AI-assisted research summary: For the area listed in the Schedule, general and detailed plans must be prepared and kept by the Town Planning Director and the Magu District Council Executive Director.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu. 1 Tangazo la Serikali Na. 808 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Nyigogo ________ JEDWALI ________ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV127 yenye majira-nukta 543901MS, 9717304KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa KS128008’50’MS’ kwa umbali wa kilomita 3.405 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV134 yenye majira-nukta 546577MS,9 715202KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS184038’10’’KS kwa umbali wa kilomita 0.946 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV103 yenye majira-nukta 546501MS, 9714258KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS230050’20’’MG kwa umbali wa kilomita 0.964 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV165 yenye majira-nukta 545753MS, 9713649KZ; katika uelekeo wa KS200052’50’’MG kwa umbali wa kilomita 3.015 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV715 yenye majira-nukta 544678MS, 9710832KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa KS251029’50’’MG kwa umbali wa kilomita 1.956 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV155 yenye majira-nukta 542786MS, 9710199KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS98012’33’’KS kwa umbali wa kilomita 0.854 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV645 yenye majira-nukta 542664MS, 9709353KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS107021’55’’MG kwa umbali wa kilomita 1.262 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV174 yenye majira-nukta 542288MS, 9708149KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa KS66055’20’’MS kwa umbali wa kilomita 2.639 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV160 yenye majira-nukta 539860MS, 9707114KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa KZ286057’40’’MG kwa umbali wa kilomita 3.015 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV129 yenye majira-nukta 537474MS, 9708088KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa KS175033’00’’MG kwa umbali wa kilomita 3.553 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV130 yenye majira-nukta 537303MS, 9711571KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa KZ141059’30’’MG kwa umbali wa kilomita 1.599 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MV149 yenye majira-nukta 536118MS, 9712831KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS271003’30’’MS kwa umbali wa kilomita