Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
This section says the by-laws are called the Mbeya City Council Fees and Charges By-Laws, 2020.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-laws are called the Mbeya City Council Fees and Charges By-Laws, 2020. These bylaws apply throughout the area under the authority of Mbeya City Council. Sehemu hii inafafanua maneno yanayotumika kwenye Sheria Ndogo hizi, ikiwemo ada, ushuru, Halmashauri, kibali, soko, na Wakala. Halmashauri inaweka Ada na Ushuru kwa vibali, leseni na huduma mbalimbali, na ushuru huo hulipwa kabla ya huduma au wakati wa kupata huduma au baada ya huduma kutolewa. Watu waliotakiwa kulipa ada na ushuru lazima walipe kwa viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
Showing 55 of 55
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada
AI-assisted research summary: This section says the by-laws are called the Mbeya City Council Fees and Charges By-Laws, 2020.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya
AI-assisted research summary: These bylaws apply throughout the area under the authority of Mbeya City Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale itakapoelezwa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno yanayotumika kwenye Sheria Ndogo hizi, ikiwemo ada, ushuru, Halmashauri, kibali, soko, na Wakala.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo:- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali, au leseni zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine isipokuwa 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) mkokoteni, au wanyama wanaotumika kama kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri ; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; “madini ya ujenzi” maana yake ni mchanga, mawe, kokoto, udongo, matofali ya kuchoma au mabichi na chokaa ; “maegesho’’ maana yake ni sehemu yeyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; “mhudumu” maana yake ni mtu yeyote anayehudumia wateja katika eneo la biashara; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya pamoja au Afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa ya Mkurugenzi; kutekeleza majukumu “usajili wa vyombo vya usafiri” maana yake ni utaratibu utakaowekwa na Halmashauri wa kuorodhesha idadi ya vyombo vya usafiri vinavyofanya biashara ndani ya mamlaka ya Halmashauri; “ushuru” maana yake ni malipo yanayofanywa kwa Halmashauri au wakala wake kwa ajili ya huduma inayotolewa na Halmashauri; “ramani ya jengo” maana yake ni mchoro au michoro 2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) inayotakiwa kuwasilishwa Halmashauri chini ya Kanuni za udhibiti wa maendeleo ya Ujenzi Mijini; “soko” maana yake ni sehemu yoyote maalum iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa; “Wakala” maana yake ni Mtu, Taasisi, Kampuni au Asasi iliyoteuliwa kisheria na Halmashauri yeyote kukusanya mapato kwa niaba ya Halmashauri ; SEHEMU YA PILI NAMNA YA KUKUSANYA ADA NA USHURU Ada na Ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweka Ada na Ushuru kwa vibali, leseni na huduma mbalimbali, na ushuru huo hulipwa kabla ya huduma au wakati wa kupata huduma au baada ya huduma kutolewa.
4. (1) Halmashauri itatoza Ada na Ushuru mbalimbali kwa ajili ya vibali, leseni na huduma zitolewazo na Halmashauri kama inavyoonyeshwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Ushuru utozwao chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kabla ya huduma kutolewa au wakati wa kupata huduma au baada ya kupata huduma. (3) Huduma zitakazotozwa Ada na Ushuru katika Sheria Ndogo hizi ni- (a) huduma za Ardhi; (b) kukodi magari Halmashauri; (c) upimaji wa Afya; na Mitambo ya (d) uwekaji wa uzio kwenye eneo la ujenzi; (e) machinjio; 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) (f) kulaza mifugo; (g) ukaguzi wa afya ya mnyama kabla ya kuchinjwa; (h) ukaguzi wa mnyama kuruhusu kwenda buchani; (i) kuruhusu kuingiza wanyama na nyama iliyochinjwa nje ya Halmashauri; (j) huduma nyingine zinazohusu mifugo; (k) madini ya ujenzi; (l) stendi; (m) burudani na michezo; (n) mazao ya kilimo na biashara; (o) mazao ya Misitu; (p) uondoaji wa maji taka; (q) huduma nyingine; (r) maegesho kwenye maeneo maalum; (s) kuosha magari (Car Wash) Wajibu wa kulipa Ada na Ushuru - 5 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni Wajibu wa kila Mtu anayetakiwa kulipa Ada
AI-assisted research summary: Watu waliotakiwa kulipa ada na ushuru lazima walipe kwa viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza.
