Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za mwaka 2020
This provision gives the short title of the by-laws: the Kiteto District Council Fees and Levies By-Laws, 2020.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the short title of the by-laws: the Kiteto District Council Fees and Levies By-Laws, 2020. This section defines key terms used in the by-laws, including fees, permits, the council, authorized officers, storage places, slaughterhouses, building minerals, towers, the director, landing places, levies, and agents. Halmashauri must charge fees and levies for permits, licenses, and services listed in the First Schedule, and the fees charged under these by-laws must be paid to the Halmashauri. Halmashauri lazima iandae utaratibu wa kukusanya ada na ushuru, na malipo yafanywe kwa Halmashauri au wakala wake pamoja na risiti ya kielektroniki. Mtu anayelipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima alipe, atunze kumbukumbu za malipo, na apeleke taarifa sahihi kwa Halmashauri au Wakala kuhusu bidhaa au mali zinazotozwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za mwaka 2020
Showing 61 of 61
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This provision gives the short title of the by-laws: the Kiteto District Council Fees and Levies By-Laws, 2020.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za mwaka 2020. - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including fees, permits, the council, authorized officers, storage places, slaughterhouses, building minerals, towers, the director, landing places, levies, and agents.
2. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo:- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “ghala” maana yake ni sehemu yeyote iliyotengwa kwa ajili ya ya kuhifadhia mazao ama bidhaa nyingine yeyote inayoweza kuuzwa au kununuliwa katika soko au gulio; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto; 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “machinjio” maana yake ni machinjio yanayomilikiwa na Halmashauri au sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi; “madini ya ujenzi” maana yake ni kokoto, ,mawe, changarawe, mchanga, chokaa, marumaru, kifusi, udongo mfinyanzi, tarazo au kitu chochote kinachochimbwa katika eneo la Halmashauri kwa ajili ya kazi za ujenzi; “minara” maana yake ni minara yote itakayowekwa kwa ajili ya mawasiliano ya simu, faksi, radio na televisheni yenye urefu unaozidi mita ishirini); “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto pamoja na Afisa yeyote wa Halmashauri atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mwalo” maana yake ni chumba cha barafu au jengo lolote lenye vitendanishi vya kuhifadhia samaki na rasilimali zingine za bahari, maziwa, mito na mabwawa; “ushuru” maana yake ni inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; tozo “Wakala” maana yake ni mtu, taasisi, kampuni au asasi iliyoteuliwa kisheria na Halmashauri yoyote kukusanya mapato kwa niaba ya Halmashauri. Utozaji wa ada na ushuru - 3 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri must charge fees and levies for permits, licenses, and services listed in the First Schedule, and the fees charged under these by-laws must be paid to the Halmashauri.
3.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. 2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. Namna ya kukusanya Ada au Ushuru - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima iandae utaratibu wa kukusanya ada na ushuru, na malipo yafanywe kwa Halmashauri au wakala wake pamoja na risiti ya kielektroniki.
4.-(1) Halmashauri itaweka utaratibu wa kukusanya ada na ushuru kadri itakavyoona inafaa ikiwa ni pamoja na kutenga maeneo maalum ya kutoza ada na ushuru kutoka vyanzo vya mapato. (2) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. (3) Ada au ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kabla au wakati wa kupata huduma, leseni au kibali. Wajibu wa kulipa ada au ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru
AI-assisted research summary: Mtu anayelipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima alipe, atunze kumbukumbu za malipo, na apeleke taarifa sahihi kwa Halmashauri au Wakala kuhusu bidhaa au mali zinazotozwa.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atakuwa na wajibu wa: (a) kulipa ada kuzingatia vilivyoainishwa Ndogo hizi; au ushuru kwa viwango katika Sheria (b) kutunza kumbukumbu za malipo; na (c) kutoa sahihi taarifa kwa Halmashauri au Wakala kuhusu bidhaa zinazotakiwa kulipiwa ada au ushuru. au mali Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru
AI-assisted research summary: Ada na ushuru hukusanywa kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni; baada ya muda huo, Halmashauri au Wakala inaweza kukusanya kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. Usimamizi wa Sheria Ndogo - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au
AI-assisted research summary: The Halmashauri may close businesses or suspend activities that operate without its licence or permit, seize property or goods from tax defaulters, and sell seized items after a court order if the tax remains unpaid within the stated time limits.
