AI-assisted research summary: The planning directors must prepare and keep general and detailed plans for the area listed in the Schedule.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa. 1 Tangazo la Serikali Na. 807 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Nyakaliro ________ JEDWALI ________ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: ’Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK1 yenye majira - nukta 433672.850MS, 9729931.062KZ; baada ya hapo mpaka unelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ1130MS kwa umbali wa kilomita 1.1 kukatisha barabara iendayo Kome hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK2 yenye majira - nukta 434632.509MS, 9730481.558KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS1510MS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK3 yenye majira - nukta 435342.774MS, 9730469.971KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mahariki katika uelekeo wa KS1040 MS kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK 4 yenye majira - nukta 435488.544MS, 9729857.131KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS1270MG kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK5 yenye majira - nukta 435119.973MS, 9729406.443KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS1270MS kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK6 yenye majira - nukta 435396.658MS, 9728238KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG750 MG kwa umbali wa kilomita 0.5 kukatisha barabara itokayo Bukokwa hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK7 yenye majira - nukta 434878.347MS, 9728252.905KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ1100MG kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK8 yenye majira - nukta 434610.323MS, 9729045.160KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ2360MG kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MPK9 yenye majira - nukta 433754.743MS, 9729282.032KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ1130KZ kwa umbali wa kilomita 0.7 kukatisha barabara iendayo Irenza hadi ulipoanzia.. Dodoma, 19 Oktoba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2