Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli za Mwaka 2020
Kifungu hiki kinafafanua baadhi ya maneno yanayotumika katika Sheria Ndogo hizi za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli kuhusu hifadhi ya mazingira na maeneo ya malisho.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Kifungu hiki kinafafanua baadhi ya maneno yanayotumika katika Sheria Ndogo hizi za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli kuhusu hifadhi ya mazingira na maeneo ya malisho. Livestock keepers in the council area must follow council-set rules, and several livestock activities are prohibited without permission or outside approved places. Wakulima ndani ya eneo la Halmashauri lazima wafuate taratibu za kilimo, wasilime maeneo yenye hatari ya mmomonyoko au karibu na maji, wasitumie ardhi kinyume na mpango uliodhinishwa, na wasisafishe mashamba kwa kuchoma bila kibali maalumu. Kwa mtu yeyote, ni kosa kufanya vitendo vilivyotajwa katika saa 12:00 jioni hadi 1:00 usiku, ikiwemo kutofuata kalenda ya kilimo ya Halmashauri na kulima kwenye maeneo ya miteremko au karibu na maji. Watu wote hawaruhusiwi kuchimba vifaa vya ujenzi kwa biashara katika maeneo yaliyo karibu na makazi, hifadhi, mito, mabwawa au maziwa bila kibali maalumu cha Halmashauri; ukiukaji ni kosa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli za Mwaka 2020
Showing 10 of 10
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafafanua baadhi ya maneno yanayotumika katika Sheria Ndogo hizi za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli kuhusu hifadhi ya mazingira na maeneo ya malisho.
2. atakayeteuliwa isipokuwa pale Sheria Ndogo hizi zitaitwa Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli za Mwaka 2020. Katika Sheria Ndogo hizi itakavyoelekezwa vinginevyo: “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “eneo la hifadhi” maana yake ni maeneo ya milima, mbuga za wanyama, maeneo ya vyanzo vya maji, hifadhi ya misitu na maeneo mengine ambayo yatatangazwa na Halmashauri kuwa ni maeneo ya hifadhi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli; “hifadhi ya mazingira” maana yake ni utunzaji endelevu wa ardhi, mimea, hewa, viumbe hai na visivyo hai na vyanzo vya maji unaozingatia masharti na Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hizi au Sheria nyingine yoyote; “maeneo ya malisho” maana yake ni sehemu zote ambazo zimetengwa na Halmashauri au Kijiji kuwa maeneo ya malisho ya mifugo; na maelekezo yatakayotolewa 1 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) Sura ya 191 Sura ya 323 Masharti kuhusu ufugaji - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Livestock keepers in the council area must follow council-set rules, and several livestock activities are prohibited without permission or outside approved places.
3.- “mazingira” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ; “mifugo” maana yake ni mifugo yoyote inayofugwa na binadamu; “Misitu” maana yake ni eneo la ardhi ambalo limefunikwa angalau kwa asilimia kumi na miti, uoto wa asili au iliyopandwa, au asilimia hamsini au zaidi, ya vichaka na miti na miti inayoota upya ambayo itajumuisha aina yote ya misitu ya hifadhi ambayo imetangazwa chini ya Sheria ya Misitu na mazao yote ya misitu ikijumuisha majani na nyasi ndani ya eneo la Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli na ni pamoja na Afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza kazi za Mkurugenzi chini ya Sheria Ndogo hizi. (1) Mtu yeyote anayefuga katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuzingatia masharti yafuatayo: (a) kufuga mifugo kwa idadi itakayokuwa imeelekezwa na Halmashauri; (b) kufuga na kulisha mifugo yake katika maeneo ya malisho yaliyopangwa na Halmashauri; (c) kupitisha mifugo yake katika njia na na kutengwa zilizopangwa Halmashauri; (d) kuwa na kadi ya mifugo itakayoonyesha idadi na aina ya mifugo aliyonayo; (e) kupeleka mifugo katika majosho kama atakavyoagizwa na Halmashauri; na (f) kuweka alama kwenye mifugo yake kama itakavyolekezwa na Halmashauri. 