Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za mwaka, 2020
This section says the by-laws are called the Siha District Council Bus Stand and Vehicle Parking by-laws, apply throughout Siha District Council, and define key terms used in them.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za mwaka, 2020
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section says the by-laws are called the Siha District Council Bus Stand and Vehicle Parking by-laws, apply throughout Siha District Council, and define key terms used in them. This provision defines several terms used for the station levy rules, including “Director,” “station levy,” “wayside stops,” and “yard.” Halmashauri lazima itoe ushuru wa stendi kwa vyombo vyote vya usafiri kwa viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza. Kanuni hizi zinaweka matumizi ya stendi: baadhi ya watumiaji lazima wabaki ndani ya stendi, magari ya abiria yasisimame zaidi ya dakika tano njiani, na wafanyabiashara wadogo wa stendi wajisajili kwa msimamizi mkuu na kupewa vitambulisho. Halmashauri must establish a stand for loading and unloading passengers and goods.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za mwaka, 2020
Showing 7 of 7
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section says the by-laws are called the Siha District Council Bus Stand and Vehicle Parking by-laws, apply throughout Siha District Council, and define key terms used in them.
3. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za mwaka, 2020. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Siha. Katika itakapoelekezwa vinginevyo:- Sheria Ndogo hizi isipokuwa “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi; “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo cha moto au chombo cho chote kinachotumika kusafirishia bidhaa, abiria au mizigo. “Halmashauri” maana yake Halmashauri ya Wilaya ya Siha; “kupiga debe” maana yake ni kushawishi abiria kusafiri kwa kutumia chombo fulani cha usafiri kwa kumshika au kumsongasonga au kushika mzigo wa abiria huyo. “stendi” maana yake 1 ni eneo maalum Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au kupakia na kushusha mizigo. “Stendi ya Halmashauri” maana yake ni stendi kuu ya magari ya abiria ndani ya Wilaya; “maegesho ya magari” maana yake ni eneo ndani ya stendi ya Halmashauri linalotumika kuegesha au kulaza chombo cha usafiri. “muda wa kawaida” maana yake ni kuanzia saa - 12 Verify source ↗
00 alfajiri mpaka saa 2:00 usiku
AI-assisted research summary: This provision defines several terms used for the station levy rules, including “Director,” “station levy,” “wayside stops,” and “yard.”
12.00 alfajiri mpaka saa 2:00 usiku; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri au Afisa ye yote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru wa stendi” maana yake ni ushuru unaotozwa na Halmashauri kwa chombo cha usafiri au kushusha abiria, au kupakia na kushusha mizigo katika eneo la stendi; kinachopakia kinachopita, “vituo vya njiani” maana yake ni vituo vyote vilivyopo barabara vinavyotumika kupakia na kushusha abiria ambavyo siyo stendi; pembeni ya “Yadi” maana yake ni eneo lililotengwa kwa ajili ya kuhifadhi vyombo vya usafiri. Ushuru wa Stendi - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe ushuru wa stendi kwa vyombo vyote vya usafiri kwa viwango vilivyo kwenye Jedwali la Kwanza.
4. (1) Halmashauri itatoza ushuru wa stendi kwa vyombo vyote vya usafiri kwa mujibu wa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Kila mtu au chombo cha usafiri kinachoingia katika eneo la stendi kinatakiwa kulipiwa ushuru wa stendi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kinapoingia katika eneo la stendi, au kwa siku au itakavyoona kwa mwezi kadri Halmashauri 2 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) Matumizi ya stendi - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Kanuni hizi zinaweka matumizi ya stendi: baadhi ya watumiaji lazima wabaki ndani ya stendi, magari ya abiria yasisimame zaidi ya dakika tano njiani, na wafanyabiashara wadogo wa stendi wajisajili kwa msimamizi mkuu na kupewa vitambulisho.
