SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI ZA WILAYA YA HANDENI ZA MWAKA 2020
This section says the by-laws are called the Handeni District Council Fees and Charges By-laws, 2020, and it begins the interpretation section.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI ZA WILAYA YA HANDENI ZA MWAKA 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-laws are called the Handeni District Council Fees and Charges By-laws, 2020, and it begins the interpretation section. This section defines key terms used in the by-laws, including fees, authorised officer, council, permit, building materials, director, levy, and agent. Halmashauri lazima itoeza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizoorodheshwa, na malipo ya ada au ushuru yafanywe kwa Halmashauri au wakala wake kabla au wakati wa kupokea huduma. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Ushuru hukusanywa kati ya saa 12:00 asubuhi na saa 12:00 jioni, lakini Halmashauri au wakala anaweza kukusanya baadaye kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI ZA WILAYA YA HANDENI ZA MWAKA 2020
Showing 26 of 26
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section says the by-laws are called the Handeni District Council Fees and Charges By-laws, 2020, and it begins the interpretation section.
1. Sheria Ndogo hizi itajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya Handeni za Mwaka 2020. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa pale muktadh umeeleza
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including fees, authorised officer, council, permit, building materials, director, levy, and agent.
2. Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa pale muktadh umeeleza vinginevyo: “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Handeni; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni kifusi, udongo, mchanga, phelispa, quartz,morram, mawe meupe, kokoto, mawe na matofali; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; na “wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hizi. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoeza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizoorodheshwa, na malipo ya ada au ushuru yafanywe kwa Halmashauri au wakala wake kabla au wakati wa kupokea huduma.
3.- Utozaji wa ada na ushuru (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru lazima alipe kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi.
4. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Muda wa kukusany a ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ushuru hukusanywa kati ya saa 12:00 asubuhi na saa 12:00 jioni, lakini Halmashauri au wakala anaweza kukusanya baadaye kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
5.- (1) Muda wa kukusanya ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au wakala wake ya na Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. kielektroniki stakabadhi kutolewa ya - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kusimamisha shughuli zinazoendeshwa bila leseni au kibali, kukamata mali au bidhaa za mwenye kushindwa kulipa ushuru, na baada ya amri ya mahakama inaweza kuuza mali hiyo.
6.- Usimamiz i wa Sheria (1) Halmashauri au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo biashara kufunga inaweza 2 Ndogo Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni itafanyika bila ya kuwa na kinachotolewa na Halmashauri. leseni au kibali (2) Bila ya kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru na atapaswa kujaza fomu maalumu kama inavyoainishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za mahakama na gharama za mnada. zinazoharibika bidhaa au (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa na Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru, na wakala aliyeteuliwa lazima akusanye, apokee, na awasilishe makusanyo kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa.
7.- (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kwa ajili ya kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa- (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. (b) Mamlaka ya Afisa - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa ajili ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini, au kufanya jambo linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali, chini ya masharti ya Sheria Ndogo hii.
8. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, afisa mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni Mwidhini wa chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Makosa na adhabu - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Anyone who fails to pay the required tax, encourages evasion, obstructs enforcement officers, or gives false information commits an offence.
9.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) (b) (c) (d) atashindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; atamzuia Mkurugenzi, afisa mwidhiniwa au wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha kwanza atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. Kufililish a kosa - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hizi faini ya shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kupitia fomu maalum, kosa limetajwa katika Jedwali la Tatu, na analipa ada au ushuru anaodaiwa.
10. - Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji fomu maalum atakiri kosa na kuwa iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. tayari kujaza 4 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni ________________ JEDWALI LA KWANZA __________________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 3(1)) SEHEMU YA KWANZA Ada ya Kukodisha Mali za Halmashauri Na. 1 Aina ya chanzo Kumbi za Halmashauri (a) ukumbi mkubwa (b) ukumbi mdogo Mitambo Nyumba- biashara Nyumba ya kuishi (ambayo siyo ya watumishi) Uwanja wa mikutano Vizimba Viti vya Halmashauri- (a) vya plastiki (b) vya mbao (c) vya kwisheni Kiasi cha ushuru Tshs. 200,000 kwa siku Tshs. 100,000 kwa siku Tshs. 50,000 kwa saa Kulingana na Mkataba Kulingana na mkataba Tshs. 100,000 kwa siku Tshs. 2000 kwa mita 1 ya Mmraba Tshs. 500 kwa kiti kwa siku Tshs. 300 kwa kiti kwa siku Tshs. 1,000 kwa kiti kwa siku SEHEMU YA PILI ADA YA VIBALI MBALIMBALI 2 3 4 5 6 7 I Na. Aina ya Kibali
Part
SEHEMU YA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The section refers to permits for temporary fencing during construction, business advertising in certain places, and a fee for installing business signs on council roads.
1. Kibali cha kuweka uzio/fensi ya muda kwa ajili ya kufanya ujenzi ili kulinda usalama wa watu na mali. Kibali cha kufanya matangazo ya biashara maeneo mengine nje na minada, masoko na magulio. Ada ya usimikaji bango la biashara katika barabara za Halmashauri. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The provision lists amounts for low, medium, and high density, plus separate amounts of TZS 50,000 per day and TZS 30,000 for each signboard.
3. Kiasi -Ujazo mdogo ( low density) - 120,000/= -Ujazo wa kati ( medium density) - 75,000/= -Ujazo mkubwa ( high density) - 30,000/= Shilingi 50,000/= Kwa siku Shilingi 30,000/= kwa kila bango 5 - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Section hii inaorodhesha ada na ushuru mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.
5. Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni Kibali cha mazishi (maeneo ya kuzikia yanayomilikiwa na Serikali) Kibali kwa ajili ya shughuli za kiutamaduni 10,000/= (a) matangazo na burudani mbalimbali- Tsh 10,000/= kwa siku ndani ya Kata (a) Matangazo na burudani mbalimbali –Tsh 40,000/= kwa siku ndani Halmashauri. (b) Kupiga mziki katika baa na kumbi ni Tsh.10,000 kwa siku (c) Ushuru wa huduma kwa mashine za bahati nasibu ni asilimia 0.03 ya mapato kwa siku (d) Ada ya usajili waganga wa jadi/tiba mbadala – Tsh 50,000/= kwa mwaka. 8 9 Ada ya usajili wa vikundi vya kijamii (CBOs) Vikundi vingine ambavyo havijatajwa Tsh 30,000/= Tsh 10,000/= 10 Ada ya usajili wa fundi atakayekuwa akifanya kazi za ujenzi Halmashauri 50,000/= SEHEMU YA TATU Ushuru wa mifugo minadani
Part
SEHEMU YA TATU
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: A tender-book fee is set at Tsh. 100,000 when the tender value is below Bilioni 1, and Tsh. 150,000 when the tender value is above Bilioni 1.
9. Tsh.4,000/= Ng’ombe Tsh. 1,000/= Mbuzi Tsh.1,000/= Kondoo Tsh.1000/= Nguruwe Tsh.4,000/= Punda. Tsh.500/= Kuku Ngozi ya ng’ombe Tsh.500/= Ngozi ya mbuzi Tsh.200/= Tsh.200/= Ngozi ya kondoo SEHEMU YA NNE Ada ya Ununuzi wa Vitabu vya Zabuni NA 1 2 AINA YA VITABU Kitabu cha Zabuni Kitabu cha Zabuni KIWANGO CHA ADA Tshs. 100,000 endapo thamani ya Zabuni ni chini ya Bilioni 1 Tshs. 150, 000 endapo thamani ya Zabuni ni zaidi ya Bilioni 1 6 500 m2 1000 m2 1500 m2 2000 m2 3000 m2 4000 m2 5000 m2 6000 m2 7000 m2 10000 m2 500 m2 1000 m2 1500 m2 2000 m2 3000 m2 4000 m2 5000 m2 6000 m2 7000 m2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni SEHEMU YA TANO MITA ZA ENEO MITA ZA ENEO JUMLA YA ENEO LINALZIDI A: VIBALI VYA UJENZI VIWANJA VIKUBWA(LOW DENSITY) JUMLA YA ENEO LISILOZIDI
Part
SEHEMU YA TANO
- 278 Verify source ↗
7 m2
AI-assisted research summary: This provision appears to list Tanzanian shilling amounts linked to plot-size or area categories.
