Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya mwaka, 2023
This notice is titled the Notice of Intention to Publish Mandatory Standards, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya mwaka, 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This notice is titled the Notice of Intention to Publish Mandatory Standards, 2023. Shirika linaeleza kuwa linakusudia kupendekeza kwa Waziri kutangazwa kwa viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali. Mtu yeyote mwenye pingamizi kuhusu viwango vilivyoorodheshwa kwenye Jedwali anaweza kuwasilisha pingamizi kwa maandishi katika Ofisi ya Shirika ndani ya siku 60 kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii. This section refers to requirements for food-contact packaging products and quality requirements for dry mrehani. Sehemu hii inaorodhesha matakwa ya ubora wa bidhaa mbalimbali za chakula na bidhaa zinazohusiana, na inaonyesha kuwa baadhi ya viwango hivi ni lazima.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya mwaka, 2023
Showing 20 of 20
- 1 Verify source ↗
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio
AI-assisted research summary: This notice is titled the Notice of Intention to Publish Mandatory Standards, 2023.
1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya mwaka, 2023. Kusudio la kutangazwa kwa viwango Pingamizi - 2 Verify source ↗
Umma
AI-assisted research summary: Shirika linaeleza kuwa linakusudia kupendekeza kwa Waziri kutangazwa kwa viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali.
2. Umma kuwa Shirika linakusudia kupendekeza kwa Waziri kutangazwa kwa viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali. unaanataarifiwa lolote - 3 Verify source ↗
Mtu yeyote mwenye pingamizi
AI-assisted research summary: Mtu yeyote mwenye pingamizi kuhusu viwango vilivyoorodheshwa kwenye Jedwali anaweza kuwasilisha pingamizi kwa maandishi katika Ofisi ya Shirika ndani ya siku 60 kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii.
3. Mtu yeyote mwenye pingamizi kuhusiana na viwango vilivyoainishwa kwenye Jedwali anaweza kuwasilisha pingamizi hilo kwa maandishi katika Ofisi ya Shirika ndani ya siku sitini kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa Notisi hii. 1 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) ___________ Na. Namba ya kiwango
Part
JEDWALI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section refers to requirements for food-contact packaging products and quality requirements for dry mrehani.
2. TZS 3383/ISO 11163:1995 Jina Aina Bidhaa za kufungashia ambazo zinashika chakula- matakwa. Matakwa ya ubora wa mrehani mkavu. Lazima Lazima TZS 3393 TZS 3394 TZS 3395 TZS 3391 - 18 Verify source ↗
TZS 3409
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha matakwa ya ubora wa bidhaa mbalimbali za chakula na bidhaa zinazohusiana, na inaonyesha kuwa baadhi ya viwango hivi ni lazima.
18. TZS 3409 ya Matakwa ya ubora wa unga wa muhogo uliochanganywa na mtama. Matakwa ya ubora wa unga wa viazi lishe. unga Matakwa mchanganyiko wa viazi lishe,mtama na soya. Matakwa ya ubora wa mchanganyiko wa swaumu tangawizi kisichokikavu. Matakwa ya ubora wa mafuta ya pilipili. ubora wa kitunguu na tangawizi Matakwa ya ubora wa isiyokavu. Matakwa ya ubora wa kitunguu swaumu isiyokavu. Matakwa ya mchanganyiko isiyokavu. Matakwa ya Ubora ya Sukari ya Kahawia. Matakwa ya Ubora ya Sukari laini. ubora wa viungo Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Matakwa ya Ubora ya Asali ya viungo. Lazima Mbegu za alizeti kwa ajili ya kukamua mafuta-Matakwa. Unga wa mbegu za maboga-Matakwa. Lazima Lazima Mbegu za haradali kwa ajili ya kukamua mafuta-Matakwa. Lazima Jozi Karanga – Matakwa. Lazima Kinywaji cha kahawa – matakwa. Lazima 2 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) - 27 Verify source ↗
TZS 3478
AI-assisted research summary: This provision appears to be a citation or reference string only.
