Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020
These by-laws are called the Njombe District Council (Control of Forest Products Trade) By-laws, 2020, and they apply throughout the whole area of Njombe District Council.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These by-laws are called the Njombe District Council (Control of Forest Products Trade) By-laws, 2020, and they apply throughout the whole area of Njombe District Council. This section defines key terms used in the by-laws, including the authorized officer, the Council, forest products, the Director, buyer, seller, village government, levy, service levy, and agent. Halmashauri lazima ianzishe utaratibu maalumu wa kuuza na kununua mazao ya misitu ndani ya mamlaka yake, na wauzaji na wanunuzi watumie kipimo cha mita za ujazo. Halmashauri lazima ianzishe masoko maalumu ya mbao, na mbao zishughulikiwe tu katika maeneo maalumu yaliyoidhinishwa; kuuza, kununua, kuanika au kukausha mbao nje ya maeneo hayo ni kosa. Mnunuzi wa mazao ya misitu lazima aonunue kwa kufuata kipimo cha mita za ujazo na alipie malipo na ushuru unaostahili kwa Halmashauri; kununua kinyume na utaratibu uliotajwa ni kosa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020
Showing 29 of 29
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: These by-laws are called the Njombe District Council (Control of Forest Products Trade) By-laws, 2020, and they apply throughout the whole area of Njombe District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapoelekezwa
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including the authorized officer, the Council, forest products, the Director, buyer, seller, village government, levy, service levy, and agent.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa itakapoelekezwa vinginevyo: - "afisa mwidhiniwa" maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. "Halmashauri" maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Njombe; "Mazao ya Misitu" maana yake ni mbao, nguzo ndogo (Milunda), nguzo kubwa, mkaa, magome ya miti, fito, na magogo mabichi na makavu; "Mkurugenzi" maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, na ni pamoja na Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 1 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe "Mnunuzi" maana yake ni mtu, kikundi cha watu, kampuni, taasisi au shirika ambalo linanunua mazao ya Misitu ndani ya Halmashauri na itahusisha pia mtu, kikundi cha watu, Kampuni, Taasisi au Shirika ambalo linasafirisha mazao nje ya Halmashauri; "Muuzaji" maana yake mtu, Kikundi cha watu, Kampuni, Taasisi au shirika linalojishughulisha na lolote uzalishaji au uuzaji wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri; "Serikali ya kijiji" maana yake ni mamlaka ya kijiji iliyopo ndani ya mamlaka ya Halmashauri na ambapo biashara ya mazao ya misitu inafanyika; "Ushuru" maana yake ni ushuru wa mazao ya misitu usiozidi asilimia 5 ya bei ya kununulia mazao ya misitu unaolipwa na mnunuzi kwa Halmashauri; "Ushuru wa huduma" maana yake ni ushuru wa huduma unaolipwa kwa Halmashauri na muuzaji wa mazao ya misitu kutokana na asilimia 0.3 ya mauzo ya biashara husika; "Wakala" maana yake ni mtu binafsi, kikundi cha watu, Kampuni, Taasisi, Shirika au Serikali ya Kijiji atakayeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. na Halmashauri - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ianzishe utaratibu maalumu wa kuuza na kununua mazao ya misitu ndani ya mamlaka yake, na wauzaji na wanunuzi watumie kipimo cha mita za ujazo.
4. (1) Halmashauri itaanzisha utaratibu maalumu wa uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu yanayopatikana ndani ya mamlaka ya Halmashauri. Uanzishaji wa utaratibu maalum wa uuzaji na ununuziwa mazao ya misitu (2) Mazao ya misitu yatauzwa, kununuliwa na kutozwa bei kwa kutumia kipimo cha mita za ujazo. (3) Kila muuzaji na mnunuzi wa mazao ya misitu anawajibika kuuza au kununua mazao ya misitu na kutoza bei ya zao husika kwa kutumia kipimo cha mita za ujazo. Maeneo ya kuuza na - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ianzishe masoko maalumu ya mbao, na mbao zishughulikiwe tu katika maeneo maalumu yaliyoidhinishwa; kuuza, kununua, kuanika au kukausha mbao nje ya maeneo hayo ni kosa.
