Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
This section introduces the by-laws, says they apply throughout Mbeya City Council’s area, and gives key definitions used in the rest of the rules.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section introduces the by-laws, says they apply throughout Mbeya City Council’s area, and gives key definitions used in the rest of the rules. Wakazi, wafanyabiashara na wamiliki wa nyumba lazima wasafishe mazingira ya nyumba zao na mifereji ya maji ya mvua iliyo karibu. The section refers to sanitation measures, including Saturday cleaning and painting buildings. The text indicates a duty to remove or control mosquito breeding sites, but the responsible actor is not clear from the fragment provided. Kila mwisho wa mwezi kuna usafi wa mazingira wa jumla, na watu au taasisi lazima washiriki; shughuli nyingine husimamishwa isipokuwa huduma muhimu zitakazoainishwa na Halmashauri.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
Showing 35 of 35
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section introduces the by-laws, says they apply throughout Mbeya City Council’s area, and gives key definitions used in the rest of the rules.
3. SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Sheria Ndogo hizi zitaitwa Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Katika itakapoelekezwa vinginevyo:- Sheria Ndogo hizi isipokuwa “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Umma atakayeteuliwa na Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. “chakula” maana yake ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa madawa, hii ni pamoja na- (a) kitu chochote kinacho tumika katika matengenezo ya chakula; (b) kitu chochote kinacho ongeza ladha ya chakula; (c) kitu chochote kinachobadili rangi ya chakula (binzari na vingine vinavyo 1 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya fanana na hivi); “choo cha kuvuta” maana yake ni choo ambacho kimejengwa na kuunganishwa na maji na kuwa na tanki ya kusukuma maji kwa ajili ya kuondoa uchafu hadi mahali palipo andaliwa; lina mlango “choo bora” maana yake ni choo chochote cha maji chenye sakafu, banda imara la kudumu, la limeezekwa, kutolea hewa chafu na lenye mfuniko kwenye tundu la choo na shimo salama na safi kwa ajili ya kutupa kinyesi na mkojo wa binadamu, lililojengwakwa vifaa vya kudumu, lenye vipimo vya futi 4 x 3 na kimo cha futi 12 na zaidi; imara, bomba “choo cha umma” maana yake ni choo kilichojengwa na Halmashauri au wakala wake kwa matumizi ya umma; “eneo la wazi” maana yake ni eneo lililo chini ya Halmashauri ambalo limekatazwa kufanyia shughuli ambayo haihusiani na matumizi yaliyokusudiwa; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya; Afisa Mwidhiniwa “hati ya usafi” maana yake ni hati itakayotolewa na inayothibitisha kukaguliwa kwa maeneo yote yaliyotajwa katika Sheria Ndogo hizi kulingana na Kanuni za Afya; “jengo la biashara” maana yake ni jengo lolote lililojengwa na kuidhinishwa na Halmashauri kufanya biashara iliyokusudiwa; “kaya” maana yake ni familia ya watu akiwemo baba, mama, mtoto au watoto na mtu mwingine yeyote anayeishi na familia hiyo, au watu wanaokaa katika nyumba moja na kuishi kama familia au mtu yeyote anayeishi peke yake katika chumba au nyumba; 2 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya “kero au chukizo” maana yake ni kitu chochote ambacho kipo katika hali yoyote iwe kinatumika, kimewekwa, kimejengwa, au ni kichafu kiasi cha kusababishi- (a) hatari kwa viumbe na maisha ya binadamu; (b) harufu mbaya au harufu ya kuudhi; (c) kuzaliana kwa wadudu na wanyama hatari kama vile inzi, mende, sisimizi, panya, nyoka, nyuki, kunguni au viumbe wengine hatari; (d) magonjwa kwa mbu,nzi,panya madhara. na binadamu,kuhifadhi viumbe wenye “kituo cha taka” maana yake ni kizimba cha taka kilichowekwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kuweka taka ngumu kabla ya kusafirishwa hadi kwenye dampo la Halmashauri; taka ngumu la “maji taka”maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “mkazi” maana yake ni mtu yeyote anayeishi katika eneo la Halmashauri na ambaye ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri; “mmiliki” maana yake ni mtu yeyote ambaye ana miliki ardhi, sehemu za starehe, nyumba za kulala wageni, nyumba za kuuzia vyakula, kumbi za starehe, mpangaji, wakala wa mpangishaji wa nyumba au jengo na makazi yoyote ndani ya eneo la Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri au Afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 3 Sura 191 Sura 191 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya Sura 191 Sura 191 Sura 191 “mzalishaji wa taka ngumu” maana yake ni mtu yeyote, kaya, taasisi, biashara, kiwanda ambaye katika kutekeleza shughuli zake huzalisha taka; “pipa la taka”maana yake ni chombo chochote chenye mfuniko kinachoweza kuhifadhi taka ngumu zinazozalishwa majumbani, sehemu za biashara, maofisini ili zisisambae na kuchafua mazingira; “taka”maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; ngumu”maana kama “taka ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; yake ni “taka za majumbani” maana yake ni mabaki ya chakula, maganda ya matunda, majivu, kinyesi cha mifugo, taka za bustani, marapurapu ya nguo, karatasi za aina mbalimbali na vitu vingine ambavyo baada ya kuvitumia hutupwa; “taka za viwandani” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ; “uchafu ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Mazingira; hatari” maana kama yake ni “uchunguzi wa afya” maana yake ni hali ya mtu kupima afya yake kwa kuchukuliwa vipimo vya ndani na nje ya mwili ili kubaini kuwepo kwa vijidudu vya magonjwa vinavyoweza kuleta maambukizi; “ufugaji wa ndani” maana yake ni ufugaji wa mifugo ndani ya nyumba, banda au zizi ndani ya eneo lililoruhusiwa na Halmashauri; na “wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi shirika cha watu, lililoteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; kampuni, taasisi au 4 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya SEHEMU YA PILI USAFI WA MAZINGIRA Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wakazi, wafanyabiashara na wamiliki wa nyumba lazima wasafishe mazingira ya nyumba zao na mifereji ya maji ya mvua iliyo karibu.
