AI-assisted research summary: The provision records the Sagani planning area boundary and says the general and detailed plans are to be kept by the listed Magu District land-planning officials.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu. itaandaliwa 1 Tangazo la Serikali Na.804 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Sagani ________ JEDWALI ________ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV174 yenye majira-nukta 542288MS, 9708149KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ107021’55’’MG kwa umbali wa kilomita 1.262 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV645 yenye majira-nukta 542664MS, 9709353KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ98012’33’’KZ kwa umbali wa kilomita 0.854 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV155 yenye majira-nukta 542786MS, 9710199KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS251029’20’’MS kwa umbali wa kilomita 1.956 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV715 yenye majira-nukta 544678MS, 9710832KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS280057’50’’MS kwa umbali wa kilomita 1.712 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV180 yenye majira-nukta 546360MS, 9710506KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS272000’50’’MS kwa umbali wa kilomita 3.429 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV185 yenye majira-nukta 549789MS, 9710386KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa KS320003’59’’MS kwa umbali wa kilomita 0.491 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV184 yenye majira-nukta 550103MS, 9710008KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS25028’00’’KS kwa umbali wa kilomita 1.254 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV246 yenye majira-nukta 550044MS, 9708895KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS59028’30’’MG kwa umbali wa kilomita 1.254 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV172 yenye majira- nukta 547786MS, 9707827KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KS65035’20’’MG kwa umbali wa kilomita 1.191 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV177 yenye majira-nukta 546701MS, 9707335KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ100026’50’’MG kwa umbali wa kilomita 4.488 hadi ulipoanzia. . Dodoma, 19 Oktoba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2