Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi
This section gives the short title of the order and shows it concerns amended charges for water supply and environmental sanitation services in Mpwapwa.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the short title of the order and shows it concerns amended charges for water supply and environmental sanitation services in Mpwapwa. The prices for clean water and sanitation services for Mpwapwa WSSA are revised as set out in the First Schedule. Mpwapwa WSSA must meet several conditions, including filing proofs and plans with EWURA by 30 June 2023, serving the Chiemnye housing project, collecting and remitting the regulatory levy, and reporting on performance and finances. This section repeals the 2018 Price Order. 34.6 1,250 25 1,448 1,450 1,510 29 1,925
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi
Showing 8 of 8
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya
AI-assisted research summary: This section gives the short title of the order and shows it concerns amended charges for water supply and environmental sanitation services in Mpwapwa.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya Mwaka 2023. Marekebisho ya bei - 2 Verify source ↗
Bei za maji safi na usafi wa mazingira za
AI-assisted research summary: The prices for clean water and sanitation services for Mpwapwa WSSA are revised as set out in the First Schedule.
2. Bei za maji safi na usafi wa mazingira za Mpwapwa WSSA zinarekebishwa kama zilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Masharti - 3 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti
AI-assisted research summary: Mpwapwa WSSA must meet several conditions, including filing proofs and plans with EWURA by 30 June 2023, serving the Chiemnye housing project, collecting and remitting the regulatory levy, and reporting on performance and finances.
3. Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti yafuatayo: (a) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023, Mpwapwa WSSA itawasilisha uthibitisho kwa EWURA kwamba imewajulisha wateja wake juu ya Amri h ii yabei mpya za huduma ya maji na imetoa elimu kwa wateja wake ikiwemo serikali, wanasiasa na wawakilishi wa taasisi za dini juu ya utekelezaji wa Amri ya Bei mpya; (b) mnamo au kabla ya tarehe 30 Juni 2023 MpwapwaWSSA itawasilisha EWURA mpango 1 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) Sura ya 414 T. S Na. 420 2021 la mwaka wake wa biashara uliopitiwa upya kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hii; (c) MpwapwaWSSA itahakikisah kuwa inafikisha huduma ya maji katika mradi mpya wa makazi wa viwanja 1000 uliopo eneo la Chiemnye kabla ya tarehe 30 Juni 2023; (d) Mnamo au kabla ya 30 Juni, 2023 Mpwapwa WSSA, iandae na kuwasilisha EWURA mpango wa kuwafikia wateja wake kwa lengo la kutoa elimu juu ya huduma za maji; (e) MpwapwaWSSA ihakikishe kuwa inazingatia matakwa ya kifungu cha 43 cha sheria ya EWURA na Kanuni Na. 5 ya Kanuni za EWURA (Utaratibu wa Kukusanya Ada na Tozo) za kukusanya tozo ya udhibiti na kuiwasilisha EWURA; (f) Mpwapwa WSSA kwa kutumia mapato yatokanayo na bei zilizoidhinishwa, itatekeleza miradi iliyoaiinishwa katika Jedwali la Pili; (g) MpwapwaWSSA itahakikisha inafikia viashiria vya kiutendaji vilivyoainishwa katika Jedwali la Tatu; (h) Mpwapwa WSSA kwa kila mwaka kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Amri ya Bei na kila kifungu fedha cha gharama katika mahitaji ya yaliyoainishwa katika Jedwali la Nne; (i) Mpwapwa WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Mpwapwa WSSA ikilinganishwa na mamlaka nyingine za maji safi na usafi wa mazingira na uboreshaji wa huduma zake. EWURA itazingatia tathmini hii katika kufanya 2 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) maamuzi ya maombi yote yatakayowasilishwa na Mpwapwa WSSA katika maombi ya marekebisho ya Bei ya siku zijazo.
Part
sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya mwaka
- 4 Verify source ↗
Amri hii inafuta Amri ya Bei ya mwaka 2018
AI-assisted research summary: This section repeals the 2018 Price Order.