5. (1) Itakuwa ni Wajibu wa kila Mtu anayetakiwa kulipa Ada na Ushuru kuhakikisha kwamba analipa kwa viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Muda wa kukusanya Ushuru utakuwa ni kwa masaa yote ishirini na nne (24). 4 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) (3) Malipo ya Ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na Mlipa Ushuru. (4) Malipo ya Ushuru yanayotozwa kwa Mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya Halmshauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. Mabadiliko ya Viwango vya ada na ushuru Sura 288 - 6 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kurekebisha viwango vya Ada na Ushuru inapoyaona yanafaa, lakini lazima ifuate taratibu zote za utungaji wa Sheria Ndogo zinazohitajika na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji).
6. (1) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kufanya marekebisho ya viwango vya Ada na Ushuru pale itakapoona inafaa. (2) Katika kufanya marekebisho ya viwango vya Ada na Ushuru au kipengele chochote katika Sheria Ndogo hizi, Halmashauri itafuata taratibu zote za utungaji wa Sheria Ndogo zinazoelekezwa na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji). Usimamizi wa Sheria Ndogo - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kufunga biashara, kukamata au kuzuia mali/bidhaa za deni la ushuru, na kuuza vilivyokamatwa baada ya amri ya Mahakama ikiwa malipo hayatolewi kwa muda uliotajwa.
7. (1)Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kutokuwa na kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo hizi. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na fedha mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. (4)Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa na Halmashauri. Uteuzi wa Wakala Wajibu wa Wakala - 8 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kuteua Kampuni, Asasi au Taasisi
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni, asasi au taasisi yoyote kukusanya ushuru kwa niaba yake, ikiwa ni katika vyanzo vilivyokubaliwa kukusanywa na Wakala.
8. Halmashauri inaweza kuteua Kampuni, Asasi au Taasisi yoyote kukusanya Ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika vyanzo vilivyokubaliwa kukusanywa na Wakala. - 9 Verify source ↗
Wakala aliyeteuliwa chini ya Sheria Ndogo hizi atakuwa na
AI-assisted research summary: Mtu aliyeteuliwa kuwa wakala chini ya Sheria Ndogo hizi lazima akusanye au apokee ushuru katika eneo na viwango vilivyowekwa, awasilishe makusanyo yote kwa mujibu wa Mkataba wa Uwakala na Halmashauri, na aweke dhamana ya makusanyo ya mwezi mmoja kabla ya kuanza kazi.
9. Wakala aliyeteuliwa chini ya Sheria Ndogo hizi atakuwa na wajibu wa- alichopangiwa (a) kukusanya au kupokea Ushuru katika eneo na viwango chanzo vilichoainishwa chini ya Sheria Ndogo hizi; (b) kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya Mkataba wa Uwakala kati yake na Halmashauri; kwa Uwezo wa afisa mwidhiniwa (c) kuweka dhamana ya kusanyo la mwezi mmoja kabla ya kuanza makusanyo ambapo dhamana hiyo itarejeshwa mwisho wa mkataba. - 10 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa
AI-assisted research summary: The authorized officer may enter buildings to collect tax, inspect suspected places or vehicles, and close a business or building if the owner refuses or fails to pay the fees or tax due under these by-laws.
10. Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa :- (a) kuingia katika jengo lolote kwa lengo la kukusanya ushuru; (b) kukagua eneo au chombo chochote atakachokitilia mashaka kuwa kinahifadhi au 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) kusafirisha bidhaa au kinatumika kukwepa kulipa ushuru ; na (c) kufunga biashara au jengo lolote ambalo mmiliki wake atashindwa au kukataa kulipa Ada au Ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. SEHEMU YA III MAKOSA NA ADHABU Makosa
Part
SEHEMU YA III
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Wakala yeyote na mtu yeyote wanaweza kuwa katika kosa wakikosa kufuata masharti ya ukusanyaji wa ushuru, ulipaji wa ushuru, taarifa, kumbukumbu, au wakimzuia Afisa Mwidhiniwa.
11. Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hizi; (1) Kwa Wakala yeyote; (a) (b) kukusanya ushuru bila kibali cha maandishi au mkataba kutoka kwa Halmashauri; kukusanya au kujaribisha kukusanya ushuru kwa kiwango tofauti na kilichotajwa kwenye Sheria Ndogo hizi; (c) kushindwa kuwasilisha au kuwasilisha kiwango pungufu ya kiwango cha ushuru alichokubaliwa 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) katika mkataba; (d) kukusanya ushuru kwa mbinu alizoelekezwa na Halmashauri. tofauti na (2) Kwa mtu yeyote endapo; (a) atashindwa, atadharau, au atakaidi au atakataa kulipa Ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kuhusiana na ulipaji wa ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukataa au kukwepa kulipa ushuru; (c) atatengeneza, ataidhinisha atatayarisha, utengenezaji, au atatunza nyaraka za uongo kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ushuru mbalimbali ndani ya Halmashauri; (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri, au atashindwa au kutoa taarifa zitakazohitajika na Halmashauri; (e) atashindwa kuweka kumbukumbu, vitabu, hesabu, au maelezo yoyote yatakayohitajika Halmashauri; na (f) atamzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake. au Wakala Adhabu - 12 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo atakwenda
AI-assisted research summary: Anyone who acts contrary to these by-laws commits an offence and, if convicted, may be fined or imprisoned, or both.
12. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo atakwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua shilingi laki mbili (200,000/= shilingi milioni moja (1,000,000/=) au kifungo kisichopungua miezi kumi na isiyozidi na 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) mbili (12) na kisichozidi miezi ishirini na nne(24) au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Kufililisha kosa Kufutwa Tangazo la Serikali Na. 381 la mwaka, 2011, Tangazo la Serikali Na. 343 la mwaka 2014 na sehemu ya Tangazo la Serikali na 376 la mwaka 2011
Part
sehemu ya
- 13 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote faini ya Sh 200,000 hadi Sh 500,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari kwa maandishi na anakubali kutimiza wajibu wake na kulipa faini inayodaiwa.
13. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote faini isiyopungua shilingi laki mbili (200,000/=) na isiyozidi shilingi laki tano (500,000/=) iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari yake mwenyewe kwa maandishi na kukubali kutekeleza wajibu wake pamoja na kulipa faini anayodaiwa kama ilivyoekelezwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. - 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zinafutwa
AI-assisted research summary: This section repeals two Mbeya City Council by-laws from 2011 and 2014.
1. Sheria Ndogo hizi zinafutwa; (a) Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Jiji la Mbeya, 2011, (b) Sheria Ndogo za (Ada na ushuru) (Marekebisho) za Halmashauri ya Jiji la Mbeya, 2014, - 2 Verify source ↗
Jedwali la nne la Sheria Ndogo za (Ushuru wa
AI-assisted research summary: This provision repeals the fourth schedule of the Mbeya City Council bylaws on vehicle park charges.
2. Jedwali la nne la Sheria Ndogo za (Ushuru wa Kituo cha magari) za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za mwaka 2011 zinafutwa 9 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Limetungwa Chini ya Kifungu cha 4(1)
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
ADA ZA HUDUMA ZA ARDHI
AI-assisted research summary: This section appears to concern fees for land services, including building permit fees.
1. ADA ZA HUDUMA ZA ARDHI (i) Vibali vya ujenzi Na Kibali cha ujenzi Kiwango cha Ada - 1 Verify source ↗
Eneo la msingi lisilozidi mita za mraba 50
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka kiwango cha eneo la msingi kisichozidi mita za mraba 50 na kiasi cha 25,000/=.
1. Eneo la msingi lisilozidi mita za mraba 50 25,000/= - 2 Verify source ↗
Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 51 lakini
AI-assisted research summary: Inaonekana kuweka kiwango cha 38,000/= kwa eneo la msingi linalozidi mita za mraba 51 na lisilozidi mita za mraba 60.
2. Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 51 lakini 38,000/= lisilozidi mita za mraba 60 - 3 Verify source ↗
Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 61 lakini
AI-assisted research summary: The provision refers to a base area above 61 square meters and not over 250 square meters, and mentions 50,000/=.
3. Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 61 lakini 50,000/= lisilozidi mita za mraba 250 - 4 Verify source ↗
Eneo la msingi lin alozidi mita za mraba 251 lakini
AI-assisted research summary: Kwa eneo la msingi linalozidi mita za mraba 251 lakini lisilozidi mita za mraba 350, kiasi kilichoandikwa ni 63,000/=.
4. Eneo la msingi lin alozidi mita za mraba 251 lakini 63,000/= lisiloz idi mita za mraba 350 - 5 Verify source ↗
Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 351 lakini lisilo
AI-assisted research summary: The provision appears to refer to a base area exceeding 351 square meters, but the text is fragmentary and unclear.
5. Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 351 lakini lisilo 100,000/= zidi rnita za rnraba 600 - 6 Verify source ↗
Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 60l lakini
AI-assisted research summary: Inaonyesha ada ya 135,000/= kwa eneo la msingi linalozidi mita za mraba 60l lakini lisilozidi mita za mraba 900.
6. Eneo la msingi linalozidi mita za mraba 60l lakini 135,000/= lisilozidi mita za mraba 900 10 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) - 7 Verify source ↗
Eneo la msingi linalozidi rnita za mraba 901, kwa kila
AI-assisted research summary: Charges apply to base area exceeding 901 square meters, with different rates for different types of buildings and factories.
7. Eneo la msingi linalozidi rnita za mraba 901, kwa kila 1,500/ mita ya rnraba inayozidi (a) msingi wa zaidi ya ghorofa mbili kwa mita ya 1,725/= mrnba. (b) jengo la kawaida 1,950/= (c ) msingi wa kiwanda kidogo kwa kila mita ya mraba 1,725/= (d)Viwanda vikubwa - 8 Verify source ↗
Ada ya ujenzi wa ghala kwa kila mita ya mraba
AI-assisted research summary: Provision about a warehouse construction fee calculated per square meter.
8. Ada ya ujenzi wa ghala kwa kila mita ya mraba - 9 Verify source ↗
Mnara (installation fees)
AI-assisted research summary: This section lists municipal installation fees and permit charges for building works, fences, land-use changes, subdivisions, and property searches.
9. Mnara (installation fees) 10 Kupitisha marekebisho ya ramani 11 Ongezeko na marekebisho ya jengo lililopo kwa mita ya mraba 2,850/= 2,000/= 2,500,000/= ya 50% gharama zilizolipiwa awali 2,000/= 12 Ujenzi wa uzio wa mita 20 kwa kila enco kwa kila mita 600/= moja kwa miezi sita 13 Kwa kila mwezi unaoongczeka kwa mita 750/= 14 Kwa kipindi kinachozidi miezi 20 au sehemu kwa mita 600/= 15 Ujenzi wa uzio wa kudumu 1,000/= 16 Pale ambapo thamani ya jengo haiziadi sh.3,000,000/= 45,000/= 17 Pale ambapo thamani ya jengo haizidi sh.3,000,000/= 135,000/= lakini haizidi 15,000,000/= 18 Pale ambapo thamani ya jengo inazidi sh. 15,000,000/= 202,500/= lakini haizidi 30,000,000/= 11 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) 19 Pale ambapo thamani ya jengo inazidi 30,000,000/= 337,500/= 20 Ada ya maombi ya uwekaji wa bango 21 Ada ya matumizi ya jengo 100,000/= Kwa kibali kila 50% ya Ada ya kibali (ii) Ada na Vibali vya kubadilisha matumizi ya Ardhi, kugawa viwanja, mashamba au kurekebisha mchoro Matumizi ya Awali Matumizi yanayoombwa Kiwango cha Ada 1 Makazi pekee Makazi na biashara 80,000/= 2 Makazi pekee Makazi zaidi ya moja 100,000/= 3 Makazi pekee Shule,Hosteli,Zahanati na huduma nyinginezo za jamii 200,000/= 4 Makazi pekee Hoteli 200,000/= 5 Makazi na biashara Kituo cha mafuta 250,000/= 6 Makazi na biashara (Maduka makubwa ) 300,000/= Super Mall Market/Shooping 7 Makazi pekee (Viwanda/huduma) 200,000/= Service Trade/Industrial 8 Makazi pekee Ghala (Yard/Godown) 200,000/= 12 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) 9 Biashara Makazi 10 Kugawa shamba kuwa makazi viwanja vya makazi 100,000/= 100,000/= 11 Kugawa makazi kiwanja cha makazi 100,000/= 12 Kugawa kiwanja matumizi ya hoteli kwa biashara 200,000/= 13 Kugawa kiwanja kwa matumizi ya shule, hosteli, zahanati huduma na nyinginezo za jamii. biashara 100,000/= 14 Ada ya uhakiki wa umiliki kiwanja shamba au (Official Search) Matumizi yoyote 50,000/= - 3 Verify source ↗
ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI
AI-assisted research summary: Section 3 lists rental fees for various municipal assets, with each charge set according to the current market price.
