Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya Njombe za Mwaka 2020
Section 2 gives the title of the bylaw and defines key terms such as fee, levy, permit, council, authorized officer, director, special areas, and agent.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya Njombe za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Section 2 gives the title of the bylaw and defines key terms such as fee, levy, permit, council, authorized officer, director, special areas, and agent. Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa shughuli na huduma zilizoainishwa, na malipo ya ada au ushuru hufanywa kwa Halmashauri (au Wakala wake kwa ushuru) kabla au wakati wa kupokea huduma. Anyone liable to pay a fee or tax under these by-laws must pay it at the rates set out in the by-laws. Mtu anayesafirisha mazao zaidi ya tani moja kutoka Halmashauri kwenda nje ya Halmashauri lazima awe na kibali cha kusafirisha mazao. Halmashauri inaweza kuweka kizuizi ndani ya eneo lake ili kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi, na mfanyabiashara aliye na kitambulisho husika anaelezwa kuwa hatatozwa ushuru wa aina yoyote ikiwa biashara yake inakidhi vigezo vinavyotakiwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya Njombe za Mwaka 2020
Showing 15 of 15
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Section 2 gives the title of the bylaw and defines key terms such as fee, levy, permit, council, authorized officer, director, special areas, and agent.
2. Sheria Ndogo hizi itajulikana kama Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya Njombe za Mwaka 2020. Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa pale imeelezwa vinginevyo: “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Njombe; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri ya kufanya shughuli yoyote iliyobainishwa chini ya Sheria Ndogo hizi; “maeneo maalumu” maana yake ni maeneo yaliyopimwa au yaliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kufanyia shughuli mbalimbali; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya 1 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hizi. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa shughuli na huduma zilizoainishwa, na malipo ya ada au ushuru hufanywa kwa Halmashauri (au Wakala wake kwa ushuru) kabla au wakati wa kupokea huduma.
3.- Utozaji wa ada na ushuru (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya shughuli zinazofanyika katika eneo la Halmashauri na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwan za la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (4) Malipo ya ada au ushuru utalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kulipa ada na ushuru Kibali cha Kusafiri sha bidhaa Kizuizi Ushuru kwa wanyabi ashara na watoa huduma wadogo Muda wa kukusan - 4 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu
AI-assisted research summary: Anyone liable to pay a fee or tax under these by-laws must pay it at the rates set out in the by-laws.
4. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. - 5 Verify source ↗
Mtu anayesafirisha mazao zaidi ya tani moja kutoka
AI-assisted research summary: Mtu anayesafirisha mazao zaidi ya tani moja kutoka Halmashauri kwenda nje ya Halmashauri lazima awe na kibali cha kusafirisha mazao.
5. Mtu anayesafirisha mazao zaidi ya tani moja kutoka Halmashauri kwenda nje ya Halmashauri atatakiwa kuwa na kibali cha kusafirisha mazao kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi.
Part
Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi.
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuweka kizuizi ndani ya eneo lake ili kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi, na mfanyabiashara aliye na kitambulisho husika anaelezwa kuwa hatatozwa ushuru wa aina yoyote ikiwa biashara yake inakidhi vigezo vinavyotakiwa.
7. Halmashauri inaweza kuweka kizuizi katika eneo lolote ndani ya eneo la Halmashauri kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. Kila mfanyabiashara mwenye cha wafanyabiashara na watoa huduma wadogo kilichotolewa na selikali hatatozwa ushuru wa aina yoyote katika biashara ilikidhi vigezo vinavyotakiwa kuwa na yake ambayo kitambulisho hicho. kitambulisho - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
8.- (1) Muda wa kukusanya ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili 2 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe ya ada na ushuru kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ushuru baada ya saa kumi na mbili jioni. (3) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya cha malipo Halmashauri yaliyofanyika. kielelezo kama - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kusimamisha shughuli zisizo na leseni au kibali, kukamata bidhaa au mali kwa mtu aliyeshindwa kulipa ada au ushuru, na kwa masharti maalum kuuza bidhaa zilizokamatwa baada ya amri ya Mahakama.
9.- Usimam izi wa Sheria Ndogo (1) Halmashauri inaweza au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. biashara kufunga (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ada au ushuru. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili zinazoharibika haraka, kwa mali Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. au bidhaa (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa na Halmashauri au Wakala. 3 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na kupokea ushuru katika eneo alilopangiwa kwa viwango vilivyoidhinishwa.