6. inafaa. (3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1) na (2) cha Sheria Ndogo hizi, vyombo vya usafiri vinavyomilikiliwa na Serikali, za kidiplomasia, majeshi, na magari ya kubeba wagonjwa havitatozwa ushuru wa stendi. taasisi (1) Itakuwa ni wajibu kwa mtu ye yote anayefanya biashara ya kusafirisha abiria, kupakia na kushusha abiria au mizigo yao katika eneo la stendi tu. (2) (3) (4) (5) (6) Isipokuwa kwa kibali cha Halmashauri muda wa kutumia stendi utakuwa kuanzia saa kumi na mbili (12:00) asubuhi mpaka saa mbili kamili (2:00) usiku. Magari yote yanayofanya biashara ya usafirishaji ndani ya Halmashauri safari zake zitaanzia kwenye stendi zilizoanzishwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi isipokua kwa magari yanayopita kutoka maeneo mengine ya nje ya Halmashauri. Magari ya abiria hayataruhusiwa kusimama kwa zaidi ya dakika tano katika vituo vya njiani. Gari la abiria au gari la mizigo halitaruhusiwa kukaa katika eneo la stendi kwa muda unaozidi masaa mawili. Halmashauri itatenga eneo maalum ndani ya eneo la stendi kwa ajili ya kupakia au kushusha mizigo. (1) Wafanyabiashara wa biashara ndogondogo katika eneo la stendi watatakiwa kujisajili kwa msimamizi mkuu wa stendi na kupatiwa vitambulisho. (2) Itakuwa ni marufuku kwa mtu ye yote kupiga debe au kufanya jambo lo lote ambalo ni 3 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) kinyume na matumizi ya kawaida ya stendi. Uanzishaji wa Stendi - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri must establish a stand for loading and unloading passengers and goods.
7. (1) Halmashauri itaanzisha stendi itakayotumika kupakia au kushusha abiria na mizigo. (2) (3) kifungu kuathiri Bila (1), Halmashauri inaweza kutumia stendi zake kama maegesho ya magari au sehemu ya kulaza magari ya watu binafsi kadri itakavyoona inafaa. kidogo cha Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri inaweza kuanzisha stendi ndogo katika maeneo ya vijiji au miji midogo kadri Halmashauri itakavyoona inafaa. Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kukamata na kuondoa gari au chombo kinachopakia au kushusha abiria nje ya stendi, na Halmashauri inaweza kuuza chombo kilichokamatwa baada ya idhini ya Mahakama ikiwa mmiliki hashindi kulipa gharama ndani ya siku 14.
8. (1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kukamata na kuondoa chombo cha usafiri ambacho kitapakia au kushusha abiria nje ya eneo la stendi au mmiliki au dereva wa chombo hicho atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi. (2) (3) (4) Chombo cha usafiri kilichokamatwa kwa mujibu wa masharti ya kifungu kidogo cha (1) kitaondolewa na kuhifadhiwa kwenye Yadi ya Halmashauri sehemu yo yote kama au itakavyoamriwa na Mkurugenzi. Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuuza chombo kilichokamatwa baada ya kupata idhini ya Mahakama endapo mmiliki wa chombo hicho atashindwa kulipa gharama za uangalizi pamoja na gharama za kukamata ndani ya siku 14 tangu tarehe ya kukamatwa. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa kwenye kifungu kidogo cha (3) Halmashauri kabla ya kuuza chombo kilichokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya maandishi kwa umma juu ya kusudio la kuuza chombo hicho. (5) Halmashauri haitawajibika na hasara yo yote na kwa namna yo yote ile itakayotokea wakati wa 4 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) kukamata au kushikilia mali iliyokamatwa isipokuwa kuwa Halmashauri ilitumia mamlaka yake kinyume na sheria. itakapobainika pale Makosa
Part
sehemu yo yote kama
- 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anatendwa kosa akikataa kulipa ushuru wa stendi au akifanya vitendo vingine vilivyotajwa; adhabu ni faini, kifungo, au vyote kwa pamoja, na Mkurugenzi anaweza kufililisha kosa kwa masharti yaliyotajwa.
