Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
Kifungu hiki kinaeleza maana ya istilahi kuu za Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima na kinaweka kuwa Sheria Ndogo hizi zinatumika katika eneo lote la Halmashauri hiyo.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Kifungu hiki kinaeleza maana ya istilahi kuu za Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima na kinaweka kuwa Sheria Ndogo hizi zinatumika katika eneo lote la Halmashauri hiyo. Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa huduma na vibali vilivyoainishwa, na malipo hulipwa kwa Halmashauri kabla au wakati wa kupokea huduma; Halmashauri pia inaweza kupanga utaratibu maalum wa malipo kwa walipa ushuru wakubwa. Watu wanaostahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima walipe kwa viwango vilivyoainishwa humo. Ada na ushuru hukusanywa ndani ya muda uliowekwa, na malipo hulipwa kwa Halmashauri au wakala wake pamoja na risiti ya kielektroniki. Owners must pay the tax due within 7 days for non-perishable goods or 2 days for perishable goods; the Council may sell seized property after a court order; an agent may not seize property or goods without written approval from the Director.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
Showing 19 of 19
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaeleza maana ya istilahi kuu za Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima na kinaweka kuwa Sheria Ndogo hizi zinatumika katika eneo lote la Halmashauri hiyo.
3. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Itilima. Katika Sheria Ndogo itakapoelekezwa vinginevyo: hizi isipokuwa pale “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya huduma, vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Itilima; idhini ya maandishi “kibali” maana yake ni inayotolewa na Mkurugenzi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima au Afisa yeyote 1 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; tozo “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hizi. Utozaji wa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa huduma na vibali vilivyoainishwa, na malipo hulipwa kwa Halmashauri kabla au wakati wa kupokea huduma; Halmashauri pia inaweza kupanga utaratibu maalum wa malipo kwa walipa ushuru wakubwa.
4.- leseni (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya huduma mbalimbali na vibali, zinazotolewa kama Halmashauri ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. na (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri Halmashauri itakavyoelekeza. kadri kwa (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. (5) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (4), Halmashauri inaweza kukubaliana na walipa ushuru wakubwa kuweka utaratibu maalum wa kulipa ushuru. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Watu wanaostahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima walipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa ndani ya muda uliowekwa, na malipo hulipwa kwa Halmashauri au wakala wake pamoja na risiti ya kielektroniki.
6.- (1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. 2 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (4) Malipo ya ada na ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama uthibitisho wa malipo yaliyofanyika. (1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo hizi. Usimamizi Sheria Ndogo wa - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Owners must pay the tax due within 7 days for non-perishable goods or 2 days for perishable goods; the Council may sell seized property after a court order; an agent may not seize property or goods without written approval from the Director.
7.- (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali zitakazopatikana fedha au zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. bidhaa na (4) Wakala hataruhusiwa kukamata.mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa 3 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki tu kama uharibifu huo umesababishwa na Halmashauri au Wakala. isipokuwa Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru, na wakala aliyeteuliwa lazima kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo lililopangiwa.
8.- kuteua inaweza (1) Halmashauri kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) na kwa kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kuwasilisha kuzingatia makusanyo masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. kielektroniki yote na kwa (b) Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa ajili ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kufanya jambo linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali. Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akishindwa kulipa, akihamasisha wengine kukwepa kulipa, au akitoa taarifa za uongo, na adhabu inaweza kuwa faini hadi shilingi 50,000 au kifungo cha angalau miezi sita, au vyote.
9. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Makosa na adhabu 10.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) (b) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi na akipatikana na hatia atahukumiwa adhabu isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichopungua miezi sita au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani kifungo na faini. atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; 4 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) (c) uongo taarifa atatoa kwa za Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni shughuli ya Halmashauri zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) (b) na (c) atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi elfu hamsini au kifungo kisichopungua miezi sita au vyote kwa pamoja kifungo na faini. au Kufililisha kosa - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mkosaji shilingi 30,000 ili kufililisha kosa, ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu maalum ya Jedwali la Pili, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
11. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi elfu thelathini endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 5 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) ____________ JEDWALI LA KWANZA _________________ (Limetengenezwa Chini ya kifungu cha 4(1)) Sehemu ya I: Ushuru wa Mazao Na Aina ya Mazao ushuru na kipimo 1 2 3 5 6 7
Part
Sehemu ya I:
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada na ushuru mbalimbali kwa mazao, mifugo, kushusha mizigo sokoni, na baadhi ya vibali.
