Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa za Mwaka 2023
This provision gives the short title of the bylaw: the Kyerwa District Council Fees and Taxes Bylaw, 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa za Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the short title of the bylaw: the Kyerwa District Council Fees and Taxes Bylaw, 2023. This bylaw applies throughout the area under the jurisdiction of Kyerwa District Council. This section defines key terms used in the by-law. Halmashauri lazima itoze ada na ushuru kwa leseni, vibali, na huduma zilizoainishwa, na malipo yafanywe kabla au wakati wa kupokea huduma. A person who must pay a fee or tax under this bylaw must pay it at the rates set out in the bylaw.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa za Mwaka 2023
Showing 21 of 21
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This provision gives the short title of the bylaw: the Kyerwa District Council Fees and Taxes Bylaw, 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa za Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This bylaw applies throughout the area under the jurisdiction of Kyerwa District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-law.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa lengo la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa au afisa yeyote aliyeteuliwa 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) Sura 167 kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “soko” maana yake ni ni eneo au soko liliotengwa na linalomikiwa na Halmashauri kama soko; ya “hifadhi ya barabara” maana yake ni kama iliyoainishwa katika Sheria ya Barabara; “stendi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa au kujengwa na Halmashauri kwa ajili ya kupakia na kushusha abiria au mizigo; “ushuru” maana yake ni maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni mtu binafsi au kikundi cha watu, kampuni limeteuliwa na Halmashauri kufanya kazi yoyote chini ya Sheria Ndogo hii kwa niaba ya Halmashauri husika. ambalo shirika au Utozaji wa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoze ada na ushuru kwa leseni, vibali, na huduma zilizoainishwa, na malipo yafanywe kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na vibali, Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: A person who must pay a fee or tax under this bylaw must pay it at the rates set out in the bylaw.
5. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. Muda wa - 6 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Halmashauri au wakala wake hukusanya ada na ushuru ndani ya muda uliotajwa, na wanaweza kukusanya baada ya muda huo kwa kibali maalumu cha Mkurugenzi.
6.-(1) Muda wa kukusanya ada na ushuru utakuwa ni 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) kukusanya ada na ushuru Ukusanyaj i wa madeni kuanzia Saa kumi na Mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalumu kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda uliotajwa katika aya ndogo ya (1). (3) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada na ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa
AI-assisted research summary: The council may recover unpaid fees and taxes through court action or by seizing movable property, and it must give seven days’ notice before selling seized property.
7.-(1) Halmashauri inaweza kukusanya ushuru kwa njia ya Mahakama endapo mtu au taasisi itakuwa imeshindwa kulipa ada na ushuru kwa muda uliokubaliwa. (2) Bila kuathiri masharti yaliyoainishwa katika aya ndogo ya (1), Halmashauri inaweza kukusanya madeni ya ushuru kwa njia ya kukamata au kushikilia mali zinazohamishika za wadaiwa zenye thamani sawa na deni la ushuru pamoja na gharama za kukamata. (3) Baada ya kipindi cha siku thelathini kupita tangu kukamatwa kwa mali za mdaiwa, Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuziuza kwa njia ya mnada baada ya kupata idhini ya Mahakama. (4) Endapo mali zilizokamatwa zinaweza kuharibika kwa haraka, Halmashauri itakuwa na uwezo wa kuziuza kabla hazijaharibika baada ya kupata idhini ya Mahakama. (5) Bila kuathiri masharti yaliyowekwa katika aya ndogo ya (3) na (4), Halmashauri kabla ya kuuza mali yoyote iliyokamatwa, Mkurugenzi atatoa taarifa ya siku saba kwa mdaiwa na umma juu ya kusudio la kuuza mali hizo. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote ile itakayotokea ama wakati wa kukusanya madeni au kwa mali itakayokamatwa na kushikiliwa na Halmashauri, isipokuwa kama hasara hiyo itakuwa imesababishwa na uzembe wa watumishi wa Halmashauri. Uteuzi wa wakala - 8 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru, na wakala aliyechaguliwa lazima akusanye na apokee ushuru katika eneo lake na kwa viwango vilivyoidhinishwa, atumie mfumo wa kielektroniki, na awasilishe makusanyo yote kwa masharti ya mkataba wa uwakala.