4. Amri hii inafuta Amri ya Bei ya mwaka 2018. Kufutwa kwa Amri ya Bei TS. Na. 798 la mwaka 2018. _______ JEDWALI LA KWANZA _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Customer Category Bei za sasa Bei Zilizoidhinishwa 2022/23 2023/24 2024/25 Shilingi/m3 Shilingi/lita 20 Shilingi/m3 Shilingi/lita 20 Shilingi/m3 Shilingi/lita 20 Shilingi/m3 Shilingi/lita 20 Shilingi/m3 Shilingi/lita 20 Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati Wastani 1,430
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 34
AI-assisted research summary: 34.6 1,250 25 1,448 1,450 1,510 29 1,925
34.6 1,250 25 1,448 1,450 1,510 29 1,925 - 21
AI-assisted research summary: This provision sets approved Mpwapwa WSSA water-service fees and related project and performance tables.
21.8 1,000 20 660 3 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 Asilimia 20 ya gharama za maunganisho na nguvu kazi kama ilivyobainishwa katika kufungu cha 7(f) Kanuni za Maji za mwaka 2019. Ada Zilizoidhinishwa 2022/23 2023/24 2024/25 15,000 15,000 15,000 15,000 Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2021/22 20,000 25,000 25,000 25,000 2022/23 2024/25 Ada Zilizoidhinishwa 2023/24 15,000 15,000 15,000 15,000 _________ JEDWALI LA PILI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(f)) __________ MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA (Shilingi) Maelezo Na . 2022/2023 2023/2024 2024/2025 - - - 65,000,000 90,000,000 - 65,000,000 40,000,000 35,000,000 Utunzaji wa vyanzo vya maji huko Mayawile - ujenzi wa uzio Ujenzi wa gabion (Ukingo) mita 224 kwa Kikombo pandembili za mto – Kikombo upande 1 Ujenzi wa gabion (Ukingo) mita 224 kwa Kikombo pandembili za mto – Kikombo upande 2 Kuweka upya nyaya za umeme kwenye kituo cha Mji Mpya 1 Kuweka upya nyaya za umeme kwenye Mji Mpya 3 Ununuzi wa ardhi kwa ajili ya kumwaga majitaka Utafiti wa upembuzi yakinifu na 40,000,000 - - 4 6,500,000 6,500,000 - 20,000,000 30,000,000 - - - Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) Maelezo Na . muundo wa mtambo wa maji taka Ujenzi wa tanki eneo la Ndenje 200m³ Kununua mita za maji 617 za ¾” za daraja C kwa ajili ya kubadilisha (mita 5 mwaka 2022/23, mita 10 mwaka 2023/24 na mita 10 mwaka 2024/25) Kununua na kufunga mita mpya za maji 2000 za ¾” za daraja C kwa viunganishi vipya (mita 200 mwaka 2022/23, mita 1000 mwaka 2023/24 na mita 800 mwaka 2024/25) Kununua na kubadilisha mita 50 za maji za inchi 1 daraja C (mita 15 mwaka 2022/23, mita 15 mwaka 2023/24 na mita 20 mwaka 2024/25) Kununua na kufunga mita mpya za maji 25 za 1” za daraja C kwa viunganishi vipya (mita 5 mwaka 2022/23, mita 10 mwaka 2023/24 na mita 10 mwaka 2024/25) Kununua mita mbili (2) za maji kwa wingi inchi 3 mwaka 2022/23 Kununua mita mbili (2) za maji kwa wingi za inchi 4 mwaka 2022/23 Kununua mita mbili (2) za maji kwa wingi inchi 6 mwaka 2022/23 Kununua pampu yanyongeza ya ugavi ya 22kw, kichwa =80 Kununua nyongeza ya Ving’awe ya 22kva Kununua jenereta kwa matumizi ya ofisi ya 5kva Kununua Projector kwa madhumuni mafunzo ya na mikutano, (HD Wi-Fi shughulinyingine projector Philips Neo Pix Easy 2 projector) Kununua kompyuta mpakato 5 mpya Kununua kompyuta mpya tano (5) za mezani Kununua na Kubadilisha kompyuta za jenereta kwa pampu ya 5 2022/2023 2023/2024 2024/2025 100,000,00 0 20,134,400 36,775,482 18,102,436 100,000,00 0 25,168,000 130,873,60 0 108,886,83 5 2,340,000 2,433,600 2,193,485 780,000 1,622,400 1,687,296 700,000 900,000 1,600,000 35,000,000 - - - - - - - - - - 25,000,000 3,000,000 - - 1,800,000 - - - - - - 26,000,000 7,500,000 3,000,000 - Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) Maelezo Na . 