Sheria Ndogo za (Hifadhi ya Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli za Mwaka 2020
Wafugaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli lazima wazingatie masharti yaliyotolewa, ikiwemo kufuga mifugo kwa idadi itakayowekwa na Halmashauri.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za (Hifadhi ya Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Wafugaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli lazima wazingatie masharti yaliyotolewa, ikiwemo kufuga mifugo kwa idadi itakayowekwa na Halmashauri. Mtu anayelima katika eneo la Halmashauri lazima azingatie masharti ya kilimo, na watu hawaruhusiwi kufanya shughuli nyingi za mifugo bila kibali au katika maeneo yasiyoruhusiwa. Mtu yeyote hapaswi kulima au kutumia ardhi kinyume na mpango wa Halmashauri, wala kusafisha shamba kwa kuchoma moto bila kibali maalumu au nje ya muda ulioruhusiwa. Mtu yeyote haruhusiwi kuchimba vifaa vya ujenzi kwa biashara katika maeneo fulani bila kibali maalumu cha Halmashauri, na watu katika eneo la Halmashauri wana wajibu wa kulinda maeneo ya hifadhi, vyanzo vya maji, na misitu. Watu wote katika eneo la Halmashauri wanatakiwa kutekeleza wajibu wa jumla ulioelezwa hapa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za (Hifadhi ya Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli za Mwaka 2020
Showing 8 of 8
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Wafugaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli lazima wazingatie masharti yaliyotolewa, ikiwemo kufuga mifugo kwa idadi itakayowekwa na Halmashauri.
2. Sura 191 hizi pale isipokuwa Sheria Ndogo Sheria Ndogo hizi itaitwa Sheria Ndogo za (Hifadhi ya Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli za Mwaka 2020. Katika itakavyoelekezwa vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri atakayeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “eneo la hifadhi” maana yake ni maeneo ya milima, mbuga za wanyama, maeneo ya vyanzo vya maji, hifadhi ya misitu na maeneo mengine ambayo yatatangazwa na Halmashauri kuwa ni maeneo ya hifadhi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Monduli; “hifadhi ya mazingira” maana yake ni utunzaji endelevu wa ardhi, mimea, hewa, viumbe hai na visivyo hai na vyanzo vya maji unaozingatia masharti na maelekezo yatakayotolewa na Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii au Sheria nyingine yoyote; “maeneo ya malisho” maana yake ni sehemu zote ambazo zimetengwa na Halmashauri au Kijiji kuwa maeneo ya malisho ya mifugo; “mazingira” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika 1 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “mifugo” maana yake ni mifugo yoyote inayofugwa na binadamu; “misitu” maana yake ni eneo la ardhi ambalo limefunikwa angalau kwa asilimia kumi na miti, uoto wa asili au iliyopandwa, au asilimia hamsini au zaidi, ya vichaka na miti na miti inayoota upya ambayo itajumuisha aina yote ya misitu ya hifadhi ambayo imetangazwa chini ya Sheria ya Misitu na mazao yote ya misitu ikijumuisha majani na nyasi ndani ya eneo la Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na ni pamoja na Afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza kazi za Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hizi. (1) Mtu katika yeyote anayefuga la Halmashauri atatakiwa kuzingatia masharti yafuatayo: (a) kufuga mifugo kwa idadi itakayokuwa imeelekezwa na Halmashauri; eneo Sura 232 Masharti kuhusu ufugaji - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Mtu anayelima katika eneo la Halmashauri lazima azingatie masharti ya kilimo, na watu hawaruhusiwi kufanya shughuli nyingi za mifugo bila kibali au katika maeneo yasiyoruhusiwa.
