Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2023
This provision states the short title of the by-law: the Mbarali District Council Fees and Taxes By-law 2023.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2023
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision states the short title of the by-law: the Mbarali District Council Fees and Taxes By-law 2023. This by-law applies throughout the entire Mbarali District Council area. Sehemu hii inafafanua maneno yanayotumika katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo ada, ushuru, Halmashauri, kibali, soko, maegesho, mnada, na wakala. Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa huduma zake, na malipo yatafanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. Ada au ushuru husanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi. Malipo yanaweza kufanyika kwa siku, kwa mwezi, au kwa mpangilio mwingine uliokubaliwa, na mlipaji lazima apewe stakabadhi ya kielektroniki baada ya kulipa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2023
Showing 51 of 51
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This provision states the short title of the by-law: the Mbarali District Council Fees and Taxes By-law 2023.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2023. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: This by-law applies throughout the entire Mbarali District Council area.
2. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno yanayotumika katika Sheria Ndogo hii, ikiwemo ada, ushuru, Halmashauri, kibali, soko, maegesho, mnada, na wakala.
3. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni yake ni malipo yanayolipwa kwa leseni Halmashauri kwa ajili ya vibali au mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mtendaji wa Kijiji” maana yake ni afisa aliyeajiriwa kama mtendaji wa kijiji na itajumuisha mtaalamu yeyote ndani ya kijiji anayefanya kazi za Afisa Mtendaji wa Kijiji katika kijiji husika; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni afisa yeyote la aliyeteuliwa na Mkurugenzi kwa kusimamia utekelezaji wa Sheria hii; lengo “chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria na mizigo 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine isipokuwa baiskeli, mkokoteni au wanyama wanaotumika kusafirisha watu au mizigo; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “kipindi maalum cha hesabu” maana yake ni muda ambao mfanyabiashara anatakiwa kuwasilisha hesabu za biashara kwa Halmashauri; “kituo cha mabasi” maana yake ni eneo maalum lililotengwa na Halmashauri kwa madhumuni ya kupakia na kuteremsha abiria na mizigo ya abiria; “machinjio” maana yake ni sehemu iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuchinjia wanyama na kuanika ngozi ikiwa ni pamoja na maeneo ya taasisi ya umma au watu binafsi yaliyopo katika eneo la Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni tarazo, moramu, udongo, kifusi, kokoto, mawe, mchanga, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “maegesho” sehemu yoyote iliyotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha chombo cha usafiri kwa muda; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali au Afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; "mnada” maana yake soko la wazi ambalo mali au vitu mbalimbali vinauzwa kwa ushindani wa bei kwa kauli na kwa kibali maalumu cha Halmashauri; “mnunuzi wa mazao” maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, kampuni, kiwanda shirika linalonunua mazao kwa ajili ya biashara au matumizi mengineyo katika eneo la Halmashauri; “muuzaji”maana yake ni mtu, taasisi, kikundi cha watu, au 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) kampuni, kiwanda au shirika anayeuza au anayesafirisha mazao kutoka Kata moja kwenda kata nyingine au nje ya eneo la Halmashauri mwenye mazao yenye uzito wa zaidi ya tani moja; “soko” maana yake ni eneo liliotengwa na Halmashauri kutumika kwa shughuri za biashara; “ada au ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “ushuru wa huduma” maana yake ni ushuru unaotozwa au unaokusanywa na Halmashauri kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni, taasisi ya biashara au mfanyabiashara kwa huduma anazopata kutokana umma na inayomuwezesha kufanya biashara katika eneo la Halmashauri; kutumia miundombinu ya “ushuru wa madini ya ujenzi” maana yake ni ushuru utakaotozwa kwa kibali cha uchimbaji wa kokoto, mawe, changarawe, mchanga, marumalu, kifusi, udongo mfinyanzi, au chochote kinachochimbwa na kupatikana katika Mamlaka ya Halmashauri kwa shughuli za ujenzi, na inajumuisha tozo kwa mtu yeyote atakayesafirisha madini ya ujenzi kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine; “utamaduni” maana yake ni sanaa za maonyesho, sanaa za ufundi,muziki wa asili,ususi,michezo,muziki wa dansi,video,muziki wa taarabu,maonyesho ya sinema, mazingaombwe,tiba za jadi na matumizi ya viwanja vya michezo; “wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria hii. Utozaji wa ada au ushuru - 4 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa huduma zake, na malipo yatafanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
4.-(1) Halmashauri itatoza ada au ushuru kwa ajili huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria hii. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) Muda wa kukusanya ada au ushuru Ushuru wa soko (2) Kwa kuzingatia masharti ya aya ndogo ya (1), ada na ushuru unaotozwa chini ya Sheria hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (3) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria hii. - 5 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa
AI-assisted research summary: Ada au ushuru husanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi. Malipo yanaweza kufanyika kwa siku, kwa mwezi, au kwa mpangilio mwingine uliokubaliwa, na mlipaji lazima apewe stakabadhi ya kielektroniki baada ya kulipa.
