SHERIA NDOGO ZA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
This section gives the title of the by-laws and defines key terms used in them.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the title of the by-laws and defines key terms used in them. Residents and owners must keep areas around their homes or business premises clean, remove debris from nearby drainage channels, and join environmental cleaning activities on the last Saturday of each month or another day set by the council. Owners of houses, plots, or business premises must keep the premises free of standing water, dirty water, rubbish, and other things that could allow mosquito breeding. A person running a pest-spraying business in the council area must have a government-recognized professional certificate and a valid council license, be supervised by a health officer during spraying, and issue a signed certificate after spraying. Violations are an offence. Matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo lazima yafanyike kwenye karakana, gereji, au maeneo yaliyoruhusiwa baada ya kibali rasmi cha Halmashauri. Pia, mtu yeyote haruhusiwi kutengeneza au kuegesha gari bovu kwenye maeneo yaliyotajwa kama marufuku.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
Showing 24 of 24
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section gives the title of the by-laws and defines key terms used in them.
2. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Afya na Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda za Mwaka 2020. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapoelezwa vinginevyo: - “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote atakayeteuliwa na Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chakula” maana chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa dawa, hii ni pamoja na: - yake ni kitu (a) kitu chochote matengenezo ya chakula; kinachotumika katika Sura ya 191 (b) kitu chochote kinachoongeza ladha ya chakula; au (c) kitu chochote kinachobadili rangi ya chakula; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda; “kaya” maana yake ni familia inayojumuisha baba, mama, mtoto au watoto na mtu mwingine yeyote anayeishi na familia hiyo au watu wanaokaa katika nyumba moja na kuishi kama familia au mtu yeyote anayeishi peke yake katika chumba au nyumba; “maji taka” maana yake ni ile iliyoainishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “mkazi” maana yake ni mtu yeyote anayeishi katika 1 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) eneo la Halmashauri na ambaye ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri au anafanya biashara katika eneo la Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; na Afisa pamoja “taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “taka ngumu” Maana yake ni ile iliyoainishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni, taasisi au shirika aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Residents and owners must keep areas around their homes or business premises clean, remove debris from nearby drainage channels, and join environmental cleaning activities on the last Saturday of each month or another day set by the council.
3. (1) Kila mkazi anayemiliki eneo la nyumba, kiwanja au biashara au atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba wa mazingira yanayozunguka makazi au eneo lake hadi mwanzo wa mipaka ya barabara ya mbele ya nyumba yake. anafanya usafi (2) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanja au eneo la biashara atakuwa na wajibu wa kuondoa uchafu kama vile mchanga, majani, nyasi au vitu vingine vinavyofanana na hivyo kwenye mifereji ya kupitisha maji inayozunguka au kupita kando ya nyumba, kiwanja au eneo la biashara yake. (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), na cha (2) kila mkazi atakuwa na wajibu wa kushiriki katika shughuli za usafi wa mazingira katika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi au katika siku itakayopangwa na Halmashauri. (4) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu atakuwa ametenda kosa. Wajibu wa kuondoa na kudhibiti mazalia - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Owners of houses, plots, or business premises must keep the premises free of standing water, dirty water, rubbish, and other things that could allow mosquito breeding.
4. (1) Mmiliki wa nyumba, kiwanja au eneo la biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa katika 2 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) ya mbu. eneo lake hakuna mkusanyiko wa maji, maji machafu, takataka au kitu chochote cha majimaji au kigumu ambacho kinaweza kuruhusu kuwepo kwa mazalia ya mbu au wadudu wengine wenye madhara kwa afya ya binadamu. (2) Mtu yeyote ambaye bila sababu za msingi, atakiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Upulizaji dawa - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: A person running a pest-spraying business in the council area must have a government-recognized professional certificate and a valid council license, be supervised by a health officer during spraying, and issue a signed certificate after spraying. Violations are an offence.
5. (1) Mtu yeyote anayeendesha biashara ya upuliziaji dawa ya kuuwa wadudu au wanyama waharibifu katika eneo la Halmashauri atatakiwa: cha na taaluma kinachotambuliwa na Serikali na leseni hai kutoka Halmashauri; (a) kuwa cheti (b) kusimamiwa na Afisa Afya wakati wa upulizaji; na (c) kutoa cheti baada ya kupuliza dawa kilichosainiwa na Afisa afya. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Matengenezo na maegesho ya magari, pikipiki na mitambo - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo lazima yafanyike kwenye karakana, gereji, au maeneo yaliyoruhusiwa baada ya kibali rasmi cha Halmashauri. Pia, mtu yeyote haruhusiwi kutengeneza au kuegesha gari bovu kwenye maeneo yaliyotajwa kama marufuku.
