AI-assisted research summary: General and detailed planning for the area in the Table must be prepared and kept by the named planning and district officials.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu. 1 Tangazo la Serikali Na. 800 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Magu Mjini ________ JEDWALI ________ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV154 yenye majira-nukta 550931MS, 9714926KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS149040’50’’MS kwa umbali wa kilomita 1.726 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV681 yenye majira-nukta 551799MS, 9713435KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS344055’20’’MS kwa umbali wa kilomita 0.312 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV257 yenye majira-nukta 551884MS, 9713134KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS26028’20’MG’ kwa umbali wa kilomita 0.256 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV152 yenye majira-nukta 551770MS, 9712905KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS29054’50’’MG kwa umbali wa kilomita 3.343 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV184 yenye majira-nukta 550103MS, 9710008KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa KZ320003’00’’MG kwa umbali wa kilomita 0.499 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV185 yenye majira-nukta 549789MS, 9710386KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG272000’50’’MG kwa umbali wa kilomita 3.429 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV180 yenye majira-nukta 546360MS, 9710506KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG280057’50’’MG kwa umbali wa kilomita 1.712 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV715 yenye majira- nukta 544678MS, 9710832KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ200052’50’’MS kwa umbali wa kilomita 3.015 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV165 yenye majira-nukta 545753MS, 9713649KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa KZ230050’20’’MS kwa umbali wa kilomita 0.964 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV103 yenye majira-nukta 546501MS, 9714258KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ184038’10’’KZ kwa umbali wa kilomita 0.946 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV134 yenye majira-nukta 546577MS, 9715202KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ128008’50’’MG kwa umbali wa kilomita 3.405 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV127 yenye majira-nukta 543901MS, 9717304KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kufuata mwambao wa Ziwa Viktoria na eneo chepechepe hadi ulipoanzia. Dodoma, MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU, 3 Novemba, 2023 Waziri wa Fedha 2