9. Pamba Nafaka mazao ya biashara Samaki na mazao ya samaki Dagaa Mazao ya mikunde Nafaka- Mazao ya Chakula Unera/mkonge Ushuru wa mashudu ya pamba/alizeti/mpunga 3% ya bei ya mauzo sokoni kwa tani moja 3% ya bei ya mauzo sokoni kwa tani moja 2% ya bei ya mauzo sokoni kwa kilo moja 2% ya bei ya mauzo sokoni kwa kilo moja 3% ya bei ya mauzo sokoni kwa tani moja 3% ya bei ya mauzo sokoni kwa tani moja 3% ya bei ya mauzo sokoni kwa tani moja 3% ya bei ya mauzo sokoni kwa kilo moja Na Aina ya mifugo Ada Sehemu ya II: Ada ya Ukaguzi wa Nyama Ng’ombe 1 2 Mbuzi 3 4 5 Kondoo Nguruwe Kuwamba na kukausha ngozi N’gombe/ Punda i. ii. Mbuzi/kondoo 6 7 8 9 Kuogesha wanyama (josho) Kibali cha machinjio Ada ya kusafirisha ngozi Ada ya chapa ya mifugo 6 Tsh 1,500/= Tsh 800/= Tsh 800/= Tsh 800/= Tsh 200/= kwa 100/= @ Tsh 200/= Tsh 30,000/= kwa mwaka Tsh 500/= kwa mfugo @ Tsh 500/= Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) Sehemu ya III: Ushuru wa Kushusha Mizigo katika Eneo au Soko lolote lililotengwa na Halmashauri Na Aina ya chombo cha usafirishaji Kiasi cha ushuru 1 2 3 4 uzito wa kuanzia tani 1 – 5 uzito wa kuanzia tani 6 – 10 uzito wa kuanzia tani 11 – 20 uzito wa kuanzia tani 20 – 50 Tsh 2,000/= Tsh 5,000/= Tsh 10,000/= Tsh 20,000/= Sehemu ya IV: Ushuru wa tandiko, meza au kizimba kwa mfanyabiashara asiyekuwa na Kitambulisho cha Ujasiriamali Na 1 2 Bidhaa Tandiko 1 Kuku Kiasi cha ushuru Tsh. 500/= kwa siku Tsh. 1,500/= kwa tenga Sehemu ya V: Ada ya Kibali Na. Aina ya kibali Ada ya Kibali (Tshs).
Part
Sehemu ya V:
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists fees in Tanzanian shillings for various events, sports, exhibitions, permits, and related activities.
9. 10 Tamasha Michezo Mbio za Baiskeli Mechi za mpira Kuchezesha disko, maonesho ya bendi, Harusi, Matambiko, jando na unyago, sanaa za maonesho Upekuzi wa Jalada (Official search) Bahati nasibu ndogondogo Ngoma za utamaduni zenye kuingiza faida kifedha Maonesho ( exhibition) ya ndani ya nchi Tshs 50,000/= kwa siku Tshs 10,000 /=kwa siku Tshs 20,000/= kwa mchezo 1 Tshs 0,000/= kwa ligi Tshs 20,000/= kwa kibali Tshs 40,000 kwa tukio Tshs 50,000/= kwa mchezo Tshs 5,000 Tshs 5,000 banda kwa siku Maonesho ( exhibition) ya kimataifa Tshs 500,000 tukio zima. 7 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) Sehemu ya VI: Ada ya zabuni Aina ya Zabuni Kiwango cha Ada (Tshs) Na
Part
Sehemu ya VI:
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kina kichwa kuhusu zabuni za ujenzi wa majengo, barabara na miundo mingine, pamoja na zabuni za uwakala mbalimbali.
2. Zabuni ya ujenzi wa majengo, barabara na miundo mbini mingine Zabuni za uwakala mbalimbali - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fee amounts in Tanzanian shillings for service-supply tenders and rental of municipal assets.
3. Zabuni za ugavi wa huduma Tsh. 100,000/= Tsh. 50,000/= Tsh 70,000/= Na. Vifaaa Ada Sehemu ya VII: Ada ya kukodi Mali za Halmashauri
Part
Sehemu ya VII:
- 4
AI-assisted research summary: Kwa lori la tani 7 hadi 10 bila mafuta, kiwango ni Tshs 3,000 kwa kilometa.
4. 2 Lori tani 7 hadi 10 bila mafuta Tshs 3,000/= kwa kilometa - 7 Verify source ↗
Gari ndogo lolote bila mafuta
AI-assisted research summary: Small cars without fuel are priced at Tshs 100,000 per day.
7. Gari ndogo lolote bila mafuta Tshs 100,000/= kwa siku - 9 Verify source ↗
Ukumbi wa Mkutano wa Halmashauri
AI-assisted research summary: This provision lists fees for using the council meeting hall: the small hall costs Tshs 150,000 per day and the large hall costs Tshs 350,000 per day.
9. Ukumbi wa Mkutano wa Halmashauri: i. Ukumbi mdogo ii. Ukumbi mkubwa Tshs 150,000/= kwa siku Tshs. 350,000/= kwa siku 5 6 7 - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section lists council fees and parking charges for items like chairs, tables, vehicles, and building materials.