8.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; na (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya Mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. Maeneo ya machinjio Mamlaka ya Afisa Mwidhini wa Minara ya Mawasilia no - 9 Verify source ↗
Mtu yeyote anayetaka au atakayetaka kuchinja
AI-assisted research summary: Mtu anayetaka kuchinja mnyama lazima amchinje katika machinjio yaliyoainishwa na Halmashauri.
9. Mtu yeyote anayetaka au atakayetaka kuchinja mnyama au wanyama atatakiwa kuchinja mnyama au wanyama wake kwenye machinjio yatakayoainishwa na Halmashauri. - 10 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyoainishwa na Sheria
AI-assisted research summary: A designated officer may enter a place, building, or vehicle after working hours to collect fees or taxes, make an assessment, or handle matters related to fees, taxes, licences, or permits under the bylaw.
10. Bila kuathiri masharti yaliyoainishwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri baada ya muda wa kazi kuisha kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. - 11 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayetaka kujenga mnara wa
AI-assisted research summary: Anyone who wants to build a communications tower must get a written permit from the Council.
11.-(1) Mtu yeyote anayetaka kujenga mnara wa mawasiliano atatakiwa kuomba kibali cha maandishi kutoka Halmashauri. (2) Endapo mtu atajenga mnara wa mawasiliano bila kibali, Halmashauri itatoa notisi ya siku saba ya kuondoa 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) mnara huo. (3) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (2), mtu atatakiwa kuondoa mnara huo kwa gharama zake binafsi, na endapo atashindwa kuondoa mnara huo Halmashauri itauondoa na atatakiwa kuilipa Halmashauri gharama zilizotumika. Makosa na adhabu - 12 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Anyone who does any of the listed acts commits an offence, and conviction can lead to a fine, imprisonment, or both.
12.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti yoyote ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Kufifilish a kosa - 13 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji Shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, ajaze fomu maalum ya Jedwali la Pili, na alipe ada au ushuru unaodaiwa.
13. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha Shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. tayari kujaza 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA KWANZA ______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(1)) SEHEMU I: USHURU WA MAZAO Namba Aina ya Zao Kipimo Kiasi (Shilingi)
Part
SEHEMU I: USHURU WA MAZAO
- 18 Verify source ↗
Section 18
AI-assisted research summary: This section lists charges and fees for several crops, parking at the central bus station, taxi registration, and parking charges for different vehicle types.
18. Mahindi Maharage Ndizi Viazi mviringo Karanga Ulezi Muhogo Viazi vitamu Njegere Magimbi Nyanya Vitunguu Parachichi Matango Tikitimaji Alizeti Mpunga Tangawizi Gunia Gunia Mkungu Gunia Gunia Gunia Gunia Gunia Gunia Gunia Tenga Gunia Gunia Gunia Gunia Gunia Gunia Gunia 3,000/= 3,000/= 300/= 3,000/= 4,560/= 4,560/= 3,000/= 3,000/= 4,560/= 3,000/= 2,000/= 3,000/= 3,000/= 2,500/= 2,000/= 3,000/= 3,000/= 3,000/= SEHEMU YA II: USHURU WA MAEGESHO NA HUDUMA ZA USAFIRISHAJI (a) Ushuru wa kuegesha magari kituo kikuu cha mabasi Na. Muda Kiasi (Shilingi) Aina ya Chombo cha Usafiri Mabasi makubwa (i) (ii) Mabasi ya Kati (iii) Mabasi madogo (iv) Teksi kwa kila Safari kwa kila Safari kwa kila Safari kwa Siku 5,000/= 4,000/= 2,000/= 2,000/= 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) (b) Ushuru wa usajili wa Teksi Namba Aina ya Chombo cha Usafiri Muda Kiasi (Shilingi) (i) Teksi Kwa Mwaka 100,000/= (b) Ushuru wa Magari maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya maegesho Namba Muda Kiasi (Shilingi) (i) (ii) (iii) (iv) Aina ya Chombo cha Usafiri Gari ndogo za kawaida Gari (kuanzia tani 11/2 hadi 61/2 Ushuru wa lori (Tani 7) Ushuru wa magari (zaidi ya tani 7) kwa siku kwa siku kwa siku kwa siku 1,000/= 1,500/= 2,000/= 2,500/= SEHEMU YA III: USHURU WA MAZAO YA MISITU Na. Aina ya Huduma Kiwango cha Ada (Shilingi)
Part
SEHEMU YA III: USHURU WA MAZAO YA MISITU
- 14 Verify source ↗
Section 14
AI-assisted research summary: This section lists various fees and tariffs for timber, charcoal, honey, wax, firewood, logs, permits, and saw registration.