3.- (b) kufuga na kulisha mifugo yake katika maeneo ya malisho yaliyopangwa na Halmashauri; kupitisha mifugo yake katika zilizopangwa kutengwa Halmashauri; njia na (c) na (d) kuwa na kadi ya mifugo itakayoonyesha (e) (f) idadi na aina ya mifugo aliyonayo; kupeleka mifugo katika majosho kama atakavyoagizwa na Halmashauri; na kuweka alama kwenye mifugo yake kama itakavyolekezwa na Halmashauri. (2) Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote:- kusafirisha mifugo (a) kwa kuiswaga 2 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli barabarani; (b) kusafirisha au kuhamisha mifugo kutoka eneo moja hadi lingine bila kibali kutoka kwa Halmashauri; kuingiza mifugo Halmashauri bila kibali; katika eneo (c) la (e) yaliyoidhinishwa (d) kuuza au kununua mifugo katika maeneo ambayo siyo mnada, masoko au magulio ya na mifugo Halmashauri; kufuga mifugo kwa zaidi ya iliyoelekezwa na Halmashauri; au kuchunga, kulisha au kunywesha maji mifugo ambayo hayakutengwa kwa shughuli hiyo. (3) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kukamata maeneo mifugo yasiyoruhusiwa kuchunga, kulisha au kunywesha mifugo. inayokutwa maeneo katika katika idadi (f) (4) Halmashauri inaweza, baada ya kupata amri ya Mahakama, kuuza kwa njia ya mnada wa hadhara mifugo hiyo na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mifugo baada ya kutoa gharama za ukamataji, utunzaji wa mifugo . (5) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kutekeleza mamlaka yake chini kifungu hiki isipokuwa kama hasara hiyo itasababishwa na uzembe wa Halmashauri. (1) Mtu katika yeyote anayelima la Halmashauri atatakiwa kuzingatia masharti yafuatayo: (a) taratibu za kilimo kwa kuzingatia kalenda ya kilimo ya Halmashauri na kwa eneo 3 Masharti kuhusu kilimo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Mtu yeyote hapaswi kulima au kutumia ardhi kinyume na mpango wa Halmashauri, wala kusafisha shamba kwa kuchoma moto bila kibali maalumu au nje ya muda ulioruhusiwa.
4.- Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kuzingatia Sheria zinazosimamia masuala ya ardhi na mazingira; (b) kutolima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito, mabwawa au maziwa au kufanya jambo lolote litakaloharibu hifadhi ya mazingira; kutotumia ardhi kinyume na matumizi kama ilivyopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri; na (c) (d) kutosafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri. (2) Kibali cha kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto kitakuwa cha maandishi na kitaonyesha jina la mwenye kibali, tarehe na eneo analotaka kuchoma moto. (3) Muda unaoruhusiwa kuchoma moto chini ya Sheria Ndogo hii ni kuanzia kumi na mbili asubuhi hadi saa nne kamili asubuhi na saa kumi na mbili jioni hadi saa moja kamili usiku. Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote kufanya yafuatayo: (a) kutozingatia kalenda ya kilimo ya Halmashauri; (4) (b) kulima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito, mabwana au maziwa au kufanya jambo lolote litakaloharibu hifadhi ya mazingira; kutumia ardhi kinyume na matumizi kama na ilivyopangwa Halmashauri; au kuidhinishwa (c) na (d) kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto bila ya kuwa na kibali au nje ya muda ulioruhusiwa chini ya Sheria Ndogo hizi. 4 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Uchimbaji wa mchanga - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kuchimba vifaa vya ujenzi kwa biashara katika maeneo fulani bila kibali maalumu cha Halmashauri, na watu katika eneo la Halmashauri wana wajibu wa kulinda maeneo ya hifadhi, vyanzo vya maji, na misitu.
6.- (1) Mtu yeyote hataruhusiwa kuchimba mchanga, kokoto, mawe, udongo au madini yoyote ya ujenzi kwa madhumuni ya kibiashara karibu na makazi ya watu, maeneo ya hifadhi, kandokando ya mito au ndani ya mto, bwawa au ziwa isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri. (2) Mtu atakayekiuka masharti ya Kanuni ndogo ya (1) atakuwa ametenda kosa. (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakuwa na wajibu wa: (a) kupanda miti isiyonyonya maji kwa kuzingatia maelekezo ya Halmashauri; (b) kutoishi katika eneo la hifadhi au chanzo cha maji ndani ya mita sitini; (c) kutolima, kutokata miti, kutochunga mifugo lolote au kutofanya linaloharibu kwa namna yoyote eneo lililotangazwa kuwa eneo la hifadhi au chanzo cha maji; jambo (d) kutoelekeza mabomba ya maji machafu au kujisaidia kupuliza dawa za kuua wadudu kwenye mito, mabwawa, maziwa, visima, mifereji, chemchem au sehemu yoyote ambayo ni chanzo cha maji; (e) kutojimilikisha eneo ambalo ni chanzo cha (f) maji cha umma; au kutojenga choo cha shimo au jalala la kutupia taka umbali wa chini ya mita 60 kutoka kwenye chanzo cha maji. (2) Mtu atakayekiuka masharti ya Kanuni hii atakuwa ametenda kosa. Uhifadhi wa 7.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakuwa na 5 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli misitu wajibu wa: (a) kutokata miti katika maeneo ya misitu iliyohifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya aina yoyote bila kupata kibali kutoka katika Mamlaka husika; (b) kutochoma moto misitu kwa namna yoyote isipokuwa kwa kibali (c) ile katika eneo la Halmashauri; kutovuna miti maalum cha Halmashauri; au (d) kutovuna miti katika msitu ambao umehifadhiwa kwa ajili ya viumbe malum. (2) Uchomaji wa mkaa utafanyika kwa kibali maalum cha Halmashauri katika maeneo yaliyotengwa mahsusi kwa ajili hiyo. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Kanuni ndogo ya (1) na (2) atakuwa ametenda kosa. Utupaji wa taka - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Watu wote katika eneo la Halmashauri wanatakiwa kutekeleza wajibu wa jumla ulioelezwa hapa.