2022/2023 2023/2024 2024/2025 Eneo-kazi Kununua na kubadilisha Laptop (FM) Kununua na kubadilisha Laptop (CM&MD) Kununua na kubadilisha Printer Kununua na kubadilisha Kifuatiliaji cha Kompyuta Kununua na kubadilisha UPS Kununua na kubadilisha Vifaa vya Kompyuta Kununua na kubadilisha picha moja na Pickup Hilux Bombadier Kununua na kubadilisha pikipiki moja Kununua na kubadilisha pikipiki ya magurudumu matatu Kununua na kubadilisha baiskeli mbili Kubadilisha bomba za urefu wa mita 600 za njia kuu za upitishaji zilizochelewa Kubadilisha mota (motor) na pampu yenye uwezo wa juu zaidi katika Kituo cha Kusukuma cha Kikombo1 Kubadilisha motor katika Kituo cha Kusukuma cha Kikombo2 Kubadilisha mota (motor) kwenye Kituo cha Kusukuma maji cha Mji Mpya1 Kubadilisha mota (motor) katika Kituo cha Kusukuma maji cha Mji Mpya2 Kunua na kubadilisha viti vya ofisi (viti 10 kila mwaka) Kununua na kubadilisha meza za ofisi (meza 5 mwaka 2022/23, majedwali 3 mwaka 2023/24 na majedwali 3 mwaka 2024/25) Kununua na kubadilisha viti vya spring 2 kila mwaka Kununua samani mpya za ofisi: meza 6 za ofisi, meza tatu (3) za mikutano na viti 16 3,000,000 6,000,000 3,000,000 1,500,000 2,400,000 10,500,000 - - - - - - - - - - - - - - 135,000,00 0 - - 9,000,000 - - 10,000,000 - - 200,000 12,000,000 12,480,000 - 52,000,000 - 8,000,000 5,000,000 5,000,000 - - - - - - - 2,700,000 2,808,000 2,920,320 3,000,000 1,872,000 1,946,880 100,000 104,000 108,160 15,000,000 - - TOTAL 262,822,40 544,269,08 652,045,41 6 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) Maelezo Na . 2022/2023 2023/2024 2024/2025 0 2 2 __________ JEDWALI LA TATU __________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(g)) __________ VIASHIRIA VYA UTENDAJI Maelezo Kizio Lengo la Utendaji Upotevu wa Maji Maunganisho Mapya Ufanisi wa Ukusanyaji wa Mapato (bila malimbikizo) % % Kiasi cha watu kilichofikwa na Huduma % Kiasi cha watu wanaohudumiwa moja kwa moja % Na. __________ JEDWALI LA NNE __________ 2022/23 2023/24 2024/25 28 1000 85 90% 75% 25 800 95 95% 85% 30 200 80 85% 72% (Limetengenezwa chini ya aya ya 3(h)) __________ MAHITAJI YA FEDHA YALIYOIDHINISHWA (Shilingi Milioni) Maelezo Gharama za Uzalishaji Gharama za Usambazaji Gharama za Matengenezo Gharama za Kiutumishi Gharama za Kiutawala Gharama za Matangazo Gharama za Matukio na uchangiaji Gharama za Fedha Jumla ya Matumizi ya Kawaida Gharama za Uchakavu Uwekezaji Mdogo Jumla ya Mapato 2022/23 2023/24 2024/25
Part
JEDWALI LA NNE
- 411
AI-assisted research summary: This provision appears to revise water service pricing and remove certain revenue items.
411.57 2,297.99 7 Amri ya Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa Wssa) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi Na Usafi wa Mazingira Tangazo La Serikali Na. 341 (linaendelea) Ondoa: Mapato ya Maunganisho mapya Ondoa: Mapato ya kurejeshewa huduma Ondoa: Mapato ya kuuza mabomba ya maunganisho mapya RR from Water Sales - 20
AI-assisted research summary: 20.39 1,207.99 1,994.32 2,254.55 Dodoma, ............., 2023 JAMES A. MWAINYEKULE Mkurugenzi Mkuu 8
20.39 1,207.99 1,994.32 2,254.55 Dodoma, ............., 2023 JAMES A. MWAINYEKULE Mkurugenzi Mkuu 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpwapwa (Mpwapwa WSSA) ya Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in