Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
Hii ni kifungu cha utambulisho na tafsiri za maneno ya Sheria Ndogo za Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Hii ni kifungu cha utambulisho na tafsiri za maneno ya Sheria Ndogo za Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima. This section creates a voluntary community health fund, funded by member payments with a government matching contribution, and says the Board must manage the fund’s money under these subsidiary rules. This section states the purposes of the Community Health Fund: improve community health services, empower communities in health decisions, provide better services, and find community revenue sources for better health services. The Director appoints the Council Health Fund coordinator after receiving recommendations from the Council management team. Bodi lazima iwe na wajumbe waliotajwa, na mwenyekiti achaguliwe kutoka kwa wajumbe wa (a) hadi (c). Wajumbe fulani waliotajwa hawaruhusiwi kupiga kura.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
Showing 10 of 10
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii ni kifungu cha utambulisho na tafsiri za maneno ya Sheria Ndogo za Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima.
3. Jina Matumizi Tafsiri Sura ya 287 Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote lililo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo: “Bodi” maana chombo kinachosimamia Huduma za Afya ya Halmashauri iliyoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya); yake ni “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri 1 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 ya Wilaya ya Itilima; za afya “Huduma za Afya” maana yake ni huduma zinazotolewa na zote Hospitali, Vituo cha Afya, Zahanati na Kliniki maalum zinazomilikiwa na ya Dini, Serikali, Mashirika Mashirika yasiyo ya Serikali au watu binafsi; “kadi” maana yake ni kadi itakayotolewa kwa Mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “malipo ya huduma” maana yake ni malipo ya papo kwa papo yanayolipwa katika Kituo cha kutolea Huduma za Afya na Mtu au Watu ambao si Wanachama wa Mfuko (Tiba kwa Kadi); “mchango” maana yake ni mchango wa fedha wa na Wanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); utakaotolewa hiari, “Mganga Mkuu” maana yake ni Daktari ambaye ni Msimamizi Mkuu wa shughuli zote za Huduma za Afya katika Halmashauri; “mwanachama” ni Mtu yeyote ambaye anachangia mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi); “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri au Afisa kutekeleza yeyote majukumu ya Mkurugenzi; atakayeteuliwa “Tiba kwa Kadi” maana yake ni utaratibu wa kupata Huduma za Afya kwa kutumia kadi; “TIKA” maana yake ni neno linalotumika 2 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section creates a voluntary community health fund, funded by member payments with a government matching contribution, and says the Board must manage the fund’s money under these subsidiary rules.
4. kufupisha huduma za Tiba kwa Kadi. (1) Kutakuwa na mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) ambao ni mfuko wa hiari wenye lengo la kutoa Huduma za Afya, ambapo mwanachama atakuwa akilipia huduma hizo na Serikali itatoa mchango wake wa fedha kama jazilio kwa mchango kutoka kwa mwanachama (Tele kwa Tele). (2) Matumizi ya na fedha kusimamiwa na Bodi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. yatafanywa Madhumuni ya Mfuko - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section states the purposes of the Community Health Fund: improve community health services, empower communities in health decisions, provide better services, and find community revenue sources for better health services.
5. Madhumuni ya mfuko yatakuwa: (a) kuboresha Huduma za Afya katika Jamii kwa kugawanya madaraka na kuzipa nguvu jamii katika kufanya maamuzi katika masuala yanayohusu afya zao; za afya zinazopatikana na kwa kutumia mipango endelevu; na kuchangia (b) kutoa huduma bora na (c) kutafuta vyanzo vya mapato kutoka jamii kwa ajili ya kutoa kwa bora afya za katika huduma Wanachama. Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The Director appoints the Council Health Fund coordinator after receiving recommendations from the Council management team.
6. (1) Kutakuwa na Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) wa Halmashauri atakayeteuliwa na Mkurugenzi baada ya kupokea mapendekezo kutoka Timu ya Uendeshaji ya Halmashauri. Muundo wa Bodi - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Bodi lazima iwe na wajumbe waliotajwa, na mwenyekiti achaguliwe kutoka kwa wajumbe wa (a) hadi (c). Wajumbe fulani waliotajwa hawaruhusiwi kupiga kura.