278.7 m2 30,000.00 23,000.00 VIWANJA UKUBWA WAKATI(MEDIUM DENSITY) KIASI TSHS 4,500.00 VIWANJA VIDOGO(HIGH DENCITY AREA) KIASI TSHS 1,500.00 3,000.00 5,000.00 7,000.00 8,000.00 - 650 Verify source ↗
3 m2
AI-assisted research summary: This text appears to list fees or amounts tied to land or area size for a permit to build a permanent fence.
650.3 m2 90,000.00 62,000.00 45,000.00 650m2 929 m2 200,000.00 120,000.00 53,000.00 KIASI KINACHOONGEZEKA KWA KILA 92.902SQM ZINAZOZIDI 8,500.00 7,500.00 2,000.00 B: KIBALI CHA KUJENGA UZIO WA KUDUMU Na. Ukubwa wa eneo - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya eneo kwa mita za mraba: 100m2 hadi 600m2, 601m2 hadi 1600m2, 1601m2 hadi 4000m2, 4001m2 hadi 6000m2, na zaidi ya 6001m2.
2. 100m2 hadi 600m2 601m2 hadi 1600m2 1601m2 hadi 4000m2 4001m2 hadi 6000m2 Zaidi ya 6001m2 - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The provision lists installation charges for a permit to build telecommunications towers in council areas, with fees shown as 45,000/-, 75,000/-, 150,000/-, 300,000/-, and 450,000/-.
5. Kiwango cha Tozo 45,000/= 75,000/= 150,000/= 300,000/= 450,000/= C: KIBALI CHA KUJENGA MINARA YA MAWASILIANO KWENYE MAENEO YA HALMASHAURI (INSTALLATION CHARGES) 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni Na. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists a charge of 2,000,000/= for each tower and a repair permit fee of 500,000/=.
1. Idadi Kila mnara mmoja Kiwango cha Tozo 2,000,000/= D: KIBALI CHA UKARABATI WA MAJENGO Ada ya kibali cha ukarabati 500,000/= SEHEMU YA SITA Ada ya minara ya mawasiliano
Part
SEHEMU YA SITA
- 1 Verify source ↗
Mnara uliojengwa kwenye eneo linalomilikiwa na Halmashauri ya
AI-assisted research summary: A monthly amount of Tsh 5,000,000 is stated for a tower built on land owned by the District Council.
1. Mnara uliojengwa kwenye eneo linalomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya Tsh. 5,000,000/= kwa mwezi. - 2 Verify source ↗
Mnara uliojengwa kwenye eneo linalomilikiwa na Halmashauri ya
AI-assisted research summary: A tower built on village council land is charged Tsh 3,000,000 per month.
2. Mnara uliojengwa kwenye eneo linalomilikiwa na Halmashauri ya Kijiji Tsh. 3,000,000/= kwa mwezi. SEHEMU YA SABA Upandikizaji wa mbegu kwa mifugo na uogeshaji wa mifugo NA AINA YA MFUGO 1 2 Upandikizaji wa Ng’ombe Uogeshaji wa- (a) Ng’ombe (b) Mbuzi (c) Kondoo (d) Punda KIWANGO CHA ADA Tshs. 20,000 kwa ng’ombe Tshs. 200 mmoja Tshs. 100 mmoja Tshs. 100 mmoja Tshs. 200 mmoja SEHEMU YA NANE Ushuru wa Madini ya Ujenzi Na,
Part
SEHEMU YA NANE
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists mineral/building-material categories and their ushuru rates per ton.
