchango” maana yake ni mchango wa fedha wa hiari unaotolewa na mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “Mfuko” maana yake ni Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda au afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi” “mwanachama” maana yake ni mtu au kaya yeyote inayochangia Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi). SEHEMU YA PILI MAJUKUMU YA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) NA KAMATI YA AFYA YA KATA Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi)
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: A Community Health Fund (Tiba kwa Kadi) will be established as voluntary to help finance health services for members.
4. Kutakuwa na Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) ambao utakuwa ni wa hiari wenye lengo la kugharamia kutoa huduma za afya kwa wanachama, Madhumuni - 5 Verify source ↗
Mfuko utakuwa na madhumuni yafuatayo
AI-assisted research summary: The Fund is to promote health services in the community, support sustainable planning for quality health services, and seek money to improve delivery of quality health services.
5. Mfuko utakuwa na madhumuni yafuatayo: (a) kuimarisha huduma za afya katika jamii kwa kuhakikisha jamii inachangia upatikanaji wa huduma za afya na kuwa na nguvu ya kufanya maamuzi kuhusu masuala yanayohusu afya; (b) kuweka mipango endelevu ya utoaji wa huduma bora za afya; na (c) kutafuta rasilimali fedha kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa huduma bora za afya. Majukumu ya Bodi ya Huduma za Afya Sura 409 - 6 Verify source ↗
Bodi ya Huduma ya Afya ya Halmashauri
AI-assisted research summary: The District Council Health Board must supervise the provision of health services in the Council.
6.- Bodi ya Huduma ya Afya ya Halmashauri iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Afya ya Jamii itakuwa na wajibu wa kusimamia utoaji wa huduma za afya katika Halmashauri. Akaunti Mfuko ya - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima iwe na akaunti ya Mfuko ya kuhifadhi fedha zote za Mfuko, na akaunti hiyo itasainiwa na wawakilishi waliotajwa na Bodi.
7.- (1) Kutakuwapo ya Mfuko na Akaunti itakayotumiwa na Halmashauri ambamo fedha zote zitakazokusanywa kwa ajili ya Mfuko zitahifadhiwa. 2 Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) (2) Wawekaji wa saini wa Akaunti ya Mfuko watakuwa ni Mwenyekiti wa Bodi au mjumbe wa Bodi mmoja atakayeteuliwa na Bodi kwa upande mmoja na Katibu wa Bodi au Mweka Hazina wa Halmashauri upande mwingine. kwa Vyanzo mapato Mfuko vya vya - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section 8 inaweka vyanzo vya mapato ya Mfuko na inasema fedha zilizokusanywa zitumike kwa shughuli za afya zilizoainishwa na mpango wa afya wa Halmashauri au zilizoidhinishwa na Bodi.
8. Vyanzo vya mapato ya Mfuko vitakuwa ni: (a) (b) fedha zote zitakazopokelewa kutokana na michango ya wanachama; ruzuku kutoka Halmashauri na Serikali Kuu; (c) wahisani mbalimbali toka ndani na nje yaHalmashauri; (d) michango ya watu binafsi wanaoishi ndani na nje ya Halmashauri; (e) ushuru utakaotozwa na Halmashauri kutoka vyanzo mbalimbali na kutengwa kwa ajili ya Mfuko; na (f) mchango kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya; na (1) Fedha zitakazokusanywa na Mfuko zitatumika (b) katika: (a) masuala yanayohusu afya yaliyotajwa katika mpango kabambe wa afya wa Halmashauri; suala au shughuli yoyote muhimu ya afya itakayoidhinishwa na Bodi. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), asilimia themanini ya mapato ya tele kwa tele itabaki kwenye Akaunti ya Mfuko na asilimia ishirini itarudi kwenye vituo vya afya kwa ajili ya matumizi ya vituo hivyo. Matumizi fedha za Mfuko ya - 10 Verify source ↗
Usimamizi na uendeshaji wa Mfuko utakuwa kama
AI-assisted research summary: The Fund is to be managed and operated at council, ward, and street levels under the bodies named in the section.
10. Usimamizi na uendeshaji wa Mfuko utakuwa kama ifuatavyo: (a) katika ngazi ya Halmashauri, utakuwa 3 Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) chini ya Bodi; (b) katika ngazi ya Kata, utakuwa chini ya Kamati ya Maendeleo ya Kata kupitia Kamati za Afya za vituo husika; (c) katika ngazi ya Mtaa, utakuwa chini ya Kamati ya Mtaa kupitia Kamati ya Huduma za Jamii. Taarifa ya fedha na ukaguzi - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Bodi lazima iwasilishe taarifa za fedha za Mfuko kwa Halmashauri kila robo mwaka, na hesabu za fedha za Mfuko zikaguliwe kila mwaka.