3. ADA YA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI Na Aina ya mali Kiwango cha Ada 1 2 ukumbi wa Kukodisha Halmashauri kwa ajili ya semina au shughuli binafsi Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo (a) Kupanga kizimba cha biashara sokoni Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo (b) Kupanga chumba au kibanda eneo la kituo cha mabasi (stendi yoyote). Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo 13 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) (c) Kupanga soko Halmashauri chumba lolote cha la Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo (d) Kupanga au kuweka kontena mwavuli au uwazi wa kuuuzia vitu kama vile mbao au eneo lolote la wazi. Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo 3 4 Kukodi majengo mengine ya Halmashauri Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo Kukodi magari ya Halmashauri ya Jiji Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo 5 Kukodi Genereta Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo 6 7 8 Kukodi mitambo na mashine nyingine yoyote ya Halmashauri Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo Kodi ya gardeni ya Halmashauri iwapo kuna shughuli maalumu. Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo Kukodi ardhi ya Halmashauri kwa matumizi maalum Kwa mujibu wa bei ya soko ya wakati huo - 4 Verify source ↗
ADA YA UPIMAJI WA AFYA
AI-assisted research summary: This section is about the health inspection fee and the applicable fee level.
4. ADA YA UPIMAJI WA AFYA Kiwango cha Ada Ada husika - 1 Verify source ↗
Homa ya manjano katika masaa ya
AI-assisted research summary: This provision lists local fees for yellow fever, health checks for hotel/butcher/shop workers, and pest control in ordinary residences.
1. Homa ya manjano katika masaa ya kawaida; (a) Raia (b) Mgeni (c)Vipimo vya afya kwa watumishi wa hoteli, bucha na maduka kila baada ya miezi sita 7,000/= 10,000/= 1,500/= 14 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) (d) Udhibiti wa wadudu waharibifu kwenye makazi ya kawaida (Kwa mita ya mraba) 1,500/= - 5 Verify source ↗
ADA ZA UWEKAJI UZIO KWENYE ENEO LA UJENZI
AI-assisted research summary: Ada zinawekwa kwa ujenzi wa uzio katika eneo la ujenzi, kwa viwango vinavyotajwa kwenye kifungu.
5. ADA ZA UWEKAJI UZIO KWENYE ENEO LA UJENZI Na MUDA 1 Ujenzi wa uzio kwa mita 20 kwa kila eneo la mita moja kwa miezi sita Kwa kila mwezi unaoongezeka kwa mita Kwa kipindi kianachozidi miezi 20 au sehemu kwa mita 2 3 Kiwango cha Ada 1,500/= 2,000/= 3,000/= - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section appears to set a slaughter-related tax or charge based on the number of animals.
6. USHURU WA MACHINJIO Na Mnyama Kiwango ushuru cha Idadi - 2 Verify source ↗
Mbuzi na kondoo
AI-assisted research summary: The text states 1,000/= for each goat or sheep.
2. Mbuzi na kondoo 1000/= Kila mbuzi au kondoo mmoja - 7 Verify source ↗
USHURU WA KULAZA MIFUGO KWENYE MAENEO YA MACHINJIO IKIWA INASUBIRI
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinaonyesha ushuru wa kulaza mifugo kwenye maeneo ya machinjio ikisubiri kuchinjwa.
