Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya Kiteto za Mwaka 2020
This section gives the official name of the by-laws.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya Kiteto za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the official name of the by-laws. This section defines key terms used in the by-laws, including approved officer, food, council, household, wastewater, resident, and director. Wakazi na wamiliki wa nyumba, viwanja au biashara lazima wasafishe mazingira yao, waondoe uchafu kwenye mifereji ya maji, washiriki katika usafi wa mazingira, na wamiliki wa nyumba au biashara waweke na kuwasha taa nje usiku. Mtu yeyote anayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) bila sababu za msingi anafanya kosa. Mmiliki wa nyumba, kiwanja au eneo la biashara lazima ahakikishe eneo lake halina maji yaliyotuama, maji machafu, takataka, au vitu vingine vinavyoweza kuruhusu mazalia ya mbu au wadudu wenye madhara. Mtu yeyote akikiuka sharti hili bila sababu za msingi, anafanya kosa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya Kiteto za Mwaka 2020
Showing 31 of 31
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section gives the official name of the by-laws.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya Kiteto za Mwaka 2020. Tafsiri - 2 Verify source ↗
Katika
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including approved officer, food, council, household, wastewater, resident, and director.
2. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale itakavyoelekezwa vinginevyo; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote atakayeteuliwa na Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “chakula” maana yake ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa dawa, hii ni pamoja na: - (a) kitu chochote kinachotumika katika matengenezo ya chakula; (b) kitu chochote kinachoongeza ladha ya chakula; au (c) kitu chochote kinachobadili rangi ya chakula; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto; 1 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) “kaya” maana yake ni familia inayojumuisha baba, mama, mtoto au watoto na mtu mwingine yeyote anayeishi na familia hiyo au watu wanaokaa katika nyumba moja na kuishi kama familia au mtu yeyote anayeishi peke yake katika chumba au nyumba; “maji taka” maana yake ni kinyesi au mkojo na uchafu mwingine kama maji ya kuoga na maji ya kupigia deki, kuosha vyombo, maji yanayotokana na uchafu kutoka vituo vya mafuta, vituo vya kuoshea magari na viwandani ambapo yana kemikali au yasiyokuwa na kemikali na ambayo hayajasafishwa; “mkazi” maana yake ni mtu yeyote anayeishi katika eneo la Halmashauri na ambaye ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri au anafanya biashara katika eneo la Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa yeyote ya kutekeleza majukumu pamoja Afisa na Halmashauri atakayeteuliwa Mkurugenzi; - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Wakazi na wamiliki wa nyumba, viwanja au biashara lazima wasafishe mazingira yao, waondoe uchafu kwenye mifereji ya maji, washiriki katika usafi wa mazingira, na wamiliki wa nyumba au biashara waweke na kuwasha taa nje usiku.
3.- Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni, shirika aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. taasisi au (1) Kila mkazi anayemiliki eneo la nyumba, kiwanja au biashara atakuwa na wajibu wa anafanya usafi wa kuhakikisha kwamba mazingira yanayozunguka makazi au eneo lake hadi mwanzo wa mipaka ya barabara ya mbele ya nyumba yake. (2) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanja au eneo la biashara atakuwa na wajibu wa kuondoa uchafu kama vile mchanga, majani, nyasi au vitu vingine vinavyofanana na hivyo kwenye mifereji ya kupitisha maji inayozunguka au kupita kando ya nyumba, kiwanja au eneo la biashara yake. (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha 2 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) (1), na cha (2) kila mkazi atakuwa na wajibu wa kushiriki katika shughuli za usafi wa mazingira katika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi au katika siku itakayopangwa na Halmashauri. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu atakuwa ametenda kosa. Kila mmiliki wa nyumba au eneo la biashara atakuwa na wajibu wa kuweka taa yenye mwanga nje ya jengo analoishi au analolitumia kwa shughuli za biashara na atatakiwa kuiwasha wakati wa usiku. (4) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) bila sababu za msingi anafanya kosa.
4. (1) Uwekaji taa za nje ya nyumba na upakaji rangi (2) Mtu yeyote ambaye, bila sababu za msingi atakiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba, kiwanja au eneo la biashara lazima ahakikishe eneo lake halina maji yaliyotuama, maji machafu, takataka, au vitu vingine vinavyoweza kuruhusu mazalia ya mbu au wadudu wenye madhara. Mtu yeyote akikiuka sharti hili bila sababu za msingi, anafanya kosa.