6. (1) Matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo yatatakiwa kufanyika kwenye karakana, gereji au maeneo yaliyoruhusiwa baada ya kupata kibali rasmi kutoka Halmashauri. (2) Mtu yeyote: (a) hatoruhusiwa kutengeneza gari, pikipiki au mtambo wowote katika eneo la makazi, eneo la wazi au eneo ambalo halikutengwa kwa shughuli hiyo; (b) kuegesha gari bovu kwenye njia ya miguu, mtaa, uchochoro, mtaro, maeneo ya wazi au barabarani. (3) Mtu yeyote atakayekiuka, bila sababu za msingi, masharti ya kifungu kidogo cha (2) atakuwa ametenda kosa. . (1) Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa: 3 Utengenezaji, na uuzaji vyakula. - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Machinjio na maduka ya nyama lazima yatimize masharti na kanuni za afya na yawe na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri.
7. Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) (a) kutimiza masharti na kanuni za afya; na (b) kuwa na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri. Machinjio na maduka ya nyama - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section 8 bans several meat-handling activities and requires butcher-shop owners to meet specified hygiene and equipment standards.
8. (1) Mtu yeyote hatoruhusiwa; (a) kuchinja mifugo katika maeneo yasiyokuwa machinjio; (b) kuuza nyama ya aina yoyote katika maeneo yasiyokuwa maduka ya nyama au katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri; (c) kuuza nyama isiyokaguliwa na mtaalamu wa mifugo au mtaalamu wa afya; na (d) kusafirisha nyama kwa madhumuni ya kibiashara toka machinjioni bila kutumia gari maalumu la kusafirishia nyama lililoidhinishwa na Halmashauri. (2) Kila mmiliki wa duka la kuuzia nyama atatakiwa kuhakikisha yafuatayo: (a) duka lake ni jengo la kudumu lililosakafiwa kwa marumaru nyeupe hadi urefu wa futi sita kutoka usawa wa sakafu; (b) duka lake lina maji safi, misumeno ya kukatia nyama na vyuma vya kutundikia nyama; (c) duka lake lina kabati la vioo na jokofu la kuhifadhia nyama na mizani ya kupimia nyama; (d) duka lake lina pipa au kifaa cha kuhifadhia takataka; (e) muuzaji ana vazi jeupe pamoja na aproni nyeupe na kofia nyeupe; (f) muuzaji anapima afya kila baada ya miezi sita; na (g) duka lake lina karo la maji machafu. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) na (2) atakuwa ametenda kosa. Uendeshaji wa biashara ya hoteli na hosteli - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba za kulala wageni, hosteli, shule, vituo vya kutolea huduma za afya au nyumba za biashara lazima wakaguliwe na Afisa Afya na wapate kibali cha Halmashauri kabla ya kuanza biashara.
9. (1) Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni, hosteli, shule, kituo cha kutolea huduma za afya au nyumba ya biashara kabla ya kuanza biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha: (a) jengo lake limekaguliwa na Afisa Afya; na (b) amepata kibali cha Halmashauri cha kufanya shughuli husika. 4 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) (2) Kibali cha kuendesha biashara ya nyumba ya kulala wageni, hosteli, shule, kituo cha kutolea huduma za afya au nyumba ya biashara kitatolewa baada ya Halmashauri kujiridhisha kuwa mahitaji yafuatayo yamezingatiwa: - (a) jengo lina mwanga na hewa ya kutosha; (b) jengo lina nafasi na vifaa vya kutosha; (c) uimara wa jengo; (d) jengo lina mfumo imara wa uondoshaji wa maji taka, miminika na taka ngumu; (e) usafi wa jumla wa jengo na vifaa vyake; (f) jengo lina vyoo na mabafu ya kutosha kwa jinsia zote; (g) jengo lina vifaa vya zima moto; (h) tanki la kuhifadhia maji safi; (i) vyoo na bafu vimesakafiwa kwa vigae au marumaru na kuta zake zimewekwa vigae kiasi cha futi sita toka usawa wa sakafu; (j) kwa nyumba za kulala wageni na hosteli, uwepo wa vyandarua. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu cha (1) atakuwa ametenda kosa. (4) Bila kuathiri masharti ya kifungu cha (3), wakati wowote Halmashauri ikijiridhisha kuwa mmiliki hajakidhi masharti ya afya inaweza kuzuia utoaji wa huduma husika mpaka hapo mmiliki atakapokuwa kiafya amekidhi masharti yaliyotolewa na Halmashauri. ya Upimaji wa afya - 10 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa hoteli, mgahawa, baa, bucha,
AI-assisted research summary: Wamiliki wa baadhi ya biashara za chakula na hoteli lazima wahakikishe wahudumu wao wanapimwa afya kila baada ya miezi sita.