9. Itakuwa ni kosa kwa mtu ye yote endapo:- (a) atakataa au atashindwa kulipa ushuru wa stendi; (b) (c) atamshawishi mtu yeyote au kundi la watu kukataa kulipa ushuru wa stendi; atapakia au atashusha abiria au mizigo katika eneo ambalo siyo stendi au eneo lililotengwa kwa ajili hiyo; (d) atapiga debe katika eneo la stendi; (e) (f) (g) atafanya matengenezo au kuosha gari katika eneo la stendi; atalaza gari lake au chombo kingine cha usafiri katika eneo la stendi; atauza chakula au vinywaji au bidhaa nyingine bila kusajiliwa; (h) ataanzisha stendi kinyume cha sheria. Mtu ye yote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote kwa pamoja. Bila ya kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hizi, Mkurugenzi atakuwa na madaraka ya kufililisha kosa kwa kumtaka mtu aliyekiri kufanya kosa chini ya 5 Adhabu 1 Kufililisha kosa 1 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) Sheria Ndogo hizi kulipa kiasi cha shilingi laki mbili na kujaza fomu iliyoainishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. 6 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) _______ JEDWALI LA KWANZA ________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 4(1)) ________ SEHEMU YA KWANZA USHURU WA STENDI (VYOMBO VYA KUSAFIRISHA ABIRIA) Na Aina ya Chombo Ushuru Tshs Muda wa kawaida Idadi 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Basi lenye uwezo abiria 5-15 500/= Kila inapotoka Basi lenye uwezo wa abiria 16-25 Basi kubwa zaidi ya abiria 26-35 1000/= 1000/= Kila inapotoka Kila inapotoka Basi kubwa lenye uwezo wa abiria zaidi ya 35 2000/= Kila linapotoka Tax Pikipiki ya magurudumu mawili Pikipiki ya magurudumu matatu Noah Gari lo lote dogo lisilotajwa hapo juu 500/= 200/= 300/= 500/= 700/= Kila inapotoka Kila inapotoka Kila inapotoka Kila inapotoka Kwa inapotoka USHURU WA STENDI (KUEGESHA AU KULAZA CHOMBO CHA USAFIRI) SEHEMU YA PILI Na Aina ya Chombo 1 2 Basi lenye uwezo abiria 5-15 Basi lenye uwezo wa abiria 16-25 Ushuru Tshs Muda wa kawaida 1,000/= 1,500/= 7 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) 3 4 5 6 7 8 Basi kubwa zaidi ya abiria 26-35 Tax Pikipiki ya magurudumu mawili Pikipiki ya magurudumu matatu Noah Gari lolote dogo lisilotajwa hapo juu 2,000/= 1,000/= 300/= 500/= 800/= 700/= SEHEMU YA TATU USHURU WA STENDI (VYOMBO VYA KUSAFIRISHA MIZIGO) Na Aina ya Gari 1 Basi dogo tani 1-5 Ushuru Tshs Muda wa Kawaida 500/= Ushuru Tshs Usiku 1,000/= Idadi kwa siku 2 Gari dogo abiria 6-10 1,000/= 2,000/= kwa siku 3 Gari dogo zaidi 11 2,000/= 3,000/= kwa siku 4 Guta 300/= - kwa siku 5 Ushuru wa mitambo ya ujenzi 5000/= 10,000/= Kwa siku au kilimo 8 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) _________ JEDWALI LA PILI ___________ ________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 11) _________ HATI YA KUFILILISHA KOSA Mimi.....................................................................................nakiri YANGU MWENYEWE mbele ya ...............................................ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri tarehe..........ya Siha mwezi.......................mwaka...........................nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha..............................cha Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na maegesho ya magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za mwaka 2020. kwamba Wilaya HIARI KWA ya ya Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, nipo teyari kulipa kiasi cha faini cha shilingi laki mbili na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAEELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe.....................ya mwezi.........................mwaka...................................... Jina.................................................... Saini........................................................... Mbele ya: Jina:................................................Cheo:............................................ Saini..................................................................................................... 9 Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1041 (linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa kufuata azimio lililopitishwa na Mkutano wa Halmashauri ulioitishwa na kufanyika tarehe 06 mwezi 03 mwaka 2019 na imebandikwa mbele ya:- NDAKI S. MHULI Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya SIHA GODSON J. NGOMUO Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya SIHA L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB.) 2 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 10
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo za Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Magari za Halmashauri ya Wilaya ya Siha za mwaka, 2020
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in