11.- (1) Bodi itakuwa na wajibu wa kuwasilisha kwa Halmashauri taarifa za fedha za Mfuko ya kila robo mwaka ya mwaka itakayowasilishwa mwezi mmoja baada ya kumalizika kwa mwaka wa fedha. taarifa na (2) Hesabu za fedha za Mfuko zitakaguliwa kila mwaka kwa kuzingatia taratibu za ukaguzi za fedha za umma. Mipango - 12 Verify source ↗
Mipango ya makadirio ya mapato na matumizi ya
AI-assisted research summary: Bodi lazima iandae, ichambue na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko kabla ya kuyawasilisha Halmashauri.
12.- Mipango ya makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko itaandaliwa, kuchambuliwa na kuidhinishwa na Bodi kabla ya kuwasilishwa katika Halmashauri kwa kuzingatia ratiba ya vikao vya Bajeti vya Halmashauri. Mratibu Mfuko wa - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anamtaja Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii baada ya kushauriwa, na Mratibu huyo ana wajibu wa kusimamia, kuratibu, kuwasiliana, kuandaa taarifa, na kuhudhuria vikao vya Bodi.
13.- (1) Kutakuwa na Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) wa Halmashauri atakayeteuliwa na Mkurugenzi baada ya kushauriwa na Timu ya Menejimenti ya Halmashauri. (2) Mratibu wa Mfuko atakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kufuatilia, kusimamia kuratibu uendeshaji wa Mfuko kwenye vituo vya kutolea huduma za afya; na (b) kuwa kiungo kati ya Halmashauri, jamii na wadau mbalimbali; (c) kuandaa taarifa za Mfuko za robo na za mwaka pamoja na majukumu mengine atakayopangiwa na Mkurugenzi; (d) kuhudhuria vikao vyote vya Bodi na kutoa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Mfuko. 4 Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) Majukumu ya Kamati ya Afya ya Kata - 14 Verify source ↗
Kamati ya Afya ya Kata iliyoundwa kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Kamati ya Afya ya Kata ina majukumu ya kuhamasisha, kupanga, kusimamia na kuratibu shughuli za Mfuko wa Afya ya Jamii; wanachama wa mtu au kaya hulipa mchango wa kila mwaka wa shilingi 30,000, na Halmashauri hulipa ada ya kaya masikini baada ya mapendekezo na idhini zinazohitajika.
14. Kamati ya Afya ya Kata iliyoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Afya ya Jamii itakuwa na majukumu yafuatayo (a) kuhamasisha na kuandaa jamii kujiunga na Mfuko; (b) kuandaa orodha ya wanachama wa ya kufuatilia idadi Mfuko na wanachama; (c) kusimamia ukusanyaji wa michango ya Mfuko; (d) kuratibu viwango vya uchangiaji wa Mfuko; (e) kupitia utendaji wa Mfuko na kutoa mapendekezo ya kuimarisha utendaji kwa Halmashauri kupitia Bodi; kubuni na kuratibu mipango ya afya ya jamii; na (f) (g) kuratibu mikutano ya wanachama wa Mfuko katika eneo la Kata. SEHEMU YA TATU UANACHAMA WA MFUKO (1) Mtu au kaya yoyote itakayotaka kuwa mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) itatakiwa kulipa kila mwaka mchango wa uanachama wa shilingi elfu thelathini. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri itakuwa na wajibu wa kulipa ada ya uanachama wa Mfuko ya kaya masikini baada ya kaya husika kupendekezwa na Kamati ya Afya ya Kata na kuidhinishwa na Bodi. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo 5 Uanachama wa Mfuko
Part
SEHEMU YA TATU
- 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Watu au kaya waliolipa mchango wa uanachama wanapaswa kupewa kadi za uanachama, na Halmashauri inaweza kubadilisha kiwango cha mchango wa uanachama wa Mfuko.
15.- Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) cha (1) na (2), kila mtu au kaya iliyolipia mchango wa uanachama itapewa kadi za uanachama. (4) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri inaweza kubadilisha kiwango cha mchango wa uanachama wa Mfuko. - 16 Verify source ↗
Mtu au kaya itakoma kuwa mwanachama wa
AI-assisted research summary: Mtu au kaya itapoteza uanachama wa Mfuko ikiwa haitalipa mchango wa uanachama ndani ya siku 60 baada ya kumalizika kwa mwaka uliolipiwa mchango.