27. TZS 3478 TZS 3361-4/ISO 24516- 4:2019 - 33 Verify source ↗
TZS 3476-1
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango na mada mbalimbali zinazohusiana na vyakula, chai, tangawizi, na mifumo ya maji.
33. TZS 3476-1 Kreama (Mbadala wa maziwa). Lazima Vigezo na njia za vipimo vya Asufi. Lazima Vigezo vya chai ya papo hapo. Lazima Vigezo vya chai nyeusi yenye ladha. Lazima Vigezo vya Chai ya kijani. Kamusi ya maneno katika biashara ya chai. Vigezo vya Chai nyeusi. Msamiati wa chai ya kijani. Lazima Lazima Lazima Lazima Matakwa ya ubora wa tangawizi tamu. Lazima Miongozo ya usimamizi wa mali ya mifumo ya usambazaji wa maji na maji machafu-Sehemu ya 4: Mitambo ya kutibu maji machafu, vifaa vya kutibu tope, vituo vya kusukuma maji,kuhifadhi na kuzuia. Mifumo ya maji yasiyo ya kunywa yanayowekwa mahala yanapozalishwa. Sehemu ya 1: mifumo ya matumizi ya maji ya mvua. Mifumo ya maji yasiyo ya kunywa yanayowekwa mahala yanapozalishwa. Sehemu ya 2: mifumo ya matumizi ya maji ya kijivu yaliyotibiwa. Bidhaa zinazotumika kutibu maji yanayokusudiwa kutumiwa na binadamu-punjepunje za kaboni iliyoamilishwa – Sehemu ya 2: punjepunje za kaboni ilioamilishwa tena baada ya kutumika. Bidhaa zinazotumika kutibu maji yanayokusudiwa kutumiwa na binadamu-punjepunje za kaboni iliyoamilishwa -Sehemu ya 1: punjepunje mpya za kaboni iliyoamilishwa. Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Miongozo ya usimamizi wa mali ya mifumo ya usambazaji wa maji na maji machafu-Sehemu ya 4: Mitambo ya Lazima 3 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 3476-2 TZS 3477
Part
Sehemu ya 2: mifumo ya matumizi ya
- 35 Verify source ↗
Section 35
AI-assisted research summary: This section lists wastewater, sludge-treatment, pumping, storage/prevention, non-drinking-water, rainwater, and treated greywater systems.
35. kutibu maji machafu, vifaa vya kutibu tope, vituo vya kusukuma maji,kuhifadhi na kuzuia. Mifumo ya maji yasiyo ya kunywa yanayowekwa mahala yanapozalishwa. Sehemu ya 1: mifumo ya matumizi ya maji ya mvua. Mifumo ya maji yasiyo ya kunywa yanayowekwa mahala yanapozalishwa. Sehemu ya 2: mifumo ya matumizi ya maji ya kijivu yaliyotibiwa. - 36 Verify source ↗
TZS 11
AI-assisted research summary: This section lists multiple TZS/ISO/EAS standards and marks them as mandatory (“Lazima”).
