Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
This section states the short title of the bylaw.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the short title of the bylaw. This by-law applies throughout the entire area of Mkinga District Council. This section defines key terms used in the bylaw, including fees, authorised officers, entertainment areas, the Council, entertainment permits, the Director, and entertainment activities. Mtu anayetaka kufanya shughuli ya burudani katika eneo la Halmashauri lazima apate kibali cha maandishi kutoka Halmashauri, na maombi ya vibali hulipiwa ada kwa viwango vya Jedwali la Kwanza. A person who wants to do entertainment activities must apply for a permit through the local executive officer to the Director, use the Second Schedule form, and if approved must send a copy of the permit and fee receipt to the District Police Commander.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
Showing 33 of 33
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: This section states the short title of the bylaw.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the entire area of Mkinga District Council.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga. ` - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fees, authorised officers, entertainment areas, the Council, entertainment permits, the Director, and entertainment activities.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; ”afisa mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “eneo la burudani” ni mahali popote ambapo shughuli ya lengo burudani inafanyika; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga; “kibali cha burudani” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; kwa ajili ya shughuli za burudani; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “shughuli ya burudani” maana yake ni sherehe, shughuli yoyote ile ya kijamii,sanaa na utamaduni, michezo na muziki. Wajibu wa kuwa na kibali - 4 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayetaka kufanya shughuli ya
AI-assisted research summary: Mtu anayetaka kufanya shughuli ya burudani katika eneo la Halmashauri lazima apate kibali cha maandishi kutoka Halmashauri, na maombi ya vibali hulipiwa ada kwa viwango vya Jedwali la Kwanza.
4.-(1) Mtu yeyote anayetaka kufanya shughuli ya burudani katika eneo la Halmashauri anapaswa kuwa na kibali cha maandishi kitakachotolewa na Halmashauri. (2) Maombi yote ya vibali yatalipiwa ada kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza. Utaratibu wa kuomba kibali Wajibu wa mmiliki wa ukumbi - 5 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayetaka kufanya shughuli ya
AI-assisted research summary: A person who wants to do entertainment activities must apply for a permit through the local executive officer to the Director, use the Second Schedule form, and if approved must send a copy of the permit and fee receipt to the District Police Commander.
5.-(1) Mtu yeyote anayetaka kufanya shughuli ya anapaswa burudani katika kuwasilisha maombi ya kibali kwa Mkurugenzi kupitia kwa Afisa Mtendaji. la Halmashauri eneo (2) Maombi chini ya aya ndogo ya (1) yatafanywa kupitia Fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili (3) Iwapo maombi ya kibali yatakataliwa, Halmashauri itamtaarifu mwombaji kwa maandishi na kutoa sababu za kukataa maombi ya kibali. (4) Mtu yeyote atakayepata kibali cha kufanya shughuli za burudani atapaswa kupeleka nakala ya kibali hicho kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ikiwa na kiambatanisho cha stakabadhi ya malipo ya ada. - 6 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa ukumbi wa muziki,
AI-assisted research summary: Wamiliki wa kumbi za muziki, burudani au baa lazima wapige muziki kwa sauti ya kawaida na wasiwaruhusu wanafunzi au walio chini ya miaka 18 kuingia; waoneshaji wa picha mjongeo au sinema lazima pia wapunguze sauti wakati wa onesho.
6.-(1) Kila mmiliki wa ukumbi wa muziki, burudani au baa atakuwa na wajibu wa: (a) kupiga muziki kwa kiwango cha sauti cha kawaida bila kuathiri watu wanaozunguka eneo la ukumbi huo wa muziki ; (b) kuhakikisha wanafunzi au mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane haingii katika kumbi hizo na endapo itabainika kuingia kwa wanafunzi au watoto mmiliki wa kumbi 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) atakuwa ametenda kosa. (2) Kila mwonesha picha mjongeo au sinema atatakiwa kuweka sauti ya chini wakati wa onesho bila kuathiri majirani wanaomzunguka. Vigezo vya utoaji kibali - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe kibali cha shughuli ya burudani ikiwa itaridhika kuwa masharti ya usalama, matumizi ya eneo, na amani yametimizwa; muda wa burudani ni saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 usiku.