10.- Uteuzi wa Wakala (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. (b) Mamlak a ya Afisa Mwidhi niwa Makosa na adhabu Kufililis ha kosa - 11 Verify source ↗
Bila ya kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi,
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri wakati wa kazi kwa ajili ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia mambo yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali.
11. Bila ya kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi, afisa mwidhiniwa wakati wa muda wa kazi anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa lengo la kukusanya ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akishindwa kulipa ada au ushuru, akichochea wengine kukwepa malipo, akizuia maafisa kutekeleza majukumu yao, au akitoa taarifa za uongo kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni.
12.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) (c) (d) (b) la watu atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; atamshawishi mtu au kundi kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au ametoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kulipisha kosa kwa mtu aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi, kwa kiasi cha Sh 200,000 hadi Sh 500,000, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalum, na kulipa ada au ushuru unaodaiwa.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria 4 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Ndogo hii kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na kisichozidi laki tano endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum na kulipa ada au ushuru anaodaiwa kama iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hizi. - 14 Verify source ↗
Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya
AI-assisted research summary: The provision repeals the Njombe District Council fees and charges by-laws of 2015 and lists fees and levies for council services, permits, markets, livestock, land, and advertising.
14. Sheria Ndogo (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za mwaka 2015 zinafutwa. Kufutw a kwa Tangazo la Serikali Na. 471 la Mwaka 2015 _______________ JEDWALI LA KWANZA ____________ (Limetungwa chini ya Kifungu 3 (1)) I. ADA YA KUKODISHA/KUPANGISHA MALI ZA HALMASHAURI Na. Huduma 1 Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya mikutano/ vikao na sherehe kwa mashirika na Taasisi za Serikali. Matumizi ya ukumbi kwa mashirika na watu binafsi Kukodi Gari: Magari madogo na Magari makubwa Vifaa (Trekta, Total station, GPS na kadhalika) Vibanda vya biashara mzunguko wa Stendi Vibanda vya biashara sokoni Kokodi shamba la Halmashauri Kiwango 200,000/= 300,000/= Kwa mujibu wa bei ya soko Kwa mujibu wa bei ya soko Kwa mujibu wa bei ya soko Kwa mujibu wa bei ya soko 50,000/= kwa ekari kwa msimu Kwa mujibu wa bei ya soko 2 3 4 5 6 7 8 Kupangisha nyumba/Majengo ya Halmashauri II. ADA NA USHURU WA MAZAO MCHANGANYIKO Na 1 2 3 4 5 6 Zao Viazi mviringo Vitunguu maji/Matunda/Karoti/Kabichi/ Nyanya Maharage/ Karanga / Mchele/Ngano Mihogo/Viazi vitamu Mahindi/Alizeti/Uwele/Mtama/Mpunga/ Dengu/Choroko Kiwango Kwa Shilingi 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 5 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Mbogamboga 7 Vitunguu Swaumu/Tangawizi 8 Nanasi 9 Tikiti 10 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia III. ADA NA USHURU MAZAO YA BIASHARA Na. Zao Maua Pareto iliyokaushwa Kahawa Chai Kiwango/ushuru 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia 3% ya bei ya kununulia Mazao Mengine ambayo hayakutajwa 3% Bei ya soko yanayofanana na Na. 1 hadi 4 IV. ADA YA HUDUMA ZA UKAGUZI WA NYAMA NA MACHINJIO Ada/ushuru Ada ya Machinjio na Ukaguzi wa nyama kwa kila Ng’ombe atakayechinjwa Ada ya Machinjio na Ukaguzi wa nyama kwa kila Kondoo na Mbuzi atakayechinjwa Ada ya machinjio na Ukaguzi wa nyama kwa kila nguruwe Kuwamba