5. (1) Halmashauri itanzisha masoko maalumu ya kuuza na 2 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kukaushia mbao kununua mbao. (2) Mbao zitakaushwa, kuuzwa na kununuliwa kwenye maeneo maalumu yaliyoidhinishwa na Halmashauri kama ilivyoonyeshwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi (3) Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote kuuza, kununua, kuanika au kukausha mbao kwenye maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Mnunuzi wa mazao ya misitu lazima aonunue kwa kufuata kipimo cha mita za ujazo na alipie malipo na ushuru unaostahili kwa Halmashauri; kununua kinyume na utaratibu uliotajwa ni kosa.
6. (1) Wajibu wa mnunuzi wa mazao ya misitu (2) Itakuwa ni wajibu wa kila mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya eneo kununua mazao na kulipa malipo kwa kuzingatia kipimo cha mita za ujazo kwa kila zao atakalonunua ikiwa ni pamoja na kulipa ushuru unaostahili kwa Halmashauri. Itakuwa ni kosa kwa Mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya mamlaka ya Halmashauri kununua mazao ya misitu kinyume na utaratibu ulioelezwa katika kifungu cha kwanza. - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Muuzaji wa mazao ya misitu lazima auze na kupanga bei kwa kipimo cha mita za ujazo, na alipe ushuru unaostahili kwa Halmashauri.
7. (1) Wajibu wa muuzaji wa mazao ya misitu (2) Itakuwa ni wajibu wa kila muuzaji wa mazao ya misitu kuuza na kutoza bei ya mazao yake ya misitu kwa kuzingatia kipimo cha mita za ujazo ikiwa ni pamoja na kulipa ushuru unaostahili kwa Halmashauri. Itakuwa ni kosa kwa muuzaji wa mazao ya misitu kuuza na kutolipa ushuru unaostahili kinyume na utaratibu ulioelekezwa katika kifungu cha kwanza. Leseni ya biashara ya mazao ya misitu - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Wauzaji wa mazao ya misitu lazima wawe na leseni za biashara na usajili, na kuuza bila leseni hizo ni kosa.
8. (1) Kila Muuzaji wa mazao ya misitu ndani ya leseni ya Halmashauri atalazimika kuwa na kuendesha biashara ya mazao ya misitu. (2) Kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi, leseni ya usajili wa biashara ya mazao ya misitu itakuwa ni lazima kwa kila muuzaji wa mazao ya misitu ikiwa ni pamoja na mtu yeyote anayeuza mazao hayo kutoka 3 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe shambani kwake. (3) Ni kosa kwa Muuzaji yeyote wa mazao ya misitu kuendesha biashara ya mazao ya misitu bila kuwa na leseni ya usajili wabiashara ya mazao ya misitu na leseni ya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri. - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Wauzaji wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri lazima walipie ushuru wa huduma, na wanunuzi lazima walipie ushuru wa mazao ya misitu usiozidi 5% ya bei ya kununulia.
9. (1) Itakuwa ni wajibu kwa kila muuzaji wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri kulipa ushuru wa huduma. Wajibu wa kulipa Ushuru wa Huduma na Ushuru wa mazao ya Misitu (2) Ushuru wa mazao ya misitu utakaolipwa kwa Halmashauri kwa mujibu wa kifungu cha (1),ni kutokana na muuzaji kuendesha biashara ya mazao ya misitu ndani ya mamlaka ya Halmashauri. Itakuwa ni wajibu wa kila mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri kulipa ushuru wa mazao ya misitu usiozidi asilimia tano (5%) ya bei ya kununulia. (3) (4) Katika kudhibiti ukwepaji wa ulipaji ushuru wa mazao ya misitu, bei ya soko ya wakati huo itatumika katika kukokotoa ushuru anaotakiwa kulipa Mnunuzi wa mazao ya misitu. (5) Ushuru wa mazao ya misitu utalipwa kwa afisa mwidhiniwa au waka na kupewa stakabadhi ya Halmashauri kabla ya mnunuzi wa mazao kusafirisha mazao husika. Vibali vya kuvuna, kuuza na kununua mazao ya misitu - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Serikali ya Kijiji lazima itoe vibali vya uvunaji, uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu, na wauzaji/wanunuzi pamoja na wavunaji lazima wapate kibali hicho.
