AI-assisted research summary: Anyone who undertakes the listed construction-minerals conduct commits an offence, and the Director may compound the offence for TZS 200,000 if the offender admits voluntarily and uses the prescribed form.
11. Mtu yeyote ambaye: (a) ataanzisha machimbo ya madini ya ujenzi bila kuwa na kibali kilichotolewa chini ya Sheria Ndogo hizi; (b) atasafirisha madini ya ujenzi bila kulipa ushuru; (c) atachimba madini ya ujenzi kabla au baada ya muda ulioruhusiwa kuchimba; (d) atasafirisha madini ya ujenzi katika gari ambalo halijafunikwa; au (e) atamshawishi mtu au kundi la watu kutolipa ushuru, atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kizichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo shilingi milioni moja au Kufililisha kosa 12. Mkurugenzi anaweza kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yoyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hizi kiasi cha laki mbili iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa fomu maalum tayari kujaza iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kuwa tayari kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. 5 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1043 (linaendelea) __________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa Chini ya Kifungu cha 6) USHURU WA MADINI YA UJENZI S/Na Aina ya madini 1 2 3 4 5 6 7 8 Gari la Mchanga chini ya tani saba (7) Gari la Mchanga tani saba (7) au zaidi Gari la kokoto chini ya tani saba (7) Gari la kokoto tani saba (7) au zaid Gari la kifusi chini ya tani saba (7) Gari la kifusi tani saba (7) au zaidi Gari la mawe chini ya tani saba (7) Gari la mawe tani saba (7) au zaidi Ushuru kwa kila tripu 2,000/= 3,000/= 3,000/= 5,000/= 3,000/= 5,000/= 3,000/= 5,000/= 6 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1043 (linaendelea) _________ JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa Chini ya Kifungu cha 12) HATI YA KUFIFILISHA KOSA yangu Mimi………………………………………………………………..nakiri mwenyewe mbele ya…………………………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwamba Tarehe……ya Mwezi……………..Mwaka ………….nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha ………………………cha Sheria Ndogo za Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi za Halmashauri ya Wilaya Siha za Mwaka 2020. hiari kwa Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri niko tayari kulipa kiasi cha shilingi laki mbili na kutimiza wajibu wangu kwa mujibu wa Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo Tarehe…………………ya Mwezi…………………Mwaka……………………….. Jina………………………………….. Saini…………………………………. Mbele ya: Jina……………………………………….. Cheo……………………………………… Saini……………………………………… 7 Sheria Ndogo za Ada na Ushuru wa Madini ya Ujenzi za Halmashauri ya Wilaya ya Siha Tangazo la Serikali Na. 1043 (linaendelea) Nembo ya Halmashauri ya Wilaya imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio lililopitishwa katika Kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Siha kilichofanyika tarehe 6/3/2019. NDAKI S. MHULI Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya SIHA GODSON J. NGOMUO Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya SIHA L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI S. JAFO (MB.) 2 Novemba, 2020 WN-OR-TAMISEMI 8