Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2020
This section says the by-laws are called the Siha District Council Fees and Charges By-Laws, 2020.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-laws are called the Siha District Council Fees and Charges By-Laws, 2020. These by-laws apply throughout the entire area of Siha District Council. This section defines key terms used in the by-laws, including fees, a licensing permit, the Council, the Director, an authorized officer, tax/levy, and an agent. Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa leseni na huduma za vibali, na malipo lazima yafanywe kabla au wakati wa kupokea huduma. Watu wanaopaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima walipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2020
Showing 25 of 25
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section says the by-laws are called the Siha District Council Fees and Charges By-Laws, 2020.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2020. Matumizi - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the entire area of Siha District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Siha. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including fees, a licensing permit, the Council, the Director, an authorized officer, tax/levy, and an agent.
3. Katika itakapoelekezwa vinginevyo: Sheria Ndogo hizi isipokuwa pale “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya huduma, vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hizi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Siha; “kibali” maana yake ni idhini ya maandishi inayotolewa na Mkurugenzi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; 1 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; inayotozwa na “ushuru” maana yake ni Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; tozo “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa na Halmashauri kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hizi. - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ada na ushuru kwa leseni na huduma za vibali, na malipo lazima yafanywe kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.- (1) Utozaji wa ada na ushuru (2) (3) (4) (5) zinazotolewa Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa leseni na huduma ajili ya vibali, mbalimbali na ilivyoainishwa kama Halmashauri katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa wa Halmashauri Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha inaweza kukubaliana na walipa ushuru wakubwa kuweka utaratibu maalum wa kulipa ushuru. au Wakala Halmashauri (4), 2 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Watu wanaopaswa kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi lazima walipe kwa viwango vilivyoainishwa humo.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Muda wa kukusanya ada na ushuru ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni.
6.- (1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuchukua hatua dhidi ya biashara au mali zinazohusiana na kushindwa kulipa ushuru, lakini Wakala anahitaji idhini ya maandishi ya Mkurugenzi kabla ya kukamata mali au bidhaa.
7.- Usimamizi wa Sheria Ndogo (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (4) Malipo ya ada na ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama uthibitisho wa malipo yaliyofanyika. (1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa masharti ya Sheria Ndogo hizi. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa (2) kwa mujibu wa kifungu kidogo cha atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya 3 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) bidhaa kuuza mali kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya fedha au zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. na (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu huo uharibifu tu hiki umesababishwa na Halmashauri au Wakala. isipokuwa kama Uteuzi wa Wakala - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Halmashauri may engage a registered company to collect tax, and an appointed agent must collect, receive, and remit tax under the by-laws.
8.- inaweza (1) Halmashauri kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kuteua kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri ili kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia masuala ya ada, ushuru, leseni au kibali.
9. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hizi, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. 4 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) Makosa na adhabu - 10 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who fails to pay a fee or tax, helps others avoid or refuse payment, blocks certain officials from doing their duties, or gives false information to the Council or Agent commits an offence.
10.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) (b) (c) (d) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi; au atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri au shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. Kufililisha kosa - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa
AI-assisted research summary: The Director may compound an offence by charging up to TZS 200,000 if the offender admits the offence, completes the specified form, and pays any fee or tax owed.
11. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: The 2012 Siha District Council Fees and Charges By-laws are repealed, but older agency contracts continue until they expire or are ended according to law.
12. (1) Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2012 zimefutwa. Kufutwa kwa Tangazo la Serikali Na. la mwaka 2012 (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), mikataba ya uwakala iliyokuwa inatumika kabla ya 5 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) kuanza kutumika kwa Sheria Ndogo hizi itaendelea kutumika hadi pale itakapomaliza muda wake au itakapositishwa kwa mujibu wa sheria. 6 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa Chini ya kifungu cha 4(1)) SEHEMU A KODI YA KUPANGA JENGO NA KUKODI MALI ZA HALMASHAURI NA MATUMIZI YA UKUMBI KIWANGO CHA USHURU KWA SIKU (TSHS)
Part
SEHEMU A
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision lists a hall-rental charge of 70,000/= for seminars of organizations and projects.
1. Kukodi ukumbi kwa ajili ya Semina za mashirika na 70,000/= Miradi - 2 Verify source ↗
Matumizi ya Ukumbi kwa ajili ya asasi za kiraia
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaeleza matumizi ya ukumbi kwa ajili ya asasi za kiraia.
2. Matumizi ya Ukumbi kwa ajili ya asasi za kiraia - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada za vibali vya matangazo ya biashara na sherehe, pamoja na ada za kukodi viti na kuweka matangazo ya muda au vitambaa.
4. Kukodi viti kwa kila Kiti 50,000/= 50,000/= 500/= SEHEMU B ADA YA VIBALI VYA MATANGAZO YA BIASHARA NA SHEREHE NA. AINA YA PROMOSHENI KIWANGO CHA USHURU Biashara ya ndani Biashara ya nje Sanaa za ndani Sanaa za nje Vibali vya Sherehe KWA SIKU T.SHS 80,000/= USD 150 T.SHS 50,000/= USD 200 T.SHS. 50,000/= Kuweka matangazo ya muda au vitambaa T.SHS. 10,000/=
Part
SEHEMU B
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section is a heading for fees and taxes relating to building fences and entertainment areas.
