Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo WSSA”), (Kurekebisha Bei za Huduma za Maji safi ), ya Mwaka 2023
This section names the order as the Mombo WSSA order, relating to amendments to water service tariffs for 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo WSSA”), (Kurekebisha Bei za Huduma za Maji safi ), ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section names the order as the Mombo WSSA order, relating to amendments to water service tariffs for 2023. Bei za maji safi za Mombo WSSA zinarekebishwa kulingana na Jedwali la Kwanza la Amri hii. Mombo WSSA must follow a set of conditions tied to the approved water prices, including reporting to EWURA, meeting deadlines, and carrying out specified service and infrastructure tasks. This order suspends the application of the 2011 Mombo WSSA water services pricing order.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo WSSA”), (Kurekebisha Bei za Huduma za Maji safi ), ya Mwaka 2023
Showing 4 of 4
- 1 Verify source ↗
Amri hili litajulikana kama Amri ya Mamlaka
AI-assisted research summary: This section names the order as the Mombo WSSA order, relating to amendments to water service tariffs for 2023.
1. Amri hili litajulikana kama Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo WSSA”), (Kurekebisha Bei za Huduma za Maji safi ), ya Mwaka 2023. Marekebisho ya Bei - 3 Verify source ↗
Bei za maji safi za Mombo WSSA
AI-assisted research summary: Bei za maji safi za Mombo WSSA zinarekebishwa kulingana na Jedwali la Kwanza la Amri hii.
3. Bei za maji safi za Mombo WSSA zinarekebishwa kulingana na Jedwali la Kwanza la Amri hii. Masharti - 4 Verify source ↗
Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti
AI-assisted research summary: Mombo WSSA must follow a set of conditions tied to the approved water prices, including reporting to EWURA, meeting deadlines, and carrying out specified service and infrastructure tasks.
4. Bei zilizoidhinishwa zitaambatana na masharti yafuatayo: (a) Kabla ya kutoa ankara kwa kutumia bei na ada zilizoainishwa kwenye Amri hii, Mombo WSSA itapaswa kupeleka ushahidi kwa EWURA kwamba iliwataarifu wateja wake kuhusu agizo jipya la bei na kwamba iliwafahamisha ipasavyo wadau wake ikiwa ni pamoja na viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa, na viongozi wa dini, wateja wake kuhusu mabadiliko ya bei; (b) Kabla au ifikapo tarehe 31 Oktoba 2023, Mombo WSSA itawasilisha EWURA mpango wake wa biashara uliopitiwa upya 1 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo Wssa”), Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi ) Tangazo La Serikali Na. 692 (linaendelea) kwa kuzingatia bei zilizoidhinishwa na mpango wa utekelezaji wa masharti ya Amri hili; (c) Mombo WSSA, kwa kutumia mapato zilizoidhinishwa, iliyoainishwa katika yatokanayo itatekeleza miradi Jedwali la Pili la Amri hii; bei na (d) Mombo WSSA itahakikisha kuwa wateja wote wanafungiwa dira za maji ifikapo tarehe 30 Juni 2024; (e) Mombo WSSA itaandaa na kutekeleza mpango wa kuwafikia wateja wote na taarifa ya kuwasilisha kwa EWURA utekelezaji wa mpango huo kila mwaka; (f) Mombo WSSA itahakikisha hesabu zake za fedha zinakaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na kuwasilisha taarifa ya ukaguzi kila mwaka; na Halmashauri ya Mji wa Mombo ili kupata eneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutibu majitaka ifikapo tarehe 30 Juni 2025; (g) Mombo WSSA itashirikiana (h) Mombo WSSA itahakikisha ina kodi ofisi yenye