36. TZS 11 TZS 948 TZS 2891 TZS 955/ISO 4990:2015 Waya wa chuma inayotolewa kwenye hali ya baridi kwa matumizi ya jumla ya kihandisi — Uainishaji. Vigae vya chuma vya kuezekea paa — Uainishaji. Bidhaa za chuma za kumimina — Mahitaji ya jumla ya utoaji wa kiufundi. Vyombo vya Kupika vya Chuma cha pua — Uainishaji. TZS 3332/EAS 196:2021 Nguvu ya Juu Aloi ya Chini (NJAC) bati za chuma zinazotolewa kwenye hali ya baridi na joto — Uainishaji. Bidhaa za chuma na chuma — Mahitajiya jumlaya utoaji wa kiufundi. Mahitaji ya ubora wa kulehemu kwa fusion ya vifaa vya metali— Sehemu ya 2: Mahitaji ya ubora wa kina. Mahitaji ya ubora wa kulehemu kwa fusion ya vifaa vya metali — Sehemu ya 3:Mahitaji ya ubora wa kawaida. Mahitaji ya ubora wa kulehemu kwa fusion ya vifaa vya metali — Sehemu ya 4: Mahitaji ya ubora wa msingi. TZS 3330-2/ISO 3834- 2:2021 TZS 3330-4/ISO 3834- 4:2021 TZS 3330-3/ISO 3834- 3:2021 TZS 3331/ISO 404:2013 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima TZS 3339/ISO 9905:1994 Maelezo ya kiufundi ya pampu za Lazima centrifugal —Daraja la I. TZS 3340/ISO 5199:2002 Maelezo ya kiufundi ya pampu za Lazima centrifugal —Daraja la II. TZS 3341/ISO 9908:1993 Maelezo ya kiufundi ya pampu za Lazima 3338/ISO TZS 14847:1999 TZS 3337/ISO16330:2003 TZS 15873:2002 3336/ISO centrifugal —Daraja la III. Pampu za mzunguko zenye uhamishaji chanya — Mahitaji ya kiufundi. Pampu za kurudisha zenye uhamishaji chanya — Mahitaji ya kiufundi. Vifaa vya umwagiliaji — Sindano za kuongeza kioevu za aina ya Venturi za shinikizo tofauti. Lazima Lazima Lazima 4 - 50 Verify source ↗
Section 50
AI-assisted research summary: This provision appears to be a notice of intended publication of mandatory standards and related Gazette reference.
50. Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 11439:2013 1307/ISO TZS 1187-1/ISO 15500- 1:2015 - 63 Verify source ↗
Section 63
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya lazima vinavyohusiana na mifumo ya gesi asilia iliyokandamizwa katika magari ya barabarani.
63. Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Mitungi ya gesi — Silinda za shinikizo la juu kwa uhifadhi wa ndani wa gesi asilia kama nishati kwenye magari. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 1: Mahitaji ya jumla na ufafanuzi wa istilahi. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 3: Valvu ya kuzuia kurudi nyuma. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 4: Valvu ya mwongozo. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 5:Valvu ya silinda ya mwongozo. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 6:Valve otomatiki. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 7: Sindano ya gesi. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — ya 8:Kiashiria cha shinikizo. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia ya iliyokandamizwa — 9:Kidhibiti cha shinikizo. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — ya Sehemu 10:Kidhibiti cha mtiririko wa gesi. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — ya Sehemu 11:Kichanganyaji cha gesi / hewa. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 12: Valvu ya kupunguza shinikizo. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 13:Kifaa cha kupunguza shinikizo. Sehemu Sehemu 5 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 1187-14/ISO 15500- 14:2020 - 69 Verify source ↗
Section 69
AI-assisted research summary: Section 69 lists a series of standards references and codes.
69. TZS 3591 /ARS 1370:2021 TZS 3594/ARS 1595:2021 TZS 3491-1/ISO 10721- 1:1997 TZS 3491-2/ISO 10721- 2:1999 TZS 3489 TZS 3488 TZS 254 TZS 3490 TZS 3487 TZS 1791-2/ISO 23551- 2:2018 - 79 Verify source ↗
Section 79
AI-assisted research summary: This section lists standards and technical items associated with mandatory standards notice 79.