7.-(1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au bidhaa na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. (4) Wakala hataruhusiwa kukamata.mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo umesababishwa na Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kuteua Wakala kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua Wakala wa kukusanya ushuru, na Wakala huyo lazima akusanye na apokee ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo lililopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa.
8.-(1) Halmashauri inaweza kuteua Wakala kwa ajili ya kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. 4 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; na (b) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Makosa na adhabu - 9 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri ili kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali, kwa kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo hizi.
9. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. - 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayeshindwa kulipa ada au ushuru, anayehamasisha wengine kukwepa malipo, anayezuia maafisa kutekeleza kazi zao, au anayetoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala anatenda kosa.
10.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Wakala Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; au au (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri au shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hizi shilingi laki mbili, ikiwa mkosaji anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
11. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Sheria Ndogo hizi zinafuta Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, za Mwaka 2009. Kufililisha kosa Kufutwa kwa Sheria Ndogo Tangazo la Serikali Na. 260 la 2009 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) ______ JEDWALI LA KWANZA ________ Limetengenezwa chini ya kifungu cha 3(1) SEHEMU YA KWANZA USHURU WA KUKODISHA MALI ZA HALMASHAURI Na.
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 2 Verify source ↗
Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya
AI-assisted research summary: This provision fragment refers to renting the Halmashauri council hall for a purpose that is not completed in the source text.
2. Kukodi ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya - 4 Verify source ↗
Kukodi Gari: Magari madogo
AI-assisted research summary: Section title: “Kukodi Gari” — “Magari madogo” (small vehicles).
4. Kukodi Gari: Magari madogo Magari makubwa - 5 Verify source ↗
Mitambo (Trekta, Vifaa vya GPS na vifaa
AI-assisted research summary: Section 5 is titled “Mitambo” and refers to tractors, GPS equipment, and other equipment.
5. Mitambo (Trekta, Vifaa vya GPS na vifaa vingine) - 11 Verify source ↗
Matumizi ya choo cha kulipia
AI-assisted research summary: Section 11 lists charges for using a paid toilet service, including amounts for bathing and using the toilet.
11. Matumizi ya choo cha kulipia (a) Kuoga (b) kujisaidia Kiwango cha ushuru/Kodi kwa Tsh Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko 500/= 300/= - 16 Verify source ↗
Kuogesha mifugo
AI-assisted research summary: Halmashauri inataja ada za kuogesha mifugo kwenye majosho, ikijumuisha viwango kwa ng’ombe na mbuzi/kondoo.
16. Kuogesha mifugo Halmashauri kwenye majosho Kwa mujibu wa mkataba na bei ya soko 3,000/= kila moja kwa siku 10,000/= 10,000/= kila moja kwa siku ya 500/= kila ng’ombe 300/= kila mbuzi/Kondoo - 17 Verify source ↗
Ushuru wa kulaza Magari na Pikipiki kwenye
AI-assisted research summary: The council charges fees for parking cars and motorcycles in the council yard.
17. Ushuru wa kulaza Magari na Pikipiki kwenye yadi ya Halmashauri 7 1,000/= 500/= 200/= kila mfugo kwa mifugo mingine Kila gari kwa siku Kila Pikipiki au chombo cha Magurudumu Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) SEHEMU YA PILI ADA NA USHURU WA MACHINJIO NA UKAGUZI WA NYAMA matatu Na Aina ya Chanzo
Part
SEHEMU YA PILI
- 2 Verify source ↗
Ushuru wa Machinjio; Kondoo na
AI-assisted research summary: This section heading refers to slaughter tax, including for sheep, goats, and pigs.