6. AINA YA MADINI Kokoto za kujengea za aina zote Mawe ya phelispa na quartz Mchanga wa kujengea Vumbi la kokoto na morram Mawe meupe (dolomite) Mawe ya kujengea aina KIWANGO CHA USHURU. Tsh.1,500/= kwa tani Tsh.1,000/= kwa tani. Tsh.1,000/= kwa tani. Tsh.1,000/= kwa tani Tsh.1,000/= kwa tani Tsh.1,000/= kwa tani 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni zote Kifusi Madini ya chuma - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha viwango vya ushuru/ada za machinjio na ukaguzi wa nyama kwa bidhaa au wanyama mbalimbali.
8. Tsh.1,000/= kwa tani Tsh 1,000/= SEHEMU YA TISA Ada ya Machinjio na Ukaguzi wa Nyama Na 1 AINA YA MFUGO Ukaguzi wa nyama (i) ng’ombe (ii) mbuzi (iii) kondoo (iv) nguruwe (v) kuku (vi) bata KIWANGO CHA USHURU Tshs. 5,000/= Tshs. 5,000/= Tshs. 5,000/= Tshs. 5,000/= Tshs. 10,000/= Tshs.5,000/= SEHEMU YA KUMI Ushuru wa mazao
Part
SEHEMU YA KUMI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for crop sales, forest products, seeds, and roaming livestock.
2. Mazao ya biashara Asilimia 3 ya bei ya soko. Mazao ya chakula Asilimia 3 ya bei ya soko. SEHEMU YA KUMI NA MOJA Ushuru wa Mazao ya Misitu Na AINA YA MAZAO Uuzaji wa Mbao katika chanzo Uuzaji wa Mkaa katika chanzo Uuzaji wa Magogo katika chanzo Uuzaji wa Mirunda katika chanzo Uuzaji wa kuni katika chanzo Uuzaji wa fito CHA KIWANGO USHURU Asilimiia 5 ya ujazo Asilimiia 5 ya ujazo Asilimiia 5 ya ujazo Asilimiia 5 ya ujazo Asilimiia 5 ya ujazo Asilimiia 5 ya ujazo SEHEMU YA KUMI NA MBILI Uuzaji wa Mbegu zinazozalishwa na Halamshauri UJAZO WA MBEGU Mahindi Mhogo Korosho Ufuta Mtama KIWANGO CHA FEDHA Tshs. 2000 kwa kilo moja Tshs. 100 kwa mche mmoja Tshs. 200 kwa mche mmoja Tshs. 3000 kwa kilo moja Tshs. 500 kwa kilo moja 9 1 2 3 4 5 Na 1 2 3 4 5 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni Na mbegu nyingine ambazo hazijatajwa Tshs. 2000 kwa kilo SEHEMU YA KUMI NA TATU Tozo kwa mifugo inayozurura ovyo Ng’ombe Mbuzi Kondooo Punda Mbwa Tsh.2,000/= kwa siku Tsh.2,000/= kwa siku Tsh.2,000/=kwa siku Tsh.2,000/=kwa siku Tsh.5,000/=kwa siku Nguruwe Tsh.2,000/= kwa siku
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists monthly waste collection fees for different homes, businesses, and institutions, plus charges for demolition debris removal and disposal of solid waste and wastewater.
