AI-assisted research summary: Wenye leseni za vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa lazima watoe taarifa na nyaraka mbalimbali kwa EWURA kwa tarehe zilizowekwa, na wamiliki wapya na wa vituo vikuu/vilivyounganishwa wana masharti ya ziada ya kuwasilisha nyaraka za mikataba na mauzo.
5. Gharama za uendeshaji wa vituo vya kushindilia gesi asilia na bei kikomo za mtumiaji zilizoidhinishwa zina ambatana na masharti yafuatayo: (a) mwenye leseni, atawasilisha kwa EWURA gharama halisi za mradi ndani ya miezi sita baada ya tarehe ya kuanza utekelezaji wa mradi; (b) wote wenye leseni ya vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa, kila ifikapo tarehe 30 Aprili kila mwaka, watawasilisha EWURA taarifa za gharama za uendeshaji na matengenezo ikijumuisha kodi na tozo zinazolipwa kwa taasisi mbalimbali za Serikali, na taarifa hizo zinapaswa kuwasilishwa kwenye excel ambayo 3 Amri ya Gharama za Uendeshaji wa Kituo Cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa za Kituo Kikuu, Kituo Kidogo, Kituo Cha Kujazia Gesi Katika Magari Kilichounganishwa Katika Mtandao wa Kusambazia Gesi Asilia, Kituo Cha Kujazia Gesi Katika Magari Ambacho Hakijaunganishwa Katika Mtandao wa Kusambazia Gesi Asilia Na Bei Kikomo Kwa Watumiaji Tangazo La Serikali Na. 669 (Linaendelea) inabadilishika pamoja na viambatisho kama vile risiti; (c) mwenye kila mwezi leseni ya kituo cha gesi asilia iliyoshindiliwa, atawasilisha EWURA kiasi cha gesi asilia alichonunua na kuuza kupitia mfumo wa kitaifa wa taarifa za petroli na gesi na kupitia barua pepe maalum za EWURA; vya gesi asilia (d) miezi sita kutoka tarehe ya kutangazwa kwa Amri hii wamiliki wote wapya wa leseni za vituo iliyoshindiliwa wanatakiwa kuwasilisha EWURA rasimu ya mkataba wa huduma kwa wateja unaohusiana na huduma za gesi asilia iliyoshindiliwa kwa mapitio na kuidhinishwa kwa mujibu wa Mwongozo wa Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa Petroli (Gesi Asilia) wa Mwaka 2019; na (e) wenye leseni za vituo vikuu na vile vilivyounganishwa katika mtandao wa gesi asilia, watawasilisha EWURA makubaliano ya awali ya mauzo ya gesi asilia kabla ya kusainiwa wakati wa kuomba kibali cha awali cha ujenzi kwa ajili ya mapitio. ________________ JEDWALI LA KWANZA ________________ (Limetengenezwa chini ya Amri ya 4) GHARAMA ZILIZOIDHINISHWA ZA UENDESHAJI ZA VITUO VYA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA 4 Amri ya Gharama za Uendeshaji wa Kituo Cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa za Kituo Kikuu, Kituo Kidogo, Kituo Cha Kujazia Gesi Katika Magari Kilichounganishwa Katika Mtandao wa Kusambazia Gesi Asilia, Kituo Cha Kujazia Gesi Katika Magari Ambacho Hakijaunganishwa Katika Mtandao wa Kusambazia Gesi Asilia Na Bei Kikomo Kwa Watumiaji Tangazo La Serikali Na. 669 (Linaendelea) Aina ya Kituo Shilingi/Kilo Kituo Kikuu kituo kilichounganishwa katika bomba la gesi asilia kituo cha nje ya mtandao wa bomba la gesi asilia Kituo Kidogo kwa ajii ya wateja wa viwanda 83 634 669 90 _______________ JEDWALI LA PILI _______________ (Limetengenezwa chini ya amri ya 4) BEI KIKOMO ZILIZOIDHINISHWA ZA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA KWA BAADHI YA MIKOA/WILAYA Mkoa / Wilaya Kituo kilichounganishwa / kituo cha nje ya mtandao wa bomba la gesi asilia Kituo Kidogo kwa Matumizi ya Viwandani 967 1,040 1,086 1,194 1,111 967 Dar es Salaam Kibaha Mlandizi Chalinze Bagamoyo Mkuranga 1,548 1,621 1,668 1,775 1,692 1,548 5 Amri ya Gharama za Uendeshaji wa Kituo Cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa za Kituo Kikuu, Kituo Kidogo, Kituo Cha Kujazia Gesi Katika Magari Kilichounganishwa Katika Mtandao wa Kusambazia Gesi Asilia, Kituo Cha Kujazia Gesi Katika Magari Ambacho Hakijaunganishwa Katika Mtandao wa Kusambazia Gesi Asilia Na Bei Kikomo Kwa Watumiaji Tangazo La Serikali Na. 669 (Linaendelea) Kisarawe Morogoro Lindi Mtwara 1,611 1,950 1,548 1,548 1,030 1,368 967 967 Dodoma, ……………….., 2023 JAMES A. MWAINYEKULE Mkurugenzi Mkuu 6