2. Ushuru wa Machinjio; Kondoo na Mbuzi Ushuru wa machinjio: Nguruwe - 3 Verify source ↗
Ushuru wa Machinjio; Kuku na
AI-assisted research summary: This section is titled “Ushuru wa Machinjio; Kuku na jamii ya ndege.”
3. Ushuru wa Machinjio; Kuku na jamii ya ndege - 5 Verify source ↗
Ada ya Ukaguzi; Kondoo, Mbuzi na
AI-assisted research summary: Section 5 is titled “Ada ya Ukaguzi; Kondoo, Mbuzi na Nguruwe.”
5. Ada ya Ukaguzi; Kondoo, Mbuzi na Nguruwe - 6 Verify source ↗
Ada ya ukaguzi; Kuku na jamii ya
AI-assisted research summary: 6. Ada ya ukaguzi; Kuku na jamii ya ndege
6. Ada ya ukaguzi; Kuku na jamii ya ndege - 7 Verify source ↗
Ukaguzi wa Bucha
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada/ushuru wa ukaguzi wa Bucha kwa viwango tofauti vya Tsh, ikiwemo kiasi kwa kila anaye-chinjwa na ada ya siku ya ukaguzi.
7. Ukaguzi wa Bucha Kiasi cha Ada au ushuru Tsh Idadi 5,000/= kila mmoja atakayechinjwa 1,000/= kila mmoja atakayechinjwa 1,500/= kila mmoja atakayechinjwa 200/= kila mmoja atakayechinjwa 2,000/= kila mmoja atakayechinjwa 1,000/= kila mmoja atakayechinjwa 200/= kila mmoja atakayechinjwa 500/= Kwa siku ya ukaguzi SEHEMU YA TATU USHURU WA MADINI YA UJENZI Na. Aina ya chanzo Kiwango cha Ada au ushuru Tsh Kiasi
Part
SEHEMU YA TATU
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ada za vibali vya kuchimba na ushuru wa kusafirisha baadhi ya aina za madini na vifaa.
6. Ada ya kibali cha kuchimba Mchanga, Udongo, Kifusi au madini mengine Ada ya kibali cha kuchimba Mawe Ushuru wa kusafirisha, Udongo, Mchanga au Kifusi Ushuru wa kusafirisha Kokoto, Tarazo, Changarawe au Mawe ya Kujengea Ushuru wa kusafirisha Chokaa Ushuru wa kusafirisha Madini mengine 200,000/= Kila kibali (Tani 1,000). 150,000/= Kila kibali 1,500/= Tani moja 2,000/= Tani moja 1,000/= Tani moja 1,500/= Tani moja SEHEMU YA NNE ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTAMADUNI, BURUDANI NA MICHEZO Na. Aina ya Chanzo
Part
SEHEMU YA NNE
- 2 Verify source ↗
Kibali cha kuchezesha
AI-assisted research summary: This section lists permit fees/taxes for disco, band performances, performing arts, cinema, and concerts.
2. Kibali cha kuchezesha disco, Maonyesho ya bendi, Sanaa za maonyesho, sinema na Matamasha Kiwango cha Ada/Ushuru Tsh 10,000/= 15,000/= Idadi Kwa tukio kwa kibali 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) - 3 Verify source ↗
Kibali cha kuchezesha
AI-assisted research summary: Section heading about a permit for gambling games.
3. Kibali cha kuchezesha michezo ya kubahatisha - 4 Verify source ↗
Kibali cha Mechi kuendesha
AI-assisted research summary: This section is about a permit for conducting ball competitions.
4. Kibali cha Mechi kuendesha mashindano ya Mipira - 5 Verify source ↗
Kibali cha kuchezesha disco
AI-assisted research summary: This section concerns a permit for operating a night disco (night club).
5. Kibali cha kuchezesha disco usiku (Night club) - 7 Verify source ↗
Kuendesha
AI-assisted research summary: This section concerns running promotions in bars, hotels, and open areas.
7. Kuendesha promosheni kwenye baa, hoteli viwanja vya wazi - 11 Verify source ↗
Banda la video
AI-assisted research summary: This section lists fees and permit charges, including amounts such as 10,000/=, 20,000/=, 30,000/=, and 60,000/= for different items.