4. (1) Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi au mfanyabiashara anayemiliki au anayeishi katika eneo la nyumba kuhakikisha kwamba anafanya usafi wa mazingira yanayozunguka makazi au eneo lake kwa kuhakikisha kwamba; (a) majani yanayozunguka nyumba yake yanakatwa au kupaliliwa katika eneo lote hadi mwanzo wa mipaka ya barabara ya mbele ya nyumba yake au eneo lake; (b) takataka ngumu na laini ikiwa ni pamoja na mifuko ya plastiki zitakusanywa, kuhifadhiwa nakupelekwa katika eneo lililoruhusiwa na Halmashauri; (c) kila mmiliki wa nyumba au kiwanja au eneo lolote ambalo halijaendelezwa kufanya usafi katika eneo hilo mara kwa mara. Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa nyumba kuondoa uchafu kama vile mchanga, majani, nyasi au vitu vingine vinavyofanana na hivyo kwenye mfereji wa maji ya mvua unaozunguka au kupita kando ya nyumba yake au eneo la biashara yake, kiwanja chake na kuhakikisha mfereji huo unakuwa msafi na imara siku zote. Kila siku ya Jumatano itakuwa ni siku maalum ya ukaguzi wa jumla wa Usafi wa Mazingira ambapo wakaguzi kutoka Halmashauri watapita kufanya ukaguzi wa mazingira na itakapobainika kuwa mtu yeyote hajafanya usafi au kuna husika, uchafuzi wowote katika eneo 5 wa Usafi mifereji ya maji ya mvua. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The section refers to sanitation measures, including Saturday cleaning and painting buildings.
6. Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya watachukua hatua stahiki kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Usafi wa kila jumamosi 7 Kupaka majengo rangi - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The text indicates a duty to remove or control mosquito breeding sites, but the responsible actor is not clear from the fragment provided.
9. wa na Wajibu kuondoa kudhibiti mazalia ya mbu. Biashara miwa matunda ya na - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Kila mwisho wa mwezi kuna usafi wa mazingira wa jumla, na watu au taasisi lazima washiriki; shughuli nyingine husimamishwa isipokuwa huduma muhimu zitakazoainishwa na Halmashauri.
11. Kila Jumamosi ya Mwisho ya kila mwezi utafanyika Usafi wa Mazingira wa jumla kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 4:00 asubuhi, ambapo kila mtu au taasisi itawajibika kushiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira na wakati wote wa muda wa Usafi wa Mazingira shughuli zote isipokuwa huduma muhimu zitasimamishwa kama zitakavyoainishwa na Halmashauri. itafanya uhamasishaji wa kila Halmashauri mmiliki wa au mfanyabiashara kuhakikisha kwamba anapaka rangi nyumba yake au duka lake ndani na nje kila itakapochakaa. au mpangaji nyumba Itakuwa ni wajibu wa mmiliki wa nyumba kuhakikisha kuwa hakuna mkusanyiko wa maji, maji machafu, takataka au kitu chochote cha ambacho kinaweza majimaji kuruhusu kuwepo wa mazalia ya mbu au wadudu wengine wenye madhara kwa afya ya binadamu. au kigumu Itakuwa ni wajibu wa kila mfanyabiashara ya matunda au miwa kuhakikisha kuwa ana chombo maalum cha kuhifadhia maganda au mabaki ya matunda. Ni marufuku kwa mtu yeyote kuendesha biashara ya upuliziaji dawa au biashara ya kuuwa wadudu katika nyumba yoyote au mahali popote bila kuwa na cheti cha taaluma kinacho tambuliwa na Serikali na awe na leseni hai kutoka Halmashauri. Matengenezo ya magari, pikipiki, mitambo na kuegesha magari mabovu - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo yanatakiwa kufanyika kwenye karakana, gereji au maeneo yaliyoruhusiwa baada ya kupata kibali rasmi kutoka Halmashauri; pia kuna marufuku ya kufanya matengenezo katika maeneo ya makazi/ya wazi na ya kuegesha gari bovu sehemu zinazotajwa.
12. (1) Matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo yatatakiwa kufanyika kwenye karakana, gereji au maeneo yaliyoruhusiwa baada ya kupata kibali rasmi kutoka Halmashauri. 6 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya (2) Ni marufuku kwa mtu yeyote kutengeneza gari, pikipiki au mtambo wowote katika eneo la makazi, eneo la wazi au eneo ambalo halikutengwa kwa shughuli hiyo. (3) Ni marufuku kwa mtu yeyote kuegesha gari bovu kwenye njia ya miguu, mtaa, uchochoro, mtaro, maeneo ya wazi, barabarani na kusababisha adha kwa wakazi au watumiaji wa njia hiyo. Usalama wa maji ya kunywa. - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Wakazi lazima wachemshe maji ya kunywa, na watu wanaohusika na chakula cha kupikwa au kuuza chakula lazima wafuate masharti ya afya na kibali cha Bwana Afya wa Halmashauri; pia ni marufuku kuuza au kushughulikia chakula katika maeneo yaliyotajwa bila kutimiza masharti hayo, na vyakula visivyopikwa haviwezi kuuzwa vikiwa chini.