5. (1) Wajibu wa kuondoa na kudhibiti mazalia ya mbu Mmiliki wa nyumba, kiwanja au eneo la biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa katika eneo lake hakuna mkusanyiko wa maji, maji machafu, takataka au kitu chochote cha majimaji au kigumu ambacho kinaweza kuruhusu kuwepo kwa mazalia ya mbu au wadudu wengine wenye madhara kwa afya ya binadamu. (2) Mtu yeyote ambaye bila sababu za msingi, atakiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Upulizaji dawa - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Mtu anayeendesha biashara ya upuliziaji dawa ya kuuwa wadudu au wanyama waharibifu katika eneo la Halmashauri anatakiwa kufuata masharti yaliyotajwa, ikiwemo usimamizi wa Afisa Afya wakati wa upulizaji.
6. (1) Mtu yeyote anayeendesha biashara ya upuliziaji dawa ya kuuwa wadudu au wanyama waharibifu katika eneo la Halmashauri atatakiwa: na taaluma kinachotambuliwa na Serikali na leseni hai kutoka Halmashauri; (a) kuwa cheti cha (b) kusimamiwa na Afisa Afya wakati wa upulizaji; na 3 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) (c) kutoa cheti baada ya kupuliza dawa kilichosainiwa na Afisa afya. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Matengen ezo na maegesho ya magari, pikipiki na mitambo - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Vehicle, motorcycle, and machinery maintenance must be done in a workshop, garage, or other permitted place after getting official approval from the council.
7. (1) Matengenezo ya magari, pikipiki na mitambo yatatakiwa kufanyika kwenye karakana, gereji au maeneo yaliyoruhusiwa baada ya kupata kibali rasmi kutoka Halmashauri. (2) Mtu yeyote: (a) hatoruhusiwa kutengeneza gari, pikipiki la au mtambo wowote katika eneo makazi, eneo la wazi au eneo ambalo halikutengwa kwa shughuli hiyo; au (b) kuegesha gari bovu kwenye njia ya miguu, mtaa, uchochoro, mtaro, maeneo ya wazi au barabarani. (3) Mtu yeyote atakayekiuka, bila sababu za msingi, masharti ya kifungu kidogo cha (2) atakuwa ametenda kosa. . - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Watu wanaotengeneza au kuuza chakula katika eneo la Halmashauri lazima wafuate masharti ya afya na wawe na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri.
8.- Utengenez aji, na uuzaji vyakula. (1) Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa: (a) kutimiza masharti na kanuni za afya; na (b) kuwa na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri. (2) Mtu yeyote atakayekiuka, bila sababu za msingi, masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Machinjio na maduka ya nyama - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kuchinja au kuuza nyama katika maeneo yaliyopigwa marufuku, kuuza nyama isiyokaguliwa, au kusafirisha nyama ya biashara bila gari maalumu lililoidhinishwa. Wamiliki wa maduka ya nyama pia lazima wakidhi masharti ya jengo, vifaa, usafi na mavazi ya muuzaji.
9. (1) Mtu yeyote hatoruhusiwa: (a) kwa madhumuni ya kibiashara kuchinja mifugo katika maeneo yasiyokuwa machinjio; (b) kuuza nyama ya aina yoyote katika 4 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) maeneo yasiyokuwa maduka ya nyama au katika maeneo yasiyoruhusiwa na Halmashauri; (c) kuuza nyama isiyokaguliwa na mtaalamu wa mifugo au mtaalamu wa afya; na (d) kusafirisha nyama kwa madhumuni ya kibiashara toka machinjioni bila kutumia la kusafirishia nyama gari maalumu lililoidhinishwa na Halmashauri. (2) Kila mmiliki wa duka atatakiwa kuhakikisha yafuatayo: jengo (a) duka la kuuzia nyama lake ni la kudumu lililosakafiwa kwa marumaru nyeupe hadi urefu wa futi sita kutoka usawa wa sakafu; (b) duka lake lina maji safi, misumeno ya kukatia nyama na vyuma vya kutundikia nyama; (c) duka lake lina kabati la vioo na jokofu la kuhifadhia nyama na mizani ya kupimia nyama; (d) duka lake kuhifadhia takataka; lina pipa au kifaa cha (e) muuzaji ana vazi jeupe pamoja na aproni nyeupe na kofia nyeupe; (f) muuzaji anapima afya kila baada ya miezi sita; na (g) duka lake lina karo la maji machafu. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) na (2) atakuwa ametenda kosa. - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Owners of guesthouses, hostels, schools, health-service centers, or business houses must have the building inspected by a health officer and obtain a council permit before starting business.
