SHERIA NDOGO ZA HIFADHI ZA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA, 2020
This section gives the short title of the by-law and begins the interpretation section.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA HIFADHI ZA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA, 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the by-law and begins the interpretation section. This section gives the meanings of key terms used in the bylaw, including protected area, council, environmental conservation, and grazing areas. Mifugo inayofugwa ndani ya Halmashauri lazima itii masharti ya eneo, vibali, na njia/maeneo yaliyotengwa; baadhi ya vitendo vya usafirishaji, uuzaji, na uchungaji katika maeneo yasiyoruhusiwa ni kosa. Wakulima ndani ya Halmashauri lazima wazingatie taratibu za kilimo, wasilime maeneo yaliyokatazwa, wasitumie ardhi kinyume na matumizi yaliyoidhinishwa, na wasichome moto kusafisha shamba bila kibali maalumu. Mtu yeyote haruhusiwi kuchimba mchanga, kokoto, mawe, udongo au madini ya ujenzi kwa biashara katika maeneo yaliyotajwa, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri/uhifadhi wa vyanzo vya maji.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA HIFADHI ZA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA, 2020
Showing 10 of 10
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the by-law and begins the interpretation section.
1. Sheria Ndogo hii itaitwa Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Manispaa za Mpanda, 2020. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika
AI-assisted research summary: This section gives the meanings of key terms used in the bylaw, including protected area, council, environmental conservation, and grazing areas.
2. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa pale itakavyoelezwa vinginevyo: “eneo la hifadhi” maana yake ni maeneo ya milima, mbuga za wanyama, maeneo ya vyanzo vya maji, hifadhi ya misitu na maeneo mengine ambayo yatatangazwa na Halmashauri kuwa ni maeneo ya hifadhi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda; “hifadhi ya mazingira” maana yake ni utunzaji endelevu wa ardhi, mimea, hewa, viumbe hai na visivyo hai na vyanzo vya maji unaozingatia masharti na maelekezo yatakayotolewa na Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii au Sheria nyingine yoyote; “maeneo ya malisho” maana yake ni sehemu zote ambazo zimetengwa na Halmashauri au Kijiji kuwa 1 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) Sura ya 191 Sura 323 Masharti kuhusu ufugaji - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Mifugo inayofugwa ndani ya Halmashauri lazima itii masharti ya eneo, vibali, na njia/maeneo yaliyotengwa; baadhi ya vitendo vya usafirishaji, uuzaji, na uchungaji katika maeneo yasiyoruhusiwa ni kosa.
3.- maeneo ya malisho ya mifugo; “mazingira” maana yake ni kama ilivyo tafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “mifugo” maana yake ni mifugo yoyote inayofugwa na binadamu; “misitu” maana yake ni eneo la ardhi ambalo limefunikwa angalau kwa asilimia kumi na miti, uoto wa asili au iliyopandwa, au asilimia hamsini au zaidi, ya vichaka na miti na miti inayoota upya ambayo itajumuisha aina yote ya misitu ya hifadhi ambayo imetangazwa chini ya Sheria ya Misitu na mazao yote ya misitu ikijumuisha majani na nyasi ndani ya eneo la Halmashauri; (1) Mtu yeyote eneo anayefuga katika la Halmashauri atatakiwa kuzingatia masharti yafuatayo: (a) kufuga na kulisha mifugo yake ya malisho katika maeneo yaliyopangwa na Halmashauri; (b) kupitisha mifugo yake katika njia zilizopangwa na kutengwa na Halmashauri; (c) kuwa na ya mifugo kadi itakayoonyesha idadi na aina ya mifugo aliyonayo; (d) kupeleka mifugo yake katika vituo vya na itakavyoamriwa kama chanjo Halmashauri; (e) kupeleka mifugo katika majosho kama atakavyoagizwa na Halmashauri; (f) kuchangia gharama za ukarabati wa majosho kama sehemu ya mchango itakapobidi kufanya wake, pale gharama hivyo, itakayopendekezwa na Halmashauri; kwa na 2 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) (g) kuweka alama kwenye mifugo yake na katika viungo vya mifugo vinavyopendekezwa ili kutoharibu zao la ngozi; (h) kuchangia gharama za uboreshaji malisho ya maeneo wa yaliyotengwa na Halmashauri; kuhudhuria mafunzo ya ufugaji kama na Halmashauri; kutokata miti kwa kufukuza mbung’o atakavyohitajiwa lengo la (i) (j) (2) Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote kufanya yafuatayo: (a) kusafirisha mifugo kuiswaga kwa barabarani; (b) kusafirisha au kuhamisha mifugo kutoka eneo moja hadi lingine bila kibali kutoka kwa Halmashauri; (c) kuingiza mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali; (d) kuuza au kununua mifugo katika maeneo ambayo siyo mnada, masoko au magulio na mifugo ya Halmashauri; yaliyoidhinishwa (e) kufuga mifugo kwa zaidi ya idadi iliyoelekezwa na Halmashauri; au katika (f) kuchunga, kulisha au kunywesha maji ambayo mifugo hayakutengwa kwa shughuli hiyo. (3) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kukamata maeneo au inayokutwa kuchunga, maeneo kulisha katika mifugo yasiyoruhusiwa kunywesha mifugo. (4) Endapo mmiliki wa mifugo iliyokamatwa kwa mujibu wa aya ya (c) kifungu kidogo cha (2) na 3 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) kifungu kidogo cha (3) atashindwa kulipa faini iliyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii, Halmashauri inaweza, baada ya kupata amri ya Mahakama, kuuza kwa njia ya mnada wa hadhara mifugo hiyo na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mifugo baada ya kutoa gharama za ukamataji, utunzaji wa mifugo na Mahakama. Masharti kuhusu kilimo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wakulima ndani ya Halmashauri lazima wazingatie taratibu za kilimo, wasilime maeneo yaliyokatazwa, wasitumie ardhi kinyume na matumizi yaliyoidhinishwa, na wasichome moto kusafisha shamba bila kibali maalumu.