na kukausha ngozi Kiwango 3,000/= kwa siku 1000/= kwa siku 2000/= kwa siku 1000/= ngozi (a) Ng’ombe (b) Mbuzi, Kondoo Ada ya ushuru wa Wachoma nyama ya Ng’ombe Mbuzi, Kondoo, (Mnadani). Ada ya uogeshaji mifugo (josho) Kibali cha machinjio Ada ya kusafirisha ngozi (a) Ng’ombe (b) Mbuzi, Kondoo 500/= kw a ngozi 500/= kwa mfugo 200 kwa mfugo 3000 kwa mfugo 500/= kwa ngozi 500/= kwa ngozi Ada ya chapa ya mifugo kama ng’ombe n.k 500 kwa mfugo Ada ya chanjo ya mifugo Inategemea chanjo bei ya 6 1 2 3 4 5 Na 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe V. USHURU WA MAUZO YA MIFUGO MINADANI Na 1 2 3 4 5 Aina ya Mnyama Ng’ombe Mbuzi Kondoo Ushuru wa Kuku Punda Tozo 5000/= kwa ng’ombe 1500/= kwa mbuzi 1500/= kwa kondoo 1000/= kwa tenga 1500/= kwa punda VI. ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO A. ADA ZA SHUGHULI BURUDANI NA MICHEZO Na 1 2 3 4 5 6 7 Ada/Ushuru Kibali cha ngoma kubwa Kibali cha ngoma ndogo Mbio za Baiskeli Kibali cha kuchezesha disco, Maonyesho ya bendi, Sanaa za maonyesho (Sinema, video, maigizo, sarakasi, ngoma n.k Kiwango 100,000/= kwa onesho 20,000/=kwa onesho 20,000/= kwa mchezo 50,000/= Kwa tukio Kibali cha Mechi za Mipira kibali ya video au sinema 10,000/=kwa ligi 5000/= kwa mechi 60,000/= kwa onesho Bahati nasibu ndogo ndogo (fete) 50,000/= kwa mchezo Na. B. Ada za Shughuli za Tiba za Asili 1 2 3 4 5 Na 1 2 3 4 Waganga toka nje ya Wilaya Waganga maarufu ndani ya Wilaya Waganga wadogo ndani ya Wilaya Kibali cha kuuza dawa za asili Ada ya mizizi 120,000/= kwa Mwaka 100,000/= kwa Mwaka 50,000/= kwa Mwaka 50,000/= kwa Mwaka 20,000/= kwa Mwaka VII. ADA NA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO KWA MAENEO YALIYOTENGWA iliyosajiliwa kwa Biashara katika maeneo Chombo cha Usafiri Pikipiki yaliyotengwa Tax na pick-up Malori Kulaza Gari Kituoni Ushuru wa Maegesho 1,000/= kwa siku 1000/= kwa siku 5,000/= kwa siku 2000/= kwa siku 7 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe 5 Ushuru wa kituo cha mabasi/stendi (a) (b) (c) Mabasi makubwa abiria 45 na zaidi Mabasi yanayobeba abiria 24 hadi 44 Mabasi madogo ya chini ya abiria 44 2,000/= kwa siku 1,500/= kwa siku 1000/= kwa siku VIII. ADA YA MATANGAZO YA BIASHARA/PROMOSHENI Na Aina ya Tangazo Kiwango cha ushuru kwa mwaka Kibali cha muziki/Disko 50,000/= kwa siku Matangazo ya vipaza Sauti/ Magari na Promosheni 50,000/= kwa siku IX. ADA YA UPIMAJI WA ARDHI NA VIBALI VYA UJENZI Na 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Na 1 2 3 4 5 A. Ada ya Kibali cha Ujenzi/ Upimaji Mnara wa simu Jengo la Ghorofa moja na kuendelea Nyumba za Biashara Nyumba ya Makazi Kituo cha mafuta Majengo ya Taasisi Binafsi Maghala na Bohari. Ujenzi wa Uzio Majengo ya Ibada Vituo vya Utalii/Mapumziko Majengo ya Viwanja Viwanda Vidogo Vidogo vya Huduma Ada ya uchunguzi wa ramani za ujenzi Kibali cha ujenzi wa planti Kwa kibali 500,000/= 200,000/= 50,000/= 20,000/= 250,000/= 150,000/= 100,000/= 100/= kwa “Sq meter 100,000/= 250,000/= 1,000,000/= 200,000/= 10,000/= 1,000,000/= B. Ada ya mabadiliko ya Matumizi ya Jengo Nyumba ya kuishi na biashara Nyumba ya Biashara Nyumba ya kuishi Ghorofa Kiwanda, Bohari, Ghala Kwa kibali 40,000/= 60,000/= 30,000/= 150,000/= 100,000/= 8 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe 6 7 Mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Makazi) Mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Biashara) Na. C. Ada za huduma ya ardhi 20,000/= 50,000/= Kiwango 1 2 3 Mchoro wa upimaji Kutambua eneo (Plot identification) Kurudishia mawe replacement) yanaonesha mipaka 10,000/= kwa kila mchoro 10,000/= kwa kila plot 5,000/= kwa kila jiwe (Beacon X. USHURU WA HOTEL (Hotel Levy) Na Aina ya Biashara
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hotel au nyumba ya kulala wageni inaonekana kutozwa kiwango cha 10% ya mauzo kwa kila chumba kwa siku, pamoja na ada/ushuru wa 5000 kwa kipindi cha miezi sita.