10. (1) Uendeshaji wa biashara ya hoteli na hosteli Kila mmiliki wa nyumba ya kulala wageni, hosteli, shule, kituo cha kutolea huduma za afya au nyumba ya biashara kabla ya kuanza biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha: (a) jengo lake limekaguliwa na Afisa Afya; na (b) amepata kibali cha Halmashauri cha 5 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) kufanya shughuli husika. (2) Kibali cha kuendesha biashara ya nyumba ya kulala wageni, hosteli, shule, kituo cha kutolea huduma za afya au nyumba ya biashara kitatolewa baada ya Halmashauri kujiridhisha kuwa mahitaji yafuatayo yamezingatiwa: - (a) jengo lina mwanga na hewa ya kutosha; (b) jengo lina nafasi na vifaa vya kutosha; (c) uimara wa jengo; (d) jengo lina mfumo imara wa uondoshaji wa maji taka, miminika na taka ngumu; (e) usafi wa jumla wa jengo na vifaa vyake; (f) jengo lina vyoo na mabafu ya kutosha kwa jinsia zote; (g) jengo lina vifaa vya zima moto; (h) tanki la kuhifadhia maji safi; (i) vyoo na bafu vimesakafiwa kwa vigae au marumaru na kuta zake zimewekwa vigae kiasi cha futi sita toka usawa wa sakafu; (j) kwa nyumba za kulala wageni na hosteli, uwepo wa vyandarua. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu cha (1) atakuwa ametenda kosa. (4) Bila kuathiri masharti ya kifungu cha (3), wakati wowote Halmashauri ikijiridhisha kuwa mmiliki hajakidhi masharti ya afya inaweza kuzuia utoaji wa huduma husika mpaka hapo mmiliki atakapokuwa amekidhi masharti ya kiafya yaliyotolewa na Halmashauri. Ukaguzi wa afya. - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoeza ada ya ukaguzi wa afya kabla ya kutoa au kuhuisha leseni ya biashara.
11. Halmashauri itatoza ada ya ukaguzi wa afya kabla ya kutoa au kuhuisha leseni ya biashara. Eneo la kutupa taka - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itenge eneo la kutupia taka, iweke vyombo vya kutunzia taka, na itoe huduma ya kuzoa taka kwa malipo. Mtu yeyote anayetupa au kuacha taka/uchafu mahali palipoorodheshwa anatenda kosa.
12. (1) Halmashauri itakuwa na wajibu wa: - (a) kutenga eneo maalum kwa ajili ya kutupia taka; 6 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) (b) kuweka vyombo maalum vya kutunzia taka katika maeneo ya Halmashauri; na (c) kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo kutoka kwa wazalishaji wa taka hadi kwenye dampo. (2) Mtu yeyote atakayetupa taka au uchafu wowote au kuacha takataka au uchafu kwenye nyumba, uchochoro, kiwanja, mfereji wa maji ya mvua, barabara au mahali popote pasipotengwa kwa shughuli hiyo atakuwa ametenda kosa. - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: Halmashauri must encourage and recognize community groups so they can carry out solid waste control and street cleanliness work after contracting with the Council.
13. Vikundi vya wazoa taka Halmashauri itahamasisha uundaji wa vikundi jamii na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika mitaa baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. - 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: Vehicle owners entering a council area must have a waste container and make sure passengers put litter into it.
14. (1) Magari ya abiria kuwa na vyombo vya kuhifadhia takataka Kila mmiliki wa gari la abiria litakaloingia katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuwa na chombo cha kuhifadhi taka na kuhakikisha kwamba kila abiria anatupa taka kwenye chombo hicho. (2) Endapo abiria atatupa takataka nje ya chombo cha usafiri, mmiliki au dereva au kondakta na atachukuliwa atawajibika kulipa kiasi kisichozidi shilingi elfu hamsini chini ya utaratibu wa kufifilisha kosa au kushtakiwa mahakamani chini ya Sheria Ndogo hizi. ametenda kuwa kosa Uhifadhi maji taka - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wahifadhi na washughulikie maji taka ipasavyo, na wasiyaelekeze kwenye maeneo yaliyopigwa marufuku.