kwa vya wafanyakazi wake wote kabla au ifikapo tarehe 31 Disemba 2023; vyombo kutosha ihakikishe (i) Mombo WSSA inaimarisha uongozi wake kwa kuajiri watendaji wake wakuu hususan Meneja wa Ufundi, Meneja wa Fedha na Meneja wa Biashara kabla au ifikapo Juni 2025; (j) Mombo WSSA utendaji kama Jedwali la Tatu la Amri hii; itafikia viashiria vya ilivyooneshwa kwenye (k) Mombo WSSA kwa kila mwaka kama sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya 2 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo Wssa”), Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi ) Tangazo La Serikali Na. 692 (linaendelea) mwaka, itawasilisha taarifa ya utekelezaji wa masharti yaliyopo kwenye Amri la Bei na kila kifungu cha gharama katika mahitaji ya kama yalivyoainishwa katika Jedwali la Nne la Amri hii; yaliyoidhinishwa fedha (l) Mombo WSSA itaendelea kuwasilisha EWURA taarifa zake za fedha kama ilivyoidhinishwa katika Jedwali la Nne la amri hii, na utendaji kwa mujibu wa matakwa ya EWURA. Taarifa hizi zitatumiwa na EWURA katika kufanya tathmini ya utendaji wa Mombo WSSA ikilinganishwa na mamlaka nyingine za majisafi na usafi wa mazingira na uboreshaji wa huduma zake; na (m) katika kuhakikisha kunakuwepo na huduma endelevu ya maji hususan kipindi cha kiangazi, Mombo WSSA inaelekezwa kuandaa na kutekeleza mpango wa kuvuna maji ya mvua. Utenguzi T.S Na. la 2011
Part
sehemu ya taarifa yake ya utendaji ya
- 5 Verify source ↗
Amri hii inasitisha matumizi ya Amri ya
AI-assisted research summary: This order suspends the application of the 2011 Mombo WSSA water services pricing order.
5. Amri hii inasitisha matumizi ya Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo WSSA”), (Bei za Huduma za Maji safi ), ya Mwaka 2011. ______________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (limetengenezwa chini ya aya ya 3) BEI, ADA NA TOZO ZILIZOIDHINISHWA Jedwali Namba 1(a): Bei za Maji za Sasa na Zilizoidhinishwa Kundi la Wateja Bei ya Sasa 2022/23 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 2024/25 2025/26 3 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo Wssa”), Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi ) Tangazo La Serikali Na. 692 (linaendelea) Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Magati WASTANI Bei ya Sasa 2022/23 395 Bei Zilizoidhinishwa 2023/24 1,000 2024/25 2025/26 1,100 1,100 390 400 - 500 437 1,000 1,000 1,290 1,000 1,000 1,100 1,100 1,400 1,000 1,100 1,200 1,100 1,400 1,000 1,100 Jedwali Namba 1(b): Bei za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Wateja Wasio na Dira (Shilingi kwa Mwezi) Kundi la Wateja Majumbani Biashara Taasisi Viwanda Magati Bei ya Sasa 2022/23 4,500 9,500 16,500 - 12,000 Bei Zilizoidhinishwa 2024/25 2025/26 2023/24 4,500 Hairuhusiwi Hairuhusiwi Jedwali Namba 1(c): Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa kwa Maunganisho Mapya ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2022/23 Asilimia 20 ya gharama za maunganisho mapya kama ilivyoanishwa kwenye kifungu cha 26 cha Kanuni za Usambazaji Maji za Mwaka 2019 2023/24 Ada Zilizoidhinishwa 2024/25 26,000 2025/26 Jedwali Namba 1(d): Ada za Sasa na Zilizoidhinishwa za Kurejeshewa Huduma ya Maji Kundi la Wateja Majumbani Taasisi Biashara Viwanda Ada ya Sasa 2022/23 5,500 5,500 5,500 5,500 Ada Zilizoidhinishwa 2023/24 15,000 15,000 15,000 15,000 2024/25 15,000 15,000 15,000 15,000 2025/26 15,000 15,000 15,000 15,000 4 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo Wssa”), Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi ) Tangazo La Serikali Na. 692 (linaendelea) _____________ JEDWALI LA PILI _____________ (limetengenezwa chini ya aya ya 4 (c)) MIRADI ITAKAYOTEKELEZWA Maelezo Gharama (TZS) Kupanua mtandao wa mabomba ya kusambaza maji mjini Mombo kwa kilomita 2 Kubadili bomba la urefu wa mita 270 la chuma kuwa la HDPE lenye kipenyo cha milimita 110 na mgandamizo wa mita 160 eneo la Mombo mjini Kuweka miundombinu ya kutibu maji kwenye chanzo cha Kimweri, matanki la Ndulu na Kikwazu Kubadili chemba tatu (3) za valvu eneo la Mbokoi Kubadili valvu tano (5) yenye ukubwa wa inchi 4 Mombo mjini 2023/24 2024/25 2025/26 15,000,000 15,000,000 25,600,000 10,000,000 10,000,000 1,650,000 1,650,000 750,000 1,500,000 1,500,000 Kubadili mita za maji 224 3,120,000 13,420,000 13,854,700 Kununua na kufunga mita za maji 283 kwa wateja wasio na mita Kununua na kufunga mita ya maji kubwa ya inchi 6 kwenye chanzo cha maji cha Mbokoi Kununua na kufunga mita kwa wateja wapya 1,000 Kununua pikipiki mbili (2) kwa wasoma mita Kubadili meza tatu (3) za ofisi Kubadili vita sita (6) vya ofisis Kubadili pikipiki mbili(2) Kununa printa mbili Kununua kompyuta ya mezani moja 36,790,000 800,000 5,850,000 29,255,600 102,109,139 4,000,000 4,000,000 1,500,000 1,200,000 200,000 700,000 5 8,000,000 200,000 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo Wssa”), Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi ) Tangazo La Serikali Na. 692 (linaendelea) Kununua kompyuta mpakato 1 3,000,000 Kutafuta eneo kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutibu majitaka na kupata hati miliki Jumla ya Gharama 12,000,000 53,910,000 83,025,600 185,713,839 ____________ J EDWALI LA TATU _____________ (limetengenezwa chini ya aya ya 4 (j)) VIASHIRIA VYA UTENDAJI Maelezo Kizio Idadi ya watu inayofikiwa na huduma ya maji % Maunganisho mapya ya majisafi No Upotevu wa Maji % Kiwango cha Kufunga Dira za Maji kwa Wateja % % Ufanisi katika Ukusanyaji wa Mapato ____________ Lengo la Utendaji 2023/24 2024/25 2025/26 80 57 95 45 25 30 85 218 23 100 90 737 20 100 95 JEDWALI LA NNE ______________ (limetengenezwa chini ya aya ya 4 (k)) MAPATO YANAYOHITAJIKA Marekebisho ya Mahitaji ya Mapato (TZS) Maelezo Uzalishaji Makisio 2023/24 2024/25 2025/26 11,754,007 12,621,703 13,541,448 Ukarabati na Matengenezo 73,000,000 80,730,000 83,555,550 Utawala 51,368,000 78,595,980 73,254,764 6 Amri ya Mamlaka ya Majisafi Na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo Wssa”), Kurekebisha Bei za Huduma za Maji Safi ) Tangazo La Serikali Na. 692 (linaendelea) Watumishi Matangazo 92,800,002 119,553,182 8,000,000 13,194,000 130,401,89 7 13,394,847 Gharama za Banki 1,640,040 1,702,362 1,767,051 Jumla ya Gharama za Uendeshaji na Matengenezo Uwekezaji wa Miundombinu Mipya 238,562,049 306,397,227 43,440,000 58,255,600 Ukarabati na Kubadili Miundombinu 10,470,000 24,770,000 Mapato Yote Yanayohitajika 292,472,049 389,422,827 315,915,55 8 143,109,13 9 42,604,700 501,629,39 7 Ondoa: Ada ya Maunganisho Mapya 1,170,000 5,668,000 19,162,000 Ada ya Kurejesha Huduma 2,250,000 2,400,000 2,550,000 Mapato Kutokana na Mauzo ya Maji 289,052,049 381,354,82 7 479,917,3 97 Dodoma, ....................2023, JAMES A. MWAINYEKULE Mkurugenzi Mkuu 7
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Amri ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mombo (“Mombo WSSA”), (Kurekebisha Bei za Huduma za Maji safi ), ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in