Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2023
This section names the instrument and says it should be read together with the 2022 Environmental Management Regulations, which are referred to here as the principal regulations.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section names the instrument and says it should be read together with the 2022 Environmental Management Regulations, which are referred to here as the principal regulations. The provision proposes changing the regulation title by adding “Mifumo ya” after “Biashara ya”. This provision proposes changing Regulation 2 by deleting the word “mradi” and replacing it with “mifumo”. This section proposes changes to carbon-trading regulations and adds or revises several definitions. Sehemu hii inapendekeza marekebisho ya kanuni ya 5, ikibadilisha baadhi ya maneno na kuandika upya kanuni ndogo ya (2).
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2023
Showing 51 of 51
- 1 Verify source ↗
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za
AI-assisted research summary: This section names the instrument and says it should be read together with the 2022 Environmental Management Regulations, which are referred to here as the principal regulations.
1. Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2023 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Mazingira za mwaka 2022 ambazo katika marekebisho haya zitarejewa kama “Kanuni Kuu”. Marekebish o ya Jina la Kanuni - 2 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: The provision proposes changing the regulation title by adding “Mifumo ya” after “Biashara ya”.
2. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika jina la Kanuni kwa kuongeza maneno “Mifumo ya” mara baada ya neno “Biashara ya”. Marekebish o ya Kanuni ya 2 - 3 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: This provision proposes changing Regulation 2 by deleting the word “mradi” and replacing it with “mifumo”.
3. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika Kanuni ya 2 kwa kufuta neno “mradi” linalojitokeza katika kanuni ya 2 na badala yake kuandika neno “mifumo”. Marekebish o ya Kanuni ya 3 - 4 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: This section proposes changes to carbon-trading regulations and adds or revises several definitions.
4. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 3 kwa- (a) kufuta maneno “kwa ajili ya kuuzwa kwenye biashara ya kaboni” yanayojitokeza mwisho wa 1 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) tafsiri ya neno “viwango vya Kaboni” na badala yake kuandika maneno “au kuondolewa kilichothibitishwa kwa kuzingatia Viwango vya Kimataifa vya Biashara ya Kaboni ambavyo vinarejewa kama viwango vya upunguzaji wa kaboni vilivyothibitishwa au kuidhinishwa”; (b) kuongeza- (i) katika tafsiri ya neno “biashara ya kaboni” maneno “au kuhamisha” mara baada ya neno “kununua”; (ii) tafsiri za maneno mapya katika mtiririko wa kialfabeti unaotakiwa kama ifuatavyo- ““Kamati” maana yake ni Kamati kitaifa ya ya kutathimini miradi ya kaboni iliyoanzishwa chini ya kanuni ya 11(1); kitaalamu “Mkataba” maana yake ni Mfumo wa Mkataba wa Umoja wa Kimataifa juu ya Mabadiliko ya Tabianchi; “Mapato Ghafi” maana yake ni mapato yote yanayotokana na mauzo ya viwango vya kaboni kabla ya kuondoa gharama zozote au hasara; “Mifumo” maana yake mtazamo wa sokoni au usio wa sokoni unaolenga kutekeleza shughuli za tabia nchi ambao unaruhusu matarajio makubwa katika kupunguza na kurekebisha, kuhamasisha maendeleo endelevu na msimamo wa kama kimazingira unavyotambulika katika mkataba wa kimataifa, itifaki ya Kyoto na makubaliano ya Paris; 2 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) “Mali” maana kitu ni yake kinachomilikiwa na mtu kinachotumika kwa lengo la uzalishaji wa viwango vya kaboni katika biashara ya kaboni; “Miradi ya REDD+” maana yake ni kupunguza miradi uzalishaji wa hewa ya kaboni kutokana na upotevu na uharibifu wa misitu; ya takwimu “Masjala ya Taifa ya Kaboni” maana inayotunza yake ni ofisi na taarifa, mbalimbali kumbukumbu ya masuala zinazohusu viwango kaboni vya vinavyokubalika kitaifa na kimataifa, iliyoanzishwa kwa mujibu wa Kanuni ya 38 (1); “Msajili” maana yake ni mtu anayewajibika na kudumisha Masjala ya Taifa ya Kaboni; na maana “mauzo” kutunza ni ubadilishanaji au uhamishaji wa viwango vya kaboni au fedha.” yake Marekebish o ya Kanuni ya 5 - 5 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: Sehemu hii inapendekeza marekebisho ya kanuni ya 5, ikibadilisha baadhi ya maneno na kuandika upya kanuni ndogo ya (2).
5. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 5 kwa kufuta- (a) katika kanuni ndogo ya (1) neno- (i) “ni” linalojitokeza baina ya neno “hizi” na “kuweka” na badala yake kuandika maneno “litakuwa ni”; na (ii) “miradi ya” linalojitokeza baina ya neno “wa” na “biashara” na badala yake kuandika neno “mifumo”; (b) kanuni ndogo ya (2) na kuiandika upya kama 3 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ifuatavyo-” “(2) Katika kuhamasisha kutimiza lengo lililorejewa katika kanuni ndogo ya (1), kanuni hizi- (a) zitaweka mfumo wa kisheria unaotakiwa kuhakikisha utunzaji endelevu wa mazingira na kutoa mchango wa nchi katika jitihada za kimataifa katika kupunguza uzalishaji wa gesijoto; (b) zitahasisha upatikaji wa fedha kutoka vyanzo vya ndani na nje zitakazosaidia katika shughuli za kupunguza uzalishaji wa gesi joto uwekezaji na endelevu.” kuchochea (c) zitawezesha kujenga uwezo kwa ajili ya kukabiliana na kuhimili mabadiliko ya tabianchi.” Marekebish o ya Kanuni ya 6 - 6 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: Kanuni hii inapendekeza kurekebisha kanuni ya 6 na kumpa Waziri mamlaka ya kutoa barua ya kuidhinisha kwa ajili ya utekelezaji wa mfumo wa biashara ya kaboni.
6. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 6 kwa- (a) kuongeza katika kanuni ndogo ya (1), neno “mifumo ya” kabla ya neno “biashara”; (b) kufuta kanuni ndogo ya (3) na kuiandika upya kama ifuatavyo- “(3) Kwa kuzingatia kanuni ndogo ya (1) na (2), Waziri atakuwa na mamlaka ya kutoa barua ya kuidhinisha kwa ajili ya kutekeleza mfumo wa biashara ya kaboni ambao muhimu vinavyohitajika.” unakidhi vigezo Marekebish o ya Kanuni ya 9 - 7 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: This section amends regulation 9 and adds a rule requiring the National Coordination Authority or National Coordinator to establish a National Carbon Registry.
7. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 9- (a) katika kanuni ndogo ya (1)- (i) kwa kufuta aya (e); (ii) kuongeza aya mpya ya (n) mara baada ya aya ya (m) kama ifuatavyo: 4 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) Marekebish o ya Kanuni ya 11 “(n) kuratibu na kutekeleza shughuli za kukuza uelewa wa umma kuhusu mifumo ya biashara ya kaboni;” (iii) kuzipanga upya aya ya (f) mpaka (n) kama aya ya (e) mpaka aya (m) kama inavyotakiwa; na (b) kuongeza kanuni ndogo ya (3) mara baada ya kanuni ndogo ya (2) kama ifuatavyo: “(3) Bila kuathiri masharti ya kanuni hii, Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa itaanzisha Masijala ya Taifa ya Kaboni.” - 8 Verify source ↗
Kanuni kuu inapendekezwa kurekebishwa kwa
AI-assisted research summary: This provision proposes amending rule 11 by deleting it and rewriting it, but the replacement text is cut off.
8. Kanuni kuu inapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta kanuni ya 11 na kuiandika upya kama ifuatavyo: “Kamati ya taifa yakutathmini Mifumo ya biashara ya kaboni yenye - 11 Verify source ↗
(1) Wizara
AI-assisted research summary: Wizara dhamana na Mazingira must establish a national committee on carbon trading systems. The committee advises the national authority or national coordinator, has a chairperson from the Director, may invite experts, and members serve three years with possible reappointment.
11.-(1) Wizara dhamana na Mazingira itaanzisha Kamati ya Taifa ya kutathmini ya mifumo ya biashara ya Kaboni. (2) Kamati ya Taifa ya Kutathmini mifumo ya biashara ya Kaboni inakuwa na wajumbe kama ilivyoainishwa katika la kwanza. jedwali (3) Kamati itakuwa chombo cha ushauri kwa Mamlaka ya Taifa au Mratibu wa Kitaifa. (4) Bila kuathiri masharti ya Kanuni ndogo (1) na (2), wajumbe wa kamati watatumikia kwa muda wa miaka mitatu na wanaweza kuteuliwa tena kwa kipindi kingine cha miaka mitatu. (5) inaweza Kamati kumualika mtu yeyote kwa ajili ya kadri kutoa itakavyohitajika. utaalam kwa (6) Mkurugenzi atakuwa 5 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) mwenyekiti wa Kamati. (7) Kamati ya Kitaifa ya Kutathmini Miradi ya Kaboni itaamua taratibu za uendeshaji wa shughuli zake.” Marekebish o ya kanuni ya 14
Part
jedwali
- 9 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: This provision proposes amending regulation 14 by deleting a word and adding two new paragraphs about carbon trading systems.
9. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 14 kwa- (a) kufuta neno “na” linaloonekana mwishoni mwa aya ya “(b)”; na (b) kuongeza aya mpya mara baada ya aya ya (c) kama ifuatavyo: “(d) kutambua na kuainisha maeneo mahsusi kwaajili ya mifumo ya biashara ya kaboni; na (e) kufuatilia na kutathimini mifumo ya biashara ya kaboni na kuwasilisha taarifa kwa Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa” Marekebish o ya Kanuni ya 15 - 10 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: This section proposes changes to Regulation 15 and mentions amendments to Regulation 17.
10. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 15 kwa kuongeza maneno “Tawala za Mikoa na” katikati ya neno “ya” na “serikali”. Marekebish o ya Kanuni ya 17 - 11 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: Provision proposes changes to Regulation 17, including adding wording about their administrative areas and rewriting paragraph (a) on managing carbon business projects with the regional secretariat.
11. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 17 kwa- (a) kuongeza maneno “ndani ya maeneo yao ya utawala” mara baada ya neno “yafuatayo”; na (b) kufuta- (i) aya ya (a) na kuiandika upya kama ifuatavyo- “(a) kusimamia miradi ya biashara ya kaboni kwa kushauriana na sekretarieti ya mkoa;” (ii) katika aya ya (c), (e), (f) na (i) maneno “katika maeneo yao ya utawala” (iii) katika aya ya (b) maneno “katika ngazi ya halmashauri”. 6 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) Marekebish o ya Kanuni ya 18 - 12 Verify source ↗
Kanuni kuu Zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: This section proposes amending regulation 18 so that a project owner may enter into an agreement or suitable arrangement to protect the intention to engage in a carbon trading project, subject to paragraph (c).
12. Kanuni kuu Zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 18 kwa- (a) kubadilisha maudhui ya kanuni ya 18 kuwa kanuni ndogo ya (1); na (b) kuongeza kanuni ndogo ya (2) mpya mara baada ya kanuni ndogo ya (1) kama ifuatavyo: “(2) Bila kuathiri masharti ya aya ya (c) mmiliki wa mradi anaweza kuingia katika makubaliano ya maafikiano au utaratibu unaofaa kwa madhumuni ya kulinda nia ya kujihusisha na mradi wa biashara ya kaboni.” Marekebish o ya Kanuni ya 19 - 13 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inapendekeza kurekebisha Kanuni ya 19 kwa kubadilisha namba “41” iliyo katika aya ya (g) kuwa “42”, na pia inataja marekebisho ya Kanuni ya 24.
13. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 19 kwa kufuta nambari “41” inayojitpkeza katika aya ya (g) na badala yake kuandika nambari “42”. Marekebish o ya Kanuni ya 24 - 14 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: Mwenye mradi anayetaka kutumia au kuhamisha viwango vya kaboni kwa matumizi ya mchango wa taifa lazima aombe kibali; mamlaka husika inaweza kutoa barua ya idhini baada ya kukagua taarifa.
14. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 24- (a) katika kanuni ndogo ya (1) kwa- (i) kuongeza aya mpya ya (g) mara baada ya aya ya (f) kama ifuatavyo- “(g) maelezo juu ya mgawanyo wa faida kwa asilimia;" (ii) kuzipanga upya aya ya (g), (h), (i), (j), na (k) kama aya (h), (i), (j),(k) na (l); (b) kwa kuongeza kanuni mpya mara baada ya kanuni ya (2) kama ifuatavyo- “(3) Endapo mpendekezaji wa mradi ataonesha nia ya kutumia viwango vya kaboni vilivyozalishwa vyote au sehemu kuhesabika katika mchango wa taifa wa kukabiliana na mabadiliko wa tabianchi wa nchi au sehemu nyingine atatakiwa kuomba kibali cha kuhamisha viwango hivyo kutoka kwa Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa kwa kuzingatia miongozo iliyoandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 6 ya Makubaliano ya Paris. (4) Bila ya kuathiri kanuni ndogo ya 7 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) idhini itakuwa kwa mujibu wa (3), viwango methodolojia, vilivyoainishwa ya na kuhamisha viwango vilivyokubaliwa na mkutano mkuu wa nchi wanachama wa Makubaliano ya Paris. utaratibu vilivyokubalika na (5) Bila kujali kanuni ndogo ya (3), Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa baada ya kuhakiki taarifa iliyopatiwa, itatoa barua ya idhini kupokea maombi kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Pili. (6) Bila kujali masharti ya kanuni ndogo ya (4) na (5), mtazamo wa mashirikino baina ya washiriki utakuwa kwa mujibu wa miongozo au mfumo uliyoandaliwa kwa mujibu wa ibara ya 6 ya Makubaliano ya Paris.” Marekebish o ya Kanuni ya 26 - 15 Verify source ↗
Kanuni kuu inapendekezwa kurekebishwa katika
AI-assisted research summary: This provision proposes changes to regulation 26 by replacing several words and phrases.
15. Kanuni kuu inapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 26 kwa kufuta- (a) katika aya ya (a) neno “Kwanza” na badala yake kuandika neno “Tatu”; na (b) katika aya ya (b) maneno “usajili wa” yanayojitokeza katikakati ya neno “ya” na “wa” na kuandika maneno “idhini ya”; (c) katika aya “usajili wa” (c) maneno yanayojitokeza katikati ya neno “kuhusu” na “wazo” na kuandika maneno “idhini ya”; (d) kufuta neno “atamuelekeza” yanayojitokeza katikati ya neno “kitaifa” na “mpendekezaji” na kuandika maneno “itatoa barua ya idhini kama ilivyoainishwa la Nne kumuelekeza”. Jedwali katika Marekebish o ya kanuni ya 27
Part
Jedwali
- 16 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: This provision proposes amendments to regulation 27, including replacing certain words and adding new text to several subrules.
16. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 27 kwa-” (a) Kufuta- (i) katika kanuni ndogo ya (1) neno” kusajiliwa” linalojitokeza katikati ya neno 8 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) “ya” na “kwa” na kuandika maneno “kupokea taarifa ya kuidhinishwa”; (ii) katika kanuni ndogo ya (3)(a) neno “Pili” linalojitokeza katikati ya neno “jedwali” na “;” na kuandika neno “Tano”; (iii) katika kanuni ndogo ya (4)(a) neno “Tatu” linalojitokeza katikati ya neno “la” na “;” na kuandika neno “Sita”; na (b) kuongeza- (i) katika kanuni ndogo ya (2)- mradi (aa) katika aya ya (c) maneno “na pendekezwa jinsi unavyoendana na sera, mipango na mikakati ya kitaifa” mara baada ya neno “mradi” (bb) aya mpya mara baada ya aya (j) kama ifuatavyo- “(k) mradi kuchangia katika taifa wa mchango uliopangwa.” (ii) katika kanuni ya (3)(b) maneno “au barua ya ridhaa” katikati ya maneno “mkutano” na “kwa”; Marekebish o ya Kanuni ya 28 - 17 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Taifa lazima itoe barua ya uthibitisho ndani ya siku 30 baada ya kupokea Andiko la mradi, ikiwa imeridhika kwamba andiko hilo limekidhi vigezo vinavyohitajika.
17. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 28 kwa kufuta kanuni ndogo ya (9) na kuiandika upya kama ifuatavyo- “(9) Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Taifa baada ya kujiridhisha kwamba Andiko la mradi limekidhi vigezo vinavyohitajika itatoa barua ya uthibitisho ndani ya siku thelathini kutoka tarehe ya kupokea Andiko la mradi.” Marekebish o ya Kanuni ya 29 - 18 Verify source ↗
Kanuni kuu Zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: The provision proposes adding a new subrule so cooperation agreements for carbon business projects are entered into according to the procedures of the participating countries, without affecting subrules (1) and (2).
18. Kanuni kuu Zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 29 kwa kuongeza kanuni ndogo mpya mara baada ya kanuni ndogo ya (2) kama ifuatavyo- “(3) Bila kuathiri kanuni ndogo ya (1) na (2), makubaliano ya ushirikiano katika 9 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) miradi ya biashara ya kaboni yataingiwa kwa kuzingatia taratibu za nchi zinazoshiriki.” sheria na Marekebish o ya Kanuni ya 34 - 19 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: Provision proposes changes to carbon revenue-sharing rules, including specific percentage allocations to national and local public bodies.
19. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 34- (a) katika kanuni ndogo ya (3) kwa- (i) kufuta- na katikati (aa) maneno “matumizi ya ardhi” yanayojitokeza ya maneno “yanayojihusisha” na kuandika maneno “:” “miradi ya REDD+”; katika aya ya (a) maneno “yatokanayo na” na kuandika neno “ya” (cc) katika aya ya (b)- (bb) (aaa) “halmashauri” neno linapojitokeza popote na kuandika maneno “mamlaka za serikali za mitaa”; (bbb) neno kumi linalojitokeza katikati neno “asilimia” na “kati” na kuandika neno “nane”; ya (dd) katika aya ya (d)- (aaa) maneno “mamlaka ya halmashauri” yanayojitokeza katikati ya maneno “ya” na “asilimia” na badala yake kuandika maneno” mamlaka za serikali za mitaa”; na neno “halmashauri” linalojitokeza katikati ya neno “kwa” na “kwa” na badala yake (bbb) 10 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) maneno kuandika “mamlaka za serikali za mitaa”; (ee) katika aya ya (e)- ya (aaa) maneno “atalipa asilimia yanayojitokeza tisa” neno katikati na “mpendekezaji” “kwa” na kuandika maneno “atabakiza asilimia thelathini na atalipa na moja asilimia nane”; na neno (bbb) “Pili” linalojitokeza katikati ya neno “la” na “;” na kuandika neno “Tano”; (ff) aya ya (f) na kuiandika upya kama ifuatavyo- “(f) Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa italipa asilimia tatu kati ya asilimia nane kwenye mfuko wa Taifa wa Mazingir a kwa 11 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ya ajili kuwezesh a shughuli za uhifadhi wa mazingira ikijumuis ha nishati safi ya kupikia na teknolojia .” (ii) kuongeza aya mpya ya (c) mara baada ya aya ya (b) kama ifuatavyo- “(c) kwa kuzingatia aya (b), asilimia mbili kati ya asilimia sitini na moja zitatolewa kwa Wizara yenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, itabaki ambapo asilimia moja kwa Wizara yenye dhamana na Tawala za Mikoa na Serikali za asilimia moja mitaa itapelekwa kwa Sekretarieti ya Mkoa kuwezesha uratibu wa mifumo ya biashara ya kaboni na mipango mingine ya kuhifadhi mazingira” na (iii) kuzipanga upya aya ya (c), (d), (e) na (f) kama aya ya (d), (e), (f) na (g) kama inavyotakiwa. (b) katika kanuni ndogo ya (4) kwa kuifuta na kuiandika upya kama ifuatavyo: “(4) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (3)(a) na (e) kuhusu miradi isiyo ya REDD+ asilimia sitini na moja ambayo 12 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) alipaswa kulipwa mmiliki na asilimia thelathini na moja ya mpendekezaji wa mradi, mgawanyo mpya unaweza kuamuliwa kwa majadiliano na mapatano kati ya mmiliki na mpendekezaji wa mradi kuendana na aina ya mradi, wakati asilimia nane iliyobaki italipwa kwa Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa.”; Marekebish o ya kanuni ya 42 - 20 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: Kanuni hii inapendekeza kurekebisha kanuni ya 42 na kuongeza kanuni ndogo mpya ya (2) kuhusu utaratibu wa kufuatilia na kutathmini miradi inayosaidia malengo ya taifa ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
20. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 42 kwa- (a) kubadilisha maudhui ya kanuni ya 42 kuwa maudhui ya kanuni ndogo ya (1); na (b) Kuongeza kanuni ndogo mpya ya (2) mara baada ya kanuni ndogo ya (1) kama kama ifuatavyo: “(2) Bila kuathiri kanuni ndogo (1), utaratibu wa kufuatilia na kutathmini miradi inayosaidia kufikiwa kwa malengo ya taifa wa kukabiliana na mchango wa mabadiliko ya itafanyika kwa tabianchi kuzingatia mfumo wa upimaji, uwasilishwaji na uhakiki wa mchango huo.” Marekebish o ya Kanuni ya 48 - 21 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa
AI-assisted research summary: This section proposes changing regulation 48 so certain Kyoto Protocol clean development mechanism projects must move to mechanisms under Article 6.4 of the Paris Agreement.
21. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa katika kanuni ya 48 kwa kuongeza kanuni ndogo mpya ya (4) mara baada ya kanuni ndogo ya (3) kama ifuatavyo: (1), “(4) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (3), miradi (2) na inayotekelezwa chini ya utaratibu wa mfumo wa miradi ya maendeleo safi kwa mujibu wa Ibara ya 12 ya Itifaki ya Kyoto italazimika kuhama mifumo inayotekelezwa chini ya Ibara ya 6.4 ya Makubaliano ya Paris kwa kuzingatia taratibu zilizokubaliwa nchi wanachama wa Itifaki ya Kyoto.” na mkutano wa kwenye kwenda Marekebish o ya Jedwali la Kwanza - 22 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa
AI-assisted research summary: This provision says the First Schedule is to be deleted and rewritten.
22. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Kwanza na kuliandika upya kama 13 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ifuatavyo: 14 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 11(2)) MUUNDO WA KAMATI YA KIUFUNDI YA KITAIFA YA KUTATHMINI MIRADI YA KABONI
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Kamati ya Wataalamu ya Kitaifa ya Kutathmini Miradi ya Kaboni itajumuisha wajumbe
AI-assisted research summary: The National Expert Committee for evaluating carbon projects must include specified government officials and 10 other qualified members from public, civil society, education, and private sectors.
1. Kamati ya Wataalamu ya Kitaifa ya Kutathmini Miradi ya Kaboni itajumuisha wajumbe wafuatao: (a) Mkurugenzi wa Mazingira ambaye atakuwa Mwenyekiti wa Kamati; (b) Msajili ambaye atakuwa Katibu wa Kamati; (c) Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa Wizara yenye dhamana ya masuala ya Mazingira; (d) Kamishina wa Fedha za Nje kutoka Wizara yenye dhamana ya masuala ya Fedha; (e) Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka kwa Wizara yenye dhamana ya masuala ya Mambo ya Nje; (f) Wajumbe wengine kumi (10) ambao watatoka kwenye wizara, idara, wakala na taasisi za Serikali, asasi za kiraia, taasisi za elimu na sekta binafsi wenye sifa au uzoefu wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi, mazingira, usimamizi wa maliasili, ushirikiano wa kimataifa, biashara ya kaboni na taaluma yoyote inayohusiana na masuala haya. Marekebisho ya Jedwali la Pili
Part
Jedwali la Pili
- 23 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Pili na
AI-assisted research summary: This section proposes replacing the Second Schedule with a rewritten form for a carbon credits transfer approval letter.
23. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Pili na kuliandika upya kama ifuatavyo: 15 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 24(5)) BARUA YA IDHINI YA KUHAMISHA VIWANGO VYA KABONI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS Mji wa Serikali, Eneo la Mtumba, S.L.P 2502, 40406 Dodoma, Anwani ya simu: “MAKAMU”, Simu Na.: 2113857/2116995 Fax Na.: 2113856 Baruapepe: km@vpo.go.tz TANZANIA. Unapojibu taja Kumb: …………………………………….. Tarehe:…………………… Anuani ya Mwombaji: YAH: IDHINI YA ____________ (TAJA JINA LA MRADI) Rejea somo tajwa hapo juu.
Part
JEDWALI LA PILI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Tanzania is a party to the UN climate and Paris agreements, and the Vice President’s Office is responsible for overseeing Tanzania’s participation in cooperative projects.
2. Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC), Itifaki ya Kyoto na Makubaliano ya Paris. Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni nchi mwanachama wa Mikataba ya Umoja wa 3 Ofisi ya Makamu wa Rais kama Mamlaka ya Taifa ya Uratibu na Mratibu wa Kitaifa inadhamana ya kusimamia ushiriki wa Tanzania katika utekelezaji wa miradi ya ushirikiano kwa mujibu wa ibara ya 6.2 ya Makubaliano ya Paris na uamuzi namba 2/CMA3 chini ya makubaliano haya. - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Ofisi ya Makamu wa Rais inaweza kuidhinisha uhamisho wa kiasi cha kaboni baada ya kupitia mapendekezo ya Kamati ya Wataalamu ya Kitaifa.
4. Ofisi ya Makamu wa Rais baada ya kupitia mapendekezo ya Kamati ya Wataalamu ya Kitaifa ya Kutathmini Miradi ya Kaboni kuhusu maombi ya idhini ya kuhamisha kiasi cha kaboni kutoka_________________ (Taja jina la mradi) imeidhinisha kuhamishwa kwa kiasi cha _____________ (Taja kiasi) kilichozalishwa wakati wa utekelezwaji wa Mradi wa Ushirikiano kati ya _________________ (Taja majina ya washirika) kwa mujibu wa ibara ya 6.2 ya Makubaliano ya Paris kwa kipindi kuanzia________________ hadi_____________ - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section is a heading indicating an amendment to the Third Schedule of the carbon trading regulation.
5. Tunakushukuru kwa ushirikiano wako. Lakiri ya Ofisi …………………….. 16 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) WAZIRI MWENYE DHAMANA YA MAZINGIRA Marekebisho ya Jedwali la Tatu
Part
Jedwali la Tatu
- 24 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Tatu na
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha fomu ya maombi ya biashara ya kaboni na orodha ya taarifa na viambatisho vinavyotakiwa kujazwa/kutolewa.
24. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Tatu na kuliandika upya kama ifuatavyo: 17 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA TATU ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 26(a)) FOMU YA MAOMBI YA BIASHARA YA KABONI Jina la mradi unaopendekezwa: ……………………………….………………..…………………… Namba ya kumbukumbu ya maombi ya mradi: ……………………………………………….. Tarehe ya maombi: ……………………………………………………….……….…………… Aina ya mfumo au mbinu zinazopendekezwa kutumika ……………………………………………………………………………………… Maelezo ya kina ya mradi A. Maelezo ya mradi, aina, eneo, ukubwa na ratiba ya utekelezaji Maelezo ya jumla A.1 Maelezo ya mradi kwa ufupi na shughuli zinazopendekezwa (Mradi unahusu shughuli gani, malengo, manufaa yanayotarajiwa, muda wa utekelezaji, bajeti na uhusiano wa mradi na vipaumbele vya Taifa n.k (Maneno yasizidi 250) A.2 Je, Mpendekezaji wa mradi ni Mmiliki? Kama ni hapana: NDIYO HAPANA Maoni Ambatisha idhini kutoka kwa Mmiliki Mpendekezaji wa mradi anayesajili Andiko la Awali la Mradi A.3 Jina la Mpendekezaji wa Mradi A.4 Aina ya taasisi (chagua moja au zaidi) (a) Wizara, Idara au Wakala (b) Serikali za Mitaa (Halmashauri ya Jiji, Halmashauri ya Manispaa, Halmashauri ya Wilaya, Halmashauri ya Mji, Mtaa au Serikali ya Kijiji) (c) Kampuni au mtu binafsi (d) Asasi za kiraia A.5 Kazi nyingine za Mpendekezaji wa mradi (chagua moja au (a) Mfadhili (b) Dalali (c) Mshauri wa kitaalamu 18 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) zaidi) A.6 Maelezo kuhusu uzoefu A.7 Anwani A.8 Mhusika wa kupokea mawasiliano A.9 Simu / nukushi A.10 Baruapepe na tovuti Mmiliki A.11 Jina la Mmiliki A.12 Aina ya taasisi (chagua moja au zaidi) (a) Wizara, Idara au Wakala (b) Serikali za Mitaa (Halmashauri ya Jiji, Halmashauri ya Manispaa, Halmashauri ya Wilaya, Halmashauri ya Mji, Mtaa au Halmashauri ya Kijiji) (c) Kampuni au mtu binafsi (d) Asasi za kiraia A.13 Anwani A.14 Mhusika wa kupokea mawasiliano A.15 Simu / nukushi A.16 Baruapepe na tovuti Mfadhili wa mradi au mnunuzi wa Viwango vya kaboni (Orodhesha na toa maelezo kuhusu wafadhili wote wa mradi) A.17 Jina la Mfadhili A.18 Aina ya taasisi (chagua moja au zaidi) (a) Serikali (b) Wakala wa Serikali (c) Jiji au Manispaa n.k (d) Kampuni au mtu binafsi (e) Asasi za kiraia A.19 Anwani (Jumuisha anwani ya tovuti) A.20 Shughuli kuu za mradi A.21 Maelezo kuhusu mali na fedha (jumla ya mali, mapato, n.k.) Aina ya Mradi A.22 Aina ya gesijoto zinazolengwa A.23 Aina ya shughuli Eneo la Mradi A.24 Mkoa (mf: ufyonzaji/uhifadhi) 19 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) A.25 Wilaya A.26 Tarafa A.27 Kata A.28 Kijiji A.29 Eneo mahsusi la mradi (vibainishi vya GPS) Kama mradi wa kaboni unahusu msitu, elezea mfumo wa usimamizi wa msitu husika HAPANA NDIYO Maoni A.30 Je, kuna Mpango wa Usimamizi ulioidhinishwa? A.31 Je, kuna sheria ndogo zilizoidhinishwa? A.32 Je, kuna mgogoro wa ardhi au migogoro mingine? A.33 Je, msitu