10. (1) Utakuwa ni wajibu wa kila Serikali ya Kijiji ndani ya mamlaka ya Halmashauri kuhakikisha inatoa vibali vya uvunaji, uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu kwa kila mvunaji muuzaji, na mnunuzi ndani ya Kijiji husika. 4 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe (2) Utaratibu wa utoaji wa vibali vya uvunaji, uuzaji, upakiaji na ununuzi wa mazao ya misitu ndani ya kijiji utakuwa ni wa lazima kwa kila muuzaji na mnunuzi. (3) Kila mvunaji, muuzaji na mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya Kijiji atalazimika kupata kibali cha uvunaji,uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu katika Ofisi ya Kijiji kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. (4) Serikali ya Kijiji inaweza kufuatilia na kujiridhisha endapo muuzaji au mnunuzi wa mazao ya misitu aliyepewa kibali cha ukataji au ununuzi wa mazao ya misitu anazingatia matakwa ya Sheria Ndogo hizi. Uteuzi wa wakala au afisa mwidhiniwa - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua wakala au afisa mwidhiniwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi.
11. (1) Halmashauri inaweza kumteua wakala au afisa mwidhiniwa kwa madhumuni ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. Viwango vya bei za uuzaji mazao - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: An appointed council agent or authorized officer must enforce these bylaws and may levy fines on the council’s behalf. Forest produce sale and purchase prices are tied to the current market price, and the council may issue indicative prices with the listed collaborators.
12. (2) Wakala au Afisa mwidhiniwa atakayeteuliwa na Halmashauri atakuwa na jukumu la kuhakikisha matakwa ya Sheria Ndogo hizi yanatekelezwa na kutoza faini kwa niaba ya Halmashauri kama ilivyoelezwa na Sheria Ndogo hizi. (1) Bila ya kuathiri masharti yoyote ya Sheria Ndogo hizi, bei za uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu itatozwa kwa kipimo cha mita za ujazo kwa kila aina ya zao la msitu. (2) Bei ya uuzaji na ununuzi wa kila zao la misitu itatozwa kulingana na hali halisi ya soko la mazao ya misitu kwa wakati huo. (3) Bila kuathiri masharti yaliyotajwa katika kifungu cha (1) na (2) hapo juu, Halmashauri kwa kushirikiana na Serikali Kuu na vyama vya wakulima wa miti inaweza kutoa bei elekezi ya uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu ndani ya mamlaka ya Halmashauri bila kumwathiri muuzaji na mnunuzi wa zao husika. 5 - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuanzisha vituo vya ndani ili kukagua mazao ya misitu yanayosafirishwa.
13. Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Uanzishwaji (1) Halmashauri inaweza kuanzisha vituo mbalimbali wa vituo vya ndani ya Halmashauri kwa madhumuni ya kukagua ukaguzi wa mazao ya misitu yanayosafirishwa kutoka ndani ya mazao ya mamlaka ya Halmashauri. misitu (2) Ukaguzi wa mazao ya misitu katika vituo utahusisha uhakiki wa nyaraka za uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu, ushuru uliolipwa, bei ya kununulia na vibali vilivyotolewa kijijini kuruhusu uuzaji na ununuzi wa mazao ya misitu. Usafirishaji wa mazao ya misitu - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: A transporter of forest products within the Council area must obtain the required transport documents.