15. (1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara anatakiwa: - (a) kuhakikisha kuwa kuhifadhi maji taka; analo karo la (b) kunyonya maji taka pale karo linapojaa; na 7 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka vyooni, bafuni, karoni au viwandani kwenda barabarani, uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye mfereji wa maji ya mvua au isiyotengwa yoyote sehemu kuhifadhia maji taka. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima icharge ada ya kila mwezi ya uzoaji taka kwa kaya, biashara, taasisi na kampuni zilizo ndani ya eneo lake; malipo hufanyika kila tarehe 30 kwa Afisa Mwidhiniwa.
16. (1) Ada ya utozaji taka (2) (3) (4) Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kila mwezi kutoka kwa kila kaya, wamilliki wa nyumba za biashara, taasisi na kampuni zilizopo ndani ya eneo la Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la kwanza la Sheria Ndogo hizi. Ada ya kila mwezi italipwa kila tarehe 30 ya kila mwezi ndani ya mwezi husika na italipwa kwa Afisa Mwidhiniwa atatoa stakabadhi ya malipo yatakayolipwa na atajaza katika rejista ya wazalishaji taka. ambaye Endapo mzalishaji wa taka atashindwa kulipia gharama ya huduma ya uzoaji taka kwa kipindi cha miezi miwili mfululizo, Halmashauri itamtaka kulipa deni hilo na adhabu ya asilimia hamsini ya ada anayostahili kulipa. Endapo mzalishaji taka atashindwa, bila sababu za msingi, kulipa gharama ya huduma kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (3) atakuwa ametenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi. - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: Mmiliki wa jengo la makazi au biashara lazima ahakikishe jengo lina choo safi, imara na madhubuti, na kwamba choo kinatumika wakati wote.
17. Wajibu wa kuwa na choo na kukitumia Kila mmiliki wa jengo la makazi au la biashara atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kwamba jengo lake lina choo safi, imara na madhubuti na kuhakikisha kuwa kinatumika wakati wote. 8 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) Vyoo vya umma - 18 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kujenga vyoo vya umma au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kujenga vyoo vya umma au kuruhusu wengine kuvijenga kwa malipo katika maeneo yenye haja.
18. Halmashauri inaweza kujenga vyoo vya umma au kumruhusu mtu binafsi, vikundi vya watu au taasisi kujenga vyoo vya umma vitakavyotoa huduma kwa malipo katika maeneo ambayo Halmashauri itaona kuwa kuna haja ya kufanya hivyo. - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: Mtu, kikundi au taasisi inayofanya mkusanyiko wa muda maalum kwenye eneo lisilo na choo cha kudumu lazima ijenge vyoo vya muda kwa idhini na usimamizi wa Halmashauri.
19. (1) Vyoo vya muda katika mkusanyik o taasisi yenye Mtu, kikundi au la kukutanisha watu kwa muda maalum katika eneo ambalo halina choo cha kudumu itatakiwa kujenga vyoo kwa matumizi ya wakati huo kwa idhini na usimamizi wa Halmashauri. lengo (2) Mtu, kikundi au taasisi itakayokiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) itakuwa imetenda kosa. - 20 Verify source ↗
Section 20
AI-assisted research summary: If a health inspection finds a house has no toilet, a full toilet, or an unusable toilet, an authorized officer must give the homeowner a 30-day notice to fix it.
20. (1) Ilani ya kujenga choo Endapo katika ukaguzi wa afya itagundulika kuwa nyumba yoyote haina choo, choo kilichopo kimejaa au hakifai kwa matumizi ya binadamu, Afisa Mwidhiniwa atatoa ilani ya thelathini kwa mmiliki wa nyumba siku akiainisha masharti ya kurekebisha hali hiyo. (2) Mmiliki wa nyumba atakayeshindwa kutekeleza masharti ya Ilani iliyotolewa chini ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri inaweza kuamuru nyumba au jengo hilo lisitumike kwa shughuli za makazi au biashara hadi hapo hali hiyo itakapokuwa imerekebishwa. - 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: An authorized officer must give seven days’ notice to remove any nuisance found in an inspected area, and the council may stop a house or building from being used until the problem is fixed.