10. (1) Kila mmiliki wa hoteli, mgahawa, baa, bucha, sehemu za kuokea mikate, nyumba ya kulala wageni na grosari au mtu yeyote anayetengeneza chakula kwa ajili ya kuuza atatakiwa kuhakikisha mhudumu wake amepima afya kila baada ya miezi sita. 5 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) (2) Mmiliki yeyote atakayebainika kuruhusu mhudumu kufanya kazi bila kupimwa afya yake atatakiwa kulipa kiasi cha shilingi elfu hamsini na kuhakikisha mhudumu huyo anapimwa afya. (3) Ada ya upimaji wa afya itakuwa shilingi elfu sita. Ukaguzi wa afya.
Part
sehemu za kuokea mikate, nyumba ya kulala
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge a health inspection fee before issuing or renewing a business license.
11. Halmashauri itatoza ada ya ukaguzi wa afya kabla ya kutoa au kuhuisha leseni ya biashara. Eneo la kutupa taka - 12 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itenge eneo la kutupia taka, iweke vyombo vya kutunzia taka, na itoe huduma ya uzoaji taka. Pia, mtu yeyote haruhusiwi kutupa au kuacha taka/uchafu katika maeneo yaliyotajwa au mahali pasipotengwa kwa shughuli hiyo.
12. (1) Halmashauri itakuwa na wajibu wa: - (a) kutenga eneo maalum kwa ajili ya kutupia taka; (b) kuweka vyombo maalum vya kutunzia taka katika maeneo ya Halmashauri; na (c) kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo taka hadi kutoka kwa wazalishaji wa kwenye dampo. (2) Mtu yeyote atakayetupa taka au uchafu wowote au kuacha takataka au uchafu kwenye nyumba, uchochoro, kiwanja, mfereji wa maji ya mvua, barabara au mahali popote pasipotengwa kwa shughuli hiyo atakuwa ametenda kosa. Vikundi vya wazoa taka - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: The council must encourage and recognize community groups so they can help control solid waste and keep streets clean, and passenger vehicles must have trash containers.
13. Halmashauri itahamasisha uundaji wa Vikundi Jamii na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika mitaa baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. Magari ya abiria kuwa na vyombo vya kuhifadhia takataka - 14 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Mmiliki wa gari la abiria linaloingia katika eneo la Halmashauri lazima awe na chombo cha taka na ahakikishe abiria wanakitumia.
14. (1) Kila mmiliki wa gari la abiria litakaloingia katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuwa na chombo cha kuhifadhi taka na kuhakikisha kwamba kila abiria anatupa taka kwenye chombo hicho. (2) Endapo abiria atatupa takataka nje ya chombo cha usafiri, mmiliki au dereva au kondakta atawajibika kulipa kiasi cha shilingi elfu hamsini chini ya utaratibu wa kufifilisha kosa au kushtakiwa mahakamani. 6 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) Uhifadhi maji taka 15 . (1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara anatakiwa: - (a) kuhakikisha kuwa analo karo la kuhifadhi maji taka; (b) kunyonya maji taka pale karo linapojaa; na (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka vyooni, bafuni, karoni au viwandani kwenda barabarani, uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye mfereji wa maji ya mvua au sehemu yoyote isiyotengwa kuhifadhia maji taka. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Ada ya utozaji taka 16. (1) (2) (3) (4) Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kila mwezi kutoka kwa kila kaya, wamilliki wa nyumba za biashara, taasisi na kampuni zilizopo ndani ya eneo la Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. Ada ya kila mwezi italipwa kila tarehe 30 ya kila mwezi ndani ya mwezi husika na italipwa kwa Afisa Mwidhiniwa ambaye atatoa stakabadhi ya malipo yatakayolipwa na atajaza katika rejista ya wazalishaji taka. Endapo mzalishaji wa taka atashindwa kulipia gharama ya huduma ya uzoaji taka kwa kipindi cha miezi miwili mfululizo, Halmashauri itamtaka kulipa deni hilo na adhabu ya asilimia hamsini ya ada anayostahili kulipa. Endapo mzalishaji taka atashindwa kulipa gharama ya huduma kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (3) itachukuliwa kuwa ametenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi. 7 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) Wajibu wa kuwa na choo na kukitumia
Part
sehemu yoyote
- 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: Wamiliki wa majengo ya makazi au biashara lazima wahakikishe majengo yao yana choo safi na imara kinachotumika wakati wote. Pia, mtu au taasisi inayoandaa mkusanyiko wa muda katika eneo lisilo na choo cha kudumu lazima ijenge vyoo kwa idhini na usimamizi wa Halmashauri.