14. Uuzaji vyakula vilivyopikwa. 15 SEHEMU YA TATU UIMARISHAJI WA AFYA Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi kuhakikisha kwamba maji yote yanayotumika kwa kunywa ni safi na salama kwa kuyachemsha bila kujali yametoka kwenye chanzo gani cha maji. Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kutengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote mahali popote mtaani, uchochoroni, magengeni au kwenye nyumba yoyote mpaka awe ametimiza masharti na kanuni za afya na amepata kibali kutoka kwa Bwana Afya wa Halmashauri. kwamba Itakuwa ni wajibu wa kila mtu anayeendesha biashara ya vyakula vya kupikwa au kukaangwa kuhakikisha hivyo vinahifadhiwa kwenye sanduku lililotengenezwa kwa mbao safi na kuwekwa kioo kuzuia inzi, vumbi na wadudu waletao madhara kwa afya ya binadamu. vyakula Usalama vyakula. wa 16 Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuuza vyakula visivyopikwa vikiwa vimewekwa chini, vyakula vyote vitatakiwa kuwekwa juu ya meza. Uzuiaji shughuli wa
Part
SEHEMU YA TATU
- 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuzuia shughuli fulani wakati wa hatari ya magonjwa ya mlipuko, na Halmashauri inaweza kukamata, kuharibu, au kuhifadhi vyakula na vifaa vinavyohusiana na uuzaji wa vyakula chini ya masharti yaliyotajwa.
17. Afisa Mwidhiniwa anaweza kutoa amri ya kuzuia shughuli yoyote isifanyike kama vile 7 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya mbalimbali wakati Magonjwa mlipuko wa ya utengenezaji wa vyakula, pombe, mijumuiko, sherehe na mikusanyiko yoyote kwa kutangaza kwa njia ya kipaza sauti, maandishi au kupitia vyombo vya habari endapo atakuwa na sababu ya kuamini kwamba shughuli hiyo inaweza kusababisha kuenea kwa magonjwa ya mlipuko na kuleta athari kwa maisha ya binadamu. 18 Ukamataji wa vyombo vilivyotumika kuhifadhia chakula (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kukamata Vyakula, vyombo au vifaa vingine vyovyote vitakavyokuwa vinatumika mara baada ya kutolewa amri ya zuio la kufanyika kwa shughuli ya uuzaji wa vyakula wakati wa magonjwa ya mlipuko. (2) Endapo vyakula vitakavyo kamatwa vitakuwa ni vile ambavyo vinaweza kuharibika kwa haraka Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuviharibu. (3) (4) Endapo vyakula vilivyokamatwa vitakuwa haviharibiki kwa haraka Halmashauri itakuwa na jukumu la kuvihifadhi hadi mwisho wa amri ya zuio. Halmashauri haitahusika na gharama zozote zitakazotokea endapo vyombo vitaharibika, isipokuwa kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa kwa uzembe wa Afisa wa Halmashauri. Machinjio maduka nyama na ya - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: Wamiliki wa maduka ya nyama lazima wahakikishe duka lina masharti ya usafi na vifaa vilivyoorodheshwa, na wauzaji wavike mavazi maalum na kupimwa afya kila baada ya miezi sita. Pia, ni marufuku kuchinja au kuuza nyama katika maeneo ambayo Halmashauri haijaruhusu.
19. (1) Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa duka la kuuzia nyama kuhakikisha kwamba duka lake- (a) ni jengo la kudumu lililosakafiwa kwa marumaru nyeupe hadi urefu wa futi 6 kutoka usawa wa sakafu; (b) lina maji safi, magogo na misumeno ya kukatia nyama; (c) lina kabati ya vioo na la kuhifadhia nyama na sehemu za mizani; jokofu (d) lina pipa la kuhifadhia taka taka;. (e) muuzaji ana vazi jeupe pamoja na aproni 8 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya nyeupe; na (f) muuzaji anapima afya kila baada ya miezi sita na nyama Kuchinja kuuza mahali pasiporuhusiwa Uendeshaji wa ya biashara Nyumba za kulala wageni na Hosteli 20 Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kuchinja au kuuza nyama ya aina yoyote katika maeneo yasiyo ruhusiwa na Halmashauri. - 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba za kulala wageni, hosteli, au nyumba za biashara lazima apate kibali cha Halmashauri kabla ya kuanza biashara; Halmashauri inaweza kuzuia kibali hadi masharti ya kiafya yatimizwe.
21. (1) Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa nyumba za kulala wageni na hosteli au nyumba za biashara kuhakisha anapata kibali kutoka Halmashauri kabla hajaanza biashara. (2) Endapo mmiliki hajakidhi masharti ya kiafya Halmashauri cha kuendesha biashara ya Nyumba za kulala wageni au hosteli mpaka hapo mmiliki atakapokuwa amekidhi masharti yaliyotolewa na Halmashauri. inaweza kuzuia kibali Mahitaji nyumba wageni Hosteli - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: Kibali cha kuendesha nyumba ya kulala wageni, mgahawa, hoteli au hosteli hutolewa tu baada ya Halmashauri kuridhika na hali ya majengo, na wahusika fulani lazima wapime afya kila baada ya miezi sita na kulipa ada ya Tsh 5,000.