5.-(1) Muda wa kukusanya ada au ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kuathiri masharti ya kanuni ndogo ya (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ada au ushuru baada ya muda ulioainishwa kwenye kanuni hii. (3) Malipo ya ada au ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ada au ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na mara baada ya malipo mlipaji atapaswa kupewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. - 6 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na ushuru wa soko utakaolipwa
AI-assisted research summary: Kuna ushuru wa soko unaolipwa kama Halmashauri inavyoelekeza; mfanyabiashara wa soko asiye na kitambulisho cha ujasiriamali lazima alipe ushuru, na ni marufuku kuuza bidhaa nje ya soko au kuanzisha soko bila kibali cha Halmashauri.
6.-(1) Kutakuwa na ushuru wa soko utakaolipwa kwa Halmashauriau Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (2) Mtu yeyote atakayefanya biashara kwenye maeneo ya soko ambaye hana kitambulisho cha ujasiriamali kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali la Kwanza la Sheria hii atapaswa kulipa ushuru kwa mujibu wa sheria hii. (3) Ni marufuku kwa mtu yeyote kuuza bidhaa nje ya eneo la soko au kuanzisha soko bila kibali cha Halmashauri. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) (4) Kila soko litakuwa wazi kuanzia saa moja kamili asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni. Ushuru mazao wa - 7 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na ushuru wa mazao
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ushuru wa mazao kwa mnunuzi wa mazao na kwa mtu anayesafirisha mazao zaidi ya tani moja.
7.-(1) Kutakuwa na ushuru wa mazao utakaotozwa na Halmashauri kwa- (a) mnunuzi wa mazao pindi anunuapo mazao la kutoka kwa muuzaji katika Halmashauri; eneo (b) mtu yeyote atakayesafirisha mazao zaidi ya tani moja kutoka eneo lolote la Halmashauri. (2) Viwango vya ushuru wa mazao kwa mujibu wa aya hii utakuwa kama ambavyo imeainishwa kwenye Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii: (3) Halmashauri haitatoza ushuru wa mazao kwa mtu yeyote ambaye analima kwa ajili ya kujikimu na familia yake mwenye mazao yasiyozidi tani moja. (4) Mtu yeyote atakayesafirisha mazao yasiyozidi tani moja atatakiwa kuwa na barua kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji wa sehemu aliyolima mazao yake ambayo itathibitisha kwamba mtu huyo amelima shamba katika Kijiji chake. (5) Katika kupata hesabu ya tani moja yatahesabiwa magunia kumi yenye ujazo usiozidi debe nane kama ndio sawa na tani moja.
Part
Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii:
- 8 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kibali cha kusafirisha mazao
AI-assisted research summary: A buyer transporting produce outside the Council area must use a permit issued by the Council, unless the transport is of animal-feed produce like bran or oilcake; the permit costs TZS 20,000.
8.-(1) Kutakuwa na kibali cha kusafirisha mazao kitakachotolewa na Halmashauri kwa Mnunuzi wa mazao atakayesafirisha mazao yake nje ya eneo la Halmashauri kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria hii. (2) Kibali cha kusafirisha mazao hakitawahusu wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya chakula cha mifugo kama vile pumba laini, mashudu na mazao mengine yanayoendana na hayo. (3) Kibali kilichotajwa katika aya ndogo ya (2) kitapaswa kulipiwa kiasi cha Shilingi elfu ishirini. 5 Kibali cha kusafirisha mazao Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) Ushuru wa huduma Uteuzi wakala wa - 9 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru
AI-assisted research summary: Halmashauri must collect service levy at 0.3% of sales from certain licensed businesses that file sales accounts with the Tanzania Revenue Authority, and at the First Schedule rate from licensed traders who do not file those accounts.
9.-(1) Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) ya mauzo baada ya kutoa Kodi ya Ongezeko la Thamani na ushuru wa bidhaa kutoka kwa kampuni, tawi la kampuni au mfanyabiashara yeyote mwenye leseni ya biashara anayewasilisha hesabu za mauzo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania. (2) Bila kuathiri masharti ya aya ndogo ya (1), Halmashauri itatoza na kukusanya ushuru wa huduma kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria hii kutoka kwa wafanyabiashara wenye leseni za biashara ambao hawawasilishi hesabu za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania. (3) Itakuwa ni wajibu wa kila mfanyabiashara mwenye leseni ya biashara ambaye anawajibika kulipa ushuru wa huduma kuwasilisha kwa Mkurugenzi taarifa za hesabu za mwaka kwa ajili ya kukokotoa kiwango. (4) Halmashauri itakokotoa ushuru wa huduma kwa walipa ushuru wa huduma wanaowasilisha taarifa za mauzo Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kuzingatia taarifa zinazowasilishwa na walipa ushuru wa huduma katika kipindi maalum cha hesabu. (5) Kila mlipa ushuru wa huduma atatakiwa kulipa ushuru wa huduma si zaidi ya siku kumi na nne tangu tarehe ya kuwasilisha taarifa za mauzo ya kila mwezi. - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya
AI-assisted research summary: The council may appoint a registered company to collect levy under the by-law. An appointed agent must collect and receive the levy for the council in its assigned area, use the electronic system, and submit all collections under the agency contract terms.