2 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) (2) Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote kufanya yafuatayo: (a) kusafirisha mifugo kuiswaga kwa barabarani; (b) kusafirisha au kuhamisha mifugo kutoka eneo moja hadi lingine bila kibali kutoka kwa Halmashauri; (c) kuingiza mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali; (d) kuuza au kununua mifugo katika maeneo ambayo siyo mnada, masoko au magulio ya mifugo na Halmashauri; yaliyoidhinishwa (e) kufuga mifugo kwa zaidi ya iliyoelekezwa na Halmashauri; au (f) kuchunga, kulisha au kunywesha maji ambayo katika maeneo mifugo hayakutengwa kwa shughuli hiyo. idadi (3) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kukamata maeneo au inayokutwa kuchunga, kulisha katika mifugo yasiyoruhusiwa kunywesha mifugo. (4) Halmashauri inaweza, baada ya kupata amri ya Mahakama, kuuza kwa njia ya mnada wa hadhara mifugo hiyo na fedha zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mifugo baada ya kutoa gharama za ukamataji, utunzaji wa mifugo . (5) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokea wakati wa kutekeleza mamlaka yake chini kifungu hiki isipokuwa kama hasara hiyo uzembe wa Halmashauri. itasababishwa na 3 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) Masharti kuhusu kilimo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wakulima ndani ya eneo la Halmashauri lazima wafuate taratibu za kilimo, wasilime maeneo yenye hatari ya mmomonyoko au karibu na maji, wasitumie ardhi kinyume na mpango uliodhinishwa, na wasisafishe mashamba kwa kuchoma bila kibali maalumu.
4.- (1) Mtu yeyote anayelima katika eneo la Halmashauri atatakiwa kuzingatia masharti yafuatayo: (a) taratibu za kilimo kwa kuzingatia kalenda ya kilimo ya Halmashauri na kwa kuzingatia Sheria zinazosimamia masuala ya ardhi na mazingira; (b) kutolima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito, mabwawa au maziwa au kufanya jambo ya lolote mazingira; litakaloharibu hifadhi (c) kutotumia ardhi kinyume na matumizi kama ilivyopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri; na (d) kutosafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto, isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri. (2) Kibali cha kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto kitakuwa cha maandishi na kitaonyesha jina la mwenye kibali, tarehe na eneo analotaka kuchoma moto. (3) Muda unaoruhusiwa kuchoma moto chini ya Sheria Ndogo hizi ni kuanzia saa 12.00 asubuhi hadi saa 4.00 kamili asubuhi na saa - 12 Verify source ↗
00 jioni hadi saa 1.00 usiku
AI-assisted research summary: Kwa mtu yeyote, ni kosa kufanya vitendo vilivyotajwa katika saa 12:00 jioni hadi 1:00 usiku, ikiwemo kutofuata kalenda ya kilimo ya Halmashauri na kulima kwenye maeneo ya miteremko au karibu na maji.
12.00 jioni hadi saa 1.00 usiku. Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote kufanya yafuatayo: (a) kutozingatia kalenda ya kilimo ya (4) Halmashauri; (b) kulima katika miteremko, karibu na vyanzo vya maji, kandokando ya mito, mabwana au maziwa au kufanya jambo lolote ya mazingira; litakaloharibu hifadhi 4 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) Uchimbaji wa mchanga - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Watu wote hawaruhusiwi kuchimba vifaa vya ujenzi kwa biashara katika maeneo yaliyo karibu na makazi, hifadhi, mito, mabwawa au maziwa bila kibali maalumu cha Halmashauri; ukiukaji ni kosa.
5.- (c) kutumia ardhi kinyume na matumizi kama ilivyopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri; au (d) kusafisha shamba kwa njia ya kuchoma moto bila ya kuwa na kibali au nje ya muda ulioruhusiwa chini ya Sheria Ndogo hizi. (1) Mtu yeyote hataruhusiwa kuchimba mchanga, kokoto, mawe, udongo au madini yoyote ya ujenzi kwa madhumuni ya kibiashara karibu na makazi ya watu, maeneo ya hifadhi, kandokando ya mito au ndani ya mto, bwawa au ziwa isipokuwa kwa kibali maalumu cha Halmashauri. (2) Mtu atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Uhifadhi wa vyanzo vya maji - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Kila mtu katika eneo la Halmashauri lazima afuate masharti ya kulinda maeneo ya hifadhi na vyanzo vya maji, ikiwemo kupanda miti kulingana na maelekezo ya Halmashauri na kutofanya vitendo vinavyoharibu maeneo hayo.