79. Sehemu Sehemu Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — ya 14:Valvu ya mtiririko wa ziada. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — ya 15:Mfuniko usiopitisha gesi na bomba ya uingizaji hewa. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 16:Njia imara ya chuma cha pua kwa ajili ya kupitisha gesi. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 17:Njia ya gesi inayobadilika. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 18: Chujio. Magari ya barabarani — Vifaa vya mfumo wa nishati ya gesi asilia iliyokandamizwa — Sehemu ya 19: Vifaa vingine vidogo vidogo. Usafirishaji wa bidhaa hatari kwa barabara. Uthibitishaji wa Magari. za wa wa Miundo ya chuma - Sehemu ya 1: Nyenzo na Uundaji. Miundo ya chuma - Sehemu ya 2: Utengenezaji na ufungaji. Uainishaji wa waya za chuma kwa ajili ya pini na klipu. Wavu chuma waya uliochomelewa kwa matumizi ya jumla – Vigezo. Ingo kaboni chuma zilizotengenezwa kwa billet, billet, maua na slabs kwa kuviringishwa tena kuwa chuma kwa madhumuni ya jumla ya muundo – Vigezo. Mikasi kwa madhumuni ya jumla – Vigezo. Fremu za chuma kwa ajili ya kushikilia mifumo ya bodi za jasi – Vigezo. Vifaa vya usalama na udhibiti kwa vichomeo vya gesi na vifaa vya kuchoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 2: Vidhibiti vya shinikizo. za 6 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 1791-4/ISO 23551- 4:2018 - 90 Verify source ↗
Section 90
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango na mahitaji ya kiufundi yanayohusiana na vifaa vya gesi na mifumo ya bomba za plastiki.
90. Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Vifaa vya usalama na udhibiti vya vichomea gesi na vifaa vinavyochoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 4: Mifumo ya kuthibitisha valvu kwa vali za kuzimika kiotomatiki. Vifaa vya usalama na udhibiti wa vichomeo vya gesi na vifaa vya kuchoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 5: Vali za gesi za mwongozo. Vifaa vya usalama na udhibiti wa vichomeo vya gesi na vifaa vya kuchoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 6:Vidhibiti vya usimamizi wa moto wa thermoelectric. Vifaa vya usalama na udhibiti wa vichomeo vya gesi na vifaa vya kuchoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 8:Vidhibiti vya kazi nyingi. Vifaa vya usalama na udhibiti wa vichomeo vya gesi na vifaa vya kuchoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 10:Vali za uingizaji hewa. Vifaa vya usalama na udhibiti wa vichomeo vya gesi na vifaa vya kuchoma gesi - Mahitaji mahususi - Sehemu ya 9: Thermostats za gesi za mitambo. Mfumo wa bomba za plastiki – Viunganishi vya kimechanikia kwa mifumo yenye shindikizo – Mahitaji vipimo. Mfumo wa bomba za plastiki kwa usambazaji wa nishati ya gesi - isiyo na plastiki (PA-U) Polyamide muunganisho kwa joto na shinikizo pamoja na muunganisho wa kimakenikia – Sehemu 5: Uhimara kwa manufaa ya mfumo. Mfumo wa bomba za plastiki kwa usambazaji wa nishati ya gesi - isiyo na plastiki (PA-U) Polyamide muunganisho kwa joto na shinikizo pamoja na muunganisho wa kimakenikia – Sehemu 3: Viunganishi vya bomba. Mfumo wa bomba za plastiki kwa usambazaji wa nishati ya gesi - isiyo na plastiki (PA-U) Polyamide muunganisho kwa joto na shinikizo pamoja na muunganisho wa kimakenikia – Sehemu 2: Bomba. Mfumo wa ardhini wa maji taka kwa bomba za plastiki zisizo na shinikizo – Kuta za kuundwa kwa kloridi ya vinyl na (PVC-U), polypropen (PP) 7 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 2345-2/ISO 21138- 2:2020 - 94 Verify source ↗
Section 94
AI-assisted research summary: This section lists several standards or reference entries.
94. TZS 3545 TZS 3343/ISO 24016:2020 TZS 3446 TZS 3447–1 TZS 3447–2 TZS 3377 TZS 3379 TZS 3382 - 102 Verify source ↗
Section 102
AI-assisted research summary: This provision is a notice listing standards intended to be declared mandatory.