4.- (1) Mtu yeyote eneo anayelima katika la Halmashauri atatakiwa kuzingatia masharti yafuatayo: (a) taratibu za kilimo kwa kuzingatia kalenda ya kilimo ya Halmashauri na kwa kuzingatia Sheria zinazosimamia masuala ya ardhi na mazingira; (b) kutolima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito, mabwawa au maziwa au kufanya jambo lolote litakaloharibu hifadhi ya mazingira; (c) kutotumia ardhi kinyume na matumizi kama ilivyopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri; na (d) kutosafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri. (2) Kibali cha kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto kitakuwa cha maandishi na kitaonyesha jina la mwenye kibali, tarehe na eneo analotaka kuchoma moto. (3) Muda unaoruhusiwa kuchoma moto chini ya Sheria Ndogo hii ni kuanzia kumi na mbili asubuhi hadi saa nne kamili asubuhi na saa kumi na mbili jioni hadi saa moja kamili usiku. Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote kufanya (4) 4 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) yafuatayo: (a) kutozingatia kalenda ya kilimo ya Halmashauri; (b) kulima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito, milima, mabwana au maziwa au kufanya litakaloharibu hifadhi ya jambo mazingira; lolote (c) Kutumia ardhi kinyume na matumizi kama na na kuidhinishwa ilivyopangwa Halmashauri; au Uchimbaji wa madini ya ujenzi - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kuchimba mchanga, kokoto, mawe, udongo au madini ya ujenzi kwa biashara katika maeneo yaliyotajwa, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri/uhifadhi wa vyanzo vya maji.
5.- (d) kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto bila ya kuwa na kibali au nje ya muda ulioruhusiwa chini ya Sheria Ndogo hii. (1) Mtu yeyote hataruhusiwa kuchimba mchanga, kokoto, mawe, udongo au madini yoyote ya ujenzi kwa madhumuni ya kibiashara karibu na makazi ya watu, maeneo ya hifadhi, kandokando ya mito au ndani ya mto, bwawa au ziwa isipokuwa cha Halmashauri. kibali maalumu kwa wa Uhifadhi vyanzo vya maji (2) Mtu atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: People in the Halmashauri area must follow environmental rules on tree planting, land use, and protecting water sources.
6.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakuwa na wajibu wa: (a) kupanda miti isiyonyonya maji kwa kuzingatia maelekezo ya Halmashauri; (b) kutoishi katika eneo la hifadhi au chanzo cha maji; (c) kutolima, kutokata miti, kutochunga lolote au kutofanya mifugo linaloharibu kwa namna yoyote eneo lililotangazwa kuwa eneo la hifadhi au jambo 5 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) chanzo cha maji; au (d) kutoelekeza mabomba ya maji machafu au kujisaidia kwenye mito, mabwawa, maziwa, visima, mifereji, chemchem au sehemu yoyote ambayo ni chanzo cha maji; (e) kujimilikisha eneo ambalo ni chanzo cha maji cha umma. (2) Mtu atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Uhifadhi misitu wa
Part
sehemu yoyote ambayo ni chanzo cha
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: People in the council area must not cut trees in reserved forests without council permission, must not burn forests, and charcoal burning needs a special council permit in designated areas.
7.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakuwa na wajibu wa: (a) kutokata miti katika maeneo ya misitu iliyohifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya aina yoyote bila kupata kibali kutoka Halmashauri; (b) kutochoma moto misitu kwa namna yoyote ile katika eneo la Halmashauri; (c) kutovuna miti isipokuwa kwa kibali maalum cha Halmashauri; au (d) kutovuna miti katika msitu ambao umehifadhiwa kwa ajili ya viumbe malum. (2) Uchomaji wa mkaa utafanyika kwa kibali maalum cha Halmashauri katika maeneo yaliyotengwa mahsusi kwa ajili hiyo. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) na (2) atakuwa ametenda kosa. Utupaji wa taka - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: People in the council area must have a special pit or container for storing waste and must have a clean, safe toilet; the council must also set aside a special area.
