AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Town Planning and the Executive Director of Misungwi District Council.
3. Mipango ya jumla na ya kina kwenye eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi. 1 Tangazo la Serikali Na. 813 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Mwaholo _______ JEDWALI _______ (Iimetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B1 yenye majira –nukta 508484MS, 9703809KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kasikazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ21°48’41”MS kwa umbali wa kilomita 0.912 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B2 yenye majira – nukta 509331.78MS, 9704148KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ29°13’57” MS kwa umbali wa kilomita 0.935 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B3 yenye majira – nukta 510147.564MS, 9704604.694KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kasikazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ128°9’ 59”MG kwa umbali wa kilomita 0.508 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B4 yenye majira – nukta 509833.331MS, 9705004.493KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ282°0’10”KZ kwa umbali wa kilomita 0.817 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B5 yenye majira – kuta 509662.781MS, 9705801.172KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo KZ267°49’1”KZ kwa umbali wa kilomita 0.453 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B6 yenye majira – nukta 509680.046MS, 9706254.06KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kukatisha eneo chepechepe (swamp) katika uelekeo wa KZ47°28’ 22”MS kwa umbali wa kilomita 0.795 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B7 yenye majira – nukta 510217.651MS, 9706840.193KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ58°4’9”MS kwa umbali wa kilomita 0.602 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B8 yenye majira – nukta 510536.237MS, 9707351.411KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ51°43’56”MS kwa umbali wa kilomita 1.046 hadi mto Nyamatara kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B9 yenye majira – nukta 511184.127MS, 9708172.729KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kufuata bonde la Mto Nyamatara hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KV345 yenye majira – nukta 510747.165MS, 9709278.930KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kufuata bonde la Mto Nyamatara hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B16 yenye majira – nukta 507255.951MS, 9708317.657KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kufuata bonde la mto Nyamatara hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B17 yenye majira – nukta 506109.803MS, 9706850.729KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kukatisha bonde la Mto Nyamatara hadi ulipoanzia. Dodoma, 19 Oktoba, 2023 JERRY WILLIAM SILAA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2