10.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa aya ndogo ya (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. ya Mamlaka Afisa Mwidhiniwa - 11 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa muda wa saa za kazi zilizotajwa, ili kukusanya ada au ushuru au kufanya tathmini na mambo mengine yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali.
11. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kuanzia Saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi Saa kumi na mbili kamili jioni kwa nia ya kukusanya ada au ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. Kamati Mapato ya - 12 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na Kamati yakufatilia mapato
AI-assisted research summary: Kamati ya mapato ya Halmashauri itaundwa na Mkurugenzi na lazima iratibu kikosi kazi cha mapato, iishauri Halmashauri, ifanye tathmini za kila mwaka, na iwasilishe taarifa ya utendaji kila mwezi kwa Menejimenti.
12.-(1) Kutakuwa na Kamati yakufatilia mapato ya Halmashauri itakayoundwa na Mkurugenzi ambayo itakuwa na majukumu yafuatayo: (a) kuratibu utendaji kazi wa kikosi kazi cha kukusanya mapato; (b) kuishauri Halmashauri kuhusu namna ya kuongeza mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato; (c) kufanya tathmini ya makusanyo katika kila chanzo kwa mwaka ili kuweka maoteo ya mwaka unaofuata. (2) Kamati ya mapato itawajibika kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa Menejimenti kila mwezi kuonesha namna ilivyofanya kazi katika kipindi husika. Kikosi kazi cha kudhibiti mapato - 13 Verify source ↗
(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na
AI-assisted research summary: Mkurugenzi lazima aunde kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti mapato, na kikosi hicho kitawajibika kwa Kamati ya Mapato.
13.-(1) Kutakuwa na kikosi kazi cha kufuatilia na kudhibiti mapato ambacho kitaundwa na Mkurugenzi kikihusisha wataalamu kutoka sekta mbalimbali za Halmashauri. (2) Kikosi kazi kitakachoundwa kwa mujibu wa Sheria hii kitawajibika kwa Kamati ya Mapato. Makosa - 14 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akikwepa au kukataa kulipa ada au ushuru, kuzuia maafisa kutekeleza majukumu yao, kutumia nyaraka za kughushi, kutoa taarifa za uongo, au kusafirisha bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada.
14. Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) (a) atashindwa au atadharau au atakwepa au atakataa kulipa ada au ushuru au kutekeleza agizo lolote alilopewa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (d) atatumia nyaraka za kughushi kwa nia ya kujipatia manufaa yatokanayo na ukusanyaji wa ada au ushuru ndani ya Halmashauri; (e) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kulipiwa ushuru na zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri; na (f) atatumia chombo chochote kile kusafirishia bidhaa ambayo haijalipiwa ushuru au ada. Adhabu Kufifilisha kosa - 15 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii anatenda kosa na anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote viwili.
15. Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini ya kiasi kisichopungua shilingi laki mbili na au kifungo shilingi milioni moja kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. isiyozidi - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kufifilisha kosa kwa kumtoza mkosaji shilingi 200,000, ikiwa mkosaji anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru anaodaiwa.
16. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. Kufutwa kwa Sheria Ndogo TS Na. - 17 Verify source ↗
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya
AI-assisted research summary: This section says the listed Mbarali District by-laws from 2019 and 2013 have been repealed.
17. Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2019 na 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) 693 la 2019 na 364 la 2013 Sheria Ndogo ya Ushuru wa Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2013 zimefutwa. ________________ JEDWALI LA KWANZA ___________________ (Limetengenezwa chini ya aya 4(1, )6(2), 7(2) na 9(2)) SEHEMU YA KWANZA: ADA YA UKAGUZI WA NYAMA Namba.
Part
SEHEMU YA KWANZA: ADA YA UKAGUZI WA NYAMA
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision sets slaughter-inspection fees for cattle, goats/sheep, and pigs.