14. (1) Kila msafirishaji wa mazao ya misitu ndani ya mamlaka ya Halmashauri atahakikisha anapata nyaraka muhimu za kusafirisha mazao ya misitu kama ifuatavyo - a) kibali vya uvunaji wa mazao ya misitu vilivyotolewa na Kijiji kwa muuzaji na mnunuzi wa zao hilo; b) kibali vya upakiaji; c) nyaraka zinazoonyesha bei iliyotumika kununua zao husika kwa vipimo vya mita za ujazo; d) kibali cha kusafirisha zao husika; e) nakala ya stakabadhi ya ushuru uliolipwa na f) muuzaji au mnunuzi wa mazao hayo; leseni ya usajili wa biashara ya mazao ya misitu; na g) leseni ya biashara ya mazao ya misitu kutoka Halmashauri. - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Mazao ya misitu yanaweza kupakiwa na kusafirishwa tu ndani ya saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni; usiku kunawezekana tu kwa kibali maalum kutoka kwa afisa mwidhiniwa.
15. (1) Muda wa kupakia mazao ya misitu utakuwa ni kati ya saa 12:00 asubuhi na saa 12:00 jioni. Muda wa kupakia na kusafirisha mazao ya misitu (2) Muda wa kusafirisha mazao ya misitu itakuwa ni kati ya saa 12:00 asubuhi na saa 12:00 jioni na si zaidi ya hapo. (3) Upakiaji na usafirishajiwa mazao ya misitu unaweza kufanyika usiku iwapo msafirishaji atakuwa amepata 6 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kibali maalum cha kusafirisha mazao ya misitu usiku kutoka kwa afisa mwidhiniwa. Itakuwa ni kosa kwa msafirishaji yeyote wa zao la misitu ndani ya mamlaka ya Halmashauri kusafirisha mazao ya misitu bila kuzingatia masharti ya kifungu hiki. (4) Kutaifisha Mazao ya misitu - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: Baada ya kupata kibali cha Mahakama, Halmashauri inaweza kutaifisha na kuuza mazao ya misitu yaliyouzwa au kununuliwa bila kufuata masharti ya Sheria Ndogo hizi ikiwa mwenye mazao hayo ametoroka na kuyatelekeza.
16. (1) Baada ya kupata kibali cha Mahakama Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kutaifisha na kuuza mazao ya misitu yaliyouzwa au kununuliwa bila kufuata masharti ya Sheria Ndogo hizi iwapo mwenye mazao hayo ya misitu ametoroka na kuyatelekeza. Kufililisha makosa - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: Halmashauri haiwajibiki kwa hasara za muuzaji au mnunuzi wa mazao ya misitu yaliyotaifishwa wakati inauza mazao hayo, isipokuwa hasara imesababishwa na uzembe wake. Mkurugenzi anaweza kufililisha kosa kwa kutoza shilingi laki mbili ikiwa mkosaji anakiri, anajaza fomu, na analipa ada/ushuru unaodaiwa. Pia, mtu yeyote anatenda kosa kwa vitendo kadhaa vinavyohusu biashara, usafirishaji, ukaguzi, leseni, ushuru, na utii wa maelekezo.