7. (1) Bodi itakua na wajumbe wafuatao- (a) wawakilishi wanne wa watumiaji wa Huduma za Afya, kati yao wawili ni wanawake; lazima wawe (b) mwakilishi mmoja kutoka watoa Huduma za Afya binafsi bila 3 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 faida; (c) mwakilishi mmoja kutoka watoa Huduma za Afya binafsi kwa faida na Halmashauri; waliochaguliwa (d) mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Uchumi na huduma za Jamii; (e) Wajumbe wataalamu ambao ni- (i) Afisa Mipango wa Halmashauri; Mkuu (ii) Mganga wa Halmashauri ambaye atakuwa Katibu wa Bodi; (iii) Mwakilishi mmoja kutoka Hospitali ya Wilaya; (iv) Mwakilishi mmoja kutoka Timu ya uendeshaji wa Huduma za Afya ya Mkoa; (v) Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) wa Halmashauri. (2) Wajumbe wa Bodi waliotajwa katika (v) 8(1) (i) – kifungu (e) hawataruhusiwa kupiga kura. cha (3) Mwenyekiti wa Bodi atachaguliwa kutoka miongoni mwa Wajumbe waliotajwa katika kifungu (1) (a) – (c) hapo juu. Sifa za Wajumbe wa Bodi - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: A board member must meet several eligibility requirements, including citizenship, age, education, experience, good character, and membership conditions.
8. Mjumbe wa Bodi atakuwa na sifa zifuatazo- (a) awe raia wa Tanzania, isipokuwa kwa wajumbe kutoka mashirika yasiyo ya Kiserikali; (b) awe na umri usiopungua miaka ishirini na moja (21) na isizidi 4 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 miaka 70; (c) awe amehitimu sekondari na kuendelea; elimu ya (d) awe na uzoefu na amewahi kuonyesha uwezo wake wa kuongoza katika shughuli za huduma ya jamii; (e) awe na akili timamu, (f) asiwe amewahi kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jina; (g) asiwe na wadhifa wowote katika chama chochote cha siasa. (h) awe mwanachama hai wa Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA), na (i) mjumbe wa kuchaguliwa awe ni mkazi wa Halmashauri. Kazi za Bodi - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Bodi ya Mfuko wa Afya ya Jamii ina jukumu la kusimamia na kuendesha shughuli za mfuko, na lazima itekeleze maagizo ya Halmashauri kwa mujibu wa sheria na taratibu.
9. (1) Bodi itakua na kazi zifuatazo- (a) itasimamia masuala na shughuli zote zinazohusu Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA); (b) kusimamia na kufanya ukaguzi wa ubora wa viwango vya Huduma za Afya katika Halmashauri; (c) kushauriana na Timu ya Uendeshaji ya Huduma za Afya ya Halmashauri na kuhakikisha kuwa Huduma za Afya zinazotolewa ni bora na za Kitaalamu; (d) kukusanya na kusimamia mapato ya Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA); (e) kupendekeza kwa Halmashauri watu wanaostahili kusamehewa kutoa mchango kwenye Mfuko; (f) kubuni malengo ya Mfuko; (g) kupitia taarifa kutoka Kamati ya Afya ya Kata au chanzo kingine chochote; (h) kuratibu ukusanyaji wa mapato na kudhibiti matumizi; na 5 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 (i) kupanga mipango ya Afya ya mwaka kwa ajili ya kuthibitishwa na Halmashauri; (j) kufanya vikao kila robo mwaka; (k) kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji robo mwaka (makusanyo na matumizi ya fedha za Mfuko wa Afya wa Jamii); kila (l) kuagiza kufanyika ukaguzi wa hesabu na mali za Mfuko wa Afya wa Jamii kwa kutumia wakaguzi wa ndani na wa nje; (m) kushirikiana na Idara ya Mipango kuhakikisha fedha za kuendesha shughuli za Mfuko wa Afya wa Jamii zinatengwa kwenye bajeti ya Halmashauri. Muda wa kukaa Madarakani (2) Bodi katika kutekeleza majukumu yake, itapokea na kutekeleza maagizo ya Halmashauri kwa mujibu wa Sheria, Kanuni, na Taratibu. - 10 Verify source ↗
(1) Mjumbe wa Bodi atakuwa madarakani kwa
AI-assisted research summary: Mjumbe wa Bodi hudumu kwa miaka mitatu, anaweza kuchaguliwa tena mara moja tu, na nafasi iliyo wazi inaweza kujazwa isipokuwa kama muda uliobaki ni chini ya miezi sita.