3. Huduma Ukaguzi wa nyama ya Ng’ombe baada ya kuchinjwa Ukaguzi wa nyama ya Mbuzi na Kondoo baada ya kuchinjwa Kiwango cha Ushuru (Shilingi) 3,000/= kwa kila ng’ombe 1,000/= kwa kila mbuzi au kondoo Ukaguzi wa nyama ya Nguruwe baada ya kuchinjwa 1,500/= kwa kila nguruwe 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) SEHEMU YA PILI: ADA YA UWAMBAJI NGOZI Namba. Mnyama Kiwango cha ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA PILI: ADA YA UWAMBAJI NGOZI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists health-check fees of Shilingi 500 for each cow, and Shilingi 500 for each goat or sheep.
2. Ng’ombe 500/= kwa kila mmoja Mbuzi au Kondoo 500/= kwa kila mmoja SEHEMU YA TATU: ADA YA KUPIMA AFYA Namba. Huduma Kiwango cha Ada(Shilingi)
Part
SEHEMU YA TATU: ADA YA KUPIMA AFYA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text states a health examination fee of 5,000/= per person, charged every six months.
1. Ada ya kupima Afya kwa mtu mmoja 5,000/= kila baada ya miezi sita SEHEMU YA NNE: A: USHURU WA MAZAO YA MISITU (TIMBAO) Namba. Aina ya zao Kipimo Kiwango cha Ushuru (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NNE:
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text lists tax rates for forest products such as charcoal, timber, firewood, poles, beams, and bamboo.
8. Mkaa Mbao Mbao Kuni Fito Boriti Boriti Mianzi kwa gunia la kilo 50 3% ya TFS +1,000 kwa ubao (zisizoainishwa ujazo) kwa ubao (zisizoainishwa ujazo) kwa mita za ujazo 200/= 3% ya TFS + 1,000 3% ya TFS +500 kwa mita za ujazo 3% YA TFS + 200 kwa Boriti (zisizoainishwa ujazo) kwa mita za ujazo 2,000/= 3% TFS +500 kwa mwanzi 100/= B: USHURU WA MAZAO YA MISITU (YASIYO TIMBAO) Namba. Aina ya zao Kipimo Kiwango cha Ushuru (Shilingi) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The provision lists per-kilogram charges for several items, including amounts of 10,500/= and 500/=.
4. Uyoga Ukindo Kamba Asali kwa kilogramu kwa kilogramu kwa kilogramu kwa kilogramu 10 500/= 500/= 500/= 500/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The provision lists registration and permit fees for certain natural resources, fisheries, and environmental activities, including annual fees and percentage-based charges.
7. Nta kwa kilogramu 500/= Dawa za mizizi kwa kilogramu Dawa za majani kwa kilogramu 3,000/= 3,000/= C: ADA YA USAJILI WA BIASHARA YA MALIASILI, UVUVI NA MAZINGIRA Kiasi (Shilingi) Biashara Namba. Kipimo Usajili kwa mwaka Karakana ya uvunaji mkaa, mbao na kuni Biashara ya bucha ya wanyamapori Tathimini ya athari ya mazingira Shughuli za uwindaji Kibali kwa mwaka Usajili kwa mwaka Kibali kwa tathimini Usajili kwa mwaka 20% ya tozo ya Serikali Kuu 20% ya tozo ya Serikali Kuu 20,000/= kwa kila kazi 20% ya tozo ya Serikali Kuu 25,000/= Ada ya usajili wa maduka yanayouza samaki, dagaa wabichi. Ada ya leseni ya kuendesha biashara ya samaki, dagaa wakavu. Usajili kwa mwaka 25,000/= - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section is a table heading for a fee schedule about tourism activities in areas managed by a municipal or local council.
6. SEHEMU YA TANO: ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTALII KWENYE MAENEO YANAYOSIMAMIWA NA HALMASHAURI Namba. Aina ya shughuli Kiasi (Shilingi)
Part
SEHEMU YA TANO: ADA YA KUENDESHA SHUGHULI ZA UTALII KWENYE
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists local tourism-related fees, including annual fees and per-entry or per-person charges for certain tourist activities.
6. Uhudumiaji wa utalii (tour operator) 50,000/= kwa mwaka Biashara ya vivutio kwa watalii (curio shops entertainment) Kutembelea maeneo ya vivutio vya utalii;mtalii kutoka ndani ya nchi Kutembelea maeneo ya vivutio vya utalii;mtalii kutoka nje ya nchi Kuweka kambi (tented or camping site) Shughuli nyingine yoyote yenye sura ya utalii 50,000/= kwa mwaka. 500/= kila anapoingia 1,000/= kila anapoingia. 50,000/= kwa mwaka kwa eneo. 1,000/= kwa kila mtu 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) SEHEMU YA SITA: USHURU WA MADINI YA UJENZI Namba. Aina ya Madini Kiasi (Shilingi) Ujazo
Part
SEHEMU YA SITA: USHURU WA MADINI YA UJENZI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaorodhesha ada/kodi za kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi na viwango vya kodi ya pango kwa majengo na vibanda vya halmashauri.