18. (2) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea kwa muuzaji au mnunuzi wa mazao ya misitu yaliyotaifishwa, kwa kutekeleza mamlaka yake ya kuuza mazao hayo,isipokuwa kama hasara hiyo imesababishwa na uzembe wa Halmashauri. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha makosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum na kulipa ada au ushuru anaodaiwa kama iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hizi. Mtu yoyote atakuwa ametenda kosa endapo- a) atauza mazao ya misitu kinyume na Sheria Ndogo hizi; b) atanunua mazao ya misitu kinyume na Sheria Ndogo hizi; c) atasafirisha mazao ya misitu bila ya kuwa na nyaraka zilizoelezwa katika Sheria Ndogo hizi; d) atamshawishi mtu au kundi la watu kukiuka matakwa ya Sheria Ndogo hizi; e) atakataa au kushindwa kutii maagizo halali ya afisa mwidhiniwa au wakala; f) atamzuia afisa mwidhiniwa au wakala 7 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kutekeleza majukumu yake; g) atalazimisha kupita katika vituo vya ukaguzi wa mazao ya misitu kwa nguvu bila kukaguliwa; h) ataendesha biashara ya mazao ya misitu bila kuwa na leseni ya usajili wa biashara husika; i) ataendesha biashara ya mazao ya misitu bila kuwa na leseni ya biashara kutoka Halmashauri; j) atauza mazao ya misitu bila kulipa ushuru wa Halmashauri; k) atanunua, kuuza au kutorosha mazao ya misitu kwa madhumuni ya kukwepa masharti ya Sheria Ndogo hizi; na l) atasafirisha mazao ya misitu nyakati za usiku bila kibali maalum. Adhabu - 19 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya
AI-assisted research summary: Anyone who breaches these by-laws commits an offence and may be fined, imprisoned for up to 12 months, or both.
19. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na endapo akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi laki tatu au kutumikia kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili (12) au adhabu zote mbili yaani faini na kifungo kwa pamoja. 8 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe JEDWALI LA KWANZA _______ (chini ya kifungu cha 5(2) MASOKO NA MAENEO YA KUKAUSHIA, KUUZA NA KUNUNUA MBAO
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 12 Verify source ↗
Ukalawa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha Fomu Namba 1 ya kibali cha kuvuna au kuuza mazao ya misitu katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe.
12. Ukalawa 9 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe JEDWALI LA PILI (Limetungwa chini ya kifungu cha 10(3)) FOMU NAMBA 1 SHERIA NDOGO (UDHIBITI WA BIASHARA YA MAZAO YA MISITU) ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE ZA MWAKA, 2020 KIBALI CHA KUVUNA/KUUZA MAZAO YA MISITU KATIK HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Jina mvunaji/muuzaji:_____________________________________
AI-assisted research summary: Blank field for the name of the harvester/seller.
1. Jina mvunaji/muuzaji:_____________________________________ - 2 Verify source ↗
Anuani S.L.P_____mji/kijiji______kitongoji_______ Simu_______
AI-assisted research summary: This line is for filling in an address and phone number.
2. Anuani S.L.P_____mji/kijiji______kitongoji_______ Simu_______ - 3 Verify source ↗
Mahali anapoishi Mji/Kijiji _________ Kitongoji:______________
AI-assisted research summary: A form field asks for the place where a person lives, including town/village and neighborhood.
3. Mahali anapoishi Mji/Kijiji _________ Kitongoji:______________ - 4 Verify source ↗
Aina ya zao analotaka kukata:______________________________
AI-assisted research summary: This text is a form label asking for the type of crop the person wants to cut.
4. Aina ya zao analotaka kukata:______________________________ - 5 Verify source ↗
Jina la Mnunuzi:_________________Anuani__________________
AI-assisted research summary: Form field for the buyer’s name and address.
5. Jina la Mnunuzi:_________________Anuani__________________ - 6 Verify source ↗
Kiasi cha mazao kichovunwa/uzwa:__________________________
AI-assisted research summary: Section 6 refers to the amount of produce harvested/sold and leaves a blank space to be filled in.
6. Kiasi cha mazao kichovunwa/uzwa:__________________________ - 7 Verify source ↗
Namba ya leseni ya biashara ya mazao ya misitu________________
AI-assisted research summary: Mtu anayeuza mazao ya misitu lazima azingatie matakwa ya Sheria Ndogo za Njombe na atumie kipimo cha mita za ujazo katika bei.