14. 5% ya bei ya ubao Ushuru wa kupasua mbao kwa misitu ya Serikali 1,000 kila ubao Ushuru wa kupasua mbao kwa mtu binafsi 3,000/- gunia Gunia la mkaa 15,000/-kwa kila nguzo Mauzo ya nguzo za miti (chini ya sm 20) 200/- kila lita Asali 200/- kila lita Nta 20,000/-kwa tani moja Kuni (Sm 1) 400/-kila ubao Ubao futi 7 400/-kila ubao Ubao futi 12 Ushuru wa magogo ya kupandwa 1,000/- kwa kila gogo Ushuru wa magogo ya asili 1,000/- kwa kila gogo Kibali kukata miti ya asili Usajili mlolongo msumeno kwa mwaka Ushuru wa mirunda 65,000/- kwa kila kibali 100,000/- 400/- kila mrunda SEHEMU YA IV: USHURU MBALIMBALI WA MIFUGO ADA NA USHURU WA MACHINJIO Na.
Part
SEHEMU YA IV: USHURU MBALIMBALI WA MIFUGO
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This section lists local charges for slaughtering livestock and an auction fee.
3. (A) Ushuru wa kuchinja Aina ya Huduma Ng’ombe Mbuzi au Kondoo Nguruwe Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 2,000/- kwa kila mmoja 1,000/- kwa kila mmoja 1,000/- kwa kila mmoja (B) Ushuru wa Mnada 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) Na. Aina ya Huduma Kiwango cha Ushuru (Shilingi) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists fees and charges for livestock trading, skins, permits, and transporting manure or hides.
7. Ushuru wa biashara ya mifugo mnadani Ngómbe au punda Mbuzi au Kondoo Ushuru wa malisho au machunga Ushuru wa uzalishaji ngozi ya ngómbe Ushuru wa uzalishaji ngozi ya mbuzi au kondoo Ushuru wa usafirishaji Ngozi Leseni ya biashara ya mifugo na mazao yake Ushuru wa kusafirisha mbolea ya samadi 5,000/= kwa kila Ng’ombe au Punda 1,500/= kwa kila mbuzi au kondoo 2,000/= kwa ngómbe kwa Mwaka 1,000/= kwa kila ngozi 500 kwa kila ngozi 10,000 kwa kila kibali 105,000/= kwa mwaka 1,000 kwa gari SEHEMU YA V: ADA ZA SHUGHULI ZA BURUDANI NA TIBA MBADALA Na.
Part
SEHEMU YA V: ADA ZA SHUGHULI ZA BURUDANI NA TIBA MBADALA
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: This section lists fees for entertainment, sports, and related permits and registrations.
10. (A) SHUGHULI ZA BURUDANI Aina ya Huduma Disko za siku za kawaida, sikukuu na mwisho wa juma Waganga wa jadi Michezo ya sanaa za maonesho ngoma au maigizo au sarakasi au michezo ya nguvu. Shughuli za sanaa za ufundi (uchoraji) picha, upakaji rangi, vinyago Kibali cha kuendesha ligi ya mpira wa miguu (kama uwanja haufungwi na kutolewa viingilio) Kibali cha kuendesha ligi ya mpira wa miguu (kama uwanja unafungwa na kutolewa viingilio) Kibali cha kuendesha bonanza la Michezo Ada ya usajili wa vilabu na vyama vya michezo Ada ya usajili na vibali vya wasanii au Wapiga mziki au Washereheshaji au vikundi vya sanaa za maonesho au kwaya na kumbi za starehe na maonesho Kunasa kanda za sauti kwa vikundi wakati wa mashindano ama shughuli iliyoandaliwa na Halmashauri 8 Kiwango cha Ada (Shilingi) 20,000/- kwa siku 150,000/- kwa mwaka Shilingi 20,000/- kwa siku katika kumbi. 10,000/- kwa onesho 50,000/- kwa ligi nzima. 200,000/- kwa ligi nzima 20,000/- kwa bonanza zima 25% ya malipo ya BMT 25% ya malipo ya BASATA 10,000/- kwa siku Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: Section 19 lists fees for several services and activities, including advertising, museum/historical access, research, and traditional medicine services.