3. Mchanga, Changarawe, Kokoto, Mawe na Kifusi Kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi kwenye eneo la mtu binafsi kwa mmiliki wa eneo Kibali cha uchimbaji wa madini ya ujenzi kwenye eneo la Kampuni 7,000/= 5,000/= 3,000/= kwa kila gari lenye uzito wa tani 7 inayochimbwa au kusafirishwa kwa gari lenye uzito wa chini ya tani 7 kwa powertiller 500,000/= kwa mwaka 1,000,000/= kwa mwaka SEHEMU YA SABA: KODI YA PANGO, MAJENGO NA VIBANDA VYA HALMASHAURI (Viwango hivi vitabadilika kwa kuhuishwa kwenye mikataba ya upangaji iwapo itahitajika kufanya hivyo) Namba. Aina ya jengo Kodi ya pango inayopendekezwa
Part
SEHEMU YA SABA: KODI YA PANGO, MAJENGO NA VIBANDA VYA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The provision lists monthly fees for different market stalls, council houses, and putting up a communications tower in the council area.
6. Vibanda ndani na nje ya soko Vibanda ndani nan je ya stendi Nyumba ndogo za Halmashauri NHC Nyumba ndogo za Halmashauri ambazo siyo NHC Nyumba kubwa za Halmashauri Kuweka mnara wa mawasiliano kwenye eneo la Halmashauri 30,000/= 50,000/= 70,000/= 60,000/= 100,000/= 500,000/= 12 Muda kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza 200,000 shilingi kwa mwezi kwa kukodi eneo lake kwa ajili ya kuendesha bustani.
7. Kukodi eneo la Halmashauri kwa ajili ya kuendesha bustani 200,000/= kwa mwezi SEHEMU YA NANE: ADA YA HUDUMA YA VYOO VYA HALMASHAURI Namba Aina ya Jengo Kiasi (Shilingi)
Part
SEHEMU YA NANE: ADA YA HUDUMA YA VYOO VYA HALMASHAURI
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Kuna malipo ya Shilingi 300 kwa kila mtu kwa choo cha stendi na choo cha soko kuu.
2. Choo cha Stendi 300/= kwa kila mtu Choo cha Soko kuu 300/= kwa kila mtu SEHEMU YA TISA: USHURU WA MAZAO Namba Aina ya Zao Kiwango cha ushuru (Shilingi) Kipimo
Part
SEHEMU YA TISA: USHURU WA MAZAO
- 7 Verify source ↗
Muhogo au Udaga
AI-assisted research summary: This provision lists Muhogo, Udaga, Makopa, uwele, and viazi, and includes 500/=.
7. Muhogo au Udaga 500/= au Makopa au uwele au viazi - 8 Verify source ↗
Mazao mengine ya
AI-assisted research summary: The text appears to list “other produce” with a price of 500/= for food, but it does not clearly state a complete rule.
8. Mazao mengine ya 500/= chakula ambayo hayakutajwa - 9 Verify source ↗
Mazao mengine ya
AI-assisted research summary: The provision lists charges for “mazao mengine” (other crops), including fixed and percentage-based rates tied to bag size or quantity.
9. Mazao mengine ya 500/= 13 Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 100 Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 100. Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 75 Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 90 Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 90 Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 40. Sawa na 3% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila gunia la kilo 90. Sawa na 2% ya bei ya kununulia ambayo itatozwa kwa kila kilo kwa kiasi kinachozidi tani moja. Sawa na 2% ya bei ya Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) biashara ambayo hayakutajwa - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: A fee of 500 shillings is stated for livestock feed, charged per kilogram when the quantity exceeds one ton.
10. Vyakula vya mifugo 500/= kununulia ambayo itatozwa kwa kila kilo kwa kiasi kinachozidi tani moja. kwa gunia la kilo 100 SEHEMU YA KUMI: USHURU WA SOKO NA MAGULIO Namba. Aina ya Bidhaa Kiasi (Shilingi) Muda
Part
SEHEMU YA KUMI: USHURU WA SOKO NA MAGULIO
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists fees for certain market goods and auctioned animals, including daily market-gulio charges and auction taxes.
5. Nguo za mitumba Nafaka rejareja 1,000/= 1,000/= Migahawa ndani ya soko 1,000/= Samaki rejareja Mboga za majani Dagaa rejareja Wauza vyungu Miwa rejareja Matunda, Nyanya, Vitunguu zaidi ya debe mbili Viatu rejereja Bidhaa zote zinazouzwa ndani ya soko kila siku Bidhaa nyinginezo zinazoletwa siku ya gulio ambazo hazikutajwa 1,000/= 500/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= 1,000/= 500/= 1,000/= Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kwa siku ya gulio tu Kila siku Kwa siku ya gulio tu SEHEMU YA KUMI NA MOJA: USHURU WA MINADA Idadi Aina ya Mnyama Kiasi (Shilingi.) Ng’ombe Mbuzi au Kondoo Nguruwe Kuku au Bata Punda 4,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 4,000/= kwa kila Ng’ombe kwa kila Mbuzi au Kondoo kila Nguruwe kwa tenga kila punda 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) SEHEMU YA KUMI NA MBILI: USHURU WA STENDI NA MAEGESHO Namba. Aina ya Gari Kiasi (Shilingi) Idadi
Part
SEHEMU YA KUMI NA MBILI: USHURU WA STENDI NA MAEGESHO
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text lists fees for parking or storing different vehicles and a yearly fee for cultural and entertainment activities.