10. (1) Mjumbe wa Bodi atakuwa madarakani kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe ya uzinduzi wa Bodi na anaweza kuchaguliwa tena kwa kipindi kingine cha miaka mitatu (3) tu; (2) Endapo nafasi yoyote ya Mjumbe wa Bodi itaachwa wazi kwa sababu ya kifo, kujiuzulu au kwa sababu nyingine ile, Mjumbe mwingine yoyote hiyo atachaguliwa iliyoachwa kipindi kilichobaki. kujaza wazi nafasi kwa (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo juu, haitaruhusiwa iwapo cha kuchagua mjumbe mwingine (2) hapo 6 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 Vikao vya Bodi 11 Uwajibikaji wa Bodi Akaunti ya Mfuko 12 13 kipindi kilichobaki ni chini ya miezi sita. (1) Vikao vya kawaida vya Bodi vitaitishwa na Mwenyekiti wa Bodi kila baada ya miezi mitatu. (2) Bila kuathiri matakwa ya kifungu kidogo hapo juu, Mwenyekiti anaweza akaitisha kikao cha Bodi cha dharura kulingana na mahitaji yake. Bodi itawajibika kwa Halmashauri. (1) Kutakuwepo na Akaunti Maalum itakayotumika na Halmashauri ambayo fedha zote zitakazokusanywa kwa ajili ya Mfuko zitahifadhiwa na kutolewa. (2) Wawekaji saini wa Akaunti ya Mfuko watachaguliwa na Bodi na watakuwa ni mmoja kutoka Kundi “A” na Kundi “B”, fedha hazitatolewa kwenye akaunti ya mfuko bila saini ya mmoja wapo kutoka kundi “A” na “B”. (3) Watia saini kwenye Hundi za mfuko watakuwa kama ifuatavyo- (a) Mwenyekiti wa Bodi na Mjumbe mmoja wa bodi ambao watakuwa Kundi “A”, na (b) Katibu wa Bodi na Mweka Hazina wa Halmashauri ambao watakuwa Kundi “B” (4) Kila baada ya miezi mitatu, Bodi itakuwa inaandaa na kutoa taarifa ya akaunti ya Mfuko na kuiwasilisha kwa Halmashauri, (5) Akaunti ya Mfuko itakaguliwa kwa mujibu 7 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 wa Kanuni za Fedha za Serikali. Matumizi ya fedha za Mfuko 14 Fedha zitakazokusanywa zitatumika kwa madhumuni yafuatayo- na mfuko (a) masuala yanayohusiana na afya yaliyotajwa katika mpango kabambe na afya wa Halmashauri wa kuidhinishwa na Halmashauri; (b) (c) suala au shughuli yoyote muhimu ya afya itakayoonekana inafaa na kama itaidhinishwa na Bodi; na tele kwa asilimia themanini (80%) ya mapato ya itabaki kwenye tele Akaunti ya TIKA, na asilimia ishirini (20%) itarudi kwenye vituo kwa ajili ya matumizi ya vituo. Vyanzo vya mapato 15 Vyanzo vya mapato ya mfuko vitatokana na:- (a) (b) fedha zote zitakazopokelewa kutokana na michango ya wanachama; ruzuku kutoka Halmashauri, na Serikali Kuu; (c) wahisani mbalimbali toka ndani na nje ya Halmashauri; (d) michango ya watu binafsi wanaoishi ndani na nje ya Halmashauri; (e) ushuru utakaotozwa na Halmashauri na vyanzo mbalimbali kutoka kutengwa kwa ajili ya mfuko; (f) mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya; na (g) fedha zozote halali ambazo Mfuko unaweza kupata toka mahali pengine popote. 8 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 Mipango 16 (1) Bodi itaandaa mipango ya Bajeti ya mwaka kwa kuzingatia ratiba za vikao vya bajeti vya Halmashauri. (2) Bodi itapokea, itachambua na itajadili, kuidhinisha mpango wa afya na kuwasilisha kwa Halmashauri kwa ajili ya kuidhinishwa kwa kupitia Kamati za Halmashauri. (3) Bodi itatoa maoni ya bajeti ya nyongeza kama kutakuwa na haja ya kufanya hivyo na kama mazingira yataruhusu. (4) Mipango ya bajeti ya Mfuko itaandaliwa kulingana na utaratibu kama ulivyoainishwa katika kifungu kidogo cha (1) hapo juu, ambayo ni lazima iwasilishwe Halmashauri kwa ajili ya kuidhinishwa. Usimamizi wa Mfuko 