6. SEHEMU YA KUMI NA NNE ADA ZA UKUSANYAJI TAKA KATIKA KAYA,TAASISI NA MAJENGO YA BIASHARA 1 AINA YA BIASHARA/JENGO Makazi (kaya) VIWANGO VYA ADA 2,000/= 2 Mgahawa Mdogo 2,000/= wa kati 3,000/= Mkubwa 3,000/= 3 Nyumba za kulala wageni za kawaida 2,000/= za kitalii 3,000/= 5 Mduka ya kufulia nguo(dry cleaner) 2,000/= 6 Grocery 7 Baa 8 Duka la jumla 3,000/= 3,000/= 5,000/= 10 MUDA Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni 9 Duka la rejareja Shule ya msingi ya bweni Shule ya sekondari ya bweni Klabu ya usiku Kumbi za sherehe Zahanati (taka zisizohatarishi) Kituo cha afya (taka zisizohatarishi) Hospitali (taka zisizohatarishi) Nyumba za sinema Stoo za mkaa Kituo cha michezo Klabu ya pombe za asili Taasisi mbalimbali Kituo cha kuuza mafuta Fundi wa vifaa vya umeme Duka la kuuza nyama na samaki Maduka ya vifaa vya ofisi (stationary) 11 1 0 1 1 1 2 1 3 1 4 1 5 1 6 1 7 1 9 2 1 2 2 2 3 Ghala 2 4 Stoo 2 5 2 6 Saluni 2 7 2 9 3 0 Depo 3 1 3 3 3000/= 5,000/= 5,000/= 2,000/ 4,000/ 5,000/= 10,000/= 20,000/= 3,000/= 4000/= 3000/= 2000/= 5000/= 3,000/= 2000/= 5000/= 3000/= 3000/= 3000/= 5000/= 2000/= mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi 4,000/= Vibanda vya simu Wauza mkaa jumla Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni 3 9 4 1 4 2 4 3 4 Sehemu magari 4 Mashine za kusaga na kufunga unga Mashine za kusaga na kukoboa 2000/= 3000/= 1000/= 1000/= kuosha ndogo za kubwa 4000/= 2000/= 1000/= vidogo 5,000/= vikubwa 10,000/= 5,000/= Gereji za magari Gereji za pikipiki 4 5 4 6 Viwanda 4 7 Karakana 4 6 Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi GHARAMA ZA UBOMOAJI NA UONDOAJI WA MABAKI YA VIFAA VYA UJENZI Eneo kwa mita ya ujazo Na. 1 Mita moja ya mraba Kiwango 5,000/= GHARAMA ZA UTUPAJI TAKA NGUMU KWENYE JAA LA TAKA Na. Kiasi cha taka 1 2 Chini ya tani moja kwa safari Zaidi ya tani moja kwa safari Kiwango 40,000/= 50,000/= GHARAMA ZA UTUPAJI MAJI TAKA KWENYE BWAWA LA MAJI TAKA Na. Kiasi cha maji taka 1 2 Chini ya tani moja kwa safari Zaidi ya tani moja kwa safari Kiwango 40,000/= 50,000/= 12 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni _____________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 6 (2)) FOMU YA KUKAMATA MALI HATI NA. …………. Tarehe…….………………. Mimi……………………………………… ambaye ni afisa mwidhiniwa nathibitisha kukamata mali Zifuatazo: -
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
……………………………
AI-assisted research summary: This text is a form for admitting an offence before the Handeni District Council Director and saying the offender is willing to pay the fee or tax owed plus a fine.
1.……………………………. 2……………………………. 3…………………………… 4……………………………. Ambazo zinamilikiwa na bwana/bibi………….………. leo hii tarehe………... saa……………. hapa…………. (mahali) kwa kosa la ……………………………. Saini………………. Mmiliki wa mali Jina……………………………………….……... Sahihi…………………………………………… Tarehe…………………………. NB; Fomu hii ijazwe nakala mbili: - nakala moja kwa ajili ya afisa mwidhiniwa na nakala ya pili kwa mmiliki wa mali. 13 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni ___________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 10) KUFILILISHA KOSA Mimi…………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, kwamba mnamo tarehe ………mwezi………. Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Handeni za mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halamashauri ya Wilaya ya Handeni, Niko tayari kulipa kiasi cha ada au ushuru ninayodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………………. ya mwezi…………………. mwaka………………… Jina……………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...cheo……………………………………. Saini………………………………………tarehe…………………………………… 14 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Ya Halmashauri Za Wilaya Ya Handeni Nembo ya Halmashauri ya Wilaya Handeni imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliyofanyika mnamo tarehe 20………mwezi ……….2020 mbele ya: ………………………………… WILLIAM M. MAKUFWE. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Handeni ..………………… MUSTAFA S. BELEKO. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Handeni NAKUBALI DODOMA Tarehe 01 Septemba, 2020 ……………………………… SULEIMANI JAFFO WAZIRI WA NCHI-OR-TAMISEMI 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI ZA WILAYA YA HANDENI ZA MWAKA 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in