19. Kutangaza biashara kwa vipaza sauti Vikundi vya sanaa za ufundi Kuendesha promotion au matangazo katika baa au hoteli au maeneo ya wazi Wasambazaji wa cable za runinga (TV) Kucheza meza za pool Utundikaji wa matangazo ya vitambaa kwenye barabara Utundikaji wa matangazo ya karatasi Sehemu za makumbusho au za kihistoria kwa mtu mmoja: i. Mtu mzima raia ii. Mtu mzima asiye raia iii. Mwanafunzi wa nje ya nchi iv. Mwanafunzi wa ndani ya nchi Kuendesha utafiti wa mambo ya kale na tafiti nyingine zinazofanana na hizo kwa miezi mitatu: i. Raia wa Tanzania ii. Asiye raia wa Tanzania 20,000/- kwa siku 10,000/= kwa mwaka 20,000/- kwa siku 30,000/- kwa mwezi 10,000/- kwa mwezi 2,000/- kwa mwezi 10,000/- kwa mwezi 1,000 Dola za Kimarekani 10 Dola za Kimarekani 5 Bure 50,000/= Dola za Kimarekani 70 (B) DAWA ZA ASILI NA TIBA MBADALA Aina ya Huduma Na. Ada (Shilingi) i ii iii iv v vi vii viii ix x xi Kuuza madawa ya Tiba Asili kwenye gulio Kuuza madawa ya Tiba Mbadala kwenye gulio Kuuza madawa kwa mtoa huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala ambaye amesajiliwa nje ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mtoa huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala ambaye sio Mtanzania Mtoa huduma za Ukunga Muuza dawa za Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa njia ya Duka au Stoo Kituo cha Zahanati cha Tiba Asili na Tiba Mbadala Kituo cha Afya cha Tiba Asili na Tiba Mbadala Hospitali ya Tiba Asili na Tiba Mbadala Kiwanda cha Kutengeneza dawa za Tiba Asili na Tiba Mbadala Ukaguzi: Duka, Stoo, Mganga na Mkunga Zahanati, Kituo cha Afya Hospitali na 9 Mwaka Siku 1,500.00/= 2,000.00/= 3,000.00/= Dola za Kimarekani 3.0 50,000.00/= 50,000.00/= 100,000.00/= 300,000.00/= 500,000.00/= 150,000.00/= 30,000.00/= 100,000.00/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) Kiwanda SEHEMU VI: ADAYA VIBALI VYA UJENZI (A) VIBALI VYA UJENZI Na. Ukubwa wa eneo Kiwango cha tozo (Shilingi)
Part
SEHEMU VI: ADAYA VIBALI VYA UJENZI
- 464 Verify source ↗
51m2 hadi 557.42m2
AI-assisted research summary: There is a fee table for permanent fence building permits based on area size, with amounts listed in shillings.
464.51m2 hadi 557.42m2 20,000/= 25,000/= 35,000/= 45,000/= 60,000/= 90,000/= 120,000/= 150,000/= (B) VIBALI VYA KUJENGA UZIO WA KUDUMU Na. Ukubwa wa eneo Kiwango cha tozo (Shilingi) - 100 Verify source ↗
m2 hadi 600m2
AI-assisted research summary: This provision shows area bands in square metres and corresponding amounts in Tanzanian shillings, and includes a form for acknowledging an offence and agreeing to pay fees, taxes, and a fine instead of going to court.
100.m2 hadi 600m2 601m2 hadi 1600m2 1601m2 hadi 4000m2 4001m2 hadi 6000m2 Zaidi ya 6001m2 30,000/= 50,000/= 75,000/= 100,000/= 120,000/= 1 2 3 4 5 6 7 8 1 2 3 4 5 ___________ JEDWALI LA PILI _____________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 13) HATI YA UFILILISHAJI WA MAKOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ya mwaka, 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Leo tarehe…………. Jina……………………………….. Saini……………………… 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) MBELE YANGU: Jina: ……………………………………..…………………… Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………. 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Tangazo la Serikali Na. 886 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Kerywa imegongwa kwenye sheria Ndogo hizi kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmshauri ya Wilaya ya Kyerwa uliofanyika Tarehe …. Mwezi… Mwaka…. na Kushudiwa na Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya :- SACF. JAMES MARCO Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa MH. BAHATI HENERICO Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 20 Novemba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa za Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in