9. Kiti au meza za ukumbi wa mkutano wa Halmashauri Tshs 500/=@ kiti 1 kwa siku Tsh 1000/=@ meza 1 kwa siku Maeneo ya wazi/ barabara kwa ajili ya shughuli za promosheni na matangazo ya biashara Mashamba ya Halmashauri Tshs 20,000/= kwa siku Tshs 50,000/= kwa ekari kwa msimu Kukodisha Trekta. Kulingana na bei ya soko ya ekari Mali nyingine ambayo haikutajwa Kiwango kisichopungua 40,000 na kisichozidi 500,000 Sehemu ya VII: Ushuru wa stendi na maegesho katika maeneo ya umma Na AINA YA GARI USHURU IDADI 1 2 Mabasi /malori Tsh, 3,000/= Kwa siku Kosta/Hiace Tsh, 2,000/= Kwa siku 8 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) 3 Taxi Tsh 1,000/= Kwa siku 4 5 Bajaji Tsh,1,000/= Kwa siku Magari ya watu Tsh. 500.- Kwa saa moja binafsi S/NO AINA YA MADINI USHURU UJAZO Sehemu ya VIII: Ushuru wa Madini ya Ujenzi 1 2 3 4 5 Changarawe/mchanga/kokoto/mawe/kifusi inayobebwa kwa bajaji na mikokoteni Tsh. 2,000/= kwa tripu Changarawe /mchanga/ kokoto /mawe/ kifusi inayobebwa kwa gari Tsh. 5,000 kwa tripu ya mita za ujazo 2m3 - 3.5m3 Changarawe /mchanga/ kokoto /mawe/ kifusi inayobebwa kwa gari Tsh. 10,000 kwa tripu ya mita za ujazo
Part
Sehemu ya VIII:
- 3 Verify source ↗
6m3 - 5.5m3
AI-assisted research summary: Malipo ya Tsh. 15,000 kwa kila tripu yanatajwa kwa mzigo wa Changarawe, mchanga, kokoto, mawe au kifusi unaobebwa kwa gari ndani ya kiwango cha 3.6m3 hadi 5.5m3.
3.6m3 - 5.5m3 Changarawe /mchanga/ kokoto /mawe/ kifusi inayobebwa kwa gari Tsh. 15,000 kwa tripu ya mita za ujazo - 5 Verify source ↗
6m3 - 7.5m3
AI-assisted research summary: A carload of changarawe, mchanga, kokoto, mawe, or kifusi in the 5.6 m3 to 7.5 m3 range is priced at Tsh. 20,000 per trip.
5.6m3 - 7.5m3 Changarawe /mchanga/ kokoto /mawe/ kifusi inayobebwa kwa gari Tsh. 20,000 kwa tripu ya mita za ujazo - 7 Verify source ↗
6m3 - 15.5m3
AI-assisted research summary: This section lists council rent and land service fees, including kiosk, market, stand, housing, survey, boundary-marking, and peg-return charges.
7.6m3 - 15.5m3 Sehemu ya IX: Kodi ya pango na majengo mengine ya Halmashauri. Na Aina ya Jengo Kodi ya Pango Muda 1 3 4 5 Vibanda ndani ya Soko Vibanda nje ya Soko Vibanda ndani ya stendi Vibanda nje ya stendi Nyumba ya makazi ya Halmashauri Tsh.30,000/= Tsh.50,000/= Tsh. 30,000/= Tsh.50,000/= Tsh.20,000 mpaka 30,000/= Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa mwezi Kwa kila mpangaji kwa mwezi. Sehemu ya X: Ada za huduma za Ardhi 1 Upimaji wa shamba Tshs 10,000/= Ekari moja 2 Ada ya survey Tshs 20,000/= Kwa ekari moja 9 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) 3 Kuoneshwa mipaka Tshs 30,000/= Kwa kiwanja kimoja 4 Kurudisha Kigingi Tshs 50,000/= Kwa kiwanja kimoja ____________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 11) FOMU YA KUKIRI NA KUFILILISHA KOSA mbele MWENYEWE Mimi ………………………..….....................… mwenye Namba ya Simu …………………………………….ninakiri KWA HIARI ya YANGU ……………………………………...........……. ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima kwamba mnamo tarehe …..… ya mwezi …...…. mwaka …........… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …… cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi elfu thelathini na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamai. ambaye leo tarehe…………………………ya Mwezi……………………Mwaka………… Mbele ya; Jina…………………………cheo………………………. Saini……………………………………… Tarehe………………………………….. 10 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima GN. NO. 1005(Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima uliofonyika tarehe 08-09 mwezi Mei mwaka 2019 mbele ya:- ……………………………… Elizabeth M. Gumbo MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA ……………………………… Mh. Daudi M. Nyalamu MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA NAKUBALI ………………………………. Mhe. Selemani S. Jafo (Mb), WAZIRI WA NCHI – OR –TAMISEMI Dodoma Tarehe 28 Septemba, 2020 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Itilima za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in