11. Banda la video 12/ Ada ya Kibali cha waganga wa Jadi 10,000/= 30,000/= 60,000/= 10,000/= 20,000/= kwa kibali kwa kibali kwa kibali Kwa mwaka Kwa siku 20,000/= Kwa tukio 5,000/= 30,000/= 30,000/= 20,000/= Kwa kila meza kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa miezi sita (6) SEHEMU YA TANO USHURU WA MASHAMBA MAKUBWA, UKAGUZI WA RAMANI NA VIBALI VYA UJENZI (a) Ada ya Maombi ya Upimaji wa Ardhi Na Aina ya shamba
Part
SEHEMU YA TANO
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section appears to list annual fees in Tanzanian shillings for map inspection and building-related permits, including construction, renovation, and demolition, for the 501–1000 acre band.
5. Ekari 501-1000 (b) Kiwango Tsh 50,000/= 200,000/= 250,000/= 300,000/= 500,000/= Muda Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Ada za ukaguzi wa ramani na vibali vya ujenzi, Ukarabati wa Jengo na ubomoaji wa Jengo Na Kibali cha ujenzi Kiwango Tsh - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Lists building categories, including residential, commercial, mixed-use, guest houses/hotels, and factory buildings.
8. Jengo la makazi Jengo la makazi ghorofa moja Jengo la makazi zaidi ya ghorofa moja Jengo la makazi na biashara Nyumba za biashara (Guest house& Hotel) Jengo la biashara Jengo la biashara ghorofa moja Jengo la biashara zaidi ya ghorofa moja Jengo la kiwanda - 10 Verify source ↗
Jengo la taasisi
AI-assisted research summary: This section lists several fee amounts for an institutional building permit.
10. Jengo la taasisi 9 20,000/= 50,000/= 100,000/= 150,000/= 100,000/= 180,000/= 200,000/= 250,000/= 100,000/= 500,000/= Idadi kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) - 17 Verify source ↗
Ofisi, Shule, Zahanati, Vituo vya Afya
AI-assisted research summary: Hii sehemu ina kichwa kinachotaja ofisi, shule, zahanati, vituo vya afya na hospitali binafsi.
17. Ofisi, Shule, Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali binafsi - 24 Verify source ↗
Ada ya uhakiki wa umiliki kiwanja au
AI-assisted research summary: This provision lists fees for land/title search and related charges, including an official search fee and percentages tied to building permit fees.
24. Ada ya uhakiki wa umiliki kiwanja au shamba (Official Search) 50,000/= 1,000/= 500/= 25,000/= 300,000= 250,000/= 100,000/= 200,000/= 140,000/= 40,000/= 40,000/= Asilimia hamsini (50%) ya ada ya kibali cha ujenzi Asilimia ishirini (20%) ya ada ya kibali cha ujenzi 40,000/= kwa kibali kwa mita kwa kila kibali kwa mita kwa kila kibali kwa mita kwa kila kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kila kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali kwa kibali Kila ombi - 25 Verify source ↗
Ada ya ukaguzi wa ramani
AI-assisted research summary: Kila ombi la mabadiliko ya matumizi ya jengo linatozwa ada ya 40,000/=.
25. Ada ya ukaguzi wa ramani (c) Ada ya mabadiliko ya matumizi (Alteration) ya jengo 40,000/= Kila ombi Na Aina ya Jengo - 4 Verify source ↗
Makazi au biashara kuwa kituo cha
AI-assisted research summary: This provision lists fees for making a residence or business premises a fuel station, with amounts of Tsh 20,000, Tsh 25,000, Tsh 25,000, and Tsh 30,000 per permit.
4. Makazi au biashara kuwa kituo cha mafuta Kiwango Tsh 20,000/= 25,000/= 25,000/= 30,000/= Idadi kila kibali kila kibali kila kibali kila kibali - 5 Verify source ↗
Makazi au biashara kuwa bohari, ghala,
AI-assisted research summary: The text lists a fee of 50,000/= for each permit related to using premises or a business as a storehouse or warehouse.