umependekezwa, umetamkwa au umetangazwa kwenye Gazeti la Serikali? A.34 Je, kuna Mpango wa Matumizi bora ya ardhi? (kama unahitajika) A.35 Je, mradi unahitaji kufanyiwa tathmini ya athari kwa mazingira? Ratiba ya utekelezaji A.36 Terehe ya kuanza mradi (mwaka ambao mradi utaanza kutekelezwa ikijumuisha muda wa kuanza mradi baada kupata idhini ya Andiko la Mradi) A.37 Mwaka unaotarajiwa kuanza kuuza viwango vya kaboni A.38 Muda wa kutekeleza mradi mfano 2022/2023 20 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) mf. 2022: xx t CO2 eq mf. 2023: xx t CO2 eq (Idadi ya miaka) A.39 Hali ya sasa na awamu za utekelezaji wa mradi B. Faida za kimazingira na kijamii zinazotarajiwa Faida za kimazingira B.1 Makadirio ya kaboni itakayofyonzwa au kuhifadhiwa (katika tani za metriki za kabonidayoksaidi ambayo ni sawa – t CO2eq. Tafadhali ambatisha Jedwali.) Weka makadirio na shughuli B.2 Hali ya msingi (Je, siku zijazo zingekuwaje bila mradi uliopendekezwa? Makadirio ya ufyonzaji au uhifadhi wa kaboni kabla ya mradi uliopendekezwa yalikuwaje? Taja mbinu utakazotumia kukokotoa hali ya msingi Eleza namna mradi unavyozingatia matakwa ya miongozo. Eleza kama shughuli za mradi haziwezi kufanyika pasipokuwepo kwa maradi, Taja vichocheo vikuu vya ukataji miti na jinsi mradi utakavyoshughulikia B.3 Uoto wa asili na matumizi ya ardhi (Je, ni aina gani ya uoto wa asili uliopo na matumizi ya ardhi kwa sasa? Je, eneo la miti ni zaidi au chini ya asilimia kumi? Je, eneo hilo ni zaidi ya hekta 0.5?) B.4 Faida za kimazingira B.4.a Faida kwa jamii B.4.b Faida za kitaifa B.4.c Faida za kimataifa B.5 Ulinganifu kati ya mradi na vipaumbele vya mazingira nchini Faida za kijamii na kiuchumi B.6 Je, ni jinsi gani mradi utaboresha ustawi wa jamii inayohusika au inayozunguka mradi? Je, ni athari gani za moja kwa moja ambazo zinaweza kuhusishwa na mradi na ambazo zisingetokea kama mradi usingekuwepo? (mf. ukusanyaji wa mapato, kutoa fursa za ajira, kupunguza umaskini, akiba ya fedha za kigeni). Ainisha idadi ya jamii na watu watakaonufaika na mradi huu. B.7 Je, kuna mpango wowote wa kuchangia mgawanyo wa gharama na faida? Kama jibu ni ndiyo weka kiambatisho B.8 Je, kuna faida nyingine? 21 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) (mf. Mafunzo au elimu kutokana na kuanzishwa kwa teknolojia mpya na bidhaa, urudufishaji katika nchi, mkoa au wilaya) C. Fedha Gharama za mradi C.1 Gharama za maandalizi ya mradi Dola za Kimarekani C.2 Gharama za uanzishwaji wa mradi Dola za Kimarekani C.3 Gharama zingine (elezea) Dola za Kimarekani C.4 Jumla ya gharama za mradi Dola za Kimarekani Tamko Mimi………………………………………………………. ninathibitisha kwamba, taarifa zilizotolewa katika maombi haya ni za kweli kadiri ya uelewa wangu. Jina:……………………………….. Wadhifa:……………………....... Saini:…………………………… Tarehe:…………………………………. Muhuri wa Ofisi Imeshuhudiwa na- Jina:……………………………….. Wadhifa:……………………....... Saini:…………………………… Tarehe:…………………………………. Tafadhali ambatisha: Katiba ya Kampuni (Memorandum and Articles of Association) Cheti cha Usajili wa Biashara Cheti cha Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi Leseni ya Biashara Ritani ya Mwaka ya karibuni iliyosajiliwa BRELA ya Taarifa za Kampuni Ripoti ya karibuni ya Taarifa ya Biashara/Kampuni kutoka BRELA Marekebisho ya Jedwali la Nne
Part
Jedwali la Nne
- 25 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya barua ya idhini ya kuanzisha na kuendesha mradi wa biashara ya kaboni.
25. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Nne na kuliandika upya kama ifuatavyo: 22 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ______________ JEDWALI LA NNE ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 26(c) na (d)) BARUA YA IDHINI YA KUANZISHA NA KUENDESHA MRADI WA BIASHARA YA KABONI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS Mji wa Serikali, Eneo la Mtumba, S.L.P 2502, 40406 Dodoma, Anwani ya simu:“MAKAMU”, Simu Na.: 2113857/2116995 Fax Na.: 2113856 Baruapepe: km@vpo.go.tz TANZANIA. Unapojibu taja Kumb: …………………………………….. Tarehe:…………………… Anuani ya Muhusika: YAH: IDHINI YA…………………….. [JINA LA MUHUSIKA WA BIASHARA YA KABONI ANAEOMBA IDHINI] Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
Part
JEDWALI LA NNE
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text says the Government of Tanzania has approved something, but the provision is incomplete and does not show what was approved.
2. kaboni]. Serikali ya Tanzania imeidhinisha…………[jina la muhusika wa soko la mradi wa - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section hii inaweka masharti ya kupata na kutumia barua ya idhini kwa shughuli za mfumo, ikiwemo maombi, uidhinishaji, kulipa ada, na kutangazwa kwa umma.