8.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atatakiwa Wajibu jumla wa - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Wakazi wa eneo lenye uharibifu wa mazingira lazima walirejeshe eneo hilo na walime miti, na wakazi wa eneo lenye moto unaotishia watu, mali au mazingira lazima wasaidie kuzima moto kwa maelekezo ya Halmashauri.
9.- kufanya yafuatayo:: (a) kuwa na shimo au chombo maalum cha kuhifadhi taka ngumu na laini; na (b) kuwa na choo safi na salama; (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Kanuni ndogo ya (1) atakuwa ametenda kosa. (1) Wakazi wa eneo ambalo uoto wa asili au mazingira yameharibiwa watakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa wanalirudisha katika hali yake ya kawaida eneo hilo kwa kupanda miti na kuendelea kutoharibu mazingira ili kuwezesha uoto au mazingira yarudi katika hali yake ya kawaida kwa kadri watakavyoelekezwa na Halmashauri. (2) Wakazi wa eneo ambalo moto umetokea unaotishia maisha ya watu, mali au mazingira 6 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli watakuwa na wajibu wa kushiriki kuzima moto huo na Halmashauri. kadri watakavyoelekezwa kwa (3) Mtu yeyote atakayeshindwa, bila sababu za msingi, kutekeleza maelekezo ya Halmashauri chini ya Kanuni ndogo ya (1) na cha (2) atakuwa ametenda kosa. Uwezo wa Afisa Mwidhiniwa - 10 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana uwezo wa kuingia katika eneo, nyumba au jengo lolote katika muda uliotajwa ili kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii.
10.- Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia katika eneo, nyumba au jengo lolote kuanzia 12.00 asubuhi hadi 12.30 jioni kwa madhumuni ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Adhabu - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Anyone convicted under this by-law may be fined up to 300,000 shillings, jailed up to 12 months, or both. The Director may compound an admitted offence for up to 200,000 shillings using the scheduled form.
11.- (1) Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii atahukumiwa adhabu ya kulipa faini isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili au vyote kwa pamoja. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), lolote Mkurugenzi anaweza kufililisha kosa endapo mtu atakiri kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kwa kumtoza kiasi kisichozidi shilingi laki mbili baada ya kujaza fomu iliyoainishwa katika Jedwali. 7 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli JEDWALI (Limetengenezwa chini ya Kifungu chs 11) HATI YA KUFILILISHA KOSA Mimi ………………………..…......……………….nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya …………………………………….... ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Monduli kuwa tarehe …..… ya Mwezi …...…. Mwaka …........… nilitenda kosa la kukiuka kifungu cha …… cha Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli ya mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi kiasi cha shilingi na kutimiza wajibu wangu badala ya kushtakiwa Mahakamani. Nathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu Leo Tarehe………………… Mwezi…………………Mwaka..................... Jina...................................................................................... Saini........................................................................................ Mbele ya: Jina: …………………………………………… Cheo: …………………………………………. Saini: ………………………………………….. 8 Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio la Mkutano wa Halmashauriulioitishwa na kufanyika tarehe 24 /6/2017 Sheria ndogo hizi za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli zimebandikwa mbele ya: STEPHENE A. ULAYA .……….……………………… Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Monduli …………………………………….. ISACK J. COPRIANO Mwenyekiti wa Halmshauri Halmashauri ya Wilaya ya Monduli NAKUBALI Dodoma, 5th Agosti, 2020 ……………………………… SELEMANI S. JAFO (MB) Waziri wa Nchi-0R-TAMISMI 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za (Hifadhi ya Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Monduli za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in