18. Vyoo vya muda katika mkusanyiko 19. (1) Kila mmiliki wa jengo la makazi au la biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba jengo lake lina choo safi, imara na madhubuti na kuhakikisha kuwa kinatumika wakati wote. Halmashauri inaweza kujenga vyoo vya umma au kumruhusu mtu binafsi, vikundi vya watu au taasisi kujenga vyoo vya umma vitakavyotoa huduma kwa malipo katika maeneo ambayo Halmashauri itaona kuwa kuna haja ya kufanya hivyo. Mtu, kikundi au taasisi yenye lengo la kukutanisha watu kwa muda maalum katika eneo ambalo halina choo cha kudumu itatakiwa kujenga vyoo kwa matumizi ya wakati huo kwa idhini na usimamizi wa Halmashauri. (2) Mtu, kikundi au taasisi itakayokiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) itakuwa imetenda kosa. Ilani ya kujenga choo - 20 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Ikiwa ukaguzi wa afya unaonyesha nyumba haina choo, choo kimejaa, au hakifai, afisa mwidhiniwa lazima ampe mmiliki ilani ya siku 30 ya kurekebisha hali hiyo.
20. (1) Endapo katika ukaguzi wa afya itagundulika kuwa nyumba yoyote haina choo, choo kilichopo kimejaa au hakifai kwa matumizi ya binadamu, Afisa Mwidhiniwa atatoa ilani ya siku thelathini kwa mmiliki wa nyumba akiainisha masharti ya kurekebisha hali hiyo. (2) Mmiliki wa nyumba atakayeshindwa kutekeleza masharti ya Ilani iliyotolewa chini ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri inaweza kuamuru nyumba au jengo hilo lisitumike kwa shughuli za makazi au biashara hadi hapo hali hiyo itakapokuwa imerekebishwa. Ilani ya kuondoa kero - 21 Verify source ↗
(1)
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa akigundua kero katika eneo alilokagua, lazima atoе ilani ya siku saba kwa mhusika ili aondoe kero hiyo.
21. (1) Endapo Afisa Mwidhiniwa atagundua kuwa eneo alilokagua lina kero yoyote atatoa ilani ya siku saba kwa mmiliki wa nyumba, mpangaji, mtumiaji au mtu yeyote anayehusika akimtaka kuondoa kero hiyo. 8 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) Uteuzi wa Wakala - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: A person who fails to comply with a notice within the stated time commits an offence. The Council may appoint a company or community group to carry out its functions, except certain specific functions of the Director, Authorized Officer, and Health Officer under these bylaws.
22. (2) Mtu yeyote atakayeshindwa kutekeleza masharti ya ilani aliyopewa ndani ya muda ulioainishwa kwenye ilani atakuwa ametenda kosa. Halmashauri inaweza kuteua kampuni au kikundi cha jamii kutekeleza majukumu yake isipokuwa majukumu mahsusi ya Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa na Afisa Afya chini ya Sheria Ndogo hizi. Adhabu - 24 Verify source ↗
Section 24
AI-assisted research summary: Mtu anayepatikana na kosa chini ya Sheria Ndogo hii anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote kwa pamoja; pia Mkurugenzi anaweza kutoza faini ya shilingi 30,000 ikiwa mkosaji akikiri kosa kwa hiari na kujaza fomu maalum.
24. Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atahukumiwa faini isiyozidi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili au vyote kwa pamoja. shilingi Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu thelathini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiyari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoambatishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 16 (1)) Ada za uzoaji Taka Na. Aina ya Biashara,asasi au kampuni Kaya Pombe za kienyeji Maduka ya rejareja Mama, baba lishe Wachoma viazi/chipsi Ghala za mbao Restaurant (mgahawa) Maduka ya jumla Nyumba za kulala wageni
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 16 Verify source ↗
Saloon/vinyozi
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada za saloon/vinyozi kwa mwezi na kwa mwaka.
16. Saloon/vinyozi 9 Ada kwa mwezi (tshs) 2,000 5,000 5,000 3,000 5,000 5,000 5,000 15,000 10,000 5,000 5,000 15,000 4,000 10,000 10,000 3,000 Ada kwa mwaka (tshs) 24,000 60,000 60,000 36,000 60,000 60,000 60,000 180,000 120,000 60,000 60,000 180,000 48,000 120,000 120,000 36,000 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) - 36 Verify source ↗
Depo (TBL, COCACOLA/ PEPSI,
AI-assisted research summary: Section 36 is titled “Depo” and lists TBL, COCACOLA/PEPSI, SERENGETI, and MAJI.
36. Depo (TBL, COCACOLA/ PEPSI, SERENGETI, MAJI) - 39 Verify source ↗
Uchimbaji wa udongo na mawe kwa ajili ya
AI-assisted research summary: This provision is about the excavation of soil and stone for industrial use or construction.
39. Uchimbaji wa udongo na mawe kwa ajili ya matumizi ya viwandani au ujenzi. - 42 Verify source ↗
Umwagiliaji wa mashamba kutoka maji ya
AI-assisted research summary: This section is about irrigating farms from natural river water.
42. Umwagiliaji wa mashamba kutoka maji ya mito ya asili - 53 Verify source ↗
POSTA
AI-assisted research summary: Section 53 contains a list of monetary amounts under the heading “POSTA” and references Mpanda municipal health and environmental sanitation by-laws.
53. POSTA 10 15,000 10,000 2,000 2,000 3,000 25,000 10,000 10,000 5,000 15,000 2,000 15,000 5,000 10,000 2,000 15,000 30,000 10,000 2,000 20,000 180,000 120,000 24,000 24,000 36,000 300,000 120,000 120,000 60,000 180,000 24,000 180,000 60,000 120,000 24,000 180,000 360,000 120,000 24,000 240,000 10,000 5,000 100,000 120,000 60,000 1,200,000 10,000 15,000 15,000 20,000 30,000 15,000 7,000 4,000 15,000 9,000 5,000 10,000 10,000 10,000 120,000 180,000 180,000 240,000 360,000 180,000 84,000 48,000 180,000 108,000 60,000 120,000 120,000 120,000 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) - 58 Verify source ↗
Na mengine yatakayoanzishwa
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha fomu ya kukiri kosa na marejeo ya tozo; pia kinataja kuwa mtu anaweza kulipa shilingi 30,000 badala ya kushitakiwa mahakamani.
58. Na mengine yatakayoanzishwa 10,000 10,000 10,000 120,000 120,000 120,000 KILA OFISI KULIPIA TOZO 10,000 120,000 JEDWALI LA PILI (Limetungwa chini ya kifungu cha 24) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi……………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mpanda, kuwa Tarehe ………Mwezi………. Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda za Mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi elfu thelathini na kutekeleza wajibu wangu badala ya kushitakiwa mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………………………. ya Mwezi…………………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………… ……… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………… ……. Saini………………………………………Tarehe……………………………… …… 11 Sheria Ndogo za Afya Na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Tangazo la Serikali Na. 712 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Manispaa Mpanda imegongwa katika Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio Na: MUHT/MMC/BARAZA/02/2018/2019/AGD:13 la kikao cha Halmashauri ya Manispaa Mpanda kilichofanyika tarehe 25 Mwezi Januari,2019, na imebandikwa na kushuhudiwa na; MICHAEL F. NZYUNGU Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa Mpanda WILLIAM P. MBOGO Mstahiki Meya, Halmashauri ya Manispaa Mpanda L.S NAKUBALI, Dodoma, Mhe. SELEMANI S. JAFO (Mb) 5 Agosti, 2020 Waziri Wa Nchi- OR - Tamisemi 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA ZA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in