3. barea ya idhini] kwa masharti yafuatayo: Serikali imeidhinisha…………..[Jina la muhusika wa soko la mradi wa Kaboni anaeomba (i) (ii) Shughuli za mfumo lazima ziorodheshwe na ziwe miongoni mwa malengo mkakati ya Mamlaka ya Taifa ya Uratibu iliyoidhinishwa au kuthibitishwa kusimamia Mradi…..……… [Jina la Kiambatisho]. Shughuli za mfumo lazima ziwe katika [masharti] au [zisizo na masharti] au [nje ya mawanda] ya kundi la maleango mkakati ya Mamlaka ya Taifa ya Uratibu. (iii) Chombo cha Umma au Binafsi kinachoomba kuendeleza shughuli za mfumo lazima kiwe kimepokea barua ya idhini kutoka Mamlaka ya Taifa ya Uratibu juu ya namna ya kushiriki katika shughuli kama mshiriki katika mfumo. (iv) Mamlaka ya Taifa ya Uratibu lazima itoe barua ya kusaidia maendeleo endelevu kuhusu mfumo kwa Chombo kilichoidhinishwa kushiriki katika shughuli hiyo kama mshiriki. (v) Mshiriki wa Shughuli za Mfumo lazima atimize mitazamo ya msingi na matakwa ya kimetholojia ikijumuisha kipindi cha nyongeza na cha kiwango kama kinavyotumika katika ibara ya 6.4 ya shughuli ambazo Tanzania inataka kusimamia katika mfumo. 23 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) (vi) Mshiriki wa shughuli za mfumo atawasilisha barua rasmi kwa Mamlaka ya Taifa ya Uratibu akiomba barua ya idhini. (vii) Mshiriki wa mfumo alieidhinishwa lazima alipe ada kwa viwango vilivyoelezwa kwenye kanuni hii kwa ajili ya kupata barua ya idhini. (viii) Mamlaka ya Taifa ya Uratibu itaitangaza kwa Umma barua ya idhini kwa kuihamishia kwa chombo kinachosimamia mfumo ndani ya muda saw ana ule wa kutoa barua ya idhini. 24 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaonyesha tu hitimisho la barua na marekebisho ya jedwali, bila kanuni ya kisheria ya moja kwa moja.
4. Asante kwa ushirikiano wako. Lakiri ya Msajili ………………………………………… MSAJILI Kny: KATIBU MKUU Marekebisho ya Jedwali la Tano
Part
Jedwali la Tano
- 26 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Tano
AI-assisted research summary: This section proposes amending the rules by deleting the Fifth Schedule and replacing it with a new version.
26. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kufuta Jedwali la Tano na kuliandika upya kama ifuatavyo: ____________ JEDWALI LA TANO _____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni 26(b), 27(3)(a)) na 34(3)(e)) ADA Na
Part
JEDWALI LA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision lists application fees: 250 USD for citizens and 500 USD for non-citizens.
1. Aina ya Ada Ada ya maombi kwa raia kwa asiye raia Kiasi Dola za Kimarekani 250 ambazo zitalipwa kwa Shilingi za Tanzania Dola za Kimarekani 500 - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Inaweka ada ya mradi ya asilimia 1 na malipo ya kila mwaka ya asilimia 5 na asilimia 3 yanayohusiana na mauzo ya kiasi cha Kaboni.
4. Ada ya uendeshaji wa mradi kwa mwaka Asilimia 1 ya wastani unaotarajiwa wa mapato ya kila mwaka kutokana na mauzo ya kiasi cha Kaboni inayolipwa mara moja kwa maisha ya mradi kama itakavyoamuliwa na Mamlaka ya Taifa ya Uratibu au Mratibu wa Kitaifa kulingana na bei iliyopo ya soko la dunia. Asilimia 5 ya mapato ya jumla kutokana na mauzo ya mauzo ya kiasi cha Kaboni inayolipwa kila mwaka na Mpendekezaji Asilimia 3 ya mapato ya jumla kutokana na mauzo ya mauzo ya kiasi cha Kaboni inayolipwa kila mwaka na Mpendekezaji Kuongeza MaJedwali - 27 Verify source ↗
Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kuongeza majedwali mapya
AI-assisted research summary: This section proposes amending the main regulations by adding new schedules after the Fifth Schedule.
27. Kanuni kuu zinapendekezwa kurekebishwa kwa kuongeza majedwali mapya mara baada ya Jedwali la Tano kama ifuatavyo: 25 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ______________ JEDWALI LA SITA ______________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 27(4)(a)) BARUA YA KUTOKUWA NA PINGAMIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS Mji wa Serikali, Eneo la Mtumba, Dodoma, Anwani ya simu:“MAKAMU”, Simu Na.: 2113857/2116995 Fax Na.: 2113856 Baruapepe: km@vpo.go.tz TANZANIA. P.O. Box 2502, Unapojibu taja Kumb: …………………………………….. Tarehe:…………………… Anwani ya Mpendekezaji… ……………………………….. ……………………………….. YAH: Barua ya Kutokuwa na Pingamizi inayohusu mradi wa…………………………………. …………………………………………………………………………………………………
Part
JEDWALI LA SITA
- 1 Verify source ↗
Rejea somo tajwa hapo juu na barua yako yenye kumbukumbu Na ………. …… …. ya
AI-assisted research summary: This text asks the reader to refer to the above subject and the referenced letter.
1. Rejea somo tajwa hapo juu na barua yako yenye kumbukumbu Na ………. …… …. ya tarehe ……………. - 2 Verify source ↗
Ofisi ya Makamu wa Rais imepokea na kupitia Andiko la Awali la Mradi
AI-assisted research summary: The Office of the Vice President received and reviewed the proposed project’s preliminary draft.
2. Ofisi ya Makamu wa Rais imepokea na kupitia Andiko la Awali la Mradi unaopendekezwa. - 3 Verify source ↗
Unataarifiwa kwamba
AI-assisted research summary: This section states that Tanzania is a member of certain climate-related agreements, says the government has no objection to the proposed project as submitted in the initial project note, and says the project aligns with national policies, strategies, plans, and priorities.
3. Unataarifiwa kwamba - (a) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanachama wa (Futa isiyohusika) Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi au Itifaki ya Kyoto au Makubaliano ya Paris. (b) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina pingamizi na mradi uliopendekezwa kama ulivyowasilishwa kupitia Andiko la Awali la Mradi. (c) Mradi uliopendekezwa unaendana na sera, mikakati, mipango na vipaumbele vya nchi. - 4 Verify source ↗
Ofisi inakujulisha kuwa, namba ya usajili wa mradi itawekwa hadharani kwa taarifa kwa
AI-assisted research summary: Ofisi lazima iweke hadharani namba ya usajili wa mradi kwa taarifa kwa umma, kadiri inavyofaa.
4. Ofisi inakujulisha kuwa, namba ya usajili wa mradi itawekwa hadharani kwa taarifa kwa umma kadiri inavyofaa. Imesainiwa……………..………… na…………………………………….……………. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This text is a template for a project implementation authorization letter.