5. Makazi au biashara kuwa bohari, ghala, 50,000/= kila kibali kumbi za starehe SEHEMU YA SITA ADA YA WAKANDARASI NA UNUNUZI WA ZABUNI ZA HALMASHAURI Na Aina ya Huduma
Part
SEHEMU YA SITA
- 6 Verify source ↗
Kupakua mashimo ya maji machafu
AI-assisted research summary: The text lists charges for emptying sewage pits (toilets), including a 2% charge on payments and several fixed amounts in Tanzanian shillings.
6. Kupakua mashimo ya maji machafu (vyoo) Kiwango Tsh Asilimia mbili (2%) ya malipo 100,000/= 150,000/= 150,000/= 50,000/= 70,000/= Idadi Kila certificate Kila zabuni Kila zabuni Kila zabuni Kila zabuni Kila zabuni 10 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) - 7 Verify source ↗
Kurekebisha na kujenga vyoo vya uma,
AI-assisted research summary: Section 7 mentions repairing and building public toilets and states 80,000/= for each tender for shops and kiosks.
7. Kurekebisha na kujenga vyoo vya uma, 80,000/= Kila zabuni maduka na vioski - 8 Verify source ↗
Kurekebisha mali za Halmashauri
AI-assisted research summary: The text refers to repairing council assets and mentions 100,000/= for each tender involving vehicles and buildings.
8. Kurekebisha mali za Halmashauri 100,000/= Kila zabuni (magari na majengo) - 10 Verify source ↗
Usimamizi na uendeshaji vyoo vya
AI-assisted research summary: Section 10 appears to list amounts of 100,000/= tied to public toilets and shops, with “Kila zabuni” (each tender).
10. Usimamizi na uendeshaji vyoo vya umma na maduka 100,000/= 100,000/= Kila zabuni Kila zabuni - 11 Verify source ↗
Huduma elekezi/mshauri (Consultancy
AI-assisted research summary: The text lists a consultancy fee of 100,000/= per tender/service and mentions vehicle registration fee categories.
11. Huduma elekezi/mshauri (Consultancy 100,000/= Kila zabuni services) SEHEMU YA SABA ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI Tax Pick –up chini ya tani 3 Lori tani 3.5 hadi tani 7 Lori tani 7 na kuendelea Na Aina ya Chombo cha usafiri
Part
SEHEMU YA SABA
- 5 Verify source ↗
Gari lolote la mizigo chini ya tani moja (1)
AI-assisted research summary: This section concerns cargo vehicles under one ton.
5. Gari lolote la mizigo chini ya tani moja (1) - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii inataja pikipiki za magurudumu mawili na magurudumu matatu (bodaboda, bajaji na guta).
8. za magurudumu mawili Pikipiki (Bodaboda) Pikipiki za Magurudumu matatu (Bajaji na Guta) - 12 Verify source ↗
Gari lolote dogo lisilotajwa hapo juu
AI-assisted research summary: This section refers to any other small vehicle not mentioned above.
12. Gari lolote dogo lisilotajwa hapo juu - 13 Verify source ↗
Gari lolote kubwa lisilotajwa hapo juu
AI-assisted research summary: This provision lists Tsh amounts for “Gari lolote kubwa” (any large vehicle).
13. Gari lolote kubwa lisilotajwa hapo juu Kiwango Tsh 50,000/= 30,000/= 60,000/= 80,000/= 20,000/= 30,000/= 70,000/= 20,000/= Idadi Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka 30,000/= Kwa mwaka 30,000/= 20,000/= 10,000/= 30,000/= Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka Kwa mwaka SEHEMU YA NANE USHURU WA MIFUGO Na. Aina Kiwango Tsh Aina ya Mnyama Idadi
Part
SEHEMU YA NANE
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fees for storing captured stray animals, buying hides, and health certificates for transporting meat and hides.
