Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama za Mwaka 2020
This section says the by-law is called the Mkalama District Council Fees and Charges By-Laws, 2020, applies throughout the whole district council area, and defines key terms such as fee, authorised officer, permit, director, levy, and agent.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-law is called the Mkalama District Council Fees and Charges By-Laws, 2020, applies throughout the whole district council area, and defines key terms such as fee, authorised officer, permit, director, levy, and agent. Halmashauri inaweza kutoza ada na ushuru kwa huduma na vibali vilivyoorodheshwa, na inaweza kupanga utaratibu maalum wa malipo kwa walipa ushuru wakubwa. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima alipe kulingana na viwango vilivyoainishwa humo. The Council may collect fees and levies only during the stated hours, unless the Director gives special permission to collect later. Wakala hawezi kukamata mali au bidhaa bila idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. Halmashauri inaweza kuuza mali au bidhaa iliyokamatwa ikiwa mmiliki hashindwi kulipa ushuru kwa wakati na baada ya kupata amri ya Mahakama. Halmashauri pia hailipishwi kwa uharibifu isipokuwa ulisababishwa na Halmashauri au Wakala.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama za Mwaka 2020
Showing 25 of 25
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section says the by-law is called the Mkalama District Council Fees and Charges By-Laws, 2020, applies throughout the whole district council area, and defines key terms such as fee, authorised officer, permit, director, levy, and agent.
3. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama za Mwaka 2020. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Katika Sheria Ndogo itakapoelekezwa vinginevyo: hizi isipokuwa pale “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya huduma, vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia 1 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Mkurugenzi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; tozo “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hizi. Utozaji wa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kutoza ada na ushuru kwa huduma na vibali vilivyoorodheshwa, na inaweza kupanga utaratibu maalum wa malipo kwa walipa ushuru wakubwa.
4.- leseni (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya huduma mbalimbali na vibali, zinazotolewa kama Halmashauri ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. na (2) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kanuni ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri Halmashauri itakavyoelekeza. kadri kwa (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. (5) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (4), Halmashauri inaweza kukubaliana na walipa ushuru wakubwa kuweka utaratibu maalum wa kulipa ushuru. 2 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima alipe kulingana na viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The Council may collect fees and levies only during the stated hours, unless the Director gives special permission to collect later.
6.- (1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (4) Malipo ya ada na ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama uthibitisho wa malipo yaliyofanyika. (1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo hizi. au Wakala wake Usimamizi Sheria Ndogo wa - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Wakala hawezi kukamata mali au bidhaa bila idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. Halmashauri inaweza kuuza mali au bidhaa iliyokamatwa ikiwa mmiliki hashindwi kulipa ushuru kwa wakati na baada ya kupata amri ya Mahakama. Halmashauri pia hailipishwi kwa uharibifu isipokuwa ulisababishwa na Halmashauri au Wakala.
7.- (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kanuni ndogo ya (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali 3 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. (4) Wakala hataruhusiwa kukamata.mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki tu kama uharibifu huo umesababishwa na Halmashauri au Wakala. isipokuwa Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na apokee ushuru kwa niaba ya Halmashauri ndani ya eneo lake na kwa viwango vilivyoidhinishwa.
8.- kuteua inaweza (1) Halmashauri kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) na kwa kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo kuwasilisha wa makusanyo kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. kielektroniki yote na kwa (b) Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia kwenye eneo, jengo, au chombo cha usafiri kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au mambo yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali. Mtu anayeshindwa kulipa, kushawishi wengine kukwepa kulipa, kuzuia utekelezaji, au kutoa taarifa za uongo hutenda kosa na anaweza kupewa faini au kifungo.
9. Makosa na adhabu 10.- Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) (b) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; 4 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama (c) (d) uongo taarifa Mkurugenzi, atamzuia Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; au atatoa kwa za Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kanuni ndogo ya (1) atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. au Kufililisha kosa - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging a person who committed an offence under these by-laws shillingi 200,000 if the person admits the offence, completes the specified Second Schedule form, and pays the fee or tax owed.
11. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 5 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 4(1)) SEHEMU A USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA. AINA YA GARI USHURU KWA SIKU
Part
SEHEMU A
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists Tshs charges for different vehicle types and a separate animal-inspection fee heading.
7. Gari / basi kubwa Tshs 1500/= Magari madogo (hiace) Tshs 1000/= Taxi Pikipiki Tshs 500/= Tshs 200/= Magari binafsi yasiyo ya biashara Tshs 500/= Gari dogo la mizigo (lori au pick up)chini ya tani 7 Tshs 2000/= Gari kubwa la mizigo zaidi ya tani 7 Tshs 3000/= SEHEMU B ADA YA UKAGUZI WA NYAMA AINA YA MIFUGO KIWANGO CHA USHURU
Part
SEHEMU B
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision sets daily market/auction fees for cattle, goats, sheep, and pigs.