22. ya ya na Kibali cha kuendesha biashara ya nyumba ya kulala wageni, mgahawa, Hoteli na Hosteli kitatolewa baada ya Halmashauri kujiridhisha kuwa katika majengo hayo kuna- (a) mwanga na hewa ya kutosha; (b) nafasi na vifaa (samani ) za kutosha; (c) uimara wa jengo; (d) mfumo wa uondoshaji wa maji taka na taka ngumu wa kuaminika; (e) usafi wa jumla wa jengo na vifaa vyake; (f) vyoo na mabafu kwa jinsia zote; (g) vifaa vya zima moto; (h) tanki la kuhifadhia maji safi; na (i) vyoo na bafu vilivyosakafiwa kwa vigae au marumaru na kuta zake zimewekwa vigae kiasi cha futi sita kutoka usawa wa sakafu. Itakuwa ni wajibu wa kila Mmiliki wa hoteli, wafanyakazi wa machinjio, mgahawa, baa, bucha, sehemu za kuokea mikate, nyumba za kulala wageni, grosari kupima afya kila baada ya miezi sita na watalipa ada ya upimaji wa afya kiasi cha shilingi elfu tano (Tsh.5,000/=). 9 Upimaji wa afya - 23 Verify source ↗
Section 23
AI-assisted research summary: A person who makes food for sale must have a health check every six months and pay a health-check fee of Tsh 5,000. An owner who lets a worker work without a health check commits an offence.
23. (1) Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya (2) Mtu yeyote anayetengeneza chakula kwa ajili ya kuuza atalazimika kupima afya kila baada ya miezi sita na atalipa ada ya upimaji wa afya kiasi cha shilingi elfu tano (Tsh.5,000/=). (3) Mmiliki yeyote atakayeruhusu mhudumu yeyote kufanya kazi bila kupimwa afya yake atakuwa ametenda kosa. Uwezo kukagua wa - 24 Verify source ↗
Section 24
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika jengo lolote wakati wa saa za kazi ili kukagua utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi.
24. Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia katika jengo lolote wakati wowote wakati wa saa za kazi kukagua utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. - 25 Verify source ↗
Section 25
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuamuru kufungwa kwa biashara au jengo linalohusika na ukiukaji wa masharti ya afya, au ambalo halijakaguliwa.
25. Kufungwa kwa jengo la biashara lisilokidhi masharti ya afya Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuagiza kufungwa kwa biashara yoyote au jengo lililokaguliwa na ambalo halijakaguliwa au kukutwa limekiuka kanuni na masharti ya afya. Ada ya ukaguzi wa afya - 26 Verify source ↗
Section 26
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada ya ukaguzi wa afya, na mwombaji analipa kila mwaka kabla ya kupewa leseni ya biashara; viwango vinatajwa katika Jedwali la Kwanza.
26. Halmashauri itatoza ada ya ukaguzi wa afya ambayo italipwa kwa mwaka kabla ya mwombaji kupewa leseni ya biashara ambayo viwango vyake vitakuwa kama vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. Muda wa kulipa ada - 27 Verify source ↗
Section 27
AI-assisted research summary: Health inspection fees must be paid at the start of the council’s financial year, in July.
27. (1) Ada ya ukaguzi wa afya italipwa kila mwanzo wa mwaka wa fedha wa Halmashauri yaani mwezi Julai. (2) Mtu yeyote atakayeshindwa kulipa ada katika kipindi cha miezi miwili baada ya mwaka wa fedha kuanza atawajibika kulipa kiwango hicho pamoja na adhabu ya asilimia hamsini ya kiwango anachodaiwa. SEHEMU YA NNE UZOAJI TAKA Kuweka eneo katika hali ya
Part
SEHEMU YA NNE
- 28 Verify source ↗
Section 28
AI-assisted research summary: Wenye nyumba, maeneo, au watu wenye dhamana ya nyumba au eneo lazima waweke usafi na kuhakikisha taka zinatupwa kwenye gari la taka.
28. Kila mwenye nyumba au eneo au mtu mwenye dhamana ya nyumba au eneo anatakiwa kuweka 10 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya usafi Taka kutupwa kwenye gari la taka - 29 Verify source ↗
Section 29
AI-assisted research summary: Wakazi, biashara, na baadhi ya wasafirishaji lazima wawe na na kutumia njia sahihi za kuhifadhi na kutupa taka; pia ni marufuku kutupa taka ovyo.
29. Jukumu la kuwa na chombo cha kuhifadhia taka 30 mazingira ya nyumba au eneo lake katika hali ya usafi wakati wote na kuhakikisha hakuna taka zinazotupwa katika eneo lake. na jukumu Kila kaya au wapangaji katika nyumba au la wafanyabiashara watakuwa na kutunza, taka kubeba walizozizalisha na kuzitupa moja kwa moja kwenye gari la kubeba taka kwa kuzingatia ratiba na utaratibu uliowekwa na Halmashauri au kuzitupa katika makasha ya taka (Skip buckets) yaliyowekwa katika baadhi ya maeneo. kupeleka Kila mwenye nyumba au mpangaji, mmiliki au msimamizi wa eneo la biashara, taasisi na ofisi ndani ya Halmashauri anatakiwa awe na pipa dogo au ndoo au chombo au kifaa chochote chenye mfuniko yaani “waste bins”kwa ajili ya kuhifadhia taka zinazozalishwa katika eneo hilo kwa ajili ya madhumuni yaliyotajwa. Wajibu mmiliki chombo usafiri 31 wa wa cha (1) Mmiliki au dereva wa chombo cha usafiri wa umma anawajibika kuweka chombo au kifaa cha kuhifadhia taka kwa ajili ya abiria wake. marufuku 32 (2) Kila mmiliki au dereva wa chombo cha kusafirishia mizigo, taka au madini ya ujenzi atatakiwa kuhakikisha anaweka vifaa vya kufunika bidhaa anazosafirisha ili kutoruhusu bidhaa hizo kudondoka au kumwagika na kuchafua mazingira. Ni marufuku kwa mtu yeyote kutupa hovyo vitu kama vile vocha ya simu iliyokwisha kutumika, maganda ya muwa, majani ya mahindi, magunzi, chupa za vinywaji au kitu chochote kinachoweza kuchafua mazingira mahali ambapo siyo kwenye chombo cha takataka au siyo rasmi kwa kutupwa takataka. Ada ya uzoaji taka - 33 Verify source ↗
Section 33
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoeza ada ya uzoaji taka kwa kila kaya au mwenye jengo la biashara kulingana na viwango vya Jedwali la Pili.