7. USHURU WA KULAZA MIFUGO KWENYE MAENEO YA MACHINJIO IKIWA INASUBIRI KUCHINJWA Na Mfugo Kiwango Ushuru cha Idadi - 2 Verify source ↗
Mbuzi, kondoo
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha ada ya 500/= kwa kila mbuzi au kondoo mmoja.
2. Mbuzi, kondoo 500/= Kila mbuzi au kondoo mmoja 15 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) - 8 Verify source ↗
USHURU WA UKAGUZI WA AFYA YA MNYAMA KABLA HAJACHINJWA
AI-assisted research summary: Sehemu hii inahusu ushuru wa ukaguzi wa afya ya mnyama kabla ya kuchinjwa, kwa kuzingatia aina ya mnyama, kiwango cha ushuru, na idadi.
8. USHURU WA UKAGUZI WA AFYA YA MNYAMA KABLA HAJACHINJWA Na Aina ya Mnyama Kiwango Ushuru cha Idadi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fees per animal for cattle, goats, sheep, and pigs.
3. Ng’ombe Mbuzi, kondoo Nguruwe 500/= 250/= 500/= Kwa kila mnyama Kwa kila mnyama Kwa kila nguruwe - 9 Verify source ↗
USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA ILI KURUHUSU KWENDA BUCHANI
AI-assisted research summary: This section appears to be a heading for meat inspection fees, but it does not state a complete rule in the provided text.
9. USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA ILI KURUHUSU KWENDA BUCHANI Na Aina ya Mnyama Kiwango Ushuru cha Idadi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Inaorodhesha ada za kwa kila mnyama kwa ng’ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe.
3. Ng’ombe 1500/= Kwa kila mnyama Mbuzi,kondoo Nguruwe 250/= 500/= Kwa kila mnyama Kwa kila nguruwe - 10 Verify source ↗
ADA NA USHURU WA KUINGIZA WANYAMA NA NYAMA ILIYOCHINJWA NJE YA
AI-assisted research summary: This section is about fees or taxes for bringing animals and slaughtered meat into the Mbeya City Council area.
10. ADA NA USHURU WA KUINGIZA WANYAMA NA NYAMA ILIYOCHINJWA NJE YA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA Na Aina Kiwango cha Ada/ Ushuru Idadi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Kuingiza nyama hutozwa 100/= kwa kilo, na kuingiza wanyama wa kufuga kama ng’ombe, punda na farasi hutozwa 10,000/= kwa kila mnyama.
2. Kuingiza nyama yoyote 100/= kwa kg 1 Kwa kila mnyama Kuingiza wanyama wa kufuga Ng’ombe, Punda na Farasi 10,000/= Kwa kila mnyama - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: There is a charge of 5,000/= per pig for bringing in pigs.
3. Kuingiza Nguruwe 5,000/= Kwa kila nguruwe - 11 Verify source ↗
HUDUMA NYINGINE ZINAZOHUSU MIFUGO
AI-assisted research summary: This section is a heading about other livestock-related services and a fee/tax schedule reference, but the provided text does not state a specific rule.
11. HUDUMA NYINGINE ZINAZOHUSU MIFUGO Kiwango Na Aina ya mfugo 16 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The provision lists a fee to establish a livestock dipping facility and a transport levy for hides.
2. Ada ya kuanzisha josho la mifugo 30,000/= @kila josho Ada na ushuru wa usafirishaji wa ngozi 200/= Ng’ombe 100/= Mbuzi/Kondoo - 12 Verify source ↗
USHURU WA MADINI YA UJENZI
AI-assisted research summary: Ushuru wa madini ya ujenzi unawekwa kwa kila safari kulingana na ukubwa wa gari.
12. USHURU WA MADINI YA UJENZI Ukubwa wa gari Na Gari tani 1 Gari tani 2 Gari tani 3 Gari tani 4-6 Gari tani 7 1 2 3 4 5 6 Kiwango cha Ushuru 2000/= Kwa Safari(trip) 2000/= Kwa Safari(trip) 2000/= Kwa Safari(trip) 3000/= Kwa Safari(trip) 5000/= Kwa Safari(trip) Gari tani 8 na kuendelea 10,000/= Kwa Safari(trip) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The provision mentions a construction-minerals mining permit and the amount 50,000/=.