21. (1) Ilani ya kuondoa kero (2) Endapo Afisa Mwidhiniwa atagundua kuwa eneo alilokagua lina kero yoyote atatoa ilani ya siku saba kwa mmiliki wa nyumba, mpangaji, mtumiaji au mtu yeyote anayehusika akimtaka kuondoa kero hiyo. Halmashauri inaweza kuamuru nyumba au jengo hilo lisitumike kwa makazi au biashara 9 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) Upimaji wa afya 22 hadi hapo hali itakapokuwa imerekebishwa. (3) Mtu yeyote atakayeshindwa kutekeleza masharti ya ilani aliyopewa ndani ya muda ulioainishwa kwenye ilani atakuwa ametenda kosa. (1) Kila mmiliki wa sehemu inayotoa huduma ya hoteli, mgahawa, baa, bucha, sehemu za kuokea mikate, nyumba za kulala wageni, grosari au mtu yeyote anayetengeneza chakula kwa ajili kuuza atatakiwa kuhakikisha kuwa wahudumu wake wanapima afya kila baada ya miezi sita na kama kulipa ada ya upimaji wa afya ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. (2) Mmiliki atakayekiuka mashartiya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. yeyote Uteuzi wa wakala Adhabu 24 Kufililisha kosa - 23 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kuteua kampuni, kikundi au mtu
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuteua kampuni, kikundi au mtu binafsi kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hizi. Ukiukaji chini ya Sheria Ndogo hizi unaweza kusababisha faini, kifungo, au vyote viwili; pia kuna utaratibu wa kumtoza mkosaji shilingi 200,000 ikiwa anakiri kosa kwa hiari na anakubali kujaza fomu maalum.
23. Mkurugenzi anaweza kuteua kampuni, kikundi au mtu binafsi kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hizi. Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hizi atahukumiwa adhabu ya faini isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo cha miezi kumi na mbili au vyote viwili kwa pamoja. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiyari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoambatishwa kwenye Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hizi. 26 . Sheria Ndogo hizi inafuta Sheria Ndogo ya Afya na Usafi wa mazingira ya Wilaya ya Kiteto, za Mwaka 2008. Kufutwa kwa Sheria Ndogo Tangazo la Serikali Na. 238 la tarehe
Part
Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hizi.
- 24 Verify source ↗
10.2008
AI-assisted research summary: This section introduces the First Schedule table for monthly waste collection fees for buildings or businesses.
24.10.2008 10 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) ______ JEDWALI LA KWANZA ______ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 16(1)) SEHEMU YA I ADA YA UZOAJI TAKA AINA YA JENGO AU -BIASHARA ADA KWA MWEZI
Part
SEHEMU YA I
- 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: The text lists several private business or facility types, including private clinics, private health centers, private hospitals, small industries or garages, hotels by room ranges, and carpentry/welding workshops.
11. Zahanati binafsi Vituo vya afya (binafsi) Hospital (binafsi) Viwanda vidogo au garage Hoteli: Vyumba 1-10 Vyumba 11-20 Vyumba 21-30 Vyumba 31-40 Vyumba 41-50 Vyumba 51-60 Vyumba 61-70 Vyumba 71- na zaidi Fundi seremala/karakana/kuchoma vyuma 12 - 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: The text lists several types of businesses or institutions: retail shops, private primary schools, private colleges, private secondary schools, a locally authorized brewer, and bars.
18. Duka rejareja Shule ya msingi(binafsi) Vyuo binafsi Shule za Sekondari (binafsi) Local brewer(legal authorized) Bar - 23 Verify source ↗
Section 23
AI-assisted research summary: This section appears to list fee amounts for pharmacy-related shops and larger pharmacies.
23. Bucha Duka la dawa 11 2,000/= 2,500/= 3,000/= 2,500/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= 7,500/= 10,000/= 5,000/= 20,000/= 40,000= 45,000= 60,000/= 70,000/= 80,000/= 90,000/= 100,000/= 5,000/= 12,000/= 6,000/= 7,500/= 6,500/= 10,000/= 3,000/= 10,000/= 2,500/= 3,000/= 4,500/= 6,000/= Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) Maduka makubwa ya dawa(phamarcy) 24 - 35 Verify source ↗
Section 35
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonekana kuwa kichwa au orodha ya maneno: “Fundi cherehani” na “Duka la vifaa vya ujenzi”.