33. (1) Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kutoka kwa kila kaya au mwenye jengo la biashara kwa viwangovilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. 11 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya Uanzishwaji wa Vikundi Jamii (CBOs) - 34 Verify source ↗
Section 34
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge waste disposal costs at the rates in the Third Schedule, monthly fees are due on the 30th, and unpaid waste collection charges for two consecutive months can lead to legal action.
34. (2) Halmashauri itatoza gharama za utupaji wa taka lililoko Nsalaga kutoka kwa katika dampo mawakala, wamiliki wa taasisi mbalimbali, viwanda na makampuni pamoja na wazalishaji wengine wa taka kwa viwango vilivyoainishwa katika jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hizi. (3) Ada ya kila mwezi italipwa kila tarehe 30 ya kila mwezi ndani ya mwezi husika na italipwa kwa afisa mwidhiniwa ambaye atatoa stakabadhi ya malipo yatakayolipwa na atajaza katika rejista ya wazalishaji taka. (4) Iwapo mzalishaji wa taka atashindwa kulipia gharama ya huduma ya uzoaji taka kwa kipindi cha miezi miwili mfululizo Halmashauri itamchukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani. (1) Halmashauri itakuwa na jukumu la kuhamasisha uundaji wa Vikundi vya kijamii (CBOs) na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. (2) Majukumu mahsusi ya vikundi vitakavyoundwa katika kifungu kidogo cha (1)yatakuwa ni- (a) kukusanya, kuzoa na kusafirisha taka kutoka maeneo yote ya uzalishaji na kuzipeleka katika dampo kuu la Halmashauri lililopo Nsalaga; na (b) kukusanya ada ya Usafishaji na taka katika maeneo ya uondoshaji makazi na biashara na kuwasilisha kiasi kilichokusanywa kwenye mfuko wa mazingira wa Kata husika ambapo 70% ya mapato ya ada itatumika kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za usafi za kikundi husika na 20% itabaki kwa ajili 12 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya ya matumizi ya uendeshaji wa shughuli za Dampo la kisasa na 10% itabaki kwa ajili shughuli za Ofisi ya Kata na mitaa husika. Wajibu wa kuwa na pipa la taka - 40 Verify source ↗
Section 40
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba, wapangaji, wafanyabiashara, wakazi, na wamiliki wa viwanda lazima washughulikie taka na maji taka kwa njia salama na zilizotengwa, na kuna marufuku ya kutupa au kuelekeza uchafu mahali pasipotengwa.
40. (1) Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa nyumba au mpangaji au mfanyabiashara kuhakikisha kuwa ana chombo imara chenye mfuniko kwa ajili kabla taka hazijachukuliwa na Halmashauri kwa ajili ya kwenda kutupwa. kuhifadhia ngumu Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi kuhakikisha kwamba anatupa uchafu au taka katika vyombo maalum vilivyowekwa kwa ajili ya kutunzia taka katika maeneo maalum yaliyotengwa. Itakuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kutupa taka, uchafu wowote au kuacha kuwepo takataka mahali popote pasipotengwa kwa shughuli hiyo. Kila mmiliki wa nyumba anatakiwa kuhakikisha kuwa ana karo la kuhifadhi maji taka na atawajibika kunyonya maji taka pale karo linapojaa. Ni marufuku kutiririsha au kuelekeza maji kutoka vyooni, bafuni,karoni, baada ya kufua au kuosha vyombo kwenda sehemu yoyote isiyotengwa kuhifadhi maji taka. Itakuwa ni marufuku kwa kiwanda chochote kutoa au kusababisha kutoa uchafu wa aina yoyote, maji machafu au harufu mbaya na kusababisha kero kwa wakazi wa eneo la Halmashauri. (2) Ni wajibu wa kila mwenye kiwanda kuhakikisha kuwa taka kama vile vumbi, maganda, moshi na takataka nyingine zinazoweza kuleta kero au adha kwa ujumla haziwafikii wala hazileti madhara kwa binadamu na viumbe wengine hai. 13 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya Uteuzi wakala wa
Part
sehemu yoyote
- 41 Verify source ↗
Section 41
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni, kikundi, kikundi cha jamii au mtu binafsi kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi.
41. Halmashauri inaweza kuteua kampuni, kikundi, kikundi cha jamii au Mtu binafsi kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kuwa na na choo kukitumia - 46 Verify source ↗
Section 46
AI-assisted research summary: Wamiliki au wapangaji wa nyumba lazima wahakikishe nyumba ina choo safi na imara kinachotumika wakati wote, na choo kijengwe zaidi ya mita 60 kutoka kwenye kisima au chanzo cha maji kinachotumika nyumbani.