6.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakuwa na wajibu wa: (a) kupanda miti isiyonyonya maji kwa kuzingatia maelekezo ya Halmashauri; (b) kutoishi katika eneo la hifadhi au chanzo cha maji ndani ya mita sitini; (c) kutolima, kutokata miti, kutochunga mifugo au kutofanya lolote linaloharibu kwa namna yoyote eneo lililotangazwa kuwa eneo la hifadhi au chanzo cha maji; jambo (d) kutoelekeza mabomba ya maji machafu au kujisaidia kupuliza dawa za kuua kwenye mito, mabwawa, wadudu maziwa, visima, mifereji, chemchem au sehemu yoyote ambayo ni chanzo cha maji; 5 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) Uhifadhi wa misitu
Part
sehemu yoyote ambayo ni chanzo cha
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: People in the municipal area must protect forests, and charcoal burning needs a special permit in designated places. It also forbids certain tree cutting, forest burning, and building waste pits or pit latrines too close to a public water source.
7.- (e) kutojimilikisha eneo ambalo ni chanzo cha maji cha umma; au (f) kutojenga choo cha shimo au jalala la kutupia taka umbali wa chini ya mita sitini kutoka kwenye chanzo cha maji. (2) Mtu atakayekiuka masharti ya kifungu hiki atakuwa ametenda kosa. (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atakuwa na wajibu wa kuhifadhi na kulinda misitu kwa; (a) kutokata miti katika maeneo ya misitu iliyohifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya aina yoyote bila kupata kibali kutoka katika Mamlaka husika; (b) kutochoma moto misitu kwa namna yoyote ile katika eneo la Halmashauri; (c) kutovuna miti isipokuwa kwa kibali maalum cha Halmashauri; au (d) kutovuna miti katika msitu ambao umehifadhiwa kwa ajili ya viumbe maalum. (2) Uchomaji wa mkaa utafanyika kwa kibali maalum cha Halmashauri katika maeneo yaliyotengwa mahsusi kwa ajili hiyo. (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) na (2) atakuwa ametenda kosa. Utupaji wa taka - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: People in the council area must keep a waste pit or special container and a clean, safe toilet; the council must also charge an annual health inspection fee and set aside waste-disposal and slaughterhouse areas.
8.- (1) Kila mtu katika eneo la Halmashauri atatakiwa kufanya yafuatayo:: (a) kuwa na shimo au chombo maalum cha kuhifadhi taka ngumu na laini; na (b) kuwa na choo safi na salama; (3) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. 6 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) Ada ya ukaguzi wa afya 9 (1) Halmashauri itatoza ada ya ukaguzi wa afya italipwa kwa mwaka kabla ya ambayo mwombaji kupewa leseni ya biashara. (2) Viwango vya ada ya ukaguzi wa afya vitakuwa la Jedwali kama vilivyoainishwa katika Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (3) Ada ya ukaguzi wa afya italipwa kila mwaka wakati wa kuhuisha leseni. Wajibu wa jumla 10.- Wajibu wa Halmashauri 11 (1) Wakazi wa eneo ambalo uoto wa asili au mazingira yameharibiwa watakuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa wanalirudisha katika hali yake ya kawaida eneo hilo kwa kupanda miti na kuendelea kutoharibu mazingira ili kuwezesha uoto au mazingira yarudi katika hali kadri watakavyoelekezwa na Halmashauri. kawaida yake kwa ya (2) Wakazi wa eneo ambalo moto umetokea katika watakuwa na wajibu wa kushiriki kuzima moto huo kwa kadri watakavyoelekezwa na Halmashauri. (3) Mtu yeyote atakayeshindwa, bila sababu za msingi, kutekeleza maelekezo ya Halmashauri chini ya kifungu kidogo cha (1) na cha (2) atakuwa ametenda kosa. kwenye (1) Halmashauri itatenga eneo maalum kwa ajili ya kutupa taka (dampo) na kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo kutoka kwa wazalishaji hadi viwango dampo vilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. (2) Halmashauri itakuwa kuhamasisha uundaji wa Vikundi (CBOs) na kuvitambua la Jamii ili kuviwezesha jukumu kwa na 7 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika makao makuu ya kata na vijiji na maeneo ya mjini baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. (3) Halmashauri itatenga eneo maalum kwa ajiri ya Machinjio ya wanyama. Uwezo wa Afisa Mwidhiniwa
Part
Jedwali
- 12 Verify source ↗
Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana uwezo wa kuingia eneo, nyumba, au jengo lolote kati ya saa 12.00 asubuhi na 12.30 jioni kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi.