35. Fundi cherehani Duka la vifaa vya ujenzi - 51 Verify source ↗
Section 51
AI-assisted research summary: Section 51 lists categories of businesses and premises.
51. 0fisi za watalii na usafirishaji Vituo vya mafuta(petrol station) Supermarket (ndogo) Supermarket (kubwa) Kufyatua matofali Duka la kubadilisha fedha Ofisi ya watumishi (1-10) 0fisi ya watumishi (11-20) Ofisi ya watumishi (21-50) Ofisi ya watumishi (51-na zaidi) Night club Vituo vya kuuzia maji (water kiosk) Computer service Dobi - 54 Verify source ↗
Section 54
AI-assisted research summary: Section 54 lists bakery-related amounts/fees for maduka ya kuuzia mikate.
54. Bakeries (maduka ya kuuzia mikate) 12 8,000/= 6,000/= 8,000/= 6,000/= 1,000/= 5,000/= 5,000/= 3,500/= 4,500/= 5,000/= 2,500/= 15,000/= 7,500/= 15,000= 10,000/= 5,000/= 7,500/= 15,000/= 10,000/= 10,000/= 75,000/= 5,000/= 7,500/= 2,000/= 3,500/= 4,500/= 7,500/= 10,000/= 1,000/= 5,000/= 3,000/= 10,000/= 2,000/= 8,000/= Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) - 58 Verify source ↗
Section 58
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaweka ada za Studio, Stores, viwanda vya taka nzito kwa tani, viwanda vya taka nyepesi kwa trip, na hospitali kulingana na idadi ya vitanda.
58. Studio Stores Viwanda (taka nzito kwa tani) Viwanda (taka nyepesi kwa trip) Hospitali Vitanda (1-10) Vitanda(11-20) Vitanda (21-30) Vitanda (31-40) Vitanda(41-50) Vitanda (51-60 Vitanda (61-70) Vitanda (71-80) Vitanda (81-90) Vitanda (91na zaidi) 4,000/= 5,000/= 5,000/= 20,000/= 10,000/= 12,000/= 20,000/= 30,000/= 40,000/= 50,000/= 60,000/= 70,000/= 90,000/= 100,000/= SEHEMU YA PILI ADA YA UNYONYAJI MAJITAKA Na
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wahudumu wa baadhi ya biashara za chakula na malazi lazima wajisajili kwa Halmashauri na kulipa ada ya upimaji wa afya, na wapimwe afya kila baada ya miezi sita.
4. AINA YA BIASHARA Nyumba ya kuishi Taasisi Viwanda Kukodi gari nje ya Wilaya KIASI KWA SAFARI MOJA (TRIP) 35,000/= 50,000/= 100,000/= 500,000/= kwa siku bila gharama za mafuta _________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 22(1)) ADA YA UPIMAJI AFYA Aina ya Biashara Ada kwa miezi kila mhudumu wa hoteli,mgahawa,baa,bucha,sehemu za kuoke 18,000/= kila anapopimwa mikate,nyumba za kulala wageni,grosari au mtu yeyote anayetengeneza chakula kwa ajili kuuza kupima afya kila baada ya miezi sita na watalipa ada ya upimaji wa afya na kujisajili kwa Halmashauri ili kubainisha usalama wa afya yake kabla ya kutoa huduma kwa wateja kama ilivyoelekezwa na Sheria ya Afya ya Jamii namba 1 ya mwaka 2009 .Kila mhudumu atapimwa afya yake kila baada ya miezi sita(6) 13 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA TATU __________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 25) HATI KUFILILISHA KOSA Mimi…………………………………………………..………. nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto/Afisa mwidhiniwa kwa niaba ya Mkurugenzi, kwamba Tarehe ………Mwezi………. Mwaka………. nilikutwa na kosa la kukiuka masharti ya Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za Mwaka 2020, nipo tayari kulipa kiasi cha shilingi………………….na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. Nathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni kweli na nimeyatoa kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu Leo Tarehe……………………………. ya Mwezi…………………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………... Cheo……………………………………. Saini……………………………………… Tarehe…………………………………… 14 Sheria Ndogo Za Afya Na Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1023 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashgauri ya Wilaya ya Kiteto imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 16/4/2020 mbele ya:- TAMIM H. KAMBONA, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Kiteto LAIRUMBE MOLLEL, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya, Kiteto L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB.) 2 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 15
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Afya na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya Kiteto za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in