46. SEHEMU YA TANO UJENZI NA MATUMIZI YA VYOO Itakuwa ni wajibu wa kila mmiliki wa nyumba au mpangaji kuhakikisha kwamba nyumba yake ina choo safi, imara na madhubuti kwa matumizi ya wakazi wa nyumba hiyo na kuhakikisha kinatumika wakati wote. Choo kinatakiwa kijengwe umbali wa zaidi ya mita sitini (60) kutoka kisima au chanzo chochote cha maji kinachotumika kwa matumizi ya Nyumbani. (1) Halmashauri inaweza kumruhusu mtu binafsi, vikundi vya watu au Taasisi kujenga vyoo vya Umma (Public toilet) katika maeneo ambayo Halmashauri itaona kuwa kuna haja ya kufanya hivyo. (2) Vyoo hivyo vitamilikiwa na Halmashauri au kwa ubia na wajenzi na vitakuwa ni vya kulipia kama imeelekezwa na Halmashauri itakavyokuwa katika mkataba wake na mawalaka watakaopewa kusimamia vyoo hivyo. lengo Itakuwa ni wajibu wa mtu, kikundi, Taasisi yenye la kukutanisha watu kwa madhumuni ya ujenzi, sherehe au sehemu yoyote ambayo itakutanisha watu kwa muda maalum endapo eneo hilo hakuna choo cha kudumu kujenga vyoo kwa matumizi ya wakati huo kwa idhini na usimamizi wa Halmashauri Kila mmiliki wajengo la biashara atatakiwa kujenga viwango vinavyokubalika chini ya Sheria Ndogo hizi kwa vyenye viwili vyoo 14 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ilani ya kujenga choo
Part
SEHEMU YA TANO
- 49 Verify source ↗
Section 49
AI-assisted research summary: This section refers to the power to issue an instant penalty.
49. Uwezo wa kutoa adhabu ya papo kwa papo - 50 Verify source ↗
Section 50
AI-assisted research summary: An authorized officer must give 30-day or 7-day notices for certain sanitation problems, and failure to comply is an offence.
50. ajili ya matumizi ya wateja wake wa jinsia zote. Endapo katika ukaguzi wa afya itagundulika kuwa nyumba yoyote haina choo, choo kilichopo kimejaa au hakifai kwa matumizi ya binadamu, Afisa Mwidhiniwa atatoa ilani ya siku thelathini kwa mmiliki wa nyumba au mpangaji akiainisha masharti ya kurekebisha hali hiyo kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hizi. (1) Endapo Afisa Mwidhiniwa atagundua kuwa eneo alilokagua lina kero yoyote atatoa ilani ya siku saba (7) kwa mmiliki wa nyumba, mpangaji, mtumiaji au mtu yeyote anayehusika akimtaka kuondoa kero hiyo kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Tano la Sheria Ndogo hizi. (2) Mtu yeyote atakayeshindwa kutekeleza masharti ya ilani aliyopewa ndani ya muda ulioainishwa kwenye ilani atakuwa ametenda kosa. Halmashauri inaweza kumteua mtu yeyote kuwa mkaguzi kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa usafi katika eneo la Halmashauri. Chini ya Sheria Ndogo hizi Mkaguzi atakuwa na uwezo wa kutoa adhabu ya papo kwa papo kwa mtu yeyote atakayekutwa amechafua mazingira kwa popote kutupa pasiporuhusiwa ilimradi kuwa adhabu hiyo izingatie masharti ya Sheria Ndogo hizi. takataka mahali Makosa
Part
Jedwali la Tano la Sheria Ndogo hizi.
- 51 Verify source ↗
Section 51
AI-assisted research summary: Everyone commits an offence if they obstruct the authorized officer, dump waste or sewage in prohibited places, run alcohol sales in a residence, handle vehicles or industry in unsuitable places, or do other listed unsanitary acts.
51. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo- (a) atamzuia au kujaribu kumzuia Afisa Mwidhiniwa asitekeleze wajibu wake chini ya Sheria Ndogo hizi; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kumzuia Afisa Mwidhiniwa asitekeleze wajibu wake chini ya Sheria Ndogo hizi; (c) atamwaga takataka barabarani au katika 15 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya mtaro wa maji ya mvua au uchochoroni au mahali popote hadharani au katika eneo lolote lisiloruhusiwa; (d) ataendesha biashara ya pombe ndani ya nyumba ya makazi; (e) atatiririsha maji machafu barabarani au katika eneo la nyumba ya jirani; (f) ataosha magari au kufua au kunywesha mifugo na kukoroga dawa za mimea ndani ya mito, mabwawa, lambo au ndani ya chanzo cha maji au kisima ya kinachotumika binadamu; kwa matumizi (g) atauza vyakula vilivyopikwa barabarani au nje ya majengo mengine; (h) atafanya matengenezo ya magari au pikipiki au mitambo au kuendesha shughuli za viwanda katika maeneo ya wazi, makazi, barabarani, uchochoroni, au katika maeneo yasiyotengwa kwa shughuli hizo bila kuzingatia taratibu za mipango miji; (i) ataanzisha au kufungua karakana katika majengo au majumba ya makazi au maeneo yasiyoruhusiwa; (j) ataenda haja ndogo au kubwa hovyo barabarani, uchochoroni au upenuni au mahali popote ambapo siyo chooni; (k) atashindwa kuhifadhi chakula kwenye kabati safi lililofunikwa na lenye kioo; Adhabu - 52 Verify source ↗
Section 52
AI-assisted research summary: Mtu anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi anatenda kosa na anaweza kutozwa faini, kifungo, au vyote viwili. Mkurugenzi pia anaweza kutoza faini ndogo zaidi ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari kwa maandishi na kukubali kutimiza wajibu wake na kulipa faini.
