22.-(1) Kanuni (Uchunguzi wa Afya) zinafutwa. za Usafirishaji Majini (2) Bila kujali kanuni ndogo ya (1), cheti cha utimamu wa afya kilichotolewa kwa baharia au nahodha chini ya Kanuni za Usafirishaji Majini (Uchunguzi wa Afya) kitaendelea kutumika hadi tarehe ya mwisho ya kutumika kama ilivyoainishwa kwenye cheti. 12 Kanuni za Usafiri Majini za Uchunguzi wa Afya Tangazo la Serikali Na.336 (linaendelea) JAMUHURI YA MUUNGANO WA _________________ TANZANIA JEDWALI LA KWANZA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI __________________ TANZANIATANZANIA JEDWALI LA KWANZA TASAC _________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 9(3)) CHETI CHA UTIMAMU WA AFYA Cheti hiki kimetolewa kwa kuzingatia: (a) Kanuni za Usafiri Majini (Mafunzo, Utoaji Vyeti na Idadi na Sifa za Wafanyakazi Melini), TS. Na. 243/ 2016; (b) Kanuni za Usafiri Majini (Uchunguzi wa Afya), 2023; (c) Kanuni za Usafiri Majini (Ajira za Mabaharia), TS. Na. 228/2022; (d) Kanuni ya I/9 ya Mkataba wa Kimataifa wa Viwango vya Mafunzo, Utoaji Vyeti na Ufanyaji Kazi Melini kwa Mabaharia 1978, kama ilivyorekebishwa (STCW); (e) Kanuni ya 1.2 ya Mkataba wa Kimataifa wa Ajira za Mabaharia (MLC,2006). Taarifa za Baharia au Nahodha: Jina la Ukoo……………………. Jina la Kwanza…………………………Jina la Kati……………………… Tarehe ya Kuzaliwa (Siku/Mwezi/Mwaka …./…./….Jinsia: Me Makazi ya Kudumu: Ke …………………………………………………………………………………… Aina ya Kitambulisho:……...........................…………….. Na.: ……………. Utaifa: ………………………........ Idara: Injini Sitaha Upishi Nyinginezo (Ainisha): ………….................... Nimemkagua mwombaji aliyetajwa hapo juu kulingana na viwango vya utimamu wa afya vya baharia na mahitaji ya uthibitisho yaliyowekwa kwa mujibu wa masharti ya kanuni I/9 ya Mkataba wa STCW wa 1978 kama ulivyorekebishwa na kanuni ya 1.2 ya Mkataba wa Ajira za Mabaharia wa 2006 kama ilivyorekebishwa. Kwa msingi wa tamko binafsi la mwombaji, uchunguzi wangu wa afya na matokeo ya vipimo vya afya vilivyoandikwa kwenye fomu ya uchunguzi wa matibabu, ninathibitisha kuwa mwombaji kwa mujibu wa maombi aliyoleta: Anafaa: Hafai: Kwa masharti:........................................................................................................ Maelezo ya Masharti.............................................................................................. 13 Kanuni za Usafiri Majini za Uchunguzi wa Afya Tangazo la Serikali Na.336 (linaendelea) Tiba inayopendekezwa:......................................................................................... Nathibitisha yafuatayo: (Weka tiki inapostahili: Uoni: Uwezo wa kuona: Ndio Lensi za mawasiliano Hapana Miwani Msaada wa uono Maoni ya rangi: Ndio Hapana Tarehe ya mwisho ya kipimo cha kiwango cha uonaji: ………………………Mwezi………………., 20……… (Zingatia: kipimo cha uonaji rangi hakihitajiki kwa vyeti vya kitaifa vya uhandisi) Usikivu: Ndio Hapana Majukumu ya kuangalia usalama (Idara ya Sitaha pekee): Ndio Hapana Uwezo wa kusikia: Ndio Hapana Wakuridhisha Usaidizi wa kusikia: Ndio Hapana Uwezo wa kuangalia usalama: Ndio Hapana Majukumu ya kuridhisha: ………………………………………………………………………………… Tarehe ya uchunguzi: …..……/..………/……………… Sehemu ya 14 Kanuni za Usafiri Majini za Uchunguzi wa Afya Tangazo la Serikali Na.336 (linaendelea) uchunguzi………………………………… Tarehe ya ukomo wa cheti: ………/…………/…………… Jina la Daktari: ………………………………………………………………………….................. Sahihi ya Daktari: ……………………………………... Muhuri wa moto: ............................................................ Ninakiri kwamba nimeshauriwa kuhusu maudhui ya taarifa ya uchunguzi wa afya na haki yangu ya kutafuta mapitio ya maudhui ya cheti hiki. Katika kipindi cha mabadiliko ya hali yangu ya afya, ninakubali uhalali wa cheti kupitiwa upya na Daktari. Sahihi ya mwombaji: ………………………… (imesainiwa mbele ya Daktari) JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI _______________ SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA JEDWALI LA TATU ________________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 21(1)) TSC-DMSE-SMERRF FOMU YA MAOMBI YA MAPITIO YA UCHUNGUZI WA AFYA KWA BAHARIA A. TAARIFA ZA MUOMBAJI Namba ya Hati ya Kusafiria Na. / CDC Na. (Kitabu cha Kushuka Melini) Tarehe ya kuzaliwa ...................................................................................................................... TR...........MZ...........MK................. Jina kamili Bw./ Bibi./Bi.: .............................................................................................................. ............................. Mahali pa kuzaliwa: Wilaya:..........................................Mkoa:............................Uraia:........................... Anuani ya kudumu (kwa mawasiliano) Mtaa:........................................ Na. Ya Mkazi:........................... S.L.P………………… Mji/Jiji……………………….. 15 Kanuni za Usafiri Majini za Uchunguzi wa Afya Tangazo la Serikali Na.336 (linaendelea) Anuani ya kupokelea (kama ni tofauti) …………………………………………………………………………………………… ……………………………….. Namba za Simu: ……………………………………………………. Barua pepe: ……………………………………………………. B. UCHUNGUZI WA KAZI ATAKAYOFANYA: (weka tiki inapostahili) Sitaha Injini Upishi Mengineyo (ainisha): …………………………………………………………………………………………… ……… Tarehe ulipofanyika uchunguzi wa afya unaombewa marejeo: …………………………………………………………………………………………… ……………………………….. SAHIHI YA MWOMBAJI NA PICHA Tafadhali tumia kalamu ya wino mweusi Sahihi Picha C. SABABU ZA UCHUNGUZI MWINGINE Tafadhali onesha hapa chini sababu za marejeo ya uchunguzi, ambatisha nyaraka zinazohusika. Sababu:…………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………… D. TAMKO Nathibitisha kwamba taarifa nilizozitoa katika ombi hili la uchunguzi mwingine ni za kweli na zimekamilika. Nathibitisha kuwa nyaraka nilizowasilisha ni halisi, na Ninaelewa kuwa ombi langu la kufanyiwa uchunguzi mwingine halihitaji malipo kwa kila matokeo au uamuzi unaopitiwa. Sahihi ya mwombaji: ……………………………………………… Tarehe: …………………………………............................................. Kumb.: Majibu ya uchunguzi mwingine yatatolewa na mamlaka ndani ya siku kumi na nne tangu kutumwa kwa maombi. E. MAONI YA DAKTARI MWAMUZI Maoni: ………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………… 16 Kanuni za Usafiri Majini za Uchunguzi wa Afya Tangazo la Serikali Na.336 (linaendelea) ………………………………………………….. ……………………………………. Jina Wadhifa …………..……………………… …………………… Sahihi Tarehe F. KWA MATUMIZI YA OFISI SEHEMU A: UTHIBITISHO WA AFISA Maoni: ……………………………………………………………………………………… ………………………………………………………………………………………………… ……………………… ………………………… Sahihi Tarehe SEHEMU B: MAPENDEKEZO YA MENEJA WA MABAHARIA Maombi haya yamepitishwa hayajapitishwa Maoni: …………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………… ……………………… ………………………… Sahihi Tarehe SEHEMU C: KIBALI CHA MSAJILI Maombi haya yameidhinishwa hayajaidhinishwa Maoni: ………………….............................……………………………………................. …………………………………………………………………………………….. Dodoma MAKAME M. MBARAWA 20 April, 2023 Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi 17