12.- Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia katika eneo, nyumba au jengo lolote kuanzia 12.00 asubuhi hadi 12.30 jioni kwa madhumuni ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. Adhabu - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: A person convicted of any offence under these bylaws may be fined up to 300,000 shillings, imprisoned up to 12 months, or both. The Director may compound an offence for up to 200,000 shillings if the person admits the offence and completes the prescribed form.
13.- (1) Mtu yeyote atakayetiwa hatiani kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hizi atahukumiwa adhabu ya kulipa faini isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili au vyote kwa pamoja. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Mkurugenzi anaweza kufililisha kosa lolote endapo mtu atakiri kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi kwa kumtoza kiasi kisichozidi shilingi laki mbili baada ya kujaza fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu za Sheria Ndogo hizi. 8 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetungwa chini ya Kifungu cha 9(2)) Ada ya ukaguzi wa Afya AINA YA BIASHARA ADA KWA MWAKA 1 2 3 4 5 6 7 Baa na maduka ya vinywaji (groceries) Migahawa, baba na mama lishe Nyumba za kulala wageni (guest house) na hosteli Kumbi za starehe na mikutano Maduka Gereji Majengo mengine ya biashara 15,000 6000 15,000 20,000 10,000 15,000 50,000 9 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI (Limetungwa Chini ya kifungu cha 11(1)) Ada ya uzoaji takataka ENEO KIWANGO KWA MWEZI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Nyumba za kuishi au makazi kwa kaya Nyumba za kulala wageni Maduka Mgahawa, baba,mama lishe Hoteli,baa na groceries Vibanda au meza za biashara Wachoma chipsi, kuku na nyama Saluni Gereji 10 Fundi seremala, samani 11 Wauza mbao au karakana za kuranda mbao 12 Ofisi ya taasisi 13 Mashine za kusaga na kukoboa 2000/= 5000/= 3000/= 2500/= 5000/= 2000/= 2500/= 3000/= 5000/= 2500/= 5000/= 3000/= 3000/= 10 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) JEDWALI LA TATU (Limetengenezwa chini ya Kifungu chs 13) HATI YA KUFILILISHA KOSA Mimi ………………………..….....................…………………………….nakiri kwa hiari yangu mwenyewe mbele ya …………………………………….... ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Bumbuli kuwa tarehe …..… ya Mwezi …...…. Mwaka …........… nilitenda kosa la kukiuka kifungu cha …… cha Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli za mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi kiasi cha shilingi na kutimiza wajibu wangu badala ya kushtakiwa Mahakamani. Nathibitisha kwamba maelezo hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu Leo Tarehe………………… Mwezi…………………Mwaka..................... Jina...................................................................................... Saini........................................................................................ Mbele ya: Jina: …………………………………………… Cheo: …………………………………………. Saini: ………………………………………….. 11 Sheria Ndogo Za Hifadhi ya Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 1030 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri imegongwa katika Sheria Ndogo hizo kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli uliofanyika mnamo tarehe 19/2/2020 na Nembo iliyogongwa mbele ya:- GEORGE D. HAULE, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Bumbuli AMIRI A. SHEIZA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya, Bumbuli L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB.) 2 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in