4. Ng’ombe Tshs 2000/= Mbuzi Tshs 1000/= Kondoo Tshs 1000/= Nguruwe Tshs 2000/= 6 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama SEHEMU C USHURU KATIKA MASOKO, NA MAGULIO/MINADA. AINA YA BIASHARA USHURU KWA SIKU
Part
SEHEMU C
- 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: The section lists several business categories with associated fees or taxes in Tanzanian shillings.
13. Biashara ya nguo za mitumba Biashara za nguo za madukani Biashara ya viatu vya mitumba Biashara ya mama lishe Biashara ya vileo Biashara ya kuuza nyama Michezo mbalimbali katika soko Biashara za bidhaa za urembo Biashara ya vyombo vya ndani Biashara ya samaki mbalimbali Minada ya hadhara Miwa Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 5,000/= Tshs 3,000/= Ushuru wa kupanga meza, kizimba Tshs 1,000/= SEHEMU D NA. AINA YA MAZAO USHURU KWA ASILIMIA USHURU WA MAZAO
Part
SEHEMU D
- 10 Verify source ↗
Mtama/uwele
AI-assisted research summary: Mtama/uwele carries a rate of 3% of the sale price.
10. Mtama/uwele 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 7 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama - 15 Verify source ↗
Matunda
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ‘Matunda’ na kiwango cha 3% ya bei ya mauzo.
15. Matunda 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo 3% ya bei ya mauzo - 16 Verify source ↗
Mazao mengine yote ya chakula ambayo
AI-assisted research summary: The text mentions other food products and a 3% sale-price figure, but it does not clearly state a full rule by itself.
16. Mazao mengine yote ya chakula ambayo 3% ya bei ya mauzo hayajaainishwa - 17 Verify source ↗
Mazao mengine yote ya biashara ambayo
AI-assisted research summary: The provision mentions other business products and a 3% of sales price figure.
17. Mazao mengine yote ya biashara ambayo 3% ya bei ya mauzo hayajaainishwa - 18 Verify source ↗
Mazao/mbegu za mazao mengine
AI-assisted research summary: Mazao/mbegu za mazao mengine zinaonekana kuwekewa kiwango cha 3% ya bei ya mauzo.
18. Mazao/mbegu za mazao mengine 3% ya bei ya mauzo SEHEMU: E USHURU WA NGOZI AINA YA NGOZI KIWANGO CHA USHURU - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada na ushuru mbalimbali, hasa kwa burudani, usajili na baadhi ya bidhaa au huduma.
3. Ngozi ya ng’ombe Tshs 500/= kwa kipande Ngozi ya mbuzi Tshs 200/= kwa kipande Ngozi ya kondoo Tshs 200/= kwa kipande 8 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama SEHEMU: F ADA ZA BURUDANI AINA YA BURUDANI NAUTAMADUNI Mziki wa disko Muziki na dansi ADA Tshs 20,000/= kwa tukio Tshs 20,000/= kwa tukio Burudani ya msanii binafsi Tshs 30,000/= kwa tukio Burudani kikundi Tshs 40,000/= kwa tukio Taasisi/ kampuni Tshs 50,000/= kwa tukio Maigizo ya mazingaombwe kwa siku moja Tshs 10,000/= kwa tukio kuonyesha video au sinema kwa siku moja Tshs 30,000/= kwa tukio Leseni ndogo kwa waganga wa kienyeji Matangazo au promosheni Mashindano ya urembo Salon Wasambazaji wa kebo (cables) Muziki wa taarabu Vituo vya Tv, na radio Vituo vya magazeti Mchezo wa puli (pool table) Wamiliki wa kumbi za burudani Kupiga picha za video Burudani nyinginezo Usajili wa vikundi vya Sanaa Tshs 100,000/= kwa mwaka Tshs 30,000/= kwa tukio Tshs 100,000/= kwa tukio Tshs 5,000/= kwa mwezi Tshs 10,000/= kwa mwezi Tshs 20,000/= kwa kila tukio Tshs 10,000/= kwa mwezi Tshs 5,000/= kwa mwezi Tshs 50,000/= kwa mwezi Tshs 10,000/= kwa mwezi Tshs 5000/= kwa tukio Tshs 10,000/= kwa kila tukio Tshs 75,000/=kwa mwaka Michezo ya bahati nasibu Tsh 100,000/=kwa mwezi Mapromota Tshs 200,000/= kwa mwaka - 22 Verify source ↗
Section 22
AI-assisted research summary: Section 22 sets building-permit fees for different types of buildings and related land-use changes, with amounts listed in Tanzanian shillings.