17 Usimamizi na Uendeshaji wa mfuko utakuwa chini ya:- (a) Halmashauri ya Mji, kupitia Bodi ya TIKA ya Halmashauri, kwa ngazi ya Halmashauri; (b) Kamati ya Maendeleo ya Kata kupitia Kamati za Afya za vituo husika, katika ngazi ya Kata; (c) Serikali ya Mtaa kupitia Kamati ya huduma za Jamii katika ngazi ya Mtaa. Taarifa ya Fedha 18 itatakiwa kuwasilisha Bodi kwa Halmashauri, taarifa ya mapato na matumizi ya fedha, katika kipindi cha mwezi mmoja baada ya mwaka wa fedha wa Serikali kuisha. Kamati ya Afya na Kata 19 Kutakuwa na Kamati ya Afya ya Kata kama ilivyotajwa kwenye Sheria ya Mfuko wa Afya ya Jamii. 9 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 Wajumbe wa kamati ya Afya ya Kata 20 (1) Kamati ya Afya ya Kata itakuwa na Wajumbe wafuatao- (a) Diwani anayewakilisha Kata husika; (b) Afisa Mtendaji wa Kata; (c) Mwalimu Mkuu mmoja kutoka shule ya msingi ipo kwenye Kata kwenye ambayo husika; (d) wajumbe wawili watakaowakilisha jamii husika ambapo mmoja wao ni lazima awe Mwanamke; (e) Tabibu Mfawidhi au Tabibu Mfawidhi Msaidizi; wa Kituo cha Afya au Zahanati, ambaye atakuwa Katibu wa Kamati; (f) mjumbe mmoja atakayeteuliwa na Kamati ya Maendeleo ya na watu Kata waliopendekezwa na Kamati za Kata zilizomo ndani ya eneo la Kata; na kutokana (g) mjumbe mmoja atakayeteuliwa na Kamati ya Maendeleo ya Kata kutoka kwenye vyama vya kijamii kutoka kwenye Kata. (2) Mwenyekiti wa Kamati ya Afya ya Kata kutoka miongoni mwa atachaguliwa wajumbe lakini asiwe Diwani, Mtendaji wa Kata au Mtendaji wa Mtaa; (3) Endapo Kamati ya Afya ya Kata itashindwa kutekeleza kazi zake, Bodi itatoa onyo au kuivunja na Halmashauri itafanya utaratibu wa uchaguzi wa wajumbe wengine katika 10 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 Kazi na majukumu ya Kamati ya Afya ya Kata. muda usiozidi miezi mitatu (3) tangu tarehe ya kuvunjwa kwa Kamati hiyo. 21 (1) Kamati ya Afya ya Kata majukumu yafuatayo:- itakuwa na (a) Kuhamasisha na kuandaa Jamii kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA); (b) Kuandaa na kuthibitisha orodha na kuratibu idadi ya Wanachama wa Mfuko wa Afya wa Jamii (TIKA); (c) Kusimamia ukusanyaji wa michango ya Mfuko; (d) Kuratibu viwango vya uchangiaji kwenye Huduma za Afya; ya (e) Kupitia utendaji wa Mfuko wa Afya kutoa Jamii mapendekezo na ufumbuzi kwa Halmashauri kupitia Bodi ya Afya; na (f) Kuanzisha na kuratibu Mipango ya Afya na Jamii; na (g) Kuendesha mikutano ya wanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA) ndani ya Kata. (2) Kamati ya Afya ya Kata, itakaa kila baada ya miezi mitatu (3) na Katibu atatoa taarifa ya maandishi siku saba (7) kabla ya siku ya kikao. Utoaji wa Huduma za Afya. 22 Kila Mwanachama- (a) atakuwa na haki ya kisheria kupata Huduma ya Afya aliyolipia kabla ya kuugua ndani ya eneo la Halmashauri au eneo lingine lolote kadri itakavyo 11 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 kubaliwa; (b) atakuwa na ya haki kutoa mapendekezo kuhusu Huduma za Afya kupitia Kamati husika ambayo yatafanyiwa kazi na Bodi; na (c) atashirikishwa kikamilifu katika uandaaji na utekelezaji wa mpango wa upatikanaji wa Huduma za Afya katika eneo la Halmashauri. Mchango wa Mwanachama 23 (1) Mtu yeyote atakayetaka kuwa Mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA) atapaswa kulipa kila mwaka mchango wa kiasi cha Shilingi Elfu ishirini tu (Tsh. 20,000/=) na Kaya inatakiwa kuhuisha uanachama wake siku sitini (60) kabla ya kuisha uanachama wake. (2) Viwango hivi