52. Kufililisha kosa 53 Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na iwapo atapatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili (12) au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote faini 16 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya isiyozidi shilingi laki mbili iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari yake mwenyewe kwa maandishi na kukubali kutekeleza wajibu wake pamoja na kulipa faini anayodaiwa kama ilivyoelekezwa katika Jedwali la Sita la Sheria Ndogo hizi. _________________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (limetungwa Chini ya kifungu cha (26) Ada ya ukaguzi wa Afya Aina ya biashara Na.
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Baa na maduka ya vinywaji (Groceries)
AI-assisted research summary: Section heading for groceries and liquor shops.
1. Baa na maduka ya vinywaji (Groceries) - 3 Verify source ↗
Nyumba za wageni (Guest House) na Hoteli
AI-assisted research summary: Section heading for guest houses and hotels.
3. Nyumba za wageni (Guest House) na Hoteli - 5 Verify source ↗
Majengo mengine ya biashara
AI-assisted research summary: This section lists annual and monthly fees for different kinds of businesses, institutions, and waste-related services.
5. Majengo mengine ya biashara Ada kwa mwaka 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 100,000/= 100,000/= 10,000/= JEDWALI LA PILI (Limetungwa chini ya kifungu cha 33) ADA YA TAKA KWA KAYA, BIASHARA NA TAASISI No AINA YA ADA YA TAKA 1 Kaya 2 Mgahawa Nyumba ya kulala wageni Zahanati ( Taka zisizo hatarishi) Kituo cha afya (Taka zisizo hatarishi ) 3 4 6 7 8 Hospitali ya Rufaa (Taka zisizo hatarishi) 500,000/= Hospitali (Taka zisizo hatarishi) 200,000/= 17 ADA KWA MWEZI 2,000/= 20,000/= 10,000/= 20,000/= 50,000/= Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya 9 Kiwanda cha mbao 10 Fundi seremala 11 Huduma za uchomeleaji 12 Karakana nyinginezo 13 Kiwanda kidogo 14 Kiwanda kikubwa 15 Duka la jumla 16 Duka la rejareja/huduma 17 Shule ya msingi ya bweni 20,000/= 5,000/= 15,000/= 20,000/= 50,000/= 300,000/= 20,000/= 5,000/= 100,000/= 18 Shule ya sekondari ya bweni 100,000/= 19 Kituo cha kulelea watoto Duka dogo la chakula 20 21 Duka kubwa la chakula 22 Baa 23 Klabu za usiku 24 25 26 Kituo cha burudani/kumbi za starehe/na sherehe Duka la nyama na samaki Nyama choma/chips inayojitegemea 27 Duka la dawa la jumla na rejareja 28 Duka la dawa la rejareja 30 Dobi mdogo (mikono) 31 Dobi mkubwa (Laundry) 32 Fundi vifaa vya umeme 33 Fundi kushona kwa kila cherehani 34 Kutengeneza nywele/saluni 35 Kituo cha kuuza mafuta na vilainishi vya magari na mitambo 36 Stoo mbalimbali 37 Ghala - 5,000/= 30,000/= 20,000/= 100,000/= 100,000/= 10,000/= 5,000/= 25,000/= 10,000/= 2000/= 10,000/= 5,000/= 2000/= 10,000/= 50,000/= 5,000/= 50,000/= 18 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya 38 Hoteli 100,000/= 39 Taasisi kubwa (Taasisi kubwa za kifedha) 100,000/= 40 Taasisi Ndogo (Taasisi ndogo za kifedha) 50,000/= 41 Kilabu ya pombe ya kienyeji 42 Kituo cha kulaza wageni(Hostel) 43 Kituo cha mazoezi ya viungo (Gym) 44 Kiwanja cha michezo 45 Fundi viatu 46 Stoo ya mkaa 47 Mama/Baba lishe 48 Duka la kuuza magari 49 Duka la madawa ya mifugo na zana za kilimo/pembejeo jumla 3,000/= 100,000/= 10,000/= 20,000/= 2,000/= 10,000/= 5,000/= 30,000/= 25,000/= 50 Duka la madawa ya mifugo na zana za 10,000/= kilimo/pembejeo rejareja 51 Studio ya picha 52 Maeneo ya kuuza mbao (timber yard) 53 Duka la mitambo na mashine 54 Mashine ya kukoboa na kusaga nafaka 55 Mashine ya kukamua mafuta 56 Kiwanda cha mikate 57 Duka la shajala 58 59 Duka la vifaa vya ujenzi (Hardware) Ofisi ya kampuni/Ushauri 60 Duka la mawakala wa fedha 61 Wauza bidhaa mbalimbali sokoni 62 Duka la pikipiki na baiskeli 63 Vituo vya boda boda 64 Duka la kuuza vipuri (spare) dogo 65 Duka la kuuza vipuri (spare) kubwa 10,000/= 15,000/= 10,000/= 10,000/= 20,000/= 50,000/= 10,000/= 20,000/= 10,000/= 5,000/= 2,000/= 10,000/= 5,000/= 5,000/= 10,000/= 19 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya JEDWALI LA TATU Limetungwa chini ya Kifungu cha 33(2)) Gharama za utupaji wa taka katika jaa la taka la Halmashauri NA. AINA YA TAKA Taka za nyumbani
Part
JEDWALI LA TATU
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Malipo ya taka yanaonekana kutofautiana kulingana na kiasi cha taka: zaidi ya tani moja na chini ya tani moja.
1. KIASI CHA TAKA KIWANGO Zaidi ya tani moja Chini ya tani moja 50,000/= 40,000/= - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Industrial waste fees are listed at 70,000/= for more than one ton and 50,000/= for less than one ton.