3. Ushuru wa kuhifadhi wanyama waliokamatwa kwa kuzurura ovyo Ushuru wa Kununua Ngozi Cheti cha Afya cha wa usafirishaji Nyama na ngozi 8,000/= Ng’ombe, Punda na Farasi 3,500/= kwa Mbuzi, Kondoo, Nguruwe, Mbwa na wanyama wengine 1,000/= Ng’ombe 500/= Mbuzi, Kondoo 2,000/= Ng’ombe, Punda na Farasi 1,000/= kwa Mbuzi, Kondoo, na Nguruwe, Mbwa wanyama wengine Kila mnyama kwa siku Kila mnyama kwa siku Kwa ngozi Kwa ngozi kwa cheti kimoja kwa cheti kimoja - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: A permit fee of 2,000/= is stated for cattle, donkeys, and every 10 kg of meat.
4. Kibali cha 2,000/= Ng’ombe, Punda na Kila kilo 10 za nyama 11 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) kusafirisha Nyama na Ngozi za wanyama - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka ushuru/ada mbalimbali kwa mifugo na baadhi ya bidhaa za mifugo, pamoja na masharti ya kibali kwa baadhi ya vitu.
5. Ushuru wa mifugo minadani Farasi 1,000/= kwa Mbuzi, Kondoo, na Nguruwe, Mbwa wanyama wengine 5000/= Kwa ng’ombe mmoja na kipande kimoja cha Ngozi kwa kibali Kila kilo 5 za nyama na kipande kimoja cha Ngozi kwa kibali Atakaeuzwa 2000/= Kwa mbuzi mmoja 2000/= Kwa kondoo mmoja Atakaeuzwa Atakaeuzwa SEHEMU YA TISA USHURU WA MAZAO YA KILIMO Na. Aina ya Zao
Part
SEHEMU YA TISA
- 22 Verify source ↗
Mazao mengineyo
AI-assisted research summary: Mazao mengineyo yasiyotajwa hapo juu yanatozwa ushuru wa 2% kwa mazao ya chakula na 3% kwa mazao ya biashara, ukipimwa kwa bei ya kununulia.
22. Mazao mengineyo yasiyotajwa hapo juu Kiasi cha Ushuru kwa mazao ya chakula Tsh 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia 2% ya Bei ya kununulia Kiasi cha ushuru kwa mazao ya biashara Tsh 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia 3% ya Bei ya kununulia - 23 Verify source ↗
Ada ya kibali cha kununua
AI-assisted research summary: This section concerns a fee or permit related to buying commercial crops.
23. Ada ya kibali cha kununua mazao ya biashara - 24 Verify source ↗
Ada ya kibali cha kununua
AI-assisted research summary: Ada ya kibali cha kununua mazao ya chakula inaonekana kuhesabiwa kwa asilimia 2 ya bei ya kununulia na pia kuna viwango vya TZS 40,000 au TZS 20,000 kwa tani.
24. Ada ya kibali cha kununua mazao ya chakula 2% ya Bei ya kununulia 40,000/= kwa tani 2% ya Bei ya kununulia 20,000/= kwa tani 12 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) SEHEMU YA KUMI ADA NA USHURU WA MAZAO YA MISITU Na
Part
SEHEMU YA KUMI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section lists forest products and shows that they are subject to a tax/fee amount in Tsh.
1. Aina Ya Zao La Misitu Ushuru wa:- Kiwango Tsh Idadi (i) Mbao (ii) Shata mlango/Dirisha (iii) Fremu mlango/dirisha (iv) Kitanda (v) Kabati (vi) Kochi (vii) Magogo (viii) Mirunda (ix) Nguzo za simu (x) Nguzo za umeme (xi) Kuni (xii) Mkaa (xiii) Mabanzi (xiv) Asali (xv) Nta (xvi) Ubuyu na Ukwaju (xvii) Mkeka, Kikapu na Ungo (xviii) Vinyago mpingo vya (xix) Vinyago vya miti mingine (xx) Mazao mengine ya misitu - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section 3 is titled “Ada ya Leseni ya Biashara ya Mazao ya Misitu.”