1. Hotel/Nyumba ya kulala wageni Kiwango 10% ya mauzo kila chumba kwa siku XI. ADA NA USHURU WA HUDUMA MBALIMBALI Kiwango 5000/= kwa miezi sita (6) - 1 Verify source ↗
Ada ya kupima afya kwa wahudumu wa Baa, Hoteli na
AI-assisted research summary: This provision concerns a health examination fee for workers in bars, hotels, restaurants, and other places that provide food or drinks to the public.
1. Ada ya kupima afya kwa wahudumu wa Baa, Hoteli na Ada Na. 1 Migahawa na maeneo mengine ya kutoa huduma za vyakula au vinywaji kwa umma. 2 - 2 Verify source ↗
Ushuru wa kuhifadhi wanyama waliokamatwa kwa
AI-assisted research summary: This schedule lists local authority fees, taxes, licenses, permits, and related charges, including rates for animal impoundment, business and service fees, mining-related charges, and crop transport permits.
2. Ushuru wa kuhifadhi wanyama waliokamatwa kwa kuzurura ovyo. 3 4 5 6 7 8 Faini ya Uchafu na kutovaa sare kwa wahudumu wa Bar/ Mgahawa/Hotel na maeneo mengine ya kutoa huduma za vyakula au vinywaji kwa Umma Ada ya usajili vikundi vya jamii Ada ya maombi ya hati ya ukomo wa madeni Ada ya kukagua hesabu za shule za Sekondari Binafsi Ada ya pango la ardhi kwa wamiliki wa maeneo yaliyopangishwa Minara ya Simu Kukodisha vifaa vya muziki vya Halmashauri 9 10 11 Vitabu vya ushuru wa Hotel/nyumba ya kulala wageni Leseni ya Biashara ya Samaki Mialo ya kuchenjulia dhahabu 3000/= kwa mnyama kwa siku 20,000/= kwa siku 10,000/= kwa ombi 50,000/=kwa ombi 100,000/=kwa ombi 5% ya alicholipwa Kwa mujibu wa bei ya soko 15,000/= kwa kitabu 30,000 kwa leseni 20,000 kwa kila mwalo kwa mwezi 12 Kibali cha kufanya utafiti wa madini 1,000,000/= Kwa mwaka 9 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe 13 Ushuru wa malori yanayojihusisha na shughuli za uchimbaji wa madini;- 30,000 kwa mwezi a. Malori yanayofanya shughuli ndani ya mgodi (yasiyotoka/kuingia eneo la mgodi) b. Malori yanayotoka nje ya eneo la mgodi 1,000/= kwa tripu 14 15 16 17 18 Ushuru wa Halmashauri kwa kila “plant” mtambo wa uchenjuaji. 3,500,000/= kwa mwaka Karasha Leseni ya kumiliki gobore Ushuru wa tofali za kuchoma Ada ya mikataba 20,000/= kwa mwezi 3,000/= kwa mwaka 20/= kwa kila tofali 3% katika kila hati ya malipo ya mkataba XII. ADA YA MAOMBI YA ZABUNI Ombi Zabuni ya ushuru Minada/masoko na mazao Zabuni ya kutoa huduma na kazi mbalimbali 1 2 Kiwango 100,000/= kwa kila ombi 100,000/= kwa kila ombi XIII. USHURU WA MADINI YA UJENZI Na 1 2 3 4 Aina ya Madini Tani Mchanga/Kokoto /mawe kifusi 1-3 Mchanga /Kokoto/mawe/kifusi 3-5 Mchanga /kokoto/mawe/kifusi 5-10 Mchanga /kokoto/mawe/kifusi zaidi ya 10 Kiwango Tsh. 3000/= 5,000/= 5,000/= 1000/= kwa kila tani itakayoongezeka 10 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe XIV. USHURU WA KUFANYA BIASHARA KATIKA MAGULIO/MINADA Aina Ya Bidhaa Mitumba kwa tandiko Vyombo vya nyumbani kwa tandiko Nguo za dukani Biashara nyinginezo ambazo hazikutajwa Samaki, urembo,viatu,nguo za madukani Vileo Kiwango 1,000/= kwa mfanyabiashara 1,000/= kwa mfanyabiasha 1,000/= kwa mfanyabiahara 1,000/= kwa mfanyabiashara 500/= kwa siku 1000/= kwa siku XV. USHURU WA KUSHUSHA MIZIGO KATIKA ENEO LA SOKO LOLOTE LILILOTENGWA NA HALMASHAURI Aina ya chombo cha usafiri Uzito wa kuanzia tani 1-5 Uzito wa kuanzia tani 6-10 Uzito wa kuanzia tani 11-20 Uzito wa kuanzia tani 20-50 Ushuru Tsh.3,000/= Tsh.7,000/= Tsh.15,000/= Tsh.20,000/= Na 1 2 3 4 5 6 Na 1 2 3 4 XVI. ADA YA KUKODISHA MITAMBO NA MAGARI YA HALMASHAURI BILA POSHO YA DEREVA Na Aina gari/mtambo Kiwango 1 2 3 Kukodi tipper Kukodi boza Greder Kwa mujibu wa mkataba 300,000/= kwa kila baada ya masaa nane 650,000/= kwa kila baada ya masaa nane au chini yake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. 