7.-(1) Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na mambo yafuatayo: (a) shughuli ya burudani inayoombewa kibali haitasababisha uvunjifu wa amani; (b) eneo linaloombewa kibali cha kufanya shughuli shughuli linaruhusiwa kwa ya burudani inayoombewa kibali; na Marufuku (c) kumbi za burudani zina usalama wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuwepo madirisha ya kutosha ya kuingiza na kutolea hewa, milango ya dharura, umeme na milango inayofunguka kwa urahisi wakati wa dharura. (2) Muda wa burudani utakuwa ni kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 6:00 usiku. - 8 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni marufuku kwa
AI-assisted research summary: It prohibits under-18s from entering pleasure places after permitted hours, bans showing immoral animated pictures at cinemas or similar places, and restricts night attendance by under-18s at music or kigodoro events.
8.-(1) Itakuwa ni marufuku kwa: (a) watoto na wanafunzi au mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane kuruhusiwa kuingia kwenye sehemu za starehe baada ya muda ulioruhusiwa kwisha au kulingana na sheria; (b) mwenye ukumbi wa picha mjongeo na sinema au sehemu yoyote kuonesha picha za mjongeo ambazo hazina maadili; (c) mwanafunzi au mtoto chini ya umri wa miaka kumi na nane kukutwa wakati wa usiku kwenye muziki au kigodoro na endapo mwanafunzi au mtoto akikutwa, mwanafunzi au mtoto na mzazi watawajibishwa kwa mujibu wa Sheria 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) Ndogo hii. Mmamlaka ya kufanya ukaguzi Mkusanyiko wa watoto (2) Muda wa kuonesha picha mjongeo au sinema utaanzia saa kumi kamili jioni hadi saa sita usiku kwa siku za kazi, isipokuwa jumamosi na jumapili na siku za sikukuu itakuwa kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi na mbili jioni. - 9 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia mahali pa shughuli ya burudani wakati wowote kwa ajili ya kukagua kibali au ufuataji wa masharti, na anaweza kutoa maelekezo ikiwemo kusitisha shughuli hiyo kulingana na matokeo ya ukaguzi.
9.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kuingia mahala popote panapofanyika shughuli ya burudani au anapoamini kuna shughuli ya burudani inafanyika muda wowote kwa lengo la kukagua iwapo shughuli hiyo ina kibali au inafuata masharti ya kibali kulingana na Sheria Ndogo hii. (2) Katika kutekeleza mamlaka yake chini ya aya ndogo ya (1), afisa mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kutoa maelekezo yoyote ikiwa ni pamoja na kusitisha shughuli ya burudani kulingana na hali itakayobainika baada ya ukaguzi kufanyika. - 10 Verify source ↗
(1) Ni marufuku kwa mtu yeyote kukusanya
AI-assisted research summary: Kukusanya watoto kwa shughuli yoyote ya Halmashauri ni marufuku bila kibali cha maandishi cha Halmashauri, na mkusanyiko wenye kibali lazima ufanyike siku za mapumziko kwa muda uliowekwa. Mtu mwenye kibali lazima pia ahakikishe usalama wa watoto na kuwasambaratisha kwa usalama baada ya mkusanyiko.
10.-(1) Ni marufuku kwa mtu yeyote kukusanya ile ndani ya watoto kwa ajili ya shughuli yoyote Halmashauri bila kibali cha maandishi cha Halmashauri. (2) Mkusanyiko wowote wa watoto uliopata kibali cha Halmashauri kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) utafanyika siku za mapumziko na utaanza saa nne kamili asubuhi na utamalizika kabla ya saa kumi na mbili jioni. (3) Mtu yeyote aliyepata kibali cha mkusanyiko wa watoto atakuwa na wajibu wa kuhakikisha usalama wao kipindi chote cha mkusanyiko huo na kuhakikisha wanatawanyika kwa usalama kutoka katika eneo la mkusanyiko. (4) Itakuwa ni makosa kwa mzazi, mlezi au mtu yeyote mwenye mamlaka juu ya mtoto kuruhusu au kusababisha kwa uzembe mtoto kuhudhuria mkusanyiko 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) usio na kibali cha Halmashauri. Vibali visivyotozwa ada Usafi wa mazingira - 11 Verify source ↗
Mikusanyiko ifuatayo itaombewa vibali bila
AI-assisted research summary: Certain gatherings may be granted permits without paying a fee.