7. Lori au Mabasi au kirikuu litakaloegeshwa stendi Hiace na costa Teksi Bajaji au Pikipiki au Guta Magari ya watu binafsi Gharama ya kutunza gari lililokamatwa Lori litakaloegeshwa kwenye maegesho ya Halmashauri 2,000/= 2,000/= 1,000/= 500/= 1,000/= 10,000/= 5,000/= kwa safari kwa safari kwa safari kwa safari kwa siku kwa siku kwa siku SEHEMU YA KUMI NA TATU: ADA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA UTAMADUNI NA BURUDANI Namba. Shughuli Kiwango (Shilingi) Muda 200,000/= kwa mwaka
Part
SEHEMU YA KUMI NA TATU: ADA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA UTAMADUNI
- 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada na tozo mbalimbali za usajili, vibali na matangazo yanayohusiana na kumbi za muziki, burudani na matamasha.
15. Usajili kumbi za muziki na starehe Matangazo ya burudani ya kutumia vyombo Matangazo ya kuuza bidhaa zinazopungua bei (promotion) Fete Kibali cha kuonyesha sanaa na muziki Kibali cha matamasha Tozo kwa Baa zinazochezesha muziki Tozo kwa mchezo wa Pool Table Tozo kwa kumbi za muziki na starehe Tozo kwa kumbi za sherehe 30,000/= 30,000/= 20,000/= 30,000/= 50,000/= 30,000/= 20,000/= 40,000/= 50,000/= kwa kila tangazo kwa siku. kwa kila tangazo kwa mwezi kwa kila onyesho kwa tamasha kwa mwaka kwa mwaka kwa mwaka kwa sherehe kwa mwaka Tozo za kurekodi filamu na video 50,000/= Maonyesho ya mavazi na mashindano ya urembo Maonyesho ya video 40,000/= kwa onyesho 30,000/= kwa mwaka Maonyesho ya mazingaombwe 10,000/= Tozo kwa washereheshaji kwenye kumbi za sherehe 10,000/= kwa siku kwa siku 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) - 17 Verify source ↗
Section 17
AI-assisted research summary: The provision sets a daily fee of 10,000/= for decorators and cooks in event halls.
17. Tozo kwa mpambaji kwenye kumbi za sherehe Tozo kwa Mpishi wa chakula kwenye kumbi za sherehe 10,000/= kwa siku 10,000/= kwa siku SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA KUZOA TAKA NGUMU Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA NNE: ADA YA KUZOA TAKA NGUMU
- 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: Hii ni jedwali la ada za kila mwezi kwa aina mbalimbali za maeneo na biashara.
19. Eneo la usafi Eneo la makazi Mgahawa Nyumba za kulala wageni Taasisi za umma (mashule au hospitali au ofisi za umma kama Tanesco au Posta au Maji) Taasisi za dini na binafsi Taasisi binafsi kama benki na taasisi za fedha zingine Supermarket au Mini Market Ada (Shilingi) 2,000/= 3,000/= 5,000/= 5,000/= Muda kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi 20,000/= kwa mwezi 10,000/= kwa mwezi Karakana za mbao 5,000/= kwa mwezi Wauzaji wa mbao 2,000/= kwa mwezi Wauzaji wa dawa za asili Karakana za vyuma 5,000/= 5,000/= kwa mwezi kwa mwezi Maduka ya jumla 10,000/= kwa mwezi Maduka ya samaki wabichi Maduka ya rejereja 5,000/= 5,000/= kwa mwezi kwa mwezi Baa Glocery 10,000/= kwa mwezi 5,000/= kwa mwezi Kilabu cha pombe 2,000/= kwa mwezi Bucha 5,000/= kwa mwezi Kituo cha mafuta 10,000/= kwa mwezi Gereji 10,000/= kwa mwezi Biashara ya vyuma chakavu 3,000/= kwa mwezi 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) - 43 Verify source ↗
Section 43
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaorodhesha ada za kila mwezi kwa aina mbalimbali za biashara na vibanda.