4 Ukodishaji wa magari mengine Kwa mujibu wa mkataba. XVII. ADA YA KUKATA MTI NA MASHINE 1 2 Ada ya kukata mti Mashine ya kukatia mti 200/= kwa mti 50/= kwa mti 11 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe XVIII. USHURU WA HUDUMA KWA BIASHARA KUBWA, NDOGO NA ADA YA LESENI YA BIASHARA 1 2 Ushuru wa huduma kwa biashara ndogo 4500/= kwa mwezi Ada ya maombi ya leseni (fomu) 2000/= kwa mwaka 3 Ada ya Leseni 4 Ushuru wa huduma kwa biashara kubwa Italipwa kwa kuzingatia viwango vilivyowekwa na Serikali kutegemeana na aina ya biashara kiwango kisichozidi asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) kutokana na uzalishaji wa bidhaa, kazi na huduma zinazofanyika ndani ya eneo la Halmashauri ukiondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Kodi ya bidhaa (excise duty). XIX USHURU WA MAZAO YA MISITU 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Magogo Leseni ya mbao Kukausha mbao Mbao laini Mbao ngumu Nguzo(untreated) Milunda Mkaa 4,000/= kwa kila tani moja 100,000/= kwa mwaka 100/= kwa kila ubao 200/= kwa kila ubao 200/= kwa kila ubao 3,000/= kwa kila nguzo 150/= kwa kila mlunda 1,000/= kwa Kg 1-30 2000/= kwa kg 31 na zaidi Nguzo(treated) 5% ya bei ya kununulia 12 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe JEDWALI LA PILI (limetengenezwa chini ya Kifungu cha 5) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MAZAO YANAYOZIDI TANI MOJA Kibali kinatolewa kwa Ndugu………………………………………………………………………. Mmiliki wa leseni au kitambulisho cha mjasiliamali Na………………………………. toka …………………………………. Kwa ajili ya kusafirisha mazao toka Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kwenda ………………… Kwa bidhaa yenye maelezo yafuatayo: Aina ya mazao yanayosafirishwa Ujazo wa mazao Ada na Ushuru uliolipwa Halmashauri Na. ya risiti Mahali mazao yanapotoka Mahali mazao yanapopelekwa Tarehe ya kusafirisha mazao Kibali cha kusafirisha mazao kimetolewa leo hii tarehe………. mwezi………. mwaka………... Jina la Afisa mwidhiniwa…………………… Saini…………………. Cheo…………………… Jina la mwombaji wa kibali……………………………………………………………… Saini……………………. Tarehe……………………. 13 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe JEDWALI LA TATU (limetengenezwa chini ya kifungu cha 13) HATI YA KUFILILISHA KOSA YANGU MWENYEWE Mimi …………………………………………………………… nakiri KWA ya HIYARI ……………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Njombe, kwamba tarehe …… ya mwezi ………………. mwaka ………………… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …………………………… cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe za Mwaka 2020. mbele Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, niko tayari kulipa faini cha ………………………………………………………………………….. pamoja na ada au ushuru ninaodaiwa. kiasi ya NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAYO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya mwezi……… mwaka ………………………. Jina…………………………………… Saini……………………………… Mbele ya: Jina: …………………………………………… Cheo: …………………………………………. Saini: ………………………………………… 14 Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililotolewa katika kikao cha baraza la madiwani cha tarehe 31 /7/2019 na kushuhudiwa na: ALLY J. ALLY .……….……………………… Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. …………………………………….. VALENTINO A. HONGOLI Mwenyekiti wa Halmshauri Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. NAKUBALI Dodoma, 1st September, 2020 ……………………………… SELEMANI S. JAFO (MB) Waziri wa Nchi-0R-TAMISMI 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya Njombe za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in