AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu. itaandaliwa 1 Tangazo la Serikali Na. 801 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Lubugu ________ JEDWALI ________ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV344 yenye majira-nukta 550105MS, 9724758KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG81056’20’’MG kwa umbali wa kilomita 3.034 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV207 yenye majira- nukta 553098MS, 9725252KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS148041’20’’MG kwa umbali wa kilomita 1.691 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV208 yenye majira-nukta 553977MS, 9723808KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS114008’00’’MS kwa umbali wa kilomita 5.275 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV212 yenye majira-nukta 558791MS, 9721651KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS288034’00’’MG kwa umbali wa kilomita 0.830 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV211 yenye majira- nukta 558169MS, 9721102KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS211001’00’’MG kwa umbali wa kilomita 1.304 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV191 yenye majira-nukta 557497MS, 9719985KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS122056’1’’MG kwa umbali wa kilomita 5.158 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV190 yenye majira-nukta 556625MS, 9718639KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS142041’50’’MS kwa umbali wa kilomita 2.131 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV188 yenye majira-nukta 557917MS, 9716944KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS60008’50’’MG kwa umbali wa kilomita 7.049 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV681 yenye majira-nukta 551799MS, 9713435KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mgharibi katika uelekeo wa KZ149040’50’’MG kwa umbali wa kilomita 1.725 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV154 yenye majira-nukta 550931MS, 9714926KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki katika uelekeo wa KZ14020’40’’MS kwa umbali wa kilomita 5.809 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV194 yenye majira-nukta 552370MS, 9720554KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG186044’55’’MG kwa umbali wa kilomita 1.055 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KM2 yenye majira-nukta 551322MS, 9720678KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki kufuata mwambao wa Ziwa Viktoria hadi ulipoanzia. Dodoma, MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU, 3 Novemba, 2023 Waziri wa Fedha 2