102. (PP) (PP) polypropen polyethilini (PE) – Sehemu 3: Bomba na viunganishi vyenye uso usiyo nyororo upande wa nje, Aina B. Mfumo wa ardhini wa maji taka kwa bomba za plastiki zisizo na shinikizo – Kuta za kuundwa kwa kloridi ya vinyl (PVC-U), na polyethilini (PE) – Sehemu 2: Bomba na viunganishi vyenye uso nyororo upande wa nje, Aina A. Mfumo wa ardhini wa maji taka kwa bomba za plastiki zisizo na shinikizo – Kuta za kuundwa kwa kloridi ya vinyl (PVC-U), na polypropen polyethilini (PE) – Sehemu 1: Mahitaji vipimo ya malighafi na vigezo vya utendaji kwa bomba, viunganishi vya bomba na mifumo ya mabomba. Vifaa vya kupikia majumbani – Usalama – Sehemu 21: Chanja ya kuchomea nyama kwa gesi, hobi za gesi na vikaango vya gesi. Vifaa vya kupikia majumbani – Usalama – Sehemu 22: Mahitaji muhimu kwa tanuri na chanja za kuchomea chama zilizofunikwa. Tungamotaka yabisi - mkaa endelevu na mkaa mbadala kwa matumizi ya nyumbani na kibiashara – mahitaji vipimo. Usonara na madini ya thamani-Kupanga madaraja ya iliyosafishwa- almasi Istilahi, uainishaji na njia za upimaji. Viainisho vya lazima vya sifa ya kaboni iliyoamilishwa inayotumika kusafishia na kuzalisha madini ya thamani. Ditoneta kwa ajili ya matumizi ya ulipuaji wa miamba – Sehemu ya 1: Matakwa ya mfumo wa kielektroniki wa uanzishaji mlipuko. Ditoneta kwa ajili ya matumizi ya ulipuaji wa miamba – Sehemu ya 2: Matakwa ya mfumo wa umeme wa – Mfumo uanzishaji unaotegemea kilipuzi cha umeme. Nguo-Vipimo vya nyuzi zilizosokotwa zitokanazo na hampa. Nguo-Vipimo vya Ubora vya kamba zitokanazo na polista za kufungia mizigo. Nguo-vipimo vya ubora wa nyuzi nyingi zilizoshikama- Nyuzi kwa ajili ya kamba za uvuvi. mlipuko 8 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) - 123 Verify source ↗
Section 123
AI-assisted research summary: This section lists a set of standards intended to be made mandatory.
123. TZS 3560 TZS 3563 TZS 3522/ISO 13998:2003 TZS 3559-1 TZS 3559-2 TZS 868 TZS 3448 TZS 3449 TZS 3450 TZS 3451/ISO 22843:2020 TZS 3452 TZS 3398 Nguo-Vipimo vya Ubora wa Mfuko wa kwenda kwenye manunuzi. Nguo-Vipimo vya Ubora wa kitambaa kisichofumwa. Vazi Kinga-Aproni, Suruali na fulana zinazo kinga dhidi ya kukatwa au kuchomwa na kisu. Nguo kwa ajili ya shughuli za kilimo- Nyavu kinga kwenye kilimo cha kawaida na maua-Vipimo ya ubora- Sehemu 1:Nyavu zinazotengenezwa na nyuzi-mkanda. Nguo kwa shughuli za kilimo-Nyavu kinga kwenye kilimo cha kawaida na maua-Vipimo ya ubora-Sehemu 2:Nyavu zitokanazo na uzi mrefu usio asilia. Dichloroisocyanrate ya sodiamu – Uainishaji. Kemikali zinazotumika kutibu maji yaliyokusudiwa kwa matumizi ya binadamu – Aluminiumu ya Sulfet. Penseli nyeusi – Uainishaji. Milija ya mianzi kwa ajili kunywea- Uainishaji. bendi ya mpira - Mahitaji ya jumla na upimaji. Visigino vya mpira vilivyotengenezwa na soli – Uainishaji. Vipodozi (vipako) vya uso- Uainishaji. TZS 1080/ISO 7202:2018 Vizimia moto – poda. TZS 1081/ISO 3941:2007 Uainishaji wa moto. Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima TZS 1075-1/ISO 7203- 1:2019 TZS 1075-2/ISO 7203- 2:2019 TZS 1075-3/ISO 7203- 3:2019 TZS 3400 TZS 3401 TZS 3523 TZS 3525 Vizimia moto – povu – sehemu ya 1. Lazima Vizimia moto – povu – sehemu ya 2). Lazima Vizimia moto – povu – sehemu ya 3. Lazima Krimu ya kung’arishia viatu- Uainishaji Lazima Ving’arishaji- Uainishaji. Tabaka jembamba la plastiki kwa ajili ya kufanyia uzuderi. Plastiki-Tabaka jembamba la plastiki na neli kwa ajili ya kuhifadhi chakula cha mifugo-Matakwa. Lazima Lazima Lazima 9 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 3526 TZS 3527-3 TZS 3527-2 TZS 3527-1 TZS 3547-1 TZS 3550-1 TZS 3550-3 TZS 3556 TZS 1298 TZS 3429/ISO/IEC 24745:2011 TZS 3432-1/ISO/IEC 14443-1:2018 TZS 3577-1 TZS 3578-6 TZS 3579 TZS 3581 TZS 3582-1
Part
Sehemu 1:Nyavu zinazotengenezwa na
- 139 Verify source ↗
Section 139
AI-assisted research summary: This notice lists standards intended to be made mandatory.
139. Chupa za plastiki aina ya Polyethylene terephthalate (PET) za kuhifadhi vimiminika-Matakwa. Ufungashaji-Mapipa ya chuma-Sehemu 1: Yenye mfumo wa vingingi vya ufungaji. Ufungashaji-Mapipa ya chuma-Sehemu 2: Yenye mfuniko usiotoka. Lazima Lazima Lazima Ufungashaji-Mapipa ya chuma-Sehemu 1: Yenye mfuniko unaotoka. Lazima Ufungashaji kwenye usafirishaji- Sanduku ngumu mgawanyo la plastiki lenye kutumika mara nyingi-Sehemu ya 1:Matumizi ya jumla. Kontena shehena mfulilizo namba 1- Matakwa na Upimaji -Sehemu ya 1: Matumizi ya jumla kwa kontena za mizigo. Kontena shehena mfulilizo namba 1- Sehemu ya 3: Tangi la kuhifadhia vimiminika,gesi na mizigo mikavu iliyoshinikizwa. Kontena shehena mfulilizo namba 1 – Uaniashaji,ukubwa na Madaraja. Kasha/sanduku la kuhifadhi vitu vyenye ncha kali vilivyotumika-Matakwa. Teknolojia ya habari – Mbinu za Usalama – Ulinzi wa habari za kibayometriki. Kadi na vifaa vya usalama wa utambuzi binafsi – Vitu vya ukaribu wa bila kugusa – Sehemu ya 1: Sifa za kiumbo. Nyaya mseto za mawasiliano - Sehemu ya 1: Sifa za ujumla. Viunganishi vya vifaa vya umeme na elektroniki - Sehemu ya 6: Maelezo ya kina ya njia 2 na 4 (data/nguvu), viunganishi vilivyolindwa, na visivyobadilika vya usambazaji wa nishati na data yenye masafa ya hadi 600 MHz. Ugavi wa nguvu za mkondo mnyoofu kwa vishikwambi. Sifa za vingamuzu vya televisheni ya kidijitali. Simu za Mkononi - Sehemu ya 1: Masharti ya Usalama. Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima 10 Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) TZS 1953-23 TZS 3588-1 TZS 3595-1/IEC 62670- 1:2013 TZS 1952-7-4/IEC 62257-7-4:2019 TZS 3598-1/IEC 61400- 1:2019 TZS 3598-2/IEC 61400- 2:2013 TZS3598-4/IEC61400- 4:2012 TZS 3598-5/IEC 61400- 5:2020 TZS 3598-6/IEC 61400- 6:2019 TZS 3595-2/IEC 62670- 2:2015 TZS 3599-1/IEC 60745- 1:2006 TZS 3599-2-1/IEC 60745-2- 1:2003+AMD1:2008 TZS 3599-2-3/IEC 60745-2- 3:2006+AMD1:2010+A MD2:2012 TZS 1223-4-1/IEC 60947-4-1:2018
Part
Sehemu ya 3: Tangi la kuhifadhia
- 155 Verify source ↗
Section 155
AI-assisted research summary: This section lists standards intended to be declared mandatory.