2. Taka za viwandani Zaidi ya tani moja Chini ya tani moja 70,000/= 50,000/= - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Baada ya ukaguzi, mwenye nyumba/kiwanja aliyekutwa na tatizo la choo au uchafu anaamriwa kutekeleza maelekezo ya ilani ndani ya siku 30.
3. Taka hatarishi Zaidi ya tani moja Chini ya tani moja 100,000/= 80,000/= JEDWALI LA NNE (Limetungwa Chini ya kifungu cha 47) ILANI YA KUJENGA CHOO Ilani hii imetolewa kwa mujibu wa kifungu cha (45) cha Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) za Halmashauri ya Jiji la Mbeya, 2020. SEHEMU ‘A’ Ndugu………….............wa Mtaa/Kijiji……………….…Kata ya………………… Unaarifiwa kwamba katika ukaguzi uliofanyika Tarehe……mwezi………..mwaka…. Katika nyumba yako ya Biashara/kuishi/kutolea Huduma*/ Namba………… iliyopo eneo la ………………katika Kitongoji/Mtaa*……….Kijiji cha……………Kata ya…………. Imekuwa haina choo/ choo kimejaa/kimeharibika* hivyo unaamriwa kutekeleza mambo yafuatayo; (1) ……………………………………………………………………………… (2) ……………………………………………………………………………… (3) ……………………………………………………………………………… (4) ……………………………………………………………………………… SEHEMU ‘B’ Unapewa muda wa siku thelathini (30) tu tangu siku ya kupokea ilani hii kutekeleza maelekezo yote yaliyoelezwa katika sehemu ‘A’ ya Ilani hii, 20 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya SEHEMU ‘C’ Ukaguzi wa kuthibitisha utekelezaji wa maelekezo uliyopewa utafanyika tarehe……………….endepo utashindwa kutekeleza maelekezo ndani ya muda uliopewa Halmashauri itakuchukulia hatua kali za kisheria bila kukupa taarifa nyingine. ……………………………….. AFISA MWIDHINIWA IMETOLEWA NA; IMEPOKELEWA NA; Jina;……………………….Jina;…………………………………. Saini……………………… saini……………………………….... Wadhifa…………………... wadhifa…………………………….. Tarehe…………………….. Tarehe……………………………... *Futa lisilotakiwa. JEDWALI LA TANO Limetungwa Chini ya kifungu cha 48 ILANI YA KUONDOA KERO Ilani hii imetolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 47 cha Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za mwaka 2020. SEHEMU ‘A’ Ndugu………………….........wa Mtaa/Kijiji……………Kata ya………………… Unaarifiwa kwamba katika ukaguzi uliofanyika Tarehe……mwezi………..mwaka…. Katika nyumba yako ya Biashara/kuishi/kutolea Huduma/kiwanja* iliyopo eneo la…………………………………………………………………………………… …..kumekutwa machukizo/kero/uchafu*; kama ifuatavyo; 1) ……………………………………………………………………………… 2) ……………………………………………………………………………… 3) ……………………………………………………………………………… 4) ……………………………………………………………………………… SEHEMU ‘B’ Kwa ilani hii unaamriwa kurekebisha/kuondoa/kusafisha* kwa;
Part
JEDWALI LA TANO
- 2 Verify source ↗
………………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Section 2 is a heading in the Mbeya City Council health and environmental sanitation bylaws.
2. ……………………………………………………………………………… 21 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya - 4 Verify source ↗
………………………………………………………………………………
AI-assisted research summary: Mpokeaji wa ilani anapewa siku 7 kutekeleza yaliyomo sehemu B; akishindwa, Halmashauri inaweza kuchukua hatua kali za kisheria bila kutoa taarifa nyingine.
4. ……………………………………………………………………………… SEHEMU ‘C’ Unapewa muda wa siku saba (7) tangu siku ya kupokea ilani hii, unatakiwa kutekeleza yote yaliyoelezwa katika sehemu ‘B’ ya Ilani hii, kushindwa kwako kutekeleza ndani ya muda uliopewa Halmashauri italazimika kukuchukulia hatua kali za kisheria bila kulazimika kukupa taarifa nyingine. …………………………….. AFISA MWIDHINIWA IMETOLEWA NA; IMEPOKELEWA NA; Jina;……………………….Jina;…………………………………. Saini……………………… saini……………………………….... Wadhifa…………………... wadhifa…………………………….. Tarehe…………………….. Tarehe……………………………... *Futa lisilohusika JEDWALI LA SITA (Limetungwa chini ya Kifungu cha 53) HATI YA KUKIRI KOSA ya Mimi …………………………………………………… ………………………………………… ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, kwamba, mnamo tarehe ……. ya mwezi ……… mwaka ………… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha ………… cha Sheria Ndogo za (Afya na Usafi wa Mazingira) za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za mwaka 2020. nakiri mbele Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, kwa hiyari yangu niko tayari kulipa kiasi ninachodaiwa pamoja na faini. Nathibitisha maelezo hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa kwa hiari yangu na ufahamu wangu. Leo tarehe …… ya mwezi …………… mwaka ………… Jina………………………..………………………… 22 Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya Saini…………… Mbele ya: Jina…………………………………………………. Cheo ……………………………………………….. Saini ……………… Muhuri wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya umebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa azimio la kikao cha Mkuatano wa baraza la Madiwani uliofanyika tarehe 10/06/2020 na kubandikwa mbele ya; LS NAKUBALI DODOMA 05 Agosti, 2020 SAAD A. MTAMBULE Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Jiji la Mbeya GIBSON J. MWAKALIBULE Mwenyekiti wa Mkutano Halmashauri ya Jiji la Mbeya SELEMANI S. JAFO WN OR-TAMISEMI DODOMA 23
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in