7. Kibali cha kuchimba madini ya ujenzi 50,000/= - 13 Verify source ↗
ADA NA USHURU UTOKANAO NA BURUDANI ZA MICHEZO
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la ada na ushuru kwa shughuli mbalimbali za burudani na maonesho.
13. ADA NA USHURU UTOKANAO NA BURUDANI ZA MICHEZO Na Tukio la Burudani Kiwango cha Ada/ Ushuru 1 2 3 4 5 6 7 Uimbaji kwenye tamasha 100,000/=kwa tamasha Uimbaji wa kongamano 80,000/kila kongamano Usajili chama cha Baiskeli na Pikipiki 70,000/= kwa usajili Usajili wa vikundi vya sanaa au kwaya 50,000/= kwa usajili. Usajili wa vyama vya michezo na vilabu 70,000/= kwa usajili. Usajili wa vibanda vya filamu 70,000/= kwa usajili Kibali cha kuchezesha disco, Maonyesho ya bendi, Sanaa za maonyesho (Sinema, video, maigizo, sarakasi. 100,000/= Kwa tukio 17 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 Ada ya kutangaza burudani 80,000/= kwa kibali Kibali cha kuchezesha Michezo ya Kubahatisha kwa kutumia mashine. 300,000/= Kwa kibali kwa mwaka Kibali cha mchezo wa pool table 100,000/=kwa mwaka. kibali cha tamasha la maonesho 100,000/= kwa onesho Bahati nasibu ndogo ndogo (fete) 100,000/= kwa mchezo Kibali cha matangazo Washereheshaji Wapambaji wa kumbi za burudani ( harusi, sherehe za jikoni, sherehe za kuaga binti na nyinginezo) 100,000/= kwa biashara. tangazo ya 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio Mtoa burudani (d.j) 50,000/= kwa tukio Wamiliki wa kumbi mbalimbali (i) Ukumbi unaochukua watu 100-200 shilingi 30,000/=kwa kila tukio (ii) Ukumbi unaochukua watu 300-500 shilingi 40,000/= kwa kila tukio 50,000/= kwa tukio moja kwa siku 30,000/= kwa tukio moja kwa siku. 18 Wapishi wa vyakula 19 Picha jongevu na mnato 20 21 Matangazo ya kuuza bidhaa zinazopungua bei (promotion) Maombi ya kibali cha kufanya Tiba za Jadi 40,000/= kwa tangazo 20,000/= kwa siku - 14 Verify source ↗
USHURU WA MAZAO YA KILIMO
AI-assisted research summary: Mazao ya biashara na chakula yanatozwa ushuru wa asilimia 3 ya bei ya kununulia.
14. USHURU WA MAZAO YA KILIMO Na. Aina ya Mazao Kiwango 1 Mazao ya biashara na Chakula Asilimia tatu (3%) ya bei ya kununulia 18 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) - 15 Verify source ↗
USHURU WA MAZAO YA MISITU
AI-assisted research summary: Ushuru wa mazao yote ya misitu ni asilimia 5 ya bei ya kununulia.
15. USHURU WA MAZAO YA MISITU Na. Aina ya Mazao Kiwango cha Ushuru 1 Aina zote za mazao ya Misitu Asilimia tano (5%) ya bei ya kununulia - 16 Verify source ↗
ADA NA USHURU KUTOKANA NA HUDUMA ZINGINE
AI-assisted research summary: This section is titled “Fees/charges from other services” and introduces a table of fee/tax type and rate.
16. ADA NA USHURU KUTOKANA NA HUDUMA ZINGINE Na Aina ya ada/ Ushuru Kiwango cha Ushuru - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Vyombo vya huduma ya usafiri vilivyotajwa vinahusiana na stika ya Halmashauri inayogharimu 20,000/= kwa kila stika na hudumu kwa mwaka mmoja.