155. TZS 448-2-31/IEC 60335-2- 31:2012+AMD1:2016+A Vifaa vya teknolojia ya habari - Usalama - Sehemu ya 23: Vifaa vikubwa vya kuhifadhi data. Vipimo visivyobadilika vya matumizi ya vifaa vya elektroniki - Sehemu ya 1: Vipimo vya jumla. Umeme jua konsentreta-upimaji wa utendaji-Sehemu 1: hali ya kawaida. Mapendekezo ya nishati jadidifu na mifumo mesto kwa umeme vijijini- Sehemu 7-4: Jenereta ikiwa pamoja na jua na mifumo mengine ya nguvu ndani ya mifumo mengine ya nguvu mesto. Mifumo ya uzalishaji wa nishati ya upepo-Sehemu 1: Mahitaji ya kiubunifu. Tabo/ Injini ya Upepo- Sehemu 2: Tabo ndogo ya upepo. Tabo ya upepo- Sehemu 4: Mahitaji ya kiubunifu kwa tabo za upepo giaboxes. Mifumo ya uzalishaji wa nishati ya upepo-Sehemu 5: Tabo za mapanga ya upepo. Mifumo ya uzalishaji wa nishati ya upepo-Sehemu 6: mnara na msingi mahitaji ya kiubunifu. Umeme jua konsentreta-upimaji wa utendaji-Sehemu 2: Kipima nishati. Vifaa vya umeme vitumiavyo mota na vinavyoshikika – Usalama –sehemu ya 1:mahitaji ya jumla. Vifaa vya umeme vitumiavyo mota na vinavyoshikika – Usalama –sehemu ya 2-1:mahitaji maalumu ya mashine za kuchimbia na mashine mashine za kuchimbia zenye athari. Vifaa vya umeme vitumiavyo mota na vinavyoshikika – Usalama – Sehemu ya 2-3: Mahitaji maalumu – visagio, king’arishi na misasa ya diski. Vifaa vya kubadili na kudhibiti msongo mdogo wa umeme – vigusanishi na vianzisha mota –vigusanishi na vianzishamota vya umememakanika. Vifaa vya umeme vya nyumbani na vifananavyo – usalama- sehemu ya 2- 100: mahitaji maalumu ya vifaa vinavyotumia umeme na vinavyoshikika vya vipuliza bustani, vakyumu na vipuliza vakyumu. Vifaa vya umeme vya nyumbani na vifananavyo – usalama- sehemu ya 2-31: mahitaji maalumu ya hudi na vitolea 11 Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Lazima Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima Tangazo la Serikali Na.362 (Linaendelea.) MD2:2018 TZS 3599-2-2/IEC 60745-2- 2:2003+AMD1:2008
Part
Sehemu 7-4: Jenereta ikiwa pamoja na
- 156 Verify source ↗
Section 156
AI-assisted research summary: Kipengele hiki kinaonyesha kichwa cha sehemu kuhusu usalama wa vifaa vya umeme vinavyotumika katika moata/“moshi wa kupikia”, hasa mahitaji maalumu ya bisibisi na renchi.
156. moshi wa kupikia. Vifaa vya umeme vitumiavyo moata na vinavyoshikika – Usalama –sehemu ya 2-2:Mahitaji maalumu ya bisibisi na renchi. Lazima Dar es Salaam, 11 Mei, 2023 ATHUMAN Y. NGENYA, Mkurugenzi Mkuu 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Notisi ya Kusudio la Kutangaza Viwango vya Lazima ya mwaka, 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in