3. 4 5 6 7 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) SEHEMU C ADA YA UZIO WA MAJENGO NA MAENEO YA BURUDANI NA. AINA YA USHURU KIASI CHA USHURU
Part
SEHEMU C
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaweka ada na ushuru kwa shughuli fulani, ikiwemo uzio wa muda, kuzingira maeneo, uzoaji taka ngumu, na ukaguzi wa nyama kwa ng'ombe, mbuzi, na kondoo.
2. Ada ya Uzio wa muda (kwa M2) 2,000/= kwa siku Ada ya kuzingira maeneo 10,000/= kwa siku Ada ya uzoaji taka ngumu 2,000/=kwa mwezi SEHEMU D USHURU WA UKAGUZI WA NYAMA AINA YA MNYAMA/MFUGO KIWANGO CHA USHURU Ng’ombe Mbuzi au Kondoo 3,000/= Kwa Kila Ng’ombe 2,500/= Kwa Kila Mbuzi Na Kondoo
Part
SEHEMU D
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for several permits, construction activities, and leather tax, with amounts shown in Tanzanian shillings.
3. Wanyama wengineo 2,500/= Kwa Kila Mnyama SEHEMU E ADA NA USHURU WA VYANZO MCHANGANYIKO 1 Vibali mbalimbali (i) Vibali vya Disco 10,000/= kwa siku (ii) Vibali vya Klabu za Usiku...........10,000/= (iii) Vibali vya sherehe/semina/mikutano10,000/= (iv) Kibali cha sanaza maonesho na bendi 20,000/= (v) Vibali vya ujenzi Nyumba za makazi 20,000/= Nyumba za makazi na Biashara 40,000/= Nyumba za Biashara 40,000/= 8 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) Jengo la Ghorofa 1-2 100,000/= Jengo la Ghorofa 3 na kuendelea 200,000/= Ujenzi wa shule 200,000/= Minara 1,000,000/= 2 Ushuru wa Ngozi Tshs. 500/= kwa kila Ngozi
Part
SEHEMU E
- 3 Verify source ↗
Waganga wa jadi
AI-assisted research summary: There are annual charges of Tshs 50,000 for traditional healers and Tshs 100,000 for each pool table.
3. Waganga wa jadi Tshs 50,000/= kwa mwaka. waliosajiliwa 4 Pool table Tshs 100,000/= kwa kila pool table kwa mwaka. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Kila sloting machine au mashine ya kamari inalipiwa Tshs 500,000 kwa mwaka kwa kila mashine.
5. Sloting mashine au mashine Tshs 500,000/= kwa mwaka kwa kila mashine. za kamari SEHEMU F USHURU WA MAEGESHO KWENYE MAENEO YA HALMASHAURI
Part
SEHEMU F
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists daily charges for different vehicle categories and introduces a section on business stall tax.
4. Magari mkubwa Magari ya kati Magari madogo Pikipiki Tani 5 na kuendelea Tani 5 Aina zote 1000/= kwa siku 600/= kwa siku 500/= kwa siku 500/= kwa siku SEHEMU G USHURU WA VIBANDA VYA BIASHARA
Part
SEHEMU G
- 1 Verify source ↗
Kuzunguka julio au soko la Halmashauri
AI-assisted research summary: Heading about circling around a council market or market area.
1. Kuzunguka julio au soko la Halmashauri - 2 Verify source ↗
Kuzunguka vituo vya mabasi
AI-assisted research summary: Section 2: Bus station circulation at Pango la Meza in the market.
2. Kuzunguka vituo vya mabasi Pango la meza katika soko la Halmashauri - 4 Verify source ↗
Ushuru wa kizimba
AI-assisted research summary: The text lists monthly kiosk tax amounts and related fee/tax headings, but the applicable categories are not clear in this excerpt.
4. Ushuru wa kizimba 40,000/=kwa mwezi 40,000/= kwa mwezi 5,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi SEHEMU H ADA NA USHURU WA UTALII 9 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.)
Part
SEHEMU H
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya kila safari ya magari yanayobeba watalii imewekwa kwa viwango tofauti kulingana na aina ya gari.
1. 3 4 5 6 Kwa kila war bus au basi ndefu iliyobeba watalii Tshs.20,000/= kwa tripu moja. Kwa kila coaster iliyobeba watalii Tshs.15,000/=kwa kila tripu Kwa kila hiace iliyobeba watalii Tshs.10,000/=kwa kila tripu Kwa kila cruser iliyobeba watalii Tshs.7,500/=kwa kila tripu Gari nyingine au usafiri mwingine Tshs5,000/=kwa kila tripu 10 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) ________ JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 11) HATI YA KUFILILISHA KOSA Mimi ………………………..….....................… mwenye Namba ya Simu …………………………………….ninakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ……………………………………...........……. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwamba tarehe …..… ya mwezi …...…. mwaka …........… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha …… cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2020. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi , niko tayari kulipa kiasi cha shilingi………………………..na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamai. leo tarehe…………………………ya Mwezi……………………Mwaka………… Mbele ya; Jina…………………………cheo………………………. Saini……………………………………… Tarehe………………………………….. 11 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1040 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa kufuata Azimio lililopitishwa na Mkutano wa Halmashauri ulioitishwa na kufanyika 6/3/2019 na imebandikwa mbele ya: NDAKI S. MHULI Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya SIHA GODSON J. NGOMUO Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya SIHA L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB.) 2 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za Mwaka 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in