1. Ada ya utambulisho (stika za Halmashauri) kwa ajili ya vyombo vya huduma ya usafiri bodaboda, bajaji, guta, tax, na daladala 20,000/= stika kwa (itadumu kwa mwaka mmoja) kila - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for several permits, registrations, and local activities.
2. Ada ya kibali cha kununua mazao 100,000/= kwa kila kibali na kitadumu kwa mwaka mmoja. 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 Ada na ushuru wa vibanda vya huduma za fedha kupitia simu za mkononi 80,000/= kwa mwaka Ada ya kibali cha night club 300,000/= kwa mwaka Ada na kibali cha kumbi za vikao na starehe zingine 100,000/=kwa mwaka Ada ya maombi ya kibali cha mziki 100,000/= kwa siku Ada ya maombi ya kibali cha tangazo la biashara 100,000/= kwa masaa nane Ada ya kibali cha mambo mengine ya kiutamaduni 100,000/= kwa mwaka Ada ya maombi ya kibali cha tangazo la sherehe harusi 100,000/= kwa siku Ada ya kusajili timu ya mchezo 80,000/= kwa kila usajili Ada ya kibali cha mchezo wa magari au pikipiki 100,000/= kwa masaa sita Ushuru wa pombe za kienyeji 500/= kwa kila plastic 19 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) - 17 Verify source ↗
USHURU WA MAEGESHO MAALUM (RESERVED PARKING)
AI-assisted research summary: This section is titled as a special parking tax/rate provision, but the provided text does not include the actual rule or amount.
17. USHURU WA MAEGESHO MAALUM (RESERVED PARKING) Na Aina Kiwango cha Ushuru - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision sets daily charges of 1,000/= for several vehicle categories, including passenger buses, trucks, small vehicles, and motorcycles/bajaji.
9. Basi la abiria zaidi ya 40 1000/= kwa siku Basi la abiria chini ya 40 1,000/=kwa siku Basi abiria chini ya 20 1,000/= kwa siku Lori la uzito chini ya tani 10 1,000/= kwa siku Lori la uzito zaidi ya tani 10 1,000/= kwa siku Gari ndogo lisilozidi tani 3 1000/= kwa siku Gari ndogo lisilokuwa la mizigo 1,000/= kwa siku Pikipiki Bajaji 1,000/= kwa siku 1,000/= kwa siku - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Other non-business vehicles are charged 1,000/= per day.
10. Magari mengine yasiyo ya biashara 1,000/= kwa siku - 18 Verify source ↗
ADA YA SEHEMU YA KUOSHA MAGARI
AI-assisted research summary: This section is about car wash activities and monthly tax.
18. ADA YA SEHEMU YA KUOSHA MAGARI Na Aina ya shughuli Ushuru kwa mwezi - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii ni hati ya kukiri kosa ambayo inamtaja Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya na kuhusisha ulipaji wa ada au ushuru unaodaiwa pamoja na faini.
1. Sehemu zote za kuosha magari zenye leseni Tshs. 80,000/= 20 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI (Limetungwa chini ya Kifungu cha 13) HATI YA KUKIRI KOSA Mimi …………………………………………………… nakiri mbele ya …………………………………………………… ambaye ni Mkurugenzi, kwamba, mnamo tarehe ……. ya mwezi ……… mwaka ………… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya Kifungu cha ………… cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za mwaka 2020. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, kwa hiyari yangu niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru unaodaiwa pamoja na faini. Nathibitisha maelezo hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa kwa hiari yangu na ufahamu wangu. Leo tarehe …… ya mwezi …………… mwaka ………… Jina………………………..………………………… Saini…………… Mbele ya: Jina…………………………………………………. Cheo ……………………………………………….. Saini ……………… 21 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Tangazo la Serikali Na.909 (Linaendelea.) Muhuri wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Umebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa azimio la kikao cha Mkutano wa baraza la Madiwani uliofanyika tarehe 10/06/2020 na kubandikwa mbele ya; SAAD A. MTAMBULE KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA GIBSON J. MWAKALIBULE MWENYEKITI WA MKUTANO HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA SELEMANI S. JAFO WN OR-TAMISEMI DODOMA 22 NAKUBALI DODOMA 05/08/2020
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Jiji la Mbeya za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in