AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na ihifadhiwe na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu. 1 Tangazo la Serikali Na. 803 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Bujashi ______ JEDWALI ______ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV719 yenye majira-nukta 514373MS, 9723049KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS18026’10’’KS kwa umbali wa kilomita 2.403 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV23 yenye majira- nukta 513613MS, 9720769KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS8015’00’’MS kwa umbali wa kilomita 3.012 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV29 yenye majira-nukta 513165MS, 9717682KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa KZ136020’10’’MG kwa umbali wa kilomita 2.606 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV30 yenye majira-nukta 511366MS, 9719567KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS35047’30’’KS kwa umbali wa kilomita 0.551 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV31 yenye majira-nukta 511048MS, 9719120KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ128023’40’MG’ kwa umbali wa kilomita 2.848 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV46 yenye majira-nukta 508812MS, 9720889KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG108019’10’’MG kwa umbali wa kilomita 0.527 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV6 yenye majira-nukta 508311MS, 9721055KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS70047’20’’MG kwa umbali wa kilomita 4.278 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV1 yenye majira-nukta 504271MS, 9719647KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS94012’00’’MS kwa umbali wa kilomita 1.384 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV2 yenye majira-nukta 502895MS, 9719748KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ191004’50’’KZ kwa umbali wa kilomita 6.743 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV146 yenye majira-nukta 503458MS, 9726323KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki katika uelekeo wa KZ279001’13’MS’ kwa umbali wa kilomita 1.784 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV35 yenye majira-nukta 503738MS, 9728086KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki katika uelekeo wa KZ315058’38’’MS kwa umbali wa kilomita 4.760 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV45 yenye majira-nukta 507160MS, 9731394KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS313000’50’’MS kwa umbali wa kilomita