16. Mtu au kaya itakoma kuwa mwanachama wa Mfuko endapo itashindwa kulipa mchango wa uanachama ndani ya muda wa siku sitini tangu kumalizika kwa kipindi cha mwaka mmoja kilicholipiwa mchango. Ukomo uanachama wa Haki mwanachama za - 17 Verify source ↗
Kila mwanachama atakuwa na haki ya
AI-assisted research summary: Kila mwanachama ana haki ya kupata huduma ya afya aliyolipia kabla ya kuugua, ndani ya eneo la Halmashauri au eneo jingine lililokubaliwa.
17. Kila mwanachama atakuwa na haki ya: (a) kupata huduma ya afya aliyolipia kabla ya kuugua ndani ya eneo la Halmashauri au kadri eneo itakavyokubaliwa; lingine lolote Malipo ya papo kwa papo - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: People who are not members of the Fund must pay immediate treatment fees when they seek care, with set amounts for dispensaries and health centres and a policy-based amount for hospitals.
18. (b) kutoa mapendekezo kuhusu huduma za afya kupitia Kamati ya Afya ya Kata ambayo yatafanyiwa kazi na Bodi; na kushirikishwa kikamilifu katika uandaaji na utekelezaji wa mpango wa upatikanaji wa huduma za afya katika eneo la Halmashauri. (c) SEHEMU YA NNE MASUALA MENGINEYO (1) Mtu yeyote ambaye hatakuwa mwanachama wa Mfuko atalipa malipo ya papo kwa papo kila atakapoenda kupata matibabu katika kituo cha kutolea huduma za afya kwa viwango vifuatavyo: (a) shilingi elfu tatu kwa huduma za afya zinazotolea katika zahanati katika eneo lolote la Halmashauri; (b) shilingi elfu tano kwa huduma za afya 6 Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) zinazotolewa na kituo cha afya kilichopo ndani ya Halmashauri; (c) kiasi kitakachopangwa kwa mujibu wa sera ya afya na miongozo itakayotolewa kwa huduma za afya zinazotolewa na hospitali. Utaratibu wa msamaha
Part
SEHEMU YA NNE
- 19 Verify source ↗
Msamaha kwa wasioweza kulipia gharama za
AI-assisted research summary: Halmashauri must grant and pay for medical fee exemptions for people who cannot afford treatment costs, after the listed local committees review and forward the names and costs.
19. Msamaha kwa wasioweza kulipia gharama za matibabu utatolewa na kulipiwa na Halmashauri baada ya: kuwatambua, (a) Kamati ya Mtaa au Halmashauri ya Kijiji na kuwasilisha mapendekezo ya orodha ya majina ya watu wanaostahili kupewa msamaha kwenye Kamati ya Maendeleo ya Kata; kuwajadili (b) Kamati ya Maendeleo ya Kata kuwajadili wale wasioweza kulipia gharama na kuthibitisha orodha yao na kuiwasilisha kwenye Bodi; na (c) Bodi kujadili mapendekezo husika na kuyawasilisha pamoja na gharama zake kwa Halmashauri kwa ajili ya kulipiwa. Kamati za Afya za Zahanati - 20 Verify source ↗
Kamati ya Afya ya Zahanati na Kamati zote
AI-assisted research summary: Kamati ya Afya ya Zahanati na kamati zote zingine zinapaswa kufanya kazi na Mfuko huu kwa kuzingatia Sheria Ndogo hii.
20. Kamati ya Afya ya Zahanati na Kamati zote ziliundwa chini ya Hati Rasmi ya Uanzishaji wa Bodi, zitafanya kazi na Mfuko huu kwa kuzingatia Sheria Ndogo hii. 7 Sheria Ndogo Za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) Za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 677 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Manispaa Mpanda imegongwa katika sheria ndogo hizi kufuatia azimio Na:MUHT/MMC/BARAZA/02/2018/2019/AGD:13 La kikao cha Halmashauri ya Manispaa kilichofanyika tarehe 25 mwezi Januari, 2019, na imebandikwa na kushuhudiwa na; MICHAEL F. NZYUNGU Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa Mpanda WILLIAM P. MBOGO Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa Mpanda. S.L NAKUBALI Dodoma, 5 Agosti,2020 MHE.SELEMANI S. JAFO (Mb) Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA UANZISHAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII (TIBA KWA KADI) ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in