5. Muhuri KATIBU MKUU 26 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA SABA ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 28(10)) BARUA YA IDHINI YA UTEKELEZAJI WA MRADI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS Anwani ya simu:“MAKAMU”, Simu Na.: 2113857/2116995 Fax Na.: 2113856 Baruapepe: km@vpo.go.tz Dodoma,TANZANIA. P.O. Box 2502, Mji wa Serikali, Eneo la Mtumba, Unapojibu taja Kumb: …………………………………….. Tarehe:…………………… Anwani ya Mpendekezaji(w)… ……………………………….. ……………………………….. YAH: Barua ya Uidhinishaji Mradi wa……………………………..………………………. …………………………………………………………………………………………………
Part
JEDWALI LA SABA
- 1 Verify source ↗
Rejea somo tajwa hapo juu na barua yako yenye kumbukumbu Na ………………. ya
AI-assisted research summary: This text asks the reader to refer to the letter mentioned above and the referenced letter dated as stated.
1. Rejea somo tajwa hapo juu na barua yako yenye kumbukumbu Na ………………. ya tarehe ……………. - 2 Verify source ↗
Ofisi ya Makamu wa Rais imepokea na kupitia Andiko la Awali la Mradi
AI-assisted research summary: Ofisi ya Makamu wa Rais imepokea na kupitia andiko la awali la mradi unaopendekezwa.
2. Ofisi ya Makamu wa Rais imepokea na kupitia Andiko la Awali la Mradi unaopendekezwa. - 3 Verify source ↗
Unataarifiwa kwamba
AI-assisted research summary: This provision says Tanzania is a member of the listed climate agreements, the government has no objection to the proposed project as submitted, and the project aligns with national policy and priorities.
3. Unataarifiwa kwamba- (a) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanachama wa (Futa isiyohusika) Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi au Itifaki ya Kyoto au Makubaliano ya Paris. (b) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina pingamizi na mradi uliopendekezwa kama ulivyowasilishwa kupitia Andiko la Awali la Mradi. (c) Mradi uliopendekezwa unaendana na sera, mikakati, mipango na vipaumbele vya nchi. - 4 Verify source ↗
Barua hii ni uthibitisho kwamba, mradi wako....................(Taja
AI-assisted research summary: Hii inasema kuwa mradi wako ukiidhinishwa, utalazimika kuzingatia sheria za Tanzania na mikataba ya kimataifa inayohusu biashara ya kaboni.
4. Barua hii ni uthibitisho kwamba, mradi wako....................(Taja la mradi) umeidhinishwa, ambapo utatakiwa kuzingatia sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mikataba ya kimataifa inayosimamia biashara ya kaboni. jina - 5 Verify source ↗
Ofisi inakujulisha kuwa, namba ya usajili wa mradi itawekwa hadharani kwa taarifa kwa
AI-assisted research summary: The Office says the project registration number will be made public.
5. Ofisi inakujulisha kuwa, namba ya usajili wa mradi itawekwa hadharani kwa taarifa kwa umma kadiri inavyofaa. Imesainiwa……………..…………..., ………………….……………. - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section provides the format for an annual report, including project implementation status, project name, implementation period, and preparer.
6. Muhuri KATIBU MKUU 27 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) ____________ JEDWALI LA NANE ____________ (Limetengenezwa chini ya kanuni ya 41(3)) MUUNDO WA RIPOTI YA MWAKA (Taarifa hii isizidi kurasa kumi) Hali ya Utekelezaji wa Mradi Jina la mradi: ……….………………..…………………………………………………………… Kipindi cha utekelezaji: ……….…………………………………………………………………… Imeandaliwa na: ……………………………..……………………………………………………...
Part
JEDWALI LA NANE
- 1 Verify source ↗
Ripoti ya utekelezaji wa mradi
AI-assisted research summary: This section requires a project implementation report, including completed activities, carbon levels generated versus expected, other relevant information, and a financial statement on revenue from sold carbon credits plus cost and profit sharing among stakeholders.
1. Ripoti ya utekelezaji wa mradi (a) Kazi zilizotekelezwa (i) Maelezo ya shughuli za mradi zilizotekelezwa katika kipindi cha kuripoti kulingana na mpango kazi; (ii) Viwango vya kaboni zilizozalishwa ikilinganishwa na viwango vya kaboni vilivyotarajiwa kuzalishwa kama ilivyoainishwa kwenye Andiko la Mradi; na (iii) Taarifa nyingine muhimu. (b) Taarifa za Fedha Taarifa ya fedha inayoonyesha muhtasari wa mapato yanayotokana na viwango vya kaboni vilivyouzwa na mgawanyo wa gharama na faida kwa wadau. - 2 Verify source ↗
Matokeo ya mradi
AI-assisted research summary: This section requires a brief assessment of how far the project’s objectives have been achieved, covering the listed areas.
2. Matokeo ya mradi Tathmini fupi kuhusu kiwango ambacho malengo ya mradi yamefikiwa, ambayo itajumuisha- (a) Mafanikio katika ngazi ya jamii, taifa na kimataifa katika kujenga uwezo; (b) Utekelezaji wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi; (c) Kujenga uelewa; (d) uhaulishaji wa teknolojia; (e) Utunzaji wa Mazingira endelevu; na (f) Taarifa nyingine muhimu. - 3 Verify source ↗
Hali Himilivu ya Usimamizi wa Mradi
AI-assisted research summary: This section lists the items to cover when describing a project’s management status, risks, opportunities, outputs, future plans, sustainability, and other important information.
3. Hali Himilivu ya Usimamizi wa Mradi (a) Changamoto na fursa (Maelezo ya hali iliyosabibisha kubadilika kwa utekelezaji wa shughuli za mradi ikilinganishwa na mpango kazi wa mradi); (b) Tathmini ya vihatarishi na fursa zinazotarajiwa (tathmini ya vihatarishi vya ndani au nje ya Mradi) ambavyo vinaweza kuathiri mafanikio na fursa za baadaye; (c) Matokeo ya mradi (tathmini ya haja ya kufanya marekebisho ya mipango ya shughuli za mradi au matokeo tarajiwa, ikijumuisha hatua za kupunguza vihatarishi); na (d) Taarifa nyingine muhimu. 28 Marekebisho ya Kanuni Za Uthibiti Na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni Tangazo laSerikali Na. 716 (Linaendelea.) Matarajio (a) Shughuli za mradi zilizopangwa kwa kipindi kinachofuata; (b) Uendelevu (tathmini ya kiwango cha athari chanya za mradi); na (c) Taarifa nyingine muhimu. Dodoma, 21 Septemba, 2023 SELEMANI SAIDI JAFO, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makam wa Rais (Muungano na Mazingira) 29
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Udhibiti na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in