8.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakiwa kufanya yafuatayo: (a) kuwa na shimo au chombo maalum cha kuhifadhi taka ngumu na laini; na (b) kuwa na choo safi na salama. (2) Halmashauri itatakiwa kutenga eneo maalum 6 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) Wajibu jumla wa - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Residents must help restore damaged natural areas and join in extinguishing threatening fires when directed; the village council must set aside forest reserve land and require tree planting, and people who ignore these directions without good reason commit an offence.
9.- kwa ajili ya kutupa taka ngumu na laini na kusimamia kwa karibu usafi katika eneo hilo. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. (1) Wakazi wa eneo ambalo uoto wa asili au mazingira yameharibiwa watakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa wanalirudisha katika hali yake ya kawaida eneo hilo kwa kupanda miti na kuendelea kutoharibu mazingira ili kuwezesha uoto au mazingira yarudi katika hali yake ya kawaida kwa kadri watakavyoelekezwa na Halmashauri. (2) Wakazi wa eneo ambalo moto umetokea unaotishia maisha ya watu, mali au mazingira watakuwa na wajibu wa kushiriki kuzima moto na huo Halmashauri. kadri watakavyoelekezwa kwa (3) Kila Halmashauri ya Serikali ya Kijiji itatakiwa kutenga eneo la hifadhi ya misitu, kusimamia kila mwanakijiji anapanda miti isiyopungua kumi katika eneo la makazi na miti hamsini katika eneo la shamba, kila shule au taasisi ya umma inapanda miti ya kukinga upepo kuzunga majengo. (4) Mtu yeyote atakayeshindwa, bila sababu za msingi, kutekeleza maelekezo ya Halmashauri chini ya kifungu kidogo cha (1), (2) na cha (3) atakuwa ametenda kosa. Adhabu - 10 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini
AI-assisted research summary: A person convicted of any offence under this bylaw may be fined up to TSh 50,000, jailed for up to 12 months, or receive both penalties.
10. Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atahukumiwa faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. 7 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) Kufifilisha Kosa 11. Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa endapo mtu atakiri kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kwa kumtoza kiasi cha shilingi elfu thelathini baada ya kujaza fomu maalum iliyoambatishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. 8 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 3(4)) SEHEMU YA KWANZA VIWANGO VYA FAINI KWA MFUGO AU MIFUGO INAYOZURURA NDANI YA ENEO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA Na 1 2 3 AINA YA MFUGO NG’OMBE MBUZI KONDOO KIWANGO CHA FAINI (TSHS) 5000/= kwa kila n’gombe 3000/= kwa kila mbuzi 3000/= kwa kila kondoo SEHEMU YA PILI VIWANGO VYA FAINI KWA MFUGO AU MIFUGO INAYOLISHWA AU KUNYWESHWA KATIKA SEHEMU ZISIZORUHUSIWA Na 1 2 3 Na 1 2 3 AINA YA MFUGO NG’OMBE MBUZI KONDOO KIWANGO CHA FAINI (TSHS) 5000/= kwa kila n’gombe 3000/= kwa kila mbuzi 3000/= kwa kila kondoo SEHEMU YA TATU VIWANGO VYA FAINI KWA MFUGO AU MIFUGO KUINGIA KATIKA ENEO LA HALMASHAURI BILA KIBALI AINA YA MFUGO NG’OMBE MBUZI KONDOO KIWANGO CHA FAINI (TSHS) 5000/= kwa kila n’gombe 3000/= kwa kila mbuzi 3000/= kwa kila kondoo 9 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 11) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi ........................................................................ nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya........................................................... ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda kwamba tarehe ..........ya Mwezi ................... Mwaka................. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …….. cha Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ya Mwaka 2020. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi cha shilingi elfu thelathini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe ......................ya Mwezi ................................Mwaka …… Jina: ..................................................... Saini: .................................................... Mbele ya: Jina……............................................... Cheo: .................................................. Saini: .................................................. Tarehe: .............................................. 10 Sheria Ndogo Za Hifadhi Za Mazingira Za Halmashauri Ya Manispaa Ya Mpanda Tangazo La Serikali Na. 680 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Manispaa Mpanda imegongwa katika sheria Ndogo hizi kufuatia azimio Na: MUHT/MMC/BARAZA/02/2018/2019/AGD:13 la kikao cha Halmashauri ya Manispaa Mpanda kilichofanyika tarehe 25 Mwezi Januari, 2019, na imebandikwa na kushuhudiwa na; MICHAEL F. NZYUNGU Mkurugenzi Halmashauri ya Manispaa Mpanda WILLIAM P. MBOGO Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa Mpanda. S.L NAKUBALI Dodoma, Tarehe 5 Agusti,2020 Mhe.SELEMANI S. JAFO (MB.) Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA HIFADHI ZA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA, 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in