11. Mikusanyiko ifuatayo itaombewa vibali bila kulipa ada: (a) mikusanyiko ya kidini; (b) misiba na mazishi; na (c) michezo ya watoto isiyotozwa. - 12 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakayeendesha shughuli za
AI-assisted research summary: An event operator in the Halmashauri area must clean the area used for the entertainment activity and remove all waste caused by it.
12.-(1) Mtu yeyote atakayeendesha shughuli za burudani ndani ya mamlaka ya Halmashauri atalazimika kufanya usafi ndani au nje ya eneo lililotumika katika shughuli ya burudani kwa kuondoa uchafu wote uliosababishwa na shughuli ya burudani. (2) Mtu yeyote atakayeshindwa kutekeleza masharti ya aya ndogo ya (1) atalipa gharama ya uchafuzi wa mazingira kadri zitakavyokadiriwa na Halmashauri na gharama zingine ambazo Halmashauri itaingia katika kuondoa uchafu huo. Muziki unaoleta kero - 13 Verify source ↗
Mtu yeyote aliyepata
AI-assisted research summary: A business-licensed person must not play music that causes nuisance to neighbors and the public at large on their business premises.
13. Mtu yeyote aliyepata leseni ya biashara haruhusiwi kupiga muziki unaoleta kero kwa majirani na jamii kwa ujumla kwenye eneo lake la biashara. Ukamataji wa vifaa - 14 Verify source ↗
(1) Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kukamata vifaa vinavyopatikana kwenye shughuli ya burudani isiyo na kibali au inayokiuka masharti ya kibali, kuvihifadhi, na kuviuza kwa mnada ikiwa havikukombolewa ndani ya siku 7 na mahakama imeidhinisha.
14.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kukamata vifaa vyovyote vitakavyokutwa katika shughuli ya burudani ambayo haina kibali au inayoendeshwa bila kuzingatia masharti ya kibali. (2) Vifaa vitakavyokamatwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) vitachukuliwa na kuhifadhiwa katika ofisi za Halmashauri litakaloamuliwa na Halmashauri. lolote eneo au (3) Vifaa vilivyokamatwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii vitatakiwa kukombolewa ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya kukamatwa na baada ya hapo Halmashauri inaweza kuuza vifaa hivyo kwa mnada baada 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) ya kuomba na kupata kibali cha Mahakama. Makosa na adhabu Kufifilisha kosa (4) Mtu yeyote anayetaka kurejeshewa vifaa vilivyokamatwa chini ya Sheria Ndogo hii atawajibika kulipa gharama za ukamataji, usafirishaji na ulinzi. - 15 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Anyone who breaches the by-law commits an offence and, if convicted, may be fined or imprisoned, or both.
15. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na endapo akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili jela au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji hadi shilingi laki mbili ikiwa mkosaji anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalumu, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
16. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalumu iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. __________________ JEDWALI LA KWANZA __________________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 4(2)) ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA BURUDANI Namba Aina ya Shughuli
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This provision lists entertainment and related activities together with the fee charged for each one.