3. Ada ya Leseni ya Biashara ya Mazao ya Misitu - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists various fees and levies, including amounts in Tsh, percentages, and annual charges.
4. Ada ya Usajili wa kufanya biashara ya Mazao ya Misitu 1,000/= kwa ubao mmoja 2,000/= 1,000/= 5,000/= 5,000/= 2,000/= Asilimia 5% ya bei ya kuuza 50/= 2000/= 5000/= 3000/= 5000/= 5000/= Asilimia 5% ya bei ya kuuza Asilimia 5% ya bei ya kuuza 150/= 100/= 250/= 150/= Kila moja Kila moja Kila moja Kila moja Kila moja kwa mrunda mmoja kwa nguzo moja kwa nguzo moja kwa tani kwa gunia moja kwa tani moja - - Kwa kila debe moja Kwa kila moja Kwa kila ki moja Kwa kila kimoja 5000/= kwa tani moja Inategemea na Zao linalovunwa 200,000/= Kwa mwaka 100,000/= Kwa mwaka 13 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) SEHEMU YA KUMI NA MOJA USHURU MWINGINE Na Aina Kiwango Tsh Idadi
Part
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section is titled as a tax on car-wash stations and other transport vehicles.
3. Ushuru wa Magobore Ushuru wa vituo vya kuoshea magari na vyombo vingine vya usafirishaji - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Section title for a permit to make mud bricks for business.
4. Kibali cha kufyatua tofali za udongo (biashara) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The provision lists scrap-metal charges and amounts tied to different quantities and time periods.
5. Ushuru wa chuma chakavu 2,000/= 1,000/= 4,000/= Kila maombi Kila Gobore Kwa mwezi 50,000/= Kwa mwaka (a) Tani 1 (a) ½ Tani 6,000/= 3,000/= Kila inaposafirishwa Kila inaposafirishwa (b) ¼ Tani 2,000/= Kila inaposafirishwa - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The provision states a yearly licence fee of 20,000/= for selling local alcohol.
6. Kibali cha kuuza pombe za 20,000/= Kwa mwaka Kienyeji - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: A 5,000/= amount is stated for a local alcohol-production licence.
7. Kibali cha kutengeneza pombe 5,000/= Kwa kila kibali za Kienyeji - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Hii inaweka ushuru/ada za kila mwaka au kila mwezi kwa aina fulani za biashara, pamoja na ada ya maegesho maalum.
8. Ushuru wa vilabu vya pombe 20,000/= Kwa mwaka Ushuru 17 Wakala wa viwandani pombe za Biashara Kuu 100,000/= Kwa mwaka Tawi 80,000/= Kwa mwaka 18 Visima vya biashara/vituo vya kuuzia maji vya maji 30,000/= Kwa mwaka 30,000/= Kwa mwaka 19 Maghala ya mazao binafsi na ya Serekali 100,000/= kwa mwaka @ ghala lenye ujazo kuanzia Tani 100 @ ghala lenye ujazo kuanzia Tani 100 USHURU WA MAEGESHO KATIKA MAEGESHO MAALUM Ada katika maegesho maalum Shilingi 3,000/= kwa meta moja ya mraba kwa mwezi 14 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) ________ JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 11) _________ HATI YA KUFILILISHA KOSA Mimi.........................................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ............................................................. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kwamba tarehe ..................... ya mwezi ....................... mwaka ........................... nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha .............................. cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, nipo tayari kulipa kiasi cha shilingi laki mbili na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe.....................ya mwezi.........................mwaka...................................... Jina.................................................... Saini........................................................... Mbele ya: Jina:................................................Cheo:............................................ Saini..................................................................................................... 15 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Tangazo la Serikali Na. 1024 (Linandelea.) Nembo ya Halmashgauri ya Wilaya ya Kiteto imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa kwenye mkutano wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 16/4/2020 mbele ya:- TAMIM H. KAMBONA, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Kiteto LAIRUMBE MOLLEL, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya, Kiteto L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB.), 2 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 16
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto za mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in