22. SEHEMU: G ADA YA KIBALI CHA UJENZI KWA MWAKA AINA YA JENGO Minara ya simu (telephone tower) Ghorofa (2 stores and above) Nyumba za biashara ( gesti, maduka) Kituo cha mafuta Nyumba za makazi Nyumba za makazi na biasahara Nyumba za biashara Shule binafsi, na Hospitali binafsi Ofisi binafsi Maghala na Bohari Uzio wa ujenzi KIASI (SHILINGI) Tshs 250,000/= Tshs 150,000/= Tshs 50,000/= Tshs 100,000/= Tshs 50,000/= Tshs 50,000/= Tshs 50,000/= Tshs 100,000/= Tshs 100,000/= Tshs 100,000/= Tshs 50,000/= Kubadili matumizi ya Ardhi Tshs 50,000/= 9 - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: This section names the Mkalama District Council by-laws on fees and taxes.
12. Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: This provision lists fee amounts for a building-related item, including Tshs 50,000/= and Tshs 20,000/=.
14. Kuhakiki mipaka Majengo mengine ambayo hayajatajwa Tshs 50,000/= Tshs 20,000/= SEHEMU: H ADA YA MABADILIKO YA JENGO LILILOPO AINA YA JENGO KIASI (SHILINGI) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts for different building types.
5. Nyumba ya kuishi Nyumba ya biashara Gholofa Kiwanda, bohari, ghala, n.k Majengo mengine ambayo hayajatajwa hapa Tshs 5,000/= Tshs 10,000/= Tshs 100,000/= Tshs 100,000/= Tshs 10,000/= SEHEMU: I USHURU WA KULAZA GARI KITUO CHA MABASI AINA YA GARI ADA - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists several transport-related charges and tender application fees in Tanzanian shillings.
4. Basi la abiria zaidi 28 Basi la abiria kati ya 20-28 Basi la abiria kati ya 7 – 20 Teksi, Pick up, Magari Binafsi Pikipiki Baiskeli Lori zaidi ya tani 10 Lori chini ya tani 10 Tshs 5,000/= Tshs 3,000/= Tshs 2,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 500/= Tshs 300/= Tshs 5,000/= Tshs 3,000/= SEHEMU: J ADA YA KUOMBA ZABUNI AINA YA ZABUNI ADA Uwakala Zabuni ndogo ndogo Zabuni za kati Zabuni kubwa Tshs 50,000/= Tshs 100,000/= Tshs 150,000/= Tshs 200,000/= SEHEMU: K USHURU WA KITUO CHA MABASI YA ABIRIA IDADI YA ABIRIA USHURU KWA SIKU - 26
AI-assisted research summary: This section lists charges for parking freight vehicles.
26 – 35 66 au zaidi Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 1,000/= Tshs 2,000/= 10 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama SEHEMU: L USHURU WA KUEGESHA MAGARI YA MIZIGO - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section sets daily vehicle charges by weight band and lists fixed fees for different livestock and goods.
4. UZITO WA GARI Chini ya tani3 Tani 3-6 Tani 7-10 Zaidi ya tani 10 USHURU KWA SIKU Tshs 1,000/= Tshs 2,000/= Tshs 3,000/= Tshs 5,000/= SEHEMU: M USHURU WA MIFUGO MINADANI AINA YA MIFUGO Ng’ombe Mbuzi Kondoo KIWANGO CHA USHURU Tshs 5,000/= Tshs 1,500/= Tshs 1,500/= Kuku /Bata Tshs 200/= Punda Tshs 5,000/= SEHEMU: N USHURU WA AINA MBALIMBALI AINA YA BIDHAA KIWANGO CHA USHURU Gunia la chumvi Tshs 500/= Gunia la pumba Tshs1,000/= Tshs 1,000/= Gunia la mashudu Tshs 5,000/= Kampuni ya upimaji udongo kwa heka - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Fomu hii inaonyesha mtu akikiri kosa na kukubali kulipa shilingi 200,000 badala ya kufikishwa mahakamani, kwa mamlaka ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama.
4. 11 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11) HATI YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA Mimi ……………………………..…… nakiri mbele ya ………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Mkalama, kwamba tarehe …… ya Mwezi ……. Mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha …… cha Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama za Mwaka 2020. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi laki mbili na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hizi badala ya kushtakiwa Mahakamani NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KWA KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi………… Mwaka …………………. Jina……………………………….. Saini……………………………………. Mbele ya : Jina: …………………………………………… Cheo: …………………………………………. Saini: ………………………………………….. 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in