vinaweza kufanyiwa na Halmashauri wakati marekebisho wowote iwapo itaonekana kuna umuhimu wa kufanya marekebisho hayo. (3) Halmashauri itatakiwa kulipa kaya masikini kutokana na mapato yake ya ndani baada ya kaya husika kupendekezwa na Kamati ya Afya ya Kata na kuidhinishwa na Bodi ya Mfuko wa Afya wa Jamii. (4) Kwa kuzingatia kanuni ya Mfuko wa Afya ya Jamii za mwaka 2001, kila mtu atakayelipiwa mchango na Halmashauri atapewa kadi ya uanachama na Halmashauri itaweka utaratibu wa kulipia kadi hiyo. Muda wa uanachama 24 (1) Mtu yeyote atabaki kuwa Mwanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii kila atakapolipa mchango wake wa Uanachama, na (2) Kila mwaka unapoisha uanachama wa mtu utafikia mwisho hadi pale atakapotimiza 12 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 Malipo ya papo kwa papo 25 masharti ya kifungu (1) hapo juu. (1) Mtu yeyote ambaye hatakuwa mwanachama wa Mfuko huu atalipa malipo ya papo kwa papo kila atakapoenda kupata matibabu katika kituo cha kutolea Huduma za Afya. (2) Malipo ya papo kwa papo yatalipwa kama ifuatavyo- Kamati za Afya za zahanati na Kamati zingine - 27 Verify source ↗
Section 27
AI-assisted research summary: This section sets health service fees and requires committees and local bodies to process fee exemptions for people who cannot afford treatment.
27. (a) shilingi Elfu mbili na mia tano tu (Tsh.2,500/=) katika Huduma za Afya zinazotolewa na Zahanati katika eneo lolote la Mji; (b) shilingi Elfu tano tu (Tsh.5,000) kwa Huduma za Afya zinazotolewa na Kituo cha Afya kilichopo ndani ya Mji, na; (c) huduma za hospitali za aina zote kulingana na sera ya uchangiaji. Kamati ya Afya ya Zahanati na Kamati zote zilizoundwa chini ya Hati Rasmi ya Uanzishaji wa Bodi, zitafanya kazi katika mfuko huu kwa kuzingatia Sheria Ndogo hizi. Misamaha kwa wasioweza kulipia gharama za matibabu utatolewa na kulipiwa na Halmashauri baada ya kuzingatia utaratibu ufuatao- (a) Serikali ya Mtaa au Kijiji katika vikao vyake itawatambua, kuwajadili na kuwasilisha mapendekezo ya orodha ya majina ya watu wanaostahili kupewa msamaha kwenye Kamati ya Maendeleo ya Kata; (b) Kamati ya Maendeleo ya Kata itawajadili wale wasioweza kulipia gharama na kuthibitisha orodha yao na kuiwasilisha kwenye Bodi; na 13 Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba Kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN NO. 1002 (c) Bodi ya Afya itapokea na kujadili mapendekezo husika na kuyawasilisha zake kwa pamoja na gharama Halmashauri kwa ajili ya kulipiwa. Utoaji wa Kadi kwa Mwanachama - 28 Verify source ↗
Section 28
AI-assisted research summary: Wanachama wa Mfuko hupata kadi baada ya kulipa mchango wa mwaka wa Shilingi 20,000; mtu aliyesamehewa mchango hupata kadi na Halmashauri hulipa gharama yake.
28. (1) Kila Mwanachama wa Mfuko atapewa kadi baada ya kulipa mchango wake wa mwaka wa Shilingi Elfu Ishirini tu. (2) Kila mtu atakayesamehewa kulipa mchango na atapewa Halmashauri italipa gharama ya kadi hiyo. ya Uanachama kadi Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima uliofonyika tarehe 08-09 mwezi Mei mwaka 2019 mbele ya:- ……………………………… ELIZABETH M. GUMBO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA ……………………………… MH. DAUDI M. NYALAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA NAKUBALI ………………………………. MHE. SELEMANI S. JAFO (MB), WAZIRI WA NCHI – OR –TAMISEMI LS Dodoma Tarehe 28 Septemba, 2020 14
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in