43. Duka la kuoka mikate 5,000/= kwa mwezi Vibanda vya huduma za kifedha kwa njia ya simu Maduka ya madawa muhimu Maduka ya madawa ya kilimo na mifugo Kumbi za starehe 2,000/= kwa mwezi 5,000/= kwa mwezi 5,000/= kwa mwezi 5,000/= kwa mwezi Depot ya bia na soda 10,000/= kwa mwezi Vibanda vya chipsi na nyama 3,000/= kwa mwezi Vibanda vya kuuza mikungu ya ndizi Wauzaji wa mahindi ya kuchoma Vibanda au Meza ya biashara ndogondogo Maduka biashara ya nguo za mitumba Maduka ya nguo za spesho 5,000/= kwa mwezi 2,000/= 1,500/= kwa mwezi kwa mwezi 1,000/= kwa mwezi 2,000/= kwa mwezi Saluni za wanawake 3,000/= kwa mwezi Saluni za wanaume 3,000/= kwa mwezi Studio au video library 3,000/= kwa mwezi Mashine za kukamua mafuta 5,000/= kwa mwezi Mashine za kukoboa mpunga 10,000/= kwa mwezi Mashine za kukoboa na kusaga mahindi Fundi cherehani Wauzaji wa viatu vya mtumba Wauzaji wa vitunguu Vibanda vya kuonesha picha mjongeo au sinema au mpira Vijiwe vya maroli au powertiller Vijiwe vya boda boda 5,000/= kwa mwezi 2,000/= 2,000 2,000/= 2,000/= 3,000/= 2,000/= kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) - 60 Verify source ↗
Section 60
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha ada za ukaguzi wa usafi wa mazingira kwa aina mbalimbali za biashara na maeneo, kwa viwango tofauti vya kila mwezi.
60. ya isiyo kutengeneza Vibanda vya kuuza matunda Pool table ambayo haiko kwenye baa Biashara ya kubahatisha kwenye baa Eneo la kuoshea magari Vibanda alluminium Wauzaji wa miwa nje ya sokoni Duka la magodoro Watengenezaji wa umeme Biashara ya Stationary Night club Ofisi za wakandarasi wa umeme Wauzaji wa samani au sofa Duka la vifaa vya ujenzi Biashara ya kujaza upepo Eneo la ufundi pikipiki Biashara ya spare za magari au pikipiki au bajaji Fundi viatu wanasheria vifaa vya au 2,000/= 1,000/= kwa mwezi kwa mwezi 3,000/= kwa mwezi 5,000/= 10,000/= 4,000/= 5,000/= 2,000/= 5,000/= 10,000/= 2,000/= 5,000/= 10,000/= 2,000/= 5,000/= 5,000/= kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi kwa mwezi 1,000/= kwa mwezi SEHEMU YA KUMI NA TANO: ADA YA UKAGUZI WA USAFI WA MAZINGIRA Namba. Maelezo Kiwango (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TANO: ADA YA UKAGUZI WA USAFI WA MAZINGIRA
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The text lists annual fee amounts for several premises or business types.
7. Eneo la chakula Nyumba ya kulala wageni Gereji Eneo la kupumzika Hoteli Viwanda Mashine za mpunga 3,000/= kwa mwaka 5,000/= kwa mwaka 3,000/= kwa mwaka 3,000/= kwa mwaka 10,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa mwaka SEHEMU YA KUMI NA SITA: ADA YA UKAGUZI WA RAMANI ZA MAJENGO NA KIBALI CHA UJENZI Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA SITA: ADA YA UKAGUZI WA RAMANI ZA MAJENGO NA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The provision lists permit types and sets a fee of Shilingi 100 per square meter for the listed building-related activities.
2. Aina ya kibali Kuweka mnara wa simu Kujenga nyumba ya Kiwango (Shilingi) 100/= kwa mita moja ya mraba 100/= kwa mita moja ya mraba 18 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) makazi Kujenga nyumba ya biashara Kujenga shule binafsi na Hospitali binafsi Maghala na bohari Kituo cha mafuta Ghorofa - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section lists charges of TSh 100 or TSh 200 per square meter.
7. 100/= kwa mita moja ya mraba 100/= kwa mita moja ya mraba 100/= kwa mita moja ya mraba 200/= kwa mita moja ya mraba 200/= kwa mita moja ya mraba SEHEMU YA KUMI NA SABA: ADA YA MABADILIKO YA JENGO Namba.
Part
SEHEMU YA KUMI NA SABA: ADA YA MABADILIKO YA JENGO
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision lists permit types and sets a fee rate of 50 shillings per square meter.
4. Aina ya kibali Nyumba ya makazi Nyumba ya biashara Ghorofa Majengo mengine Kiwango cha ada (Shilingi) 50/= kwa kila mita ya mraba 50/= kwa kila mita ya mraba 50/= kwa kila mita ya mraba 50/= kwa kila mita ya mraba - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Hii inaweka viwango vya ushuru wa kuegesha magari yanayoingia katika magulio, masoko na minada, kwa aina tofauti za magari.