6. Muziki wa Dansi, disko, taarabu na aina nyingineyo yoyote ya muziki Shindano la kutafuta msanii Shindano la kutafuta warembo Maonesho ya mavazi Maombi ya kibali cha sherehe za unyago, ngoma, harusi na sherehe nyingine yoyote Kupiga picha mjongeo Mashindano ya mpira Matangazo ya Biashara Kiwango cha Ada kwa Shilingi 50,000/= kwa siku 30,000/= kwa shindano 50,000/= kwa shindano 50,000/= kwa onesho 30,000/= kwa sherehe 10,000/= kwa kila tukio 10,000/= kwa mechi 30,000/= kwa siku 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA PILI ______________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 5(2)) FOMU YA MAOMBI YA KIBALI SEHEMU YA KWANZA (Taarifa za Mwombaji) Jina la mwombaji
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: 1. .............................................................
1. ............................................................. - 2 Verify source ↗
Anwani ya mwombaji
AI-assisted research summary: Section title: applicant address.
2. Anwani ya mwombaji ......................................... - 3 Verify source ↗
Aina ya shughuli
AI-assisted research summary: Section heading: “Type of activity.”
3. Aina ya shughuli .............................................................. - 4 Verify source ↗
Eneo analokusudia kufanya shughuli
AI-assisted research summary: Sehemu hii ina kichwa kuhusu eneo analokusudia kufanya shughuli.
4. Eneo analokusudia kufanya shughuli ............................................ - 5 Verify source ↗
Muda wa kuanza
AI-assisted research summary: This section is about when the regulation starts to apply.
5. Muda wa kuanza ............................................................. - 6 Verify source ↗
Muda wa kumaliza
AI-assisted research summary: Section title: “Muda wa kumaliza” (time to complete/end).
6. Muda wa kumaliza ..................................................... - 7 Verify source ↗
Ada ya kibali (Shilingi)
AI-assisted research summary: This section is titled “Permit fee (Shillings)”.
7. Ada ya kibali (Shilingi) .......................................................... - 8 Verify source ↗
Namba ya Stakabadhi ya malipo
AI-assisted research summary: Section heading for the payment receipt number.
8. Namba ya Stakabadhi ya malipo ................................................. - 10 Verify source ↗
Tarehe…………………
AI-assisted research summary: This section is a date line for office use only.
10. Tarehe…………………..... SEHEMU YA PILI (Kwa Matumizi ya Ofisi tu)
Part
SEHEMU YA PILI
- 1 Verify source ↗
Maombi namba
AI-assisted research summary: Heading for an application number.
1. Maombi namba ..................................... - 2 Verify source ↗
Ada ya kibali shilingi
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kina kichwa kinachohusu ada ya kibali kwa shilingi, lakini hakitoi maelezo zaidi.
2. Ada ya kibali shilingi ....................................................... - 3 Verify source ↗
Namba ya stakabadhi ya malipo
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kuhusu namba ya stakabadhi ya malipo.
3. Namba ya stakabadhi ya malipo .................................................. - 4 Verify source ↗
Tarehe ya malipo
AI-assisted research summary: Kipengele hiki kina kichwa “Tarehe ya malipo” na kinaonyesha jina la afisa aliyepokea malipo.
4. Tarehe ya malipo ....................................... Jina la Afisa aliyepokea malipo - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: 5. ...................................................
5. ................................................... - 6 Verify source ↗
Saini
AI-assisted research summary: Section 6 is labelled “Saini.”
6. Saini ...................................... - 7 Verify source ↗
Muhuri
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kukiri kosa na kufifilisha kosa, ambapo mtu anakiri kwa hiari yake mwenyewe kuwa ametenda kosa la kukiuka masharti ya aya husika na anaonyesha kuwa yuko tayari kulipa ada na faini.
7. Muhuri Maoni ya Afisa Mwidhiniwa: - *Nakubali/Sikubali (futa isiyohusika) Sababu: ………………………………..………………………………………… 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Vibali Vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Tangazo La Serikali Na. 892 (Linaendelea) Jina:………………………………Saini: ……………Tarehe……………….. JEDWALI LA TATU _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 16) _______ FOMU YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………………………. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada ninayodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe …………………..ya Mwezi …………… Mwaka ………………… Jina: …………………………………………. Saini: ……………………………. MBELE YA: Jina: ………………………………… Wadhifa: ……………………………. Saini: ……………………………….. Tarehe: ………………………… … 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Burudani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in