7. Namba ya leseni ya biashara ya mazao ya misitu________________ MIMI_______________________________________NAAPA / NATHIBITISHA kwamba nitauza mazao yangu ya misitu kwa kuzingatia matakwa ya Sheria Ndogo (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka, 2020 kwa kuzingatia kipimo cha mita za ujazo katika kutoza bei na sio Vinginevyo. Pia natambua kuwa kuuza mazao hayo kinyume na matakwa ya Sheria Ndogo hizi ni kosa na nastahili adhabu. Tarehe ya kuomba kibali: ______________________________________ Saini ya Mwombaji:__________________________________________ Tarehe ya kutolewa kibali:_____________________________________ Jina la Afisa Mtendaji waKijiji__________________________________ Saini ya Afisa Mtendaji:_______________________________________ Mhuri wa Mtendaji wa Kijiji:___________________________________ 10 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe FOMU NAMBA 2 KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA MISITU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE - 1 Verify source ↗
Jina la Mnunuzi:_______________________________________
AI-assisted research summary: Line 1 is a blank field for the buyer’s name.
1. Jina la Mnunuzi:_______________________________________ - 2 Verify source ↗
Anuani S.L.P _____ Mji/kijji _____ kitongoji_____ Simu _____________
AI-assisted research summary: This line is for entering an address, locality, neighborhood, and phone number.
2. Anuani S.L.P _____ Mji/kijji _____ kitongoji_____ Simu _____________ - 3 Verify source ↗
Aina ya zao analotaka kununua:___________________________
AI-assisted research summary: Section heading about the type of crop the buyer wants to purchase.
3. Aina ya zao analotaka kununua:___________________________ - 6 Verify source ↗
Kiasi cha Mazao ya misitu kitachonunuliwa:________________________
AI-assisted research summary: Mtu anayenunua mazao ya misitu lazima ayanunue kwa kuzingatia Sheria Ndogo hizi na alipe kwa kipimo cha mita za ujazo, si vinginevyo.
6. Kiasi cha Mazao ya misitu kitachonunuliwa:________________________ MIMI______________________________________NAAPA / NATHIBITISHA; kwamba nitanunua mazao ya misitu kwa kuzingatia matakwa ya Sheria Ndogo ( Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020 kwa kuzingatia kipimo cha mita za ujazo katika kulipa bei na sio Vinginevyo. Pia natambua kuwa kununua mazao hayo kinyume na matakwa ya Sheria Ndogo hizi ni kosa na nastahili adhabu. Tarehe ya kuomba kibali: ___________________________________ Saini ya Mwombaji:________________________________________ Tarehe ya kutolewa kibali:___________________________________ Jina la Afisa Mtendaji wa Kijiji:______________________________ Saini ya Afisa Mtendaji:____________________________________ Mhuri wa Mtendaji wa Kijiji:_________________________________ 11 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe JEDWALI LA TATU (Limetungwa chini ya kifungu cha (17) HATI YA KUFILILISHA MAKOSA Mimi ………………………………………… nakiri KWA HIYARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Njombe, kwamba tarehe …… ya mwezi ………………. mwaka ………………… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …………………………… cha Sheria Ndogo za (Uthibiti wa Biashara za Mazao ya Misitu) za Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, niko tayari kulipa faini ya kiasi cha shilingi laki mbili pamoja na ada au ushuru ninaodaiwa. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO NILIYOTOA HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya mwezi……… mwaka ………………………. Jina…………………………………… Saini………………….…………… YANGU KADRI HIARI Mbele ya: Jina: …………………………………………… Cheo: ………………………………….………. Saini: ……………………….….……………… 12 Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililotolewa katika kikao cha baraza la madiwani cha tarehe 31 /7/2019 na kushuhudiwa na: ALLY J. ALLY .……….……………………… Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. …………………………………….. VALENTINO A. HONGOLI Mwenyekiti wa Halmshauri Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. NAKUBALI Dodoma, 1st September, 2020 ……………………………… SELEMANI S. JAFO (MB) Waziri wa Nchi-0R-TAMISMI 13
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Udhibiti wa Biashara ya Mazao ya Misitu) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in