1. Kiwango cha Ushuru (shilingi) SEHEMU YA KUMI NA NANE: USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA Aina ya Gari Gari au basi kubwa zaidi ya tani 7 Magari madogo (Hiace na Noah) Teksi Magari binafsi yasiyo ya biashara Gari dogo la mizigo (lori au pick up) chini ya tani 7 1,000/= kwa siku 500/= kwa siku 2,000/= kwa siku 1,500/= kwa siku
Part
SEHEMU YA KUMI NA NANE: USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists a service levy for traders who do not keep accounts, with a license fee amount shown in shillings.
5. SEHEMU YA KUMI NA TISA: USHURU WA HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA WASIOFUNGA HESABU Namba. Ada ya Leseni Kiwango cha malipo ya ushuru wa huduma (Shilingi)
Part
SEHEMU YA KUMI NA TISA: USHURU WA HUDUMA KWA WAFANYABIASHARA
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: Leseni za viwango fulani vya shilingi hulipiwa ada ya 5,000/= au 10,000/= kulingana na kiwango cha leseni.
2. Leseni kuanzia shilingi 10,000-20,000 5,000/= Leseni kuanzia shilingi 25,000-40,000 10,000/= 19 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This provision is a permit form for transporting crop produce outside the district, with fields for the transporter, vehicle details, permit number, and issue date.
3. Leseni kuanzia shilingi 45,000-60,000 15,000/= JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya aya ya 8(1)) KIBALI CHA KUSAFIRISHA MAZAO NJE YA WILAYA (Transportation Permit for Crop Produce Outside the District) JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI Namba ya Kibali (Permit No.)……………………………………. Tarehe ya Kutolewa (Date of Issue)………………………………. Jina la Msafirishaji (Transporter’s Name)………………………… Aina ya Gari (Vehicle Type)……………………………………… Namba ya Gari (Vehicle Registration No.)………………………..
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Kibali
AI-assisted research summary: A permit is granted to transport a stated amount of goods by the route or between the places left blank in the form.
1. Kibali kimetolewa kwa (Permit is hereby granted to)…………………………………..kusafirisha(To transport)………………………Tani(Tones)…………………….kutoka(From)……………..k wenda (To)…………………………….. - 2 Verify source ↗
Kibali hiki ni cha siku (This Permit is valid for number of days)………….kuanzia tarehe (
AI-assisted research summary: This permit is valid for a stated number of days, starting from one date and ending on another date.
2. Kibali hiki ni cha siku (This Permit is valid for number of days)………….kuanzia tarehe ( starting from)………………..mpaka (To)…………………….. - 3 Verify source ↗
Kibali hiki hakihamishiki (Not transferable)
AI-assisted research summary: This section says the permit is not transferable and includes an office-use-only form for acknowledging an offence and agreeing to pay the tax due plus a fine instead of being prosecuted in court.
3. Kibali hiki hakihamishiki (Not transferable) KWA MATUMIZI YA OFISI TU (For office use only) Namba ya kibali (Permit No.) ……………. Tarehe (Date)……………. Mahali (Place)……………. Stakabadhi Na. (Receipt No.) ………………………ya Tarehe (Date)…………………………. Jina la Afisa Muidhinishaji (Name of Authorizing Officer) …………………………………. Saini (Signature)……………………cheo (Designation)…………………………. Muhuri (official stamp) 20 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) ______________ JEDWALI LA PILI _______________ HATI YA KUKIRI NA KUFIFILISHA KOSA (Limetengenezwa chini ya aya ya 16) Mimi ……………………………………………………… nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ………………………………………….ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Mbarali, kwamba mnamo tarehe …… ya mwezi ……. mwaka …… nilitenda kosa la kukiuka masharti ya aya ya …… ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2023. Kwa Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, niko tayari kulipa kiasi cha Ushuru ninaodaiwa pamoja na faini badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA MIMI MWENYEWE KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe…………. ya Mwezi…………..… Mwaka ……………. Jina……………………………….. Saini……………………… MBELE YANGU : Jina:……………………………………..……………………..... Saini………………………….…………………………..……… Wadhifa: ………………………………………………………… Tarehe…………………………………………………………... 21 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Tangazo La Serikali Na. 893 (Linaendelea) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya Mbalali imegongwa kwenye sheria Ndogo hii kufutia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Halmshauri ya Wilaya ya Mbalali uliofanyika Tarehe 28 Mwezi 4 Mwaka 2023 na Kushudiwa Lakiri hiyo ikigongwa mbele ya :- MISSANA K. KWANGURA Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Wilaya ya Mbalali TAMIMU T. LUBANDAMO Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Mbalali NAKUBALI, Dodoma, MOHAMED OMARI MCHENGERWA (MB) 